Тёмный
No video :(

MAGOLI YOTE 6 YA CHAMA TANGU ATUE SIMBA 

Pascal Kabombe
Подписаться 8 тыс.
Просмотров 545 тыс.
50% 1

Cletus Chota Chama ameifungia Simba SC magoli 6 Tangu atue chini, magoli mawili kwenye TPL na 4 kwenye CCL...

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 69   
@NutinaBagoka
@NutinaBagoka Месяц назад
Kwani chama Nan Kuna machine zinasumbua zinatua Simba ni hatari balaaaa🎉🎉🎉 chama kwenda zako Babu sele weeeee
@SamsonGabriel-pp7uf
@SamsonGabriel-pp7uf 4 месяца назад
Simba ukianqaria matukio yake huwezi ukahama sema2 hivo
@sittakibishi5019
@sittakibishi5019 3 года назад
Magoli ya chamaa ni ya kufinya kwanza big up ccc💪💪💪
@saidmuddy1251
@saidmuddy1251 3 года назад
Nikweri jamani
@Joekwid960
@Joekwid960 5 месяцев назад
Tatizo lilianzia hapa. 1. Unamuacha HD unamchukua kibu. 2. Aliondoka okwi unareplace na Ntibanzomkiza. Shida ya hao wawili kama watu muhimu katika safu ya ushambuliaji ni wabinafsi na wachoyo sana angalia kagere na okwi Hd walivyokuwa wanacheza ki team
@ibrahimjuma7173
@ibrahimjuma7173 3 года назад
Chama ni baba laoooooo
@user-wc6dl8kp9p
@user-wc6dl8kp9p 2 месяца назад
Tena hapo wachezaji wa kimataifa walikuwa Chama Kotei Nickolas Gian Kagere Wawa na Okwi kwenye kikosi cha kwanza.
@HOLINESSPIUSE-gv8ud
@HOLINESSPIUSE-gv8ud 5 месяцев назад
Chamaa kesho kiwashee hivyooo hivyooooo kwa hawa watani zetu nation al alhly
@shukuranishega7598
@shukuranishega7598 3 года назад
Ilove Simba
@user-wd8wh1lh4b
@user-wd8wh1lh4b 5 месяцев назад
Hii simba yetu Iko wapi😢😢
@zechariasaul7314
@zechariasaul7314 5 месяцев назад
Yani Acha tu....🤕
@asiayusuf5325
@asiayusuf5325 5 месяцев назад
Mambo yanabadlik
@elishakayagwa9371
@elishakayagwa9371 5 месяцев назад
Imezeeka 🤣🤣🤣
@salekhvidal8346
@salekhvidal8346 5 месяцев назад
S io ipo na fred na saido unataka ipi tena
@HOLINESSPIUSE-gv8ud
@HOLINESSPIUSE-gv8ud 5 месяцев назад
Ipo national al alhly
@yussufcalibso7474
@yussufcalibso7474 3 года назад
Huyu Chama Nimtu Hatari Sana Kwakweli Kipaji Cha Mpira Anacho
@eliasnicolaurobath6864
@eliasnicolaurobath6864 5 месяцев назад
Tatizo timu ya simba mmebezi sana kwa wachezaji wa inje je dirunga mmemwacha kwa sababu gani
@harunaswai8514
@harunaswai8514 2 месяца назад
Tusisubutu kumchukua kibu tumuache chama mo bomoa Kila kitu siyo chama Bora mashabiki tuandaliwe utaratibu wa kumlipa na kupata timu siyo kuacha wachezaji wote
@halimamdemwa1856
@halimamdemwa1856 2 года назад
Mnyama simba
@HusseinOmari-vv7rh
@HusseinOmari-vv7rh 3 месяца назад
Daa simba hii imeshaa kufa
@user-cs1wi4wl1z
@user-cs1wi4wl1z 5 месяцев назад
Arafu chama umringanishe na Mchezaji mwingine jamaa anajua sana uyo
@emmanueltabujohn4822
@emmanueltabujohn4822 Год назад
Safi sana chama
@AmmyryRamadhany
@AmmyryRamadhany Месяц назад
Simba
@RamadhaniMadanga-ne7jk
@RamadhaniMadanga-ne7jk 2 месяца назад
Kosa la Simba ni kwamba wachezaji wake amewatumia Kwa muda mrefu bila maingizo mapya
@abelkaduma8487
@abelkaduma8487 5 месяцев назад
Yangu atuwebongo hakunawakumlinganisha
@user-wq7ts6jh1i
@user-wq7ts6jh1i 5 месяцев назад
Hiv chama unaweza kumfananisha n mchezaj gana hapa bong labra uende ulaya
@RamadhaniMadanga-ne7jk
@RamadhaniMadanga-ne7jk 2 месяца назад
Mtu hawezi kukupa uwezo unqofanana Kwa miaka yote hiyo
@FrankMaxmilian-ob5tt
@FrankMaxmilian-ob5tt 5 месяцев назад
Umeona warudi wale walokuwa wakifanya usajiri watuludishie fraha ye2
@enyimbaboymbilinyimkingaha6424
@enyimbaboymbilinyimkingaha6424 3 года назад
Chamaaaaaa
@kelvindelaboss8307
@kelvindelaboss8307 4 года назад
Mwamba wa Lusaka Zambia zesco ya kamsoko kwa sasa
@jamaliibrahim6041
@jamaliibrahim6041 3 года назад
Ilikuwa nishida kweri
@muddydamdeok5098
@muddydamdeok5098 5 лет назад
Good job
@biddii1972
@biddii1972 3 года назад
Yanga baba lao💪💪💪
@amedeuslyimo2315
@amedeuslyimo2315 5 месяцев назад
ilaa dilunga apewe eshima yake pia kwa pass za asissit kwa chama. Kumbuka ile ya nkana pia
@abelkaduma8487
@abelkaduma8487 5 месяцев назад
Kwakweli chanya anatuosha mooyo ya wana simba wote
@rubangamarco4580
@rubangamarco4580 3 года назад
Noma sana
@user-wf5mv2iv7r
@user-wf5mv2iv7r 2 месяца назад
@ramadhanikinombo3470
@ramadhanikinombo3470 3 года назад
mtu na robooo
@maritnmausenidunia
@maritnmausenidunia Месяц назад
🎉
@chilamavoycmchila2896
@chilamavoycmchila2896 3 года назад
Vireo
@kakusaelizabeth5840
@kakusaelizabeth5840 3 года назад
Mtisha❤️
@AbdallahAyubuh
@AbdallahAyubuh 3 месяца назад
Itakuwa imeibiwa
@mbarakakatojo1306
@mbarakakatojo1306 3 года назад
Mwamba uyo
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 3 года назад
Haya ni maajabu lnafungwa gor gani 😂😂😂😂
@crabmotility4207
@crabmotility4207 3 года назад
January 2021
@kudramohamed5500
@kudramohamed5500 3 года назад
Magoryachama
@KELVINICHARLES
@KELVINICHARLES 3 месяца назад
Namkubary mwamba huyo
@muhammedyomary1309
@muhammedyomary1309 5 месяцев назад
Majerui
@stanleychambo1608
@stanleychambo1608 3 года назад
😎😎
@user-dj8bi4wn8q
@user-dj8bi4wn8q 5 месяцев назад
Hivi waliokuwa wakifanya scouting kipindi hiki wako wap
@supermwombeki5322
@supermwombeki5322 3 года назад
Atar chama nataka kuchez km ww
@biddii1972
@biddii1972 3 года назад
Bado sana
@ogesamabala7926
@ogesamabala7926 5 месяцев назад
❤😮
@SayboyBoysimba
@SayboyBoysimba 5 месяцев назад
Uongo kk
@abdallahmbonde1579
@abdallahmbonde1579 5 лет назад
dah
@MysorryMkono
@MysorryMkono 2 месяца назад
😊😅😅😅
@MysorryMkono
@MysorryMkono 2 месяца назад
😅😅
@kephamadinya5391
@kephamadinya5391 3 года назад
jamaa anajua
@biddii1972
@biddii1972 3 года назад
Bado sana
@dstermkax5524
@dstermkax5524 3 года назад
🙌🙌🙌🙆🙆
@othmansaid9908
@othmansaid9908 3 года назад
P0
@josephtheodory6619
@josephtheodory6619 3 года назад
Y
@biddii1972
@biddii1972 3 года назад
YANGA baba laoo
@dezideryromwald9890
@dezideryromwald9890 4 года назад
Simba
@FanuelMchalo
@FanuelMchalo 3 месяца назад
wana simba ivi kwer tutapata simba kam iii
@dstermkax5524
@dstermkax5524 3 года назад
🙌🙌🙌🙆🙆
Далее