Тёмный

MWAMPOSA AFUNGUKA YOTE, NAPENDWA NA WAMAMA, MUUJIZA MKUBWA ALIOFANYA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 173 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

10 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 894   
@endeshyamat6773
@endeshyamat6773 24 дня назад
Huyu ni mtumishi wa Mungu kabisaaaaaa Mungu ambariki sanaaaaaaa🎉
@eusebiusthilia7908
@eusebiusthilia7908 17 дней назад
Namkubali sana MWAMPOSA hakika kaletwa Mungu mwenyewe kwa ajili ya kizazi hiki!Mungu aendelee kumjalia Baraka na Neema Tele
@irenemwanry121
@irenemwanry121 24 дня назад
Mtume tumekufahamu toka unahubiri nyumba kwa nyumba Moshi kijijini kwetu, hakiki ni Mungu alikuandaa kwa kizazi chetu ❤❤❤
@blasiustibwakawa6258
@blasiustibwakawa6258 17 дней назад
Nomaa halafu saana😂
@humphreyonlinetv2739
@humphreyonlinetv2739 25 дней назад
MWAMPOSA IS ATRUE MAN OF GOD HIGHLY ANOINTED
@ElizabethKazimoto-uc8zo
@ElizabethKazimoto-uc8zo 23 дня назад
Man of GOD ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ mungu akutunze our prophet
@salumsiraji-ou3uo
@salumsiraji-ou3uo 23 дня назад
hahaha
@ElizabethKazimoto-uc8zo
@ElizabethKazimoto-uc8zo 21 день назад
@@salumsiraji-ou3uo yeah
@florabuzoya3948
@florabuzoya3948 25 дней назад
Mwenyezi Mungu azidi kukubaliki sana sana True Man of God ,Very Humble, mwenyezi Mungu anakutumia sana na Umeokoa Wengi sana sana,Tuna ushuhuda Juu yako na Tunakupenda sana sana,Mwenyezi Mungu azidi kukuinua Sana sana.Ndani na Nje ya Nchi umeokoa wengi,Mungu atankutumia sana mpaka wachawi na Waganga wamesalender wamekuja kujikabidhi kwa Yesu Kristo.May God Keep on blessings you
@perpetuakicheleri-zk5ly
@perpetuakicheleri-zk5ly 24 дня назад
Mungu akuweke mpk yesu Atakaporudi baba umefanya makubwa 🙏🙏
@godsonprosper6657
@godsonprosper6657 8 часов назад
Yesu alisharudi usikalili maandiko
@gratusvlogs
@gratusvlogs 26 дней назад
Sema mwamposa kama Kijanakama unakubaliana na mm nipe LIKES apaaaaaa
@Rogathe-Rogathe
@Rogathe-Rogathe 26 дней назад
Kijana kbs
@bakariomary5781
@bakariomary5781 26 дней назад
Pesa ndugu inatakatishwa haujui😂😂
@florabuzoya3948
@florabuzoya3948 25 дней назад
Anazidi kuwa kijana kwa sababu ya kufunga na kusali sana
@allahisone6386
@allahisone6386 20 дней назад
​ HHHH NDIOOO_🤦🏿‍♀️
@user-eu5ly2sk8w
@user-eu5ly2sk8w 12 дней назад
Nakukubali sana nimetoka ziro Sasa Niko yuro haijalishi watakuitaje mungu akutunze na akufunike kwa damu yake iliyo kuu
@user-ex1cn3bc2h
@user-ex1cn3bc2h 24 дня назад
Nakupenda xan mtumixh wa Mungu Mwamposa Mungu akuzidixhie miaka ya kuixhi uzidi kutuudumia
@StelaMwambemba-qd3tr
@StelaMwambemba-qd3tr 24 дня назад
Nabarikiwe. Na mtumishi mwamposa libalikiwe tumbo lilimzaa Mungu amtunze miaka mingi sana
@monicaisuja8917
@monicaisuja8917 26 дней назад
Mwamposa ni kweli mtumish WA Mungu maneno ya watumishi wenzako ni mengi Mimi mwenyewe ni mengi Mungu amenitendea we peleka watu Kwa yesu usiogope❤
@ujenziimaratv1192
@ujenziimaratv1192 23 дня назад
Wewe ndio umelitaja jina la Yesu uyo mtumishi wako aja litaja Akili kichwani
@fumotv7914
@fumotv7914 20 дней назад
​@@ujenziimaratv1192unauhakika
@Salesiamalekela-i2h
@Salesiamalekela-i2h 20 дней назад
Kwakweli tunakuxhuru sana mtumixhi wa mungu kwakutusaida mungu akulinde uixhi miaka mingo sana
@user-qb3cb2zl5l
@user-qb3cb2zl5l 21 день назад
Huyu ndio mganga maarufu na mwenye mafanikio kuliko waganga wote africa mashariki
@AllglorytoGod22
@AllglorytoGod22 12 дней назад
😂
@user-yb8jq9xw2o
@user-yb8jq9xw2o 12 дней назад
😂😂
@benernest5125
@benernest5125 11 дней назад
MGANGA!! 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@EstherMhagama-s1n
@EstherMhagama-s1n 10 дней назад
na ww ukawe mganga ili na.ww ujulikane afrika
@user-dz3rl1ki6u
@user-dz3rl1ki6u 6 дней назад
😂😂😂 umepiga panapouma
@LATIFAMUSSANAMANORO
@LATIFAMUSSANAMANORO 6 дней назад
Nakuaamini baba nakukubali sana mwenyezimungu aendelee kukuweka zaidi na maisha marefu milele amina
@user-hm2oc6en9s
@user-hm2oc6en9s 26 дней назад
Mungu akuweke miaka mingi sana Mtume. Umefanyika baraka sana katika maisha yangu na familia yangu. Ukipatwa na matatizo ndiyo utajua umuhimu wa huyu Mtume.
@FurahaCosmas
@FurahaCosmas 12 дней назад
Haswa,ndo ile cmulia sana omba yasikukute beb
@nairakiboko
@nairakiboko 23 дня назад
Mwamposa bado ni kijana Tunao shirikiana kumuombea miaka mingi duniani awaponye na wale waso amini gonga likes apo❤❤❤ love mwamposa
@AngelBoniface-oe8ug
@AngelBoniface-oe8ug 23 дня назад
Huyu baba ameanza Mbali sana mwacheni tu Mungu akubariki
@user-sp8zu7oh2n
@user-sp8zu7oh2n 23 дня назад
❤❤❤
@eusebiusthilia7908
@eusebiusthilia7908 17 дней назад
Aswaaa!mwacheni Mwamposa afanye kazi ya MUNGU,AMEBARIKIWA SANA!
@PaulineMajengo
@PaulineMajengo 13 дней назад
Kabisaa,alikuwa anatangaza matangazo yake mosh akiwa na kirikuu kidogo ,na spika 3
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 26 дней назад
mtu wa maana kabisa mwamposa ❤❤❤❤❤❤❤❤
@AUGENSYLIVAND-rq7hz
@AUGENSYLIVAND-rq7hz 26 дней назад
Kwakweli Ayo Tv habari mnazitafuta hebu gonga like
@ngowidyness3464
@ngowidyness3464 25 дней назад
Tenda kazi uliyoagizwa na Mungu mwanaadam hatuishiwi kauli❤❤itoshe kusema tunakuelewa na kukuamini na shuhuda ni kuu mno
@martingeorge9468
@martingeorge9468 23 дня назад
🙏🙏🙏🙏 Amina
@eclinemaro7677
@eclinemaro7677 22 дня назад
Amen
@hendrylema5640
@hendrylema5640 22 дня назад
dyness upo
@ngowidyness3464
@ngowidyness3464 21 день назад
@@hendrylema5640 nipo kabisa
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l 25 дней назад
Nakupenda mwamposa mtumishi wa bwana Mungu akuweke daima
@devisshirima6780
@devisshirima6780 26 дней назад
Sitii neno lolote !! Mungu ndiye anayejua yaliyo sirini !!
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 26 дней назад
usiende baki unapoona pana mungu msije wengi tukakosa nafasi 😂
@malkiarosemuhando3310
@malkiarosemuhando3310 26 дней назад
Haja❤!!
@africanbeez3644
@africanbeez3644 25 дней назад
@@Leeeeeeee-96 mkiwa mnachomwa moto uwe una wahi viti hvy hvyo sw 😂😂
@rerisamba
@rerisamba 25 дней назад
🤣🤣🤣🤣nimecheka yangu yote
@milanozanzibar
@milanozanzibar 12 дней назад
ni kweli
@user-eh5il7pw2f
@user-eh5il7pw2f 26 дней назад
Nipo Babati Manyara nampenda sana huyu baba yetu wa kiroho
@F60hustlerF60hustler
@F60hustlerF60hustler 26 дней назад
Kwahyo mwamposa ndiye baba ako wa kiroho acha kumuudhi mungu wew
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 25 дней назад
Huyu muhuni tuu , hana utumishi wowote
@IsaackPaulo
@IsaackPaulo 23 дня назад
Mtume Mwamposa amekuwa baraka sana kwa taifa letu na familia zetu mimi niliyefunguliwa kwa upako wa madhabahu hii namwona na Nabii Eliya mtishbii yuko Tanzania ❤❤❤❤❤
@saleemsuleiman2220
@saleemsuleiman2220 22 дня назад
Mtume feki😂
@IsaackPaulo
@IsaackPaulo 22 дня назад
@@saleemsuleiman2220 wewe ndo feki
@saleemsuleiman2220
@saleemsuleiman2220 20 дней назад
@@IsaackPaulo mtume kutoka KUZIMU SIO KWA MUNGU WA MBINGUNI SISI SIO WAJINGA
@saleemsuleiman2220
@saleemsuleiman2220 20 дней назад
@@IsaackPaulo Tatizo hamna maarifa yale Mafuta anayouza ametolea wapii
@IsaackPaulo
@IsaackPaulo 20 дней назад
@@saleemsuleiman2220 kwanimafuta yanatakiwa yatoke wapi na hayo mnayopikia mnajiwa yanakotoka?hujui agizo la mafuta kibiblia wewe ni mgeni na maandiko matakatifu tulia sisi tuanaojua rufaidi ahadi za Mungu
@petermadata7803
@petermadata7803 25 дней назад
Kila mmoja ni mtenda miujiza,kikubwa ni Imani kwa Mungu. Kazi isiyo ya Mungu muda ukifika,Mambo yote huwekwa hadharani
@beatriceminja2148
@beatriceminja2148 26 дней назад
Akiwa Kilimanjaro nilikuwa nafanya kazi stationary flan na mtumishi alikuwa anafanyia shughuli zake za matangazo, na vipeperushi Hapo. Kwa mwamposa hunichomoi, baba yangu kapona na hamjui mwamposa na hajui hata kanisa lake liko wapi.. Mwamposa chapa injili BABA🙌🙌
@Rogathe-Rogathe
@Rogathe-Rogathe 26 дней назад
Aminaaa
@msafirimaulidi5054
@msafirimaulidi5054 26 дней назад
Ss mwamposa si mganga km waganga wengine wa jadi,huduma za mwamposa ni za kishilikina km ni MUNGU ata ww unawez kuomba ukaskika, pia ukisema yy katumwa na MUNGU ndo tyl ww ni mfuas wa mganga😂
@benjaminalfa3098
@benjaminalfa3098 26 дней назад
Ameen
@Japanese-lz1or
@Japanese-lz1or 26 дней назад
​@@msafirimaulidi5054Kuma ww acha makasiriko
@suzanalucasemanuel7006
@suzanalucasemanuel7006 26 дней назад
Amen
@jackycharles6419
@jackycharles6419 26 дней назад
Jaribu kumsoma mtuu anapojibu maswalii hakuna maharii amejiinua sa unataka fananiasha mwamposa na uyo kiboko wa wachawii kutwa Zima nikujisifu na madharau ata yesu nae alikuwa na umatii wa watu na alipigwaa kula siii masiihii Ila mda ulipofika waliona cheche yake am proud to this man of God
@user-is6np5vf6b
@user-is6np5vf6b 26 дней назад
Umeona eeh 🎉🎉🎉
@florabuzoya3948
@florabuzoya3948 25 дней назад
Hajawahi kujiinua kwa kweli huyu mtumishi wa Mungu wa Kweli kabisa.Mungu ambariki sana
@heavenlightmalisa1112
@heavenlightmalisa1112 20 дней назад
Huyu ameitwa na Mungu barikiwa baba
@Apox_eric
@Apox_eric 20 дней назад
Exactly, ningekuwa na uwezo ningekuzawadia. Umejibu just like ne ningejibu kumsoma mtu muongo .... The nan is humble, No show offs, proudness. He only says It si the hand of Almighty God. Text me on whatsApp +255753694154
@modestamshana1279
@modestamshana1279 26 дней назад
Mtume ni handsome🥰
@claudia1500
@claudia1500 24 дня назад
Kabisaaaaa
@mansoorburuhan6791
@mansoorburuhan6791 23 дня назад
😂😂😂😂
@mansoorburuhan6791
@mansoorburuhan6791 23 дня назад
Ama kwel ndo maana yesu hakuoa😂
@BabaD-fu9io
@BabaD-fu9io 5 дней назад
Mwamposa Mungu akulinde sana akupe miaka mingi, umenifanya kuwa jasir maisha yangu siogopi chochote, siogopi waganga,siogopi wachawi natembea kifua mbele
@husseinjosephitocho6754
@husseinjosephitocho6754 21 день назад
mazuzu ni mengi sana mwamposa piga pesa fanya maisha hii nchi ina watu wasio na elimu na majinga mengi sana tumia iyo fusa wakisha janjaruka unakuwa umeishajipata na mazuzu mengi ni kina mama kwa sababu ni mepesi kushawishika
@michaelezekiel4297
@michaelezekiel4297 13 дней назад
😂😂
@FurahaCosmas
@FurahaCosmas 12 дней назад
Hapo hakuna zuzu ila wew ndo zuzu. Uctukane mamba kabla hujavuka mtooo
@EstherMhagama-s1n
@EstherMhagama-s1n 10 дней назад
Ww ni zz namba moja halafu ss wengine tunafatia
@emmanueldaudi3797
@emmanueldaudi3797 26 дней назад
Muujiza Mkubwa ni mtu kumwamini Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yake.
@christeternallifetv5959
@christeternallifetv5959 25 дней назад
Ameniiii
@atuganilemsomba3028
@atuganilemsomba3028 25 дней назад
Ukweli ambao watu wengi hawautaki
@trophywilson7211
@trophywilson7211 23 дня назад
Kabisaa Kabisa Hawajui Kumwamini Mungu
@user-vc4xr1mf5q
@user-vc4xr1mf5q 23 дня назад
Kwani wale walio kwa mwamposa awajampokea yesu na je kanisani kwako waumini wote wameokoka
@user-fy9uk4oh7x
@user-fy9uk4oh7x 20 дней назад
Nikweli huo ni muujiza mkuu saana kuzidi muujiza yote
@PhyinaElias-mu4wf
@PhyinaElias-mu4wf 26 дней назад
Hallelujah mungu n mwema sambaza injili apostle🎉wenye chuki watajijua wenyewe
@user-wl7xj6dy4u
@user-wl7xj6dy4u 26 дней назад
Arise and shine🎉 mtatutafuta mpate habari kwetu hatuna mdaa wa kuwatafuta❤
@veronicapatrice436
@veronicapatrice436 26 дней назад
Hongera sana classmate pascal Mungu amtunze mtumishi wa Mungu..kichaa anachekesha kam hatokei kwako huwez jua umubimu wa maombi kam hujapata matatizo❤
@amanmalima940
@amanmalima940 25 дней назад
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
@nicaswaziri
@nicaswaziri 23 дня назад
Mungu akulinde na akupe uweza zaidi niliteseka sana kiuchumi lkn leo namiliki kupitia wewe nimeinuka kiuchumi. Asante mtumish wa Mungu siku moja ntakuja kawe Mungu amenitendea Mengi mnoo.🙏🙏🙏
@user-ut4wf9vq6g
@user-ut4wf9vq6g 6 дней назад
Nabarikiwa sana ninaposikiliza mafundisho yako mungu azid kukuweka mtumishi wamungu
@ianbryse1417
@ianbryse1417 26 дней назад
Buldozer Mwamposa ❤️ Nimekuverify ☑️
@HappyChalamila-wd2wl
@HappyChalamila-wd2wl 10 дней назад
nayapenda afundisho yako yaani mimi nakupenda kweye uchambuzi wa neno la mungu
@julyethiema1220
@julyethiema1220 23 дня назад
Nampenda sana mwamposa kamtoa mdogo wangu ugumba wa miaka 40 na yeye alikuwa hamwamini ni freemason sasa anaitwa mama miracle ana miezi 4
@Wakwe
@Wakwe 21 день назад
Aliemtoa ugumba ni mungu au mwaposa😅
@winfridahaule4364
@winfridahaule4364 21 день назад
​@@Wakwehapa ndio watu wanapo mkosea Mungu
@FurahaCosmas
@FurahaCosmas 12 дней назад
Weuweeee🎉
@jovitustoroto4
@jovitustoroto4 7 дней назад
kweliiii
@GodfreyMwamaso
@GodfreyMwamaso 26 дней назад
Amen Amen mtumishi wa Mungu ubarikiwe Babaangu wa kiimani Mungu anajua uliko nitoa nimepitia changamoto nyingi nikakata tamaa ya kuishi nilipofika kawe chini ya mafundisho ya mafundisho ya Mwamposa kila kitu kimekuwa historia nimepokea uponyaji Namshukuru sana Mungu wa Mwamposa
@aboudasilver6541
@aboudasilver6541 26 дней назад
Hakika mtaji ni Watu Mzee hongera sana Kwa kuwakamata
@Dianamwansasu
@Dianamwansasu 26 дней назад
Na wewe si uanze kuwakamata
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 26 дней назад
Hata shetani anaweza kufanya Kazi ndani ya mtu Miujiza hiyo Ni lazima itokee Kwa sababu yeye ana mipepo mikubwa Kwa hiyo Ni lazima anayazima mapepo madogo nanhaliamuki Tena sababu mkubwa WA mapepo kasema lakini biblia hayo nasema watatokea manabii weeengi na watafanya.miujiza mingi.nawatu watu wataamini jamani tusome biblia tusitegemee watumishi tu watuoombee Bila Sisi kusomba Kwa bidii
@jacobnyosole1774
@jacobnyosole1774 24 дня назад
Wewe shida yako ni udini tu , nguruwe wewe😂😂
@Dianamwansasu
@Dianamwansasu 24 дня назад
@@tinnahagustinolyelu4247 shida si kuomba tu.mengine ya Mungu unafanya.sawa umesimaama kwa miguu yako unatii sauti ya Mungu?mwisho wa yote kuhukumu si kazi yetu maana hata wewe hujui kama unaenda au lah!Mungu atufadhili
@glorygadielmshana1070
@glorygadielmshana1070 26 дней назад
Hakika mungu yupo ndani yako mtume,nimepokea na kutendewa mengi kupitia tv tuu ♥️♥️♥️♥️
@heavenlightmalisa1112
@heavenlightmalisa1112 20 дней назад
Mtumishi wa Mungj nimetoka nae mbali sana akiwa anaanza kilimanjaro karibu na Tanesco Mungu akubariki baba miaka mingi kwako
@user-li1ux1xh4m
@user-li1ux1xh4m 21 день назад
Mwamposa anafungungua kila lililofungwa jmn❤mungu akulinde sana.
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 26 дней назад
Ninachoamini ni Imani tu. Ukiwa na imani kuwa kupitia Mwampsa utapona au utafanikiwa naye pia akawa na imani ya kuponya kwa maombi basi Mungu atatenda. Hata wana wa Islael hakujitokeza Mungu bali alimtuma Mussa.
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l 25 дней назад
Mungu naomba nipate nyumba kama ya mtume Mwamposa
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l 26 дней назад
Hivi watu wanafikiri mtu mpaka aache kila kitu atumie fedha ya nauli kuja kwenye ibada unafikiria ni mchezo. Kubadili roho za watu siyo kazi ndogo. Kama watu wanafikiri ni uchawi na wenyewe wafanye uchawi waone kama wataweza. Sasa Mungu acha aonyeshe power zake maana ilifikia mahali watu wanaamini shetani kuliko mungu
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 26 дней назад
@@user-sj3wf5vz7l kabishane na mtu anajiona ana akili yeye pekee kuwazad watu milioni kwakichwa chakekimoja atakupa uchizi bure
@ciscojr2277
@ciscojr2277 26 дней назад
Huyu jamaa anafanya miujiza na yupo kimiujiza zaidi kuvuta watu kama nyie...mtu kama Mwakasege mbona nae anazungukaga nchi nzima lakini hana mambo ya kuuza hadi magazeti na ukienda kwake unatoka na neno kweli sio huyu jamaa yenu
@zachariamakoba8368
@zachariamakoba8368 25 дней назад
​@@ciscojr2277kaka una akili kubwa kama mimi shetani nikama malaika Ila huyu jamaa mchunguzeni injiri yake haina kuokoa ni mtu wa miujiza na upako tu, na hajui kuhusu kukataza zambi, Ila Mungu atupe akiri kubwa kuyajua haya hizi ni siku za mwisho
@jareengeorge5478
@jareengeorge5478 2 дня назад
Binafsi nakupenda sana.Mungu akubariki sana
@norfenvgeraldo9493
@norfenvgeraldo9493 26 дней назад
Ninamshukuru sana Mungu kupitia huyu mtumishi nimefunguliwa vitu vingi sana kwa kweli mungu azidi kumtumia kwa viwango vya juu zaidi .🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@barutiabuu9492
@barutiabuu9492 26 дней назад
Wewe akili zako zimefirisika kiukweli bola hata ya mnyama kuliko wewe sijajua alie waloga amekufaa au yuko wapi mnalaana hakiamungu asee nyie binadam nyie du
@PhyinaElias-mu4wf
@PhyinaElias-mu4wf 26 дней назад
Amen
@MaurenEmmanuely-nc9id
@MaurenEmmanuely-nc9id 26 дней назад
Laana unayo ww​@@barutiabuu9492
@user-nm1re5kp7m
@user-nm1re5kp7m 26 дней назад
Wew endelea kutuona wajinga one-day utajua umuhim wawatumishi wa mungu na hata siku Moja usipoteze mda wako kuhukumu watumishi wangu subiri mung awahukumu wenyewe kama wanafanya kinyume ​@@barutiabuu9492
@user-sc9zl2hx1c
@user-sc9zl2hx1c 26 дней назад
Mungu amuwekee mtumishi sana aishi miika mingi kama mitume wa Zaman aendelee kuwabaliki wengi ❤❤
@ConfusedBloomingFlower-wv1gf
@ConfusedBloomingFlower-wv1gf 23 дня назад
Nampena sana mwamposa mungu akupe maisha marefu mutimishi wa mungu
@eclinemaro7677
@eclinemaro7677 22 дня назад
Tunakupenda sana mtume , Mungu azidi kukutunza sana
@NestoryMhagama-ci5pq
@NestoryMhagama-ci5pq 26 дней назад
Be blessed man of God
@josephmtoro9606
@josephmtoro9606 17 дней назад
Ulikua na mungu kweli sema tamaa imekuzidi na hiyo ndo kazi ya shetani, anakupa mafanikio na raha za dunia ila uzima wa milele sahau. (MATHAYO 10:8) ila kwa sababu umenunua huna budi kuuza.
@vero57
@vero57 26 дней назад
KESI ZANGU ZOTE ZIMEKWISHA, ASANTE YESU🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾💐💐💐
@user-wy1or9fm2s
@user-wy1or9fm2s 23 дня назад
Jee mwaposa kalala kwenye ukrisito someni Wakorintho 15 :18 na duniani hakuna mtumishi hata umoja wa mungu
@joshuajustustz
@joshuajustustz 26 дней назад
Naipenda sana injili ya mtume Mwamposa. Anahubiri ukweli na ukichukua dondoo za mahubiri yake ukazifanyia kazi utapiga hatua. Mambo mengine SI mpaka kuombewa na kuwekewa mikono... Mafanikio Yana kanuni zake. Mtume amekuwa daraja Bora kuwavusha watu kutoka katika hali duni na kuinuka... Lakini haya yote SI yeye Bali Mungu aliye ndani yake. ❤❤❤. Piga injili baba 🎉🎉🎉🎉
@benardbonephace4896
@benardbonephace4896 26 дней назад
Anayeita watu ni Mungu,na sidhani kama ninawito wa kumnyooshea mtu kidole kujua ni wa kweli au sio wa kweli,kikubwa Mungu na injili inahubiriwa,watu wanaokoka na kuacha uganga,so kumwamini au kutokumwamini ni uchaguzi binafsi,endelea na kazi ya Mungu mtume Mwamposa,tupo nyuma yako
@Alphonce-em2xi
@Alphonce-em2xi 26 дней назад
@@benardbonephace4896 safi sna
@Rogathe-Rogathe
@Rogathe-Rogathe 26 дней назад
Umenena vema kabs udugu
@PhyinaElias-mu4wf
@PhyinaElias-mu4wf 26 дней назад
Ameeeeen
@reginaringo5167
@reginaringo5167 26 дней назад
Utukufu kwa YESU
@anethkitambi3140
@anethkitambi3140 25 дней назад
Mungu aendelee kukulinda, kukutunza
@mrjulius5840
@mrjulius5840 21 день назад
Mathayo 7:21-23 [21]Si kila mtu aniambiaye, Bwana, Bwana, atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni. [22]Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi? [23]Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu.
@JoyceMbano
@JoyceMbano 5 дней назад
100 lwa 100 nimtumishi wa mungu kazi inajiziilisha asiyeamini atajiju
@JohnOkwom
@JohnOkwom 22 дня назад
Mungu akuzidishie Maisha marefu Mwamposa mtumishi wa Mungu
@Japanese-lz1or
@Japanese-lz1or 26 дней назад
Wote mnaomtukana mtumishi wa mungu nyie mnashida huyo hata kama ni mganga , au shetani ss tunaenda pale kumwabudu mungu tu sio yy acheni makasiriko
@onlyyoujesus8232
@onlyyoujesus8232 22 дня назад
Ujumbe mzuri
@priscadaniel6459
@priscadaniel6459 26 дней назад
Asante mungu baba unahekima sana mungu azid kukupa neema zaid hakika tumeona mkono wako kupitia wewe
@estambuya3901
@estambuya3901 23 дня назад
Hakuna mtumishi wa mungu,aliyeumba mbingu na nchi hapo, kumbukeni kuna miungu wengi, mwamposa ni mfanya biashara tu, watu.wanafuata miujiza.
@EstherMhagama-s1n
@EstherMhagama-s1n 10 дней назад
Hongera ongeza juhudi
@BahaaBundala
@BahaaBundala 24 дня назад
Neno la mungu linaxema mm nanyumba yang tutamtumikia mungu wambinguni❤xaxa ww kama hauamni mungu anaetenda miujiza bas una mungu wako
@user-wp2ww7mf7r
@user-wp2ww7mf7r 26 дней назад
Arise and sheni
@adrophinamwanguse1510
@adrophinamwanguse1510 26 дней назад
Ameni mtumishi wa mungu na mungu Azidi kukuinua tunakupenda waumini wako🎉
@Alphonce-em2xi
@Alphonce-em2xi 26 дней назад
Amen Apostle Mwamposa
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 25 дней назад
Apostle gani alimiliki mali . Watu wa Mungu wa kweli hat pesa kuishika walikataa , hata kibanda nyasib hawaku miliki
@pendomushi9319
@pendomushi9319 15 дней назад
Baba angu nakupenda hadi natamani kukubeba.
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l 26 дней назад
Mwamposa hata usipomwamini ni sawa tu hata yesu mpaka anakufa na anafufuka walikuwepo ambao hawakumwamini. Sisi wacha tufaidi baraka za mwamposa. Baba chapa kazi tunakufahamu tangu ukiwa kilimanjaro . Wewe una Mungu.
@ciscojr2277
@ciscojr2277 26 дней назад
Unamfananishaje Yesu na binadamu we mpumbavu
@StelaMwambemba-qd3tr
@StelaMwambemba-qd3tr 24 дня назад
Good point acha wabeze tunafaidi tunaoelewa
@reytn2494
@reytn2494 26 дней назад
Ni neema ya Mungu imekushukia mtumishi nami nimetendewa mengi , malaika wa Mungu wakuzingile.
@martinamahenge4476
@martinamahenge4476 26 дней назад
Mungu aendelee kukuweka mtumishi wake umeponya wengi nikiwa mm mmoja wapo kama hujawahi pata masaibu ya maisha ukaponywa huwezi elewa Mungu akuweke miaka 10000999999🎉🎉🎉
@stellanakaaya2331
@stellanakaaya2331 22 дня назад
Mimi naamini Kila kitu ni MUNGU anapanga.wasaidie watu na kuwaponya.tunakuombea miaka mia zaidi ya UTUME🙏
@user-pr8jo1cq2c
@user-pr8jo1cq2c 26 дней назад
Ulijaza watu kwakweli duh ❤😂
@nancykaseko
@nancykaseko 4 дня назад
Yesu akutunze man of God...
@NuruSanga-yo2sl
@NuruSanga-yo2sl 26 дней назад
Hata sauti yako tu inajieleza kwamba umetumwa na mungu respect baba wa kiroho
@pceodhc
@pceodhc 26 дней назад
Hallelujah!
@JamsiiMolell
@JamsiiMolell 6 дней назад
Mungu akuongesee miaka mengi kutuudumia naamini maoombi yuko mtume
@user-sn6dc9gh8k
@user-sn6dc9gh8k 26 дней назад
Ungeuliza kuhus mke na watt na familia yake🙌🙌au ulikuwa unaogopa muuliza maswali🤷‍♀️
@user-sn6dc9gh8k
@user-sn6dc9gh8k 26 дней назад
Na kuhusu hzo shutuma za kudai anatembea na baadhi ya wasanii
@silviamassawe2587
@silviamassawe2587 23 дня назад
Tangu sinza ngumbani kwa mtu tunafanya ibada mwacheni❤❤
@Mcsceo
@Mcsceo 24 дня назад
I love venye APOSTLE Analitaja jina la Ndugu yangu Mc Pascal mwakyoma inaonyesha mtumishi hajikwezi analitaja jina lake unajua bwana pascal aisee MUNGU azidi kumuinua mtumishi wa Mungu ,pia hongera kwa Mc pascal mwakyoma uko very humble japo interview ni fupi umeuliza maswali muhimu karibu yote MUNGU akuinue kaka..
@yorobokoro8387
@yorobokoro8387 26 дней назад
Mungu ampe umri mrefu mtumishi wetu❤
@user-nn7dq9pu2s
@user-nn7dq9pu2s 10 дней назад
Nakupend sana mtumishi ,pale kwa baba yangu kuna mbwa wetu akawa hazai akawa na miaka miwili nilipo kuja hapo kanisani kuchua mafuta na maji ya upako nilipo enda kumwagia akabeba mimba sasa anawatoto 5
@OfficialVeronika
@OfficialVeronika 15 дней назад
Nakuerewa sana mtumishi ubarikie kwa uduma
@NeemaSengerema
@NeemaSengerema 4 дня назад
mungu akuwekee mtumishi wetu amen 🙏
@festomandari3773
@festomandari3773 11 дней назад
Might God enich you with more wisdom Apostle
@user-wy4yn2xi3n
@user-wy4yn2xi3n 22 дня назад
Tunakushukuru sana mtume MUNGU Akubariki sana akuzidishie maisha marefu Ameen.
@Yadah_poultry_foundation
@Yadah_poultry_foundation 26 дней назад
Amen apostle ❤
@janethjerald1737
@janethjerald1737 23 дня назад
Mama angu amepona kisukari,BP namshukuru sana huyu pastor
@MariamuMkonge
@MariamuMkonge 23 дня назад
Mungu akubariki mtumishi kwa kuifanya kazi yake na azidi kukutumia zaidi maana unefanyika baraka kwenye maisha yetu usivunjike moyo baba mti wenye matunda ndio unao pigwa mawe
@NoelMwita
@NoelMwita 26 дней назад
MUNGU AKUBARIKI SANA MTU WA MUNGU . KWA NEEMA YA MUNGU YOUR TO🎉
@EmmanuelYohana-km8xe
@EmmanuelYohana-km8xe 7 дней назад
MUNGU AKUBARIKI SANA MTUMISHI WA MUNGU BONIPHACE MWAMPOSA
@mtangag774
@mtangag774 26 дней назад
Noted
@user-ml9ro2kz1n
@user-ml9ro2kz1n 21 день назад
Mungu akulinde apostle Mwamposa.
@Elizakilisipinilikolika1996
@Elizakilisipinilikolika1996 22 дня назад
Nakupenda sana mtumishi wa mungu mwamposa naomba mungu akulinde miaka mingi zaidi ili tuzidi kupona ubalikiwe sana mtumishi wa mungu mwamposa 🙏🙏🙏🙏
@JudyUrio-zy7ri
@JudyUrio-zy7ri 26 дней назад
Hakuna kanisa lenye wababa kama kawe
@esterpastory8918
@esterpastory8918 21 день назад
Ambao hawamuamini mwamposa shauri yao mana huwezi kumlizisha kila mtu sie tuliopona magonjwa nakuinuka kiuchumi acha tusonge mbele na baba yetu wa kiroho
@BeatriceUlasa
@BeatriceUlasa День назад
❤❤❤❤❤penda sana
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 26 дней назад
Mwaminifu mungu tu Yeye ni kama wewe tu naomba mungu
@TheJagadimedia-my4xt
@TheJagadimedia-my4xt 26 дней назад
Mungu aendelee kukuongoza mtumishi , uendelee kufanya kazi yake🙏🙏
Далее
Symmetrical face⁉️🤔 #beauty
00:15
Просмотров 4 млн
Разоблачение ушные свечи
00:28
Просмотров 823 тыс.