Тёмный

MAFWELE ATAJWA MAHAKAMANI "POLISI WANATESA NA KUUA WATU" MAKOSA YA MEYA JACOB 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 21 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

18 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 57   
@mweyoms5548
@mweyoms5548 3 часа назад
Ipo shida Tz.Tena kubwa mno.
@mabalanyerere1541
@mabalanyerere1541 5 часов назад
Mm naona alifanya vzur kukataa kuchukuliwa kirahis inawezekana agekumbar kwenda naona tugekuwa tunaongea mengi ndo mana walicho kitaka mungu amemsaindia Sana kwasabambu anae hisiwa ndo yeye anapelekwa mahakaman bada yakuchunguzwa yeye nch hii hatujuw tunaelekea wap
@nasrachaya
@nasrachaya 3 часа назад
Kwasabambu ndo nn na ww😅😅😅
@gabrielmchau8764
@gabrielmchau8764 4 часа назад
CCM INA FURSA NYINGI SANA ZA KUWASHINDA WAPINZANI ILA EPUKENI KUTUMIA HILA ZA WAZI MAANA MNAHARIBU ZAIDI BADALA YA KUJENG
@helencyprian8745
@helencyprian8745 2 часа назад
Tena wanaharibu sana
@overplantv21
@overplantv21 5 часов назад
SAFI SAANA MIRAD AYO LEO UMEJITAHID SAANA KUTAJA JINA LA MAFWELE HUYU MBWA AKAMATWE NA YEYE WASITUFANYE TUISHI KWA WASIWASI KATI NCHI NI YETU WOTE
@robertphilip385
@robertphilip385 5 часов назад
Inasikitisha sana binadamu anakua kama mnyama
@trendingfootshorts
@trendingfootshorts 4 часа назад
Mungu ailaze maala pema peponi akiri yako finyu na maneno yako yasio na maana
@user-jh4hg2ev9s
@user-jh4hg2ev9s 5 часов назад
Kinachonisikitisha ni kuwa nguvu nyingi inatumika kumnyamazisha mtu anayejitolea kuisaidia polisi kuliko ya kuwatafuta watekaji na waliotekwa huku hofu kubwa ikijengeka kwenye jamii. Sidhani kama ni sawa hii itafanya mtu akiwa na habari zozote kuhusu hawa watekaji atanyamaza kimya na watu wataweza kulipizana visasi kimya kimya itazua balaa.oneni jinsi kuna mauaji ya kikatili kwenye jamii zetu kwa sasa.
@msabatozeson9023
@msabatozeson9023 4 часа назад
Mbona hata sativa kamtaja huyo mafwele na kasema anamwambia bado hawajamalizana! Kwanini mafwele asihojiwe ?
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 4 часа назад
Hilo jina mafwele mbona linaleta shida? Mbowe alilitaja, sativa naye nimeona ametaja na leo Jacob ametaja nadhani ni hilo lilitaka kumtia matatizoni Mnao husika na uhai wetu mtuangalie upya na sisi ni wa Mungu!
@MbokaRechadi
@MbokaRechadi 4 часа назад
Cc yetu macho ingawa tunajua kinacho endelea
@hajimakarabai4700
@hajimakarabai4700 4 часа назад
Mm hiikesi sijajua kuwa mlalamikaji ndo mafwele au jeshi la police au vp ishotoshe kama ni jeshi lapolice basi wangejaribu kuwashulikia hawa na kuwapeleka hawa kina mafwele mahakamani
@songombingo108
@songombingo108 4 часа назад
Ninapomuona Kibatala nakuwa sina wasiwasi.
@ChugaYechu
@ChugaYechu 5 часов назад
Hawa polisi wanapataWap kibur chakuumiza watu?
@mosesmacha1080
@mosesmacha1080 4 часа назад
Mbowe aliongea hadharani mbona hawakumkamata?
@selemankishema5780
@selemankishema5780 4 часа назад
Meya atasaidia kupatikana watesaji saana manaake anaonekana anajua mengi
@Revelation1412.
@Revelation1412. 2 часа назад
Yaani hili jina "Mafwele" lifanyiwe uchunguzi
@mugemainyas5241
@mugemainyas5241 Час назад
Nahisi jina lenyewe ni hatari . Mafyeka ni issue . Aha kumbe ni mafyele . Hii aliandika vizuri
@hebronmwambola1525
@hebronmwambola1525 4 часа назад
Mh Jscob huna kesi ya kujibu
@KassimHanga-xr7rb
@KassimHanga-xr7rb Час назад
Ahsante Jesh la polisi kwa kufuata sheria ya kumpeleka bonifes mahakamani mapema lakini haki hiyo muiendeleze kwa wote wanaotuhumiwa hata kama hawana wanasheria wasomi
@EmmanuelChrispin-bo5xh
@EmmanuelChrispin-bo5xh 5 часов назад
Du! Mafwele kawa maarufu du!
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 5 часов назад
Ndiyo anatakiwa Athibitishe kwani alipokuwa anaandika alikuwa hajui kifuatacho
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 5 часов назад
Inaonekana na wewe ni miongoni nini?
@robertphilip385
@robertphilip385 5 часов назад
Pumbavu wewe
@ibrahimame9805
@ibrahimame9805 5 часов назад
Mafwele huyo
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 4 часа назад
Si angeitwa ama kushitakiwa? hii ya kutekwa si ndo inaleta picha halisi?
@JofreyNagabona
@JofreyNagabona 2 часа назад
Daah hii nchi hatari sana ,
@majidimussa8678
@majidimussa8678 4 часа назад
Kibatala moto mwingine mzee
@tumainimayala8187
@tumainimayala8187 41 минуту назад
Mafwele aletwe mbele y sheria..kwanini anatajwa yeye tu??Na inaelekea Polisi wanamkingia kifua.
@user-il5pk2dr5n
@user-il5pk2dr5n 3 часа назад
Inaonekana Jokobo plesha imepanda anatoa macho sana..
@MusaMkembela-ex6ev
@MusaMkembela-ex6ev 3 часа назад
Mbona mbwowe anaongeaga hayo na hata lisu hammkamati nchi ya ovyo hii
@Jackson-k8s
@Jackson-k8s 4 часа назад
UJINGA TU KAMA MTU KAPOSTI KITU ITAFUTWE KWENYE AKAUNTI YAKE KWANINI WANAITAJI PSD YAKO TENA
@songombingo108
@songombingo108 4 часа назад
Sasa Password ya nini wakati akaunti yake ya X ipo. Si muingie humo muanze kusoma alichoandika
@johnjulius3092
@johnjulius3092 4 часа назад
Angetolewa roho
@GoodluckUisso
@GoodluckUisso Час назад
Ishamshinda yetu masooo😅
@user-uw3lm2ik6i
@user-uw3lm2ik6i 4 часа назад
Tanzania tunafungana tu akili
@pcthemaster9096
@pcthemaster9096 2 часа назад
Ivi ile kesi ya wale jamaa wabakaji na afande imeishia wapi?😂😂
@UR_CHRISTIANO-z7b
@UR_CHRISTIANO-z7b 51 минуту назад
Hivi Ile kesi ya Binti wa yombo dovya iliishia wapi as see he kesi ya Jacobo ipo fasta kuliko Ile
@caashamacalini3887
@caashamacalini3887 4 часа назад
Nchi ya kuoneana hii
@kalebiestomihi
@kalebiestomihi 4 часа назад
abuu.huna akili.wewe
@SirajiAbdalah
@SirajiAbdalah 4 часа назад
OK mafwele wanamsingizia ndio mana kada amekataa shitaka lake ?mafwele oyee
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 4 часа назад
Ukitaka kujuwa Serekali sio kitu cha kuchezea angalia aliekuwa meya anavyohangaika na kuzungusha macho utadhani kafumaniwa kumbe ni Serekali inafanya kazi yake sasa tunawasubiria na trh 23/09/24 wajitokeze wengine kisha Serekali ifanye kazi yake
@Bonifaskagoma
@Bonifaskagoma 4 часа назад
Ulaaniwe na ukoo wako wote kwa kukejeli damu za watu wasio na hatia.
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 4 часа назад
@@Bonifaskagoma bwege wewe njaa sinakutesa
@Joppa555
@Joppa555 3 часа назад
Dah aunt abuu una akili kibaba!!! 😂😂😂
@MusaMkembela-ex6ev
@MusaMkembela-ex6ev 3 часа назад
Cheki shoga hili tena
@suleimansamweli7316
@suleimansamweli7316 3 часа назад
Tulizen munkar mnazan kikiwaka kunaatakae kua na aman
Далее
Wednesday, September 18, 2024
8:40
Просмотров 1 тыс.