Тёмный

Magari aliyotumia Nyerere harakati za uhuru, Ikulu hadi kifo chake 

Daily News Digital
Подписаться 222 тыс.
Просмотров 14 тыс.
50% 1

Wakati Taifa linaadhimisha miaka 58 tangu kujinyakulia uhuru wake mwaka 1961 kutoka kwa Uingereza, Daily News Digital imetembelea Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam na kukuletea magari aliyotumia mwasisi wa taifa enzi hizo
#JuliusNyerere #MakumbushoYaTaifa #DarEsSalaam #DailyNewsDigital #Uingereza #British

Опубликовано:

 

7 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 9   
@samwelkilale1181
@samwelkilale1181 3 года назад
Loveeeee nyerereee
@mgosimkome9242
@mgosimkome9242 2 года назад
Watanzania tujenge utamaduni wa kutembelea vivutio vyetu kwa ajili kuendeleza urithi wetu hasa makumbusho ya Taifa. Sisi tumetembelea tuli enjoy Sana
@hassanhamudy6639
@hassanhamudy6639 3 года назад
Nimesha changanyikiwa tayari Kule kwenye makumbusho ya Nyerere butiamaa kuna Toyota land cruiser nayo inasemekana ndio gari alioitumia Kwa mara ya mwisho kuendea uwanja wa ndege kuelekea UK alipokua anaumwa Yani ndio gari ya mwisho mwalimu kuitumia huku nako kuna benzi inadaiwa ndio gari ya mwisho kupanda jibu ni lipi xx???????
@reubenisack9990
@reubenisack9990 3 года назад
Kumbe nawewe umeona
@hassanhamudy6639
@hassanhamudy6639 3 года назад
@@reubenisack9990 ndioo ata wew si uliskia nilivyosikia Mimi ama vp
@mkolopolaprimaryschool6499
@mkolopolaprimaryschool6499 3 года назад
Kuna ya mwisho akiwa Musoma na ya mwisho akiwa Dar
@hassanhamudy6639
@hassanhamudy6639 3 года назад
@@mkolopolaprimaryschool6499 inasemekana ile ya musoma wakati anaumwa ilipitia Serengeti mwalimu akapanda ndege then ndio ikamchukua alipofika uwanja wa ndege na kumpeleka hospitali na baadae uwanja wa ndege tayari kuenda UK
@mikentoga1358
@mikentoga1358 3 года назад
mwenyewe nashangaa maelezo tifaut na kule
@sindanimatumbai3950
@sindanimatumbai3950 3 года назад
Kumbe phantom rolys ni ya zamani🤣🤣🤣
Далее
DAR SIO YA MCHEZOMCHEZO!! magari ya zamani yaonyeshwa
22:26
Bike Challenge
00:20
Просмотров 21 млн
Первый день школы Катя vs Макс
19:37
Прохожу маску ЭМОЦИИ🙀 #юмор
00:59
HISTORIA YA IKULU YA MAGOGONI / HUYU NDIYE ALIYEJENGA!
7:13
Rais Magufuli alivyokata tiketi na kupanda Pantoni leo
4:05