Тёмный
No video :(

MAGONJWA YA PILIPILI HOHO NA JINSI YA KUDHIBITI : 02 

AGALUS  TV
Подписаться 86 тыс.
Просмотров 6 тыс.
50% 1

-KILIMO Cha pilipili HOHO ni miongoni mwa KILIMO Cha mazao ya bustani.
- Changamoto kubwa la zao hili Ni magonjwa. Huweza kuleta hasara Hadi 💯% endapo tu jitihada madhubuti hazitachukuliwa kudhibiti magonjwa Aya
-Katika SoMo hili la sehemu ya 01 tutaona Ugonjwa wa
1. Batobato
2. Chile
-Magonjwa yote Aya ushambulia zao la hoho na kuleta hasara kwa wakulima
-Tujifunze kwa kina dalili za Ugonjwa na mbinu za kudhibiti magonjwa aya

Опубликовано:

 

20 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 48   
@user-ls2uj3fl1o
@user-ls2uj3fl1o 4 месяца назад
Somo Zuri naomba no
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 месяца назад
Ok
@TEACHER.CLEOPHAS
@TEACHER.CLEOPHAS 2 года назад
Ahsante kwa somo hili.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 года назад
Pamoja🤝🤝
@susandadili9556
@susandadili9556 4 года назад
Nimeipenda....darasa zuri sana
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 года назад
Asante Sana kwa kuiangalia video hii. Nakutakia mafanikio Katika kilimo
@eyksaz3677
@eyksaz3677 4 года назад
Napenda sana kilimo
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 года назад
Karibu Sana ndugu
@Jiko266
@Jiko266 4 года назад
Sawa qq nzuri
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 года назад
Karibu Sana katika kilimo
@abellyakula5102
@abellyakula5102 Год назад
Asante Kwa somo zuri ,pia nami nimeanza kuona hizo dalili sikuwa na ufahamu zaidi kuhusu dawa za kutumia naomba msaada juu ya dawa
@AGALUSTV
@AGALUSTV Год назад
Dawa apo itabidi uende dukani la pembejeo mweleze hizi dalili akupatie dawa aliyonayo maana Dawa Zipo nyingi sana. Hatutajua ni ipi anayo
@user-ls2uj3fl1o
@user-ls2uj3fl1o 4 месяца назад
Mtoege namba jamani somo zuri
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 месяца назад
Sawa ndugu
@francismua7825
@francismua7825 3 года назад
Cool
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 года назад
🤝🤝🤝🤝
@danielloodo
@danielloodo 4 месяца назад
Dawa inayotibu huyo kimamba na huyo chule inayotokana na ukungu
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 месяца назад
Zipo nyingi Sana ndugu apo tembelea duka LA Kilimo watakupa dawa waliyonayo
@tatumilima9379
@tatumilima9379 Год назад
Magonwa mengine
@AGALUSTV
@AGALUSTV Год назад
#magonjwayakuku
@monicaoscarkaaya4104
@monicaoscarkaaya4104 Год назад
Sawa za kutumia
@AGALUSTV
@AGALUSTV Год назад
Ok
@sudyjuma5421
@sudyjuma5421 Год назад
Kipi kipimo sahihi cha shimo na shimo
@AGALUSTV
@AGALUSTV Год назад
Sm 30 kwa sm 50 mstar kwa mistari
@witnesspeter4181
@witnesspeter4181 2 года назад
Nimependa darasa naomba elimu ya pruning
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 года назад
OK
@nicksonkihombo1926
@nicksonkihombo1926 2 года назад
naomba kuuliza ivi pili pil hoh inakuwa kwa md gan mpak kukomaaa
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 года назад
Miez 2 kwenye kitalu na miez 3 hadi kukomaa
@witnesspeter4181
@witnesspeter4181 2 года назад
Naomba kujua dawa ya magojwa hayo
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 года назад
Ok ucjali
@jamiladeus2396
@jamiladeus2396 3 года назад
Uje ulete somo la pilipili kichaa
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 года назад
Ucjali Mungu ni mwema tuombeane uzima. Japo unaweza uliza ukajibiwa kwenye pilipili wahitaji kujua nini naweza kukusaidia
@rizikihamza2377
@rizikihamza2377 2 года назад
Ahsante lakini mkielezea ugonjwa hapo hapo tupeni na dawa kwani mnatuweka njia panda
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 года назад
Ok shida madawa ni mengi sana kwa tunaogopa kuwachanganya watu pia kumbuka izi dawa ni kampuni za watu🙏🙏 bt tunaweza wasiliana zaidi
@oscarkaaya7650
@oscarkaaya7650 Год назад
Dawa za kutumia kwenye huu ugonjwa wabatobato
@AGALUSTV
@AGALUSTV Год назад
Zipo nyingi mkuu ni vizuri ukaenda duka La pembejeo atakupa iliyopo
@ameirsalmini6253
@ameirsalmini6253 6 месяцев назад
Ndo mutuambiye ss kuwa dawa za kutumia so tuende pembejeo mana waliowengi maduka ya pembejeo hawajui matumizi ya dawa ila wanajuwa majina ya dawa so mutuambiye Ili tukienda tuu tununuwe
@AGALUSTV
@AGALUSTV 6 месяцев назад
OK apo tumekupata
@witnesspeter4181
@witnesspeter4181 2 года назад
Je nikiona hao nzi weupe kwenye mmea naweza piga dawa ipi?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 года назад
Tumia vimpira au dawa ya kuwa vuta ao nzi na kuwakusanya. Pamoja Zipo izi dawa kwa maduka ya pembejeo ndugu
@bakarmakame3235
@bakarmakame3235 2 года назад
Tunaomba mutuambie ni dawa gani tutatumia ikiwa Kuna uginjwa fulani
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 года назад
Ok 🙏
@barakaelirabieli1697
@barakaelirabieli1697 2 года назад
Mbolea ngani ya kukuzia hoho inayoshauriwa
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 года назад
Zote ni nzuri tu
@barakaelirabieli1697
@barakaelirabieli1697 2 года назад
@@AGALUSTV hoho za rangi ya njano ni tumie dawa ngani au kirutubisho ngani nipige
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 года назад
Mbolea za kupandia hakuna
@kisurajonas3800
@kisurajonas3800 4 года назад
Ni dswa ya aina gani nzuri kupulizia?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 года назад
KUHUSU madawa naomba tuwaone wataalamu wetu wa madawa . Mimi Ni mkulima tu nami naenda kupata ushaur toka kwao dawa gani nitumie ila uwa naenda na taarifa kamili za tatizo husika ndugu
Далее
MAGONJWA YA PILIPILI HOHO NA JINSI YA KUDHIBITI: 02
9:01
Construction site video BEST.99
01:00
Просмотров 222 тыс.
Rusiya Prezidenti Vladimir Putin Bakıdadır
00:32
Просмотров 245 тыс.
FAIDA 10 ZA MAJANI YA MGOMBA KWA KUKU
7:17
Просмотров 29 тыс.
Kilimo na Biashara | Capsicum farming
23:27
Просмотров 36 тыс.
kilimo boracha vitunguu swaumu
6:40
Просмотров 21 тыс.