Тёмный

MAGORI ASEMA SIMBA ITAISHTAKI FIFA COASTAL UNION KUHUSU MCHEZAJI LAWI 

MIMI ONLINE TV
Подписаться 19 тыс.
Просмотров 47 тыс.
50% 1

Mjumbe wa Bodi ya Timu ya Simba SC kwa upande wa Mwekezaji Mohammed Dewji Mo, Crescentius Magori, amepangua hoja dhaifu za uongozi wa timu ya Coastal Union unaodai kuwa mchezaji Lameck Lawi aliyetambulishwa Simba jana bado ni mchezaji wao, na kusema wataishtaki Coastal Union FC na hiyo klabu nyingine ya nje inayomhitaji Lawi. Akihojiwa na E FM.

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 44   
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka 3 месяца назад
Mwamba mwenyewe Magoli Hadi moyo wangu sahiz unapumua kwakurud mzigoni watu wakazi nafarujika sana
@DeusiMorisi
@DeusiMorisi 3 месяца назад
Yanga ninyi mwaka huu mnakazi kubwa tajiri amerudi mnalo
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 3 месяца назад
Jasusi la mpira linaungurumaaaa😂😂
@CharlesAlly-jp1ms
@CharlesAlly-jp1ms 3 месяца назад
Hakuna raha kama kujua sheria
@molenicharles9107
@molenicharles9107 3 месяца назад
MWAMBA anatema madini🤣🤣💪💪
@AnnaNdoss
@AnnaNdoss 3 месяца назад
Kwani Mbona Wanatamaa
@muddsaid-kn2dq
@muddsaid-kn2dq 3 месяца назад
mimi nishabiki wa coastal union kindakindaki ila kwa lameki lawi tusishawishiwe tukaingia kwenye mgogoro kisheria tutashindwa tusiingie kwenye huu mtego
@MrishoMindu-zq7mz
@MrishoMindu-zq7mz 3 месяца назад
Jane Huu mpira Sio Danguro. Mjini Moto Zanzibar kabiriti. Iweke kwenye pochi.
@JobnManase-gh2fp
@JobnManase-gh2fp 3 месяца назад
Coastal viongozi wao wacheni tamaa na ulafi
@makamelila
@makamelila 3 месяца назад
Viongozi wa coast njaa inawasumbua na haya mambo ya kutumiwq na watu wengine ni mabaya sana wait wamevurunda sasa wanatafuta na wengine wawavuruge lakini sio simba
@angazatv2050
@angazatv2050 3 месяца назад
Cost Si wapereke ofa kwa simba iwauzie tena
@hamisimwakatobe706
@hamisimwakatobe706 3 месяца назад
Simba ina viongozi wasomi sana hapa Tanzania kwa hiyo hizo ni inshu ndogo sana kwao
@ZuberyAlly-m2n
@ZuberyAlly-m2n 3 месяца назад
Costi wababaishaji hawana sela
@CharlesLutandula-y3c
@CharlesLutandula-y3c 3 месяца назад
Nyuma yao yanga yupooo washindwe nawalegeee simba nguvu moja
@KakeSimba
@KakeSimba 3 месяца назад
Nguvu 1.
@KakeSimba
@KakeSimba 3 месяца назад
Awa kost niwajingasana
@claudsaprapasen9068
@claudsaprapasen9068 3 месяца назад
Coast U acheni utoto!
@mmsfuzzsba3816
@mmsfuzzsba3816 3 месяца назад
COASTAL WAMEINGIA TAMAA
@DeusiMorisi
@DeusiMorisi 3 месяца назад
Simba siyonwababaisha kama wengine costal msalimu amri kabla hajafilisiwa
@mswakisaid2320
@mswakisaid2320 3 месяца назад
Wameingia tamaa ya mlungula mrefu😂 Nawashauri wafuate makubaliona ya kimkataba. Laa sivyo watafilisika muda si mrefu. Mungu awajaalie salama wasifikie huko.
@hamidmussa838
@hamidmussa838 3 месяца назад
Hawa coast washamba sanaa!
@ambakisyemwanjemba5787
@ambakisyemwanjemba5787 3 месяца назад
Mwenye simba yake ameshaanza mambo yake
@AbdulrahmanMiraji
@AbdulrahmanMiraji 3 месяца назад
Viongozi wa Coastal Union wapewe mafunzo ya kanuni za usajili naona wanaanza kuvimba vichwa
@CharlesLutandula-y3c
@CharlesLutandula-y3c 3 месяца назад
Simba niwakimataifa wako makini siyojanjajanja
@DeogratiusMponda
@DeogratiusMponda 3 месяца назад
Yànga mnashida
@msangazimsangazipapaandomb8761
@msangazimsangazipapaandomb8761 3 месяца назад
Coastal Union wanatumiwa na upande wa 2. Viongozi wa Coastal wameahidiwa pesa ndefu na mfadhili wa upande wa 2.
@LorynNila
@LorynNila 3 месяца назад
Coast sio waelewa
@januarysungura8119
@januarysungura8119 3 месяца назад
Wakawaulize yanga na morisoni
@JuhudiKasanga-yq5ks
@JuhudiKasanga-yq5ks 3 месяца назад
Rudisha mchezaji wa watu hata mgunda mlimwiba nyinyi majambazi TU wote watoto wa mudi na mudi mwenyewe aibu kweli mpaka costal mnampiga kweli kama kufulia ndo kwishilia mbali kabisa
@monelayongola419
@monelayongola419 3 месяца назад
Hujui Soka na unaongea kiushabiki. Wenzio wametoa hoja na ufafanuzi. Wewe upo na maneno na hisia zako. HUJAELEWA ufafanuzi au ??. Ikiwa hamriziki. Nendeni FIFA. Mpira Ni wa FIFA sio wa Simba au COASTAL. Mbona kaeleza vzr .
@muddsaid-kn2dq
@muddsaid-kn2dq 3 месяца назад
huyu jamaa hata ajui watu wanaongea nini kisa kashika kicm chake cha kutachi bas kamsliza ongea vitu vya msingi bro
@TegemeaFutemakatifu
@TegemeaFutemakatifu 3 месяца назад
Kakojoe ulale maana unatoa Povu hataa Unachoongea hujui
@drvaxminja2133
@drvaxminja2133 3 месяца назад
Simba inalazimisha tu
@madukaj.j.6999
@madukaj.j.6999 3 месяца назад
Inalazimisha nini?
@mazengojohn2090
@mazengojohn2090 3 месяца назад
Mambo ya kishamba ayo toa hela chukua mchezaji
@Keputchelo1621
@Keputchelo1621 3 месяца назад
Shida yako hapo ni uelewa
@MrishoMindu-zq7mz
@MrishoMindu-zq7mz 3 месяца назад
Sio zabibu hizi. Acha ushamba mgogo wewe kaweke ndonya.
@janeemmanuel3615
@janeemmanuel3615 3 месяца назад
Acha uongo
@deuckuligwa3645
@deuckuligwa3645 3 месяца назад
Weka ukwel bas ili tuamin kama ni uongo
@madukaj.j.6999
@madukaj.j.6999 3 месяца назад
Ukweli ukoje?
@LinusKyando
@LinusKyando 3 месяца назад
SIMBA ACHENI UTAPELI
@januarysungura8119
@januarysungura8119 3 месяца назад
Matapeli wazidi yanga ?
@monelayongola419
@monelayongola419 3 месяца назад
Kama Simba Ni matapeli, nendeni FIFA mkashtaki . Lkn kiukweli LAWI Ni Mchezaji halali wa Simba s. c. Acheni kupngea kinyuma mwiko bila hoja. Umeshasahau mlilialia kwa MORRISON na tukawashinda Hadi FIFA ??.. utaitaje Utapeli Watu wanafafanua Hadi vifungu na kanuni. NYIE mns uholela ndio maana mnafungiwa hata kusajili . SIMBA wapo smart. Acha kuongea usivyovojua. Sikiliza hoja
Далее
MASAI APAGAWA NA YANGA | NG'OMBE WANGU NAWAPA YANGA
14:25
PUBG Mobile СТАЛ ПЛАТНЫМ! 😳
00:31
Просмотров 87 тыс.
PUBG Mobile СТАЛ ПЛАТНЫМ! 😳
00:31
Просмотров 87 тыс.