Тёмный

DAR SIO YA MCHEZOMCHEZO!! magari ya zamani yaonyeshwa 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 91 тыс.
50% 1

Inawezekana upo Dar es salaam na kila siku unapita barabarani lakini hukutani na magari ya zamani ila kukusaidia tu ni kwamba bado yapo tena kuna watu wameya-pimp vizuri.
AyoTV imekukusanyia details zote kutoka kwenye hayo maonyesho na magari yote mpaya mengine yaliyoletwa Tanzania hata kabla ya uhuru..... USISAHAU KUNIAMBIA IPI IMEKUVUTIA

Развлечения

Опубликовано:

 

11 авг 2017

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 98   
@harounali9057
@harounali9057 7 лет назад
Kipindi hiki kizuri lakini umechemsha kwenye lugha, tatizo umejifanya kuwaona wa Tanzania hamjuwi kitu, ume haribu katika lugha.
@leilainnocent6532
@leilainnocent6532 5 лет назад
Tanzania bila kuiga haiwezekani.
@amosjohn1926
@amosjohn1926 4 года назад
Unajifanya hujui vizur kiswahil kenge ww
@kihanda2554
@kihanda2554 7 лет назад
Jamaa mbona yupo vzr tu!! Anafanya swanglish ili kila mmoja apate japo kiuchache maana wanaangalia wengi. Nyie mlio kwepa umande inakuwa ahoda na wengi wenu ndiyo mnao laum
@dennischarles8524
@dennischarles8524 7 лет назад
Safi sana, antiques
@abuubadru2403
@abuubadru2403 7 лет назад
Nimeelewa kimoja tu everything is original
@peterassenga888
@peterassenga888 7 лет назад
Hahaha :D
@mtncakes2247
@mtncakes2247 4 года назад
Hahahaaaa ukorofi huo😄
@barakamassawe2454
@barakamassawe2454 Год назад
Ushamba ndio huu wa kujikuta mzungu
@emilynathanielluvanda8298
@emilynathanielluvanda8298 4 года назад
DAH KOMENT ZOTE NI LAWAMA YA LUGHA TU ACHA UZUNGU TWENDE NA KISWAHILI KWAWASWAHIL
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 7 лет назад
Good video, ila lugha mbili cjuh kuna wasiojua kiswahili.
@chipatv677
@chipatv677 7 лет назад
George that's great brother
@davidorito1707
@davidorito1707 7 лет назад
I like that min bus. Komb
@edgarelia3035
@edgarelia3035 6 лет назад
Kingereza kingi sana ndugu hapa ni Tanzania
@mpangampanga1609
@mpangampanga1609 6 лет назад
ongea kiswahili babu uboa . sasa kama unatoa matangazo toa kwa lugha ya taifa hakuna nchi ilioendelea kwa kutumia lugha ya kigeni
@khatibujuma8880
@khatibujuma8880 7 лет назад
baba sijakuelewa hata kidogo unachanganya lugha vip
@abuusufian6506
@abuusufian6506 7 лет назад
Jamaa kaniboa sana sijui ashahakikiwa vyeti vyake ?¿
@kennedymakoy8016
@kennedymakoy8016 7 лет назад
dah mm nimemkubari San uyu mtangazaji much love
@fehmysallem900
@fehmysallem900 4 года назад
Haileti maana kuchanganya lugha. Upo Tanzania tumia lugha ya taifa, uwe mzalendo na uache kuharibu vipindi vizuri kama hiki
@reubenzene
@reubenzene 6 лет назад
whydont u give the option of skipping the adverts. nkt!
@georgenducha6856
@georgenducha6856 2 года назад
Sio lazima uongee kingereza hapo ni shida ongea kufua yako ya Taifa
@salimuomary4501
@salimuomary4501 7 лет назад
Huyo jamaa in mshamba ongea lugha ambayo watu wanaielewa Millard vitu vingine unatakiwa uwepo mwenyewe
@festondunguru5773
@festondunguru5773 2 года назад
Anaongea international anajua dunia inamtazama
@HARRIETHHONORATHMBUNDA
@HARRIETHHONORATHMBUNDA 7 лет назад
OldschoolridesTZ we keep it locked, we keep it real, Includeeeeee holla Tanzania we the Best!
@kenybenjiz7850
@kenybenjiz7850 2 года назад
Mzee wangu ana gari Austin Cambridge 1962
@barakambegu9786
@barakambegu9786 7 лет назад
kingereza chako kama umekremisha flani ivi mwana. unarudia sentence izo izo
@ahmedmusa4453
@ahmedmusa4453 7 лет назад
Nendeni Nairobi city mukajione magari ya kale mtakimbia. Alufu kama kizungu shida ya nn kujilazimisha kiswahili lugha yetu tunaipenda.
@TheDinhoDesign
@TheDinhoDesign 6 лет назад
mtangazaji acha kupiga kelele
@hilalalshidhany1652
@hilalalshidhany1652 7 лет назад
ze kava for kavaring the kar
@selemanmussa3459
@selemanmussa3459 4 года назад
Anawaelezea wanaoweza kununua au kutumia hayo magari na wamemuelewa...ka hujamuelewa hii show haikuhusu kanunue au kashangae Vitz and other automated machines like standby generators
@stanelymuthomimugambi8776
@stanelymuthomimugambi8776 4 года назад
Tell us about spare parts
@Bish2Petrock
@Bish2Petrock 7 лет назад
Jamaa unaboa kinoma bora mngeshoot picha tu bila kuongea huyo presenter anakera, kiswanglish vipi tena ase? kama kiswahili hujui ongea kingereza tu kama unajua bas ongea kiswahili usituchanganyie ulimbukeni bhana.
@fred2610
@fred2610 7 лет назад
Nakubaliana kabisa. Ongea kiswahili tu bwana bila kuchanganya. Tuwe wazalendo na kupenda lugha yetu.
@abubakarmago2623
@abubakarmago2623 11 месяцев назад
Ungewaachia wanaomiliki wakayaelezea wao wenyewe kwa maana ndio wanayajua vizur Co ww unaepita juu juu tu ww ni mtangazaji tu na Co fundi
@benedictflorence2870
@benedictflorence2870 2 года назад
Me nahtaji
@bockernyarusahi3655
@bockernyarusahi3655 5 лет назад
Napenda Gari la zaman ila sijui pa kuyapata bandgu
@moudyytv8155
@moudyytv8155 7 лет назад
Mh sasa siungee lugha moja wew kjn
@trumpkikoti3272
@trumpkikoti3272 4 года назад
Kipindi kizuri ila uliyempa maiki ni msenge sana kingereza cha nini bwege huyo kuma kweli yani kaboa
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 7 лет назад
*Millard Ayo* napenda ukiwepo mwenyew hapa online
@simbafred9673
@simbafred9673 6 лет назад
Chief mtangazaji hiyo no Peugeot 404 siyo 504
@diamondplatnumztv6138
@diamondplatnumztv6138 7 лет назад
Good video boy
@gidoturuka3974
@gidoturuka3974 7 лет назад
mpo vizuri tatizo mdomo
@babarama6274
@babarama6274 4 года назад
Mwambie aongee kiswahili uyo
@rammyrichtv6913
@rammyrichtv6913 6 лет назад
Huyo jamaa kama umemuajir kuwa moja ya watangazaj wako umekula hasara kwanza hana sauti ya kutangaza pili hajui kuongea kingereza chenyewe kibovu kila saa u can come and take look.Kanye uko nyoko ww
@Jordan_g9
@Jordan_g9 7 лет назад
analeta uzungu huyo presenter chagua moja banaaa
@johnnyzilla6499
@johnnyzilla6499 6 лет назад
uyo fundi wa kupiga rangi ni raja wa aslam garage
@ridhioneomary7656
@ridhioneomary7656 5 лет назад
Wabongo bhana
@molinisostenes4762
@molinisostenes4762 4 года назад
Hyu Mtangazj Hafai
@TRAVELANDTASTETANZANIA
@TRAVELANDTASTETANZANIA 6 лет назад
Sio mchezo....
@sirdavis7054
@sirdavis7054 3 года назад
Tumia kiswahili ww boya
@willymartinmartin8885
@willymartinmartin8885 7 лет назад
wengi waswahili kaka
@daudadam1453
@daudadam1453 7 лет назад
Anaboa bana kwann achanganye lugha af yan daaaaaah gademit
@emilynathanielluvanda8298
@emilynathanielluvanda8298 4 года назад
SASA HAPO MPO UINGELEZA AU TZ MANA UNACHANGANYA LUGHA
@goodluckmrosso486
@goodluckmrosso486 5 лет назад
Kumbafu sana ww unajidai unakomaa na evrythng is og and pfct
@wearebrozerz3279
@wearebrozerz3279 6 лет назад
hicho kingereza baana hadi nimeenda kwanza chooni
@brokenigga2842
@brokenigga2842 4 года назад
Mtangazaji unazingua ngeli mingiii😏😏
@mwibatraining4736
@mwibatraining4736 4 года назад
HUYU JAMAA AKAJIFUNZE ZAIDI LUGHA YA KIINGEREZA
@mosesezekiel3089
@mosesezekiel3089 3 года назад
We jamaa msenge kweli wewe unafikili kingereza niluga ya taifa ya Tz maana naona unaboa kweli
@sumamdachi8144
@sumamdachi8144 4 года назад
Unajikuta mzungu kiufupi umezingua
@barakambegu9786
@barakambegu9786 7 лет назад
presenter kibuduu.
@HASASON
@HASASON 6 лет назад
Hakuna old motor hapo zote mpya hakuna gari ya 1800s hapo how could you call them old cars.
@iviejustified8109
@iviejustified8109 6 лет назад
HASASON 😅😂😃😂😁😅 kweli kamanda
@khalfanshaban7601
@khalfanshaban7601 6 лет назад
ongea kishwahili boya ww
@nurdinihassani8811
@nurdinihassani8811 7 лет назад
Duuuu hatari joooooh
@abubakarmago2623
@abubakarmago2623 11 месяцев назад
Acha ushamba we boya unaharibu kipindi kwa kuongea kingereza chako cha ugoko wakati unaweza kuongea kiswahili kizuri na ukaeleweka
@uledimtumwa3045
@uledimtumwa3045 6 лет назад
Yaani mtu akikulia Arusha anajifanya English inapaaanda! Ushamba tu.
@TRAVELANDTASTETANZANIA
@TRAVELANDTASTETANZANIA 6 лет назад
Nani kaona picha ya Bob Marley
@kassimdinno
@kassimdinno 6 лет назад
Hicho kingresa chake mie hoi 😂😂
@georgemollel9422
@georgemollel9422 4 года назад
LUGHA NGENI ZA NINI KWENYE CHANELI ZA NYUMBANI UMEZINGUA MAN
@erlharddesdery3572
@erlharddesdery3572 7 лет назад
Intro ndefu hadi inaboa😧😧
@barakambegu9786
@barakambegu9786 7 лет назад
daaaah kakaa hii Ni kwa faida yako tu usipende kuongea vitu usivyovijua kwenye hiyo bj unasema tires haziwezi affect engine kuna gari gani ushawahi ckia tires zika affect engine .... unaongea ujinga kupitiliza tafuta fani ya kupiga porojo za maskani inakufaa
@abdallahmandari6933
@abdallahmandari6933 5 лет назад
baraka mbegu dah nimeshangaa sana, eti tire doesn't effect the engine
@shebygzoshebylove655
@shebygzoshebylove655 7 лет назад
pungza ngeli kak kuna wenyine awaja end shule bor
@mpangampanga1609
@mpangampanga1609 6 лет назад
english mbovu sijui ya ndio ile ya course miezi mi3
@abdelnassergamal5776
@abdelnassergamal5776 7 лет назад
These ads though.
@mainaimma1114
@mainaimma1114 6 лет назад
Kwani jamaa ajui kiswahili
@mushxwaggz5258
@mushxwaggz5258 7 лет назад
Millard iv awa presenter wako wa sasa unawatoa wap? ujui kama utajivurugia kaz? NB: fanya utafit kwanza
@iviejustified8109
@iviejustified8109 6 лет назад
Mercedes six cylinder nimenyoosha mikono....gari ya 1959 sijasikia speed metter yake
@magx9062
@magx9062 6 лет назад
Ivie Justified 240km/hr
@gdygdgvfjfthg655
@gdygdgvfjfthg655 7 лет назад
Umepata lipstick kibao
@wazirimakua8769
@wazirimakua8769 6 лет назад
Swanglish, ongea kiswahili kwani inaonesha ndio unaoongea nao.
@rehemaalu2320
@rehemaalu2320 7 лет назад
Una bowa mkishasoma English course basi tena
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 7 лет назад
Rehema Alu yaani!
@zainabukalua6641
@zainabukalua6641 7 лет назад
hahahahahaaaa
@aggreyjosiah2756
@aggreyjosiah2756 6 лет назад
hayo magari yanauzwa au nahitaji kama unauza tuwasiliane 0624077467
@vasmotz
@vasmotz 7 лет назад
TUNAPENDA KUANGALIA VIDEO ZAKO NA HABARI ZA KILA AINA LAKIN PUNGUZA MATANGAZO KAKA.
@vonfat1834
@vonfat1834 6 лет назад
Matangazo ni sehemu ya kuingiza pesa mbali na VIEWS.
@rashidimpabuka7525
@rashidimpabuka7525 6 лет назад
He is PERFECTLY IDIOT. Neno perferctly kalitumia mara mia. Perfectly kenge mjusi
@nyomizedon
@nyomizedon 7 лет назад
Ongea kiswa wewe
@abdulqadirdawoodbhai4351
@abdulqadirdawoodbhai4351 4 года назад
Kiingereza huja soma au?
@binaddow2132
@binaddow2132 5 лет назад
Ww jamaa ongea lugha unayoiweza..wacha kujichanganya na hicho kizungu chako feki..
Далее
KINANA AFUNGUKA SABABU ZA KUJIUZULU
5:32
Просмотров 25 тыс.
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
Просмотров 33 млн
WHIB EP 02
14:26
Просмотров 207
CHEKI MAPISHI YA AISHA BUHETI WAKATI WA SHEREHE
1:58