Тёмный

MAHOJIANO: Ufafanuzi wa mfumo mpya wa ulipaji wa mafao ya kustaafu 

Azam TV
Подписаться 2,8 млн
Просмотров 25 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

20 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 80   
@Mike-yg7pb
@Mike-yg7pb 5 лет назад
Yaaani sijawahi kosoa serikali maana Magufuli ni rafiki yangu sana na namtetea sana katika kazi zake 100%,lakini kwa hili la mafao mzee hawa waliofanya hili Rais wetu wanakuharibia, hata huyu anaulizwa swali na mwandishi hawezi jibu anajing'ata ng'ata tu, kwa hili akitokea mgombea anaepinga hii sheria ataisumbua sana ccm, nawakati sisi tunatamani uongezwe miaka 15,hata mimi hii nimeipinga kwa nguvu zote!! Hatuwezi jilinganisha na nchi zingine zenye uchumi wao uko juu, kwa sisi mafao ndo mkombozi wetu wa kufanya kimaendeleo kidogo
@hkdarmys
@hkdarmys 5 лет назад
Mheshmiwa Rais kama ulivyowa komboa wakulima ... Muda ume fika uwakomboe wafanyakazi wanao sukuma gurudumu ya maisha ... 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@hkdarmys
@hkdarmys 5 лет назад
Msifananishe Wafanyakazi sekta binafsi na serekalini.. Wafanyakazi serekali wana marupurupu kibao Mfano Scholarship ( malipo yana endelea ukiwa masomoni ) Nyumba / kiwanja bei nafuu ( mfano mheshimiwa RC amewapa madaktari na walimu viwanja bei nafu ) Mfanya kazi serekalini hawezi kuachishwa mpaka 60 Mfanya kazi Sekta binafsi hana uhakika wa kazi. Mfanyabiashara akifunga biashara ana achishwa kazi Mfanyakazi hana scholarship au mafunzo Mfanyakazi hawezi kupewa au kununuliwa kiwanja .. Mfanyakazi binafsi hauwezi kupangiwa achukuwe pesa yake kwa masharti sawa na wafanyakazi serkalini Nina omba sana Mheshimiwa Waziri Mwachie mfanyakazi sekta binafsi aweze kuchukuwa pesa yake na kuwekeza aidhaa kwenye hisa au bondi ya bot au biashara ya kum komboa kimaisha ... Asante
@hkdarmys
@hkdarmys 5 лет назад
Ni Dhambi Dhambi Dhambi kuchukua hata senti ya mfanyakazi Hamuta kaaa Salama Mwenyezi mungu ana waonaa... Leo wewe kesho mwanao atakuwa mfanyakazi na haki yake ita pigwa
@madafajulius3257
@madafajulius3257 Год назад
Kwa private sector nikuwaoneatu, hivyo viinuamgongo muwaachie waajirowa wa serikali
@hassansingano1150
@hassansingano1150 2 года назад
Duh. Huu wizi.
@penielmacha2435
@penielmacha2435 5 лет назад
Mh Rais Magufuli usipo Badilisha hili Swala Sikupi kura yangu Tena.
@stellacosmacy4785
@stellacosmacy4785 5 месяцев назад
Wizii mtupu
@marcodomnick8122
@marcodomnick8122 Год назад
Jamani tupeni pesa zote
@hkdarmys
@hkdarmys 5 лет назад
Hakuna mtu aliye pongeza hii sheria msiseme uongooooi
@shafiicharice3652
@shafiicharice3652 5 лет назад
huu ni ubnafsi tosha ..mafao ni pesa ambazo mfanyakazi anapoostaafu huztumia kuelkeza miladi ya msingi .kumpa 25% ni kumpotzea malengo yake. ..hii serikali Mbn hatuielewi?????
@hoseamafuru6957
@hoseamafuru6957 5 лет назад
JPM INGILIA KATI SUALA HILI WATUMISHI WASTAAFU WALIPWE FEZHA ZAO HAPO NI MAZINGAOMBWE TU
@charleswangele3182
@charleswangele3182 5 лет назад
Musitupangie pesa zetu tunataka pesa zetu tufanyie biashara maana munatuamasisha kujiajiri. Na hizo pesa si zenu. Mbona wabunge hupewa kwa pamoja????
@ramadhanifelix7285
@ramadhanifelix7285 5 лет назад
We mtangazaj ninan aliejitokeza kupongeza mfumo huu mpya??afu mnaongelea wasitaf tu je kwenye sekta binafsi haongelei???mtangazaj haufai kumuhoj mtu tafta kaz nyngne
@kiliannombo7871
@kiliannombo7871 5 лет назад
Jamani ccm acheni wizi huuuu jamani???? Kweli hii Ni serikali ya wanyonge kweli??? au wezi??
@moshillinde6835
@moshillinde6835 5 лет назад
60 years +12years =72years, unacceptable age for African ways of life. Tatizo tunabadili sheria kila wakati bila kuangalia tamaduni za waafrika. Sheria hii ingekuwa nzuri endapo sekta ya afya ingeboreshwa.
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 5 лет назад
Lione na midevu ya ya ya ya km.beberu
@andrewmgoyo8008
@andrewmgoyo8008 5 лет назад
jmn life expectancy ya mtanzania ni miaka 47 sasa km mwenyezi Mungu kaniwezesha kuishi miaka 55 bd tu nisubr mpk miaka 67 ndo pesa zangu ziishe dah hapana ni unyanyasaji Mkubwa sana kwa wafanyakazi ila Mwenyezi Mungu ndo muweza wa yote km ni heri ama sio heri atatudhihirishia mchana kweupe
@hkdarmys
@hkdarmys 5 лет назад
Ina kuaje anaye achiswa kazi mfanyakazi binafsi
@edwardmhombo4213
@edwardmhombo4213 5 лет назад
wapeni ela zao bhn acheni siasa ktk maisha ya watu mbn enzi za jk hayakuwepo hayo sheria zimekuwa nyingi nssf shida wazeee wamestaafu nao pia mwaleta usanii
@Frankgamanuel
@Frankgamanuel 5 лет назад
huo ni Ugonjwa mpya nafikili? Utawasaidia wale wenye huwezo tu lakini kwa wanyonge naisi niugonjwa mkubwa!??..... hacheni Asilimia 50% kwa wanyonge kwa wenye Huwezo ndio 25% hapo mtakuwa Mmeondoa huo Ugonjwa. halafu kinacho bakia badala ya mstaafu kufa nafikili kama mko na moyo wa kiutu hicho kinacho bakia wapatiwe warith wake hilo ndilo jambo la Busara .
@issabakari1916
@issabakari1916 4 года назад
Hayatofauti na ya kufanya kazi aisee acha kugugumizi, 😔,, watu wanafanya kazi Hali ni ngumu kuliko ugumu WA mtoto lijali, je hapo akiwa Hana kazi,!!! 🤔 Mwanachama atapata mafao yake pindi atapoacha kazi atakapoachishwa kazi,, fanya vile ilikua kwa Fom, watu wengi wangejua ili WALA mutu asingejiunga,,
@kizitoshitah7853
@kizitoshitah7853 2 года назад
Kuna ucheleweshaji wa malipo
@tarjamabdulrahman9600
@tarjamabdulrahman9600 5 лет назад
Dah,huuu ni unyang'anyi MBNA bora usifanye kazi tuu
@Paelimbo6649
@Paelimbo6649 5 лет назад
Utafiti upi unaoonyesha kwamba mfumo wa hapo nyuma hakuwa mzuri kwa wastaafu?
@emmanuellubadisha3170
@emmanuellubadisha3170 5 лет назад
Mnasema mnatoa 25% lakini hatujui mstaafu Huyu ataishi kwa mdagani je iyo miaka 3 kwakiasi mtachotoa kwa wategemezi kitalingana na 75% bdo kunatatizo inabidi mliangalie hilo pia
@km-yh9eq
@km-yh9eq 5 лет назад
mda umefika wafanyakazi mchukue hatamu Juu ya mambo yanayohusu maslahi yenu hawa wanasiasa wa kiafrica kihasilia ni wabinafsi hawana haibu kutunga nakupitisha sheria ya aina yoyote hata Kama ni kandamizi kiasi gani ilimradi tuu haiwausu mkiwaachia mambo yote wawe wanaamua wao basi wafanyakazi mtalia miaka yote amkeni wafanyakazi pigeni kelele hii sheria irekebishwe
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 5 лет назад
Lione na.mishavu km K ya punda. Wewe kidogo kidogo unaifagilia vile umeshaibaaaa umejengaaa umesomeshaa.kwenda zako
@linnamlay3643
@linnamlay3643 5 лет назад
Loooo serikalini kazi watu watazikimbia bora kujiajiri huu ukandamizwaji auvumilie mnyonge gani,wabunge Mungu anawaona watunga sheria looooh
@ignasyluena9102
@ignasyluena9102 5 лет назад
Nyie tuongezeeni Mishahara bana hizo biashara za maisha yangu baada ya kustaafu yanakuhusu nini wewe
@riwaladislaus3913
@riwaladislaus3913 5 лет назад
Wizi tu. Hamtaeleweka hata na ma genius
@loner_wolf
@loner_wolf 5 лет назад
ukiona wanajitokeza wanasheria wa design hii ujue kikosi cha maangamizi kimesukwa vzur.
@albertosanga7744
@albertosanga7744 5 лет назад
Hii ndiyo Serikali ya wanyonge mnawanyonga kweli kweli
@simonmwakubali3871
@simonmwakubali3871 5 лет назад
tunahitaji mtetezi wa kweli wa wanyonge na sio wa kuongea tu mdomon.
@joshuahamisi9988
@joshuahamisi9988 5 лет назад
Upuuzi tuu waweke pande mbili watakao kuwa tayari watoke na chao wapewe na hao wa asilimia 25 mtajuana nao ndo mapato ya serekali mnakusanya kwa ubabee madaraja hakuna nyie kupunguza tuu Tz dict
@chitembedyao.p4846
@chitembedyao.p4846 5 лет назад
Hivi hii sheria imepitajepitaje?
@loner_wolf
@loner_wolf 5 лет назад
RAIS WA WANYONGE ANALIJUA HILI KWELI? MM SIAMINI KAMA HAWA WATUNGASHERIA HIZ NI WATANZANIA WANAOWAKILISHA WATANZANIA WENZAO, HAWA NI KAMA WAKOLONI HIV , SIJUI MAWAZO YANGU TU .
@mohammedamiri5655
@mohammedamiri5655 5 лет назад
kulwa mapunda hu
@abdalomari5912
@abdalomari5912 5 лет назад
mnajengewa dalaja mnafulai pesheni mnakasilika ccm mmeichanguwa wenyewe acha tusome wote
@rehemadani3600
@rehemadani3600 5 лет назад
Aya ndiyo wanayo Semaga kina lema mnapowacheka wasiasa wakitendewa vibaya basi nanyinyi makali yakiwaguekia mnyamaze ngojeni tuisome namba
@tatuidrisa4740
@tatuidrisa4740 5 лет назад
Wanatunyanyasa watupe pesa zetu zote watu tunafanya kazi za mikataba miaka 2 hatutaki
@jacksonmishwaro7016
@jacksonmishwaro7016 5 лет назад
alivyoanzaa kuongea tu.. na..ya..ya..ya..nyiiingi, ukiona hizo dalili ujue ushaliwa, Twendei tukalime korosho ntwaraaaaa
@babucheenyahega2778
@babucheenyahega2778 5 лет назад
Watanzania adi mtakema kee serikal ya ccm haipo kumsaidia mnyonge
@maduhujoseph3557
@maduhujoseph3557 5 лет назад
Narudi ccm kuunga mkono juhudi za jpm kuitoa pesa kwa watu nakuibakiza serikalini ili iwanufaishe watu wote
@bayanindela3387
@bayanindela3387 5 лет назад
Hakuna mfanyakazi aliyepongeza huu upuuzi
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 5 лет назад
CCM TUMEWACHAGUA LAKINI SASA MMETUTIA CHANGA LA MACHO.KUMBE HAMTUPENDI WANYONGE
@majirakusagajnr4449
@majirakusagajnr4449 5 лет назад
hawana jipya kwani mfuko utakosaje uwezo wakati pesa unachangia kila mwezi. Wakumbuke nao pia watastaafu baadae. tafiti gani inatoa majibu kandamizi, walengwa hawajui. bilashaka wasikilize hoja za wadau wenyewe. TUCTA, CWT, CHAKAMWATA, TUGHE etc mpo wapi. Tunawasikliza, siyo tu kwa kanuni ya mafao pia hata denomination ya kikokotoo.
@akidasalim9798
@akidasalim9798 5 лет назад
Zinakopwa na serikali
@abujamalaalghammawiy7470
@abujamalaalghammawiy7470 5 лет назад
majira kusagajnr HAO WAKISTAAFU WAMEJIWEKEA UTARATIBU WAO WANAONDOKA NA CHAO CHOOOTEEEE, CHEZEA WANASIASA WEWE.
@stanslausmasinde5844
@stanslausmasinde5844 5 лет назад
serikali yetu ni sikivu bila shaka itakaa na Wada u wote na kufanya jambo lenye manufaa kwa wafanyakazi na taifa letu .
@abujamalaalghammawiy7470
@abujamalaalghammawiy7470 5 лет назад
@@stanslausmasinde5844 Hilo Sahau, kwanza mwenye nchi yake wala hajalizungumzia kabisaa pamoja na kuzindua kila siku madaraja na mifereji. Na kama huamini subiri, muda ni mwalimu mzuri wa kuwafundisha watu kama ninyi kuwa sisi wafanyakazi kwa serikali hii imeshakula kwetu
@davidremmy2769
@davidremmy2769 5 лет назад
Wachumia tumbo ni wengi sana.
@josephnjellah280
@josephnjellah280 5 лет назад
Kama nimepona miaka 60 kuna uhakika gani was kufika miaka80?
@simonmwakubali3871
@simonmwakubali3871 5 лет назад
mtu anafukuzwa kazi akiwa amechangia laki 2 tu umnyime hela yake eti azeeke huu ni mchezo mchafu sana.
@salimdoctor691
@salimdoctor691 5 лет назад
khovyo tuu rekebisheni basi kido hiyo sheria duuh
@ugaboy4736
@ugaboy4736 6 лет назад
Wizi tupu mtawafanya watu wafe kabla ya siku zake
@joycelubena1989
@joycelubena1989 5 лет назад
huna lolote we mwanasharia
@wilsonkilua6309
@wilsonkilua6309 5 лет назад
Manyanyaso makubwa basi hata posho ziwekwe hapo ndio kufa kabisa sheria hiyo mmeipitishane hatuelewi Mzee watu ingilia kati hilo swala japo limepita bungeni lakini unyantasaji huo Mtu amestaafu mpeni chake nyinyi mnampa nusunusu wapi na wapi kwa maisha ya sasa kijana gani atafikisjmha myaka.70 au 80 jamani mnatunyanyasa sna wanyonge
@davidremmy2769
@davidremmy2769 5 лет назад
Kwanini mfanyakazi apangiwe namna ya kuchukua na kutumia jasho lake?.
@mohamedpaul5081
@mohamedpaul5081 5 лет назад
David Remmy sihaki kabisa huu ni onyonya
@israelmeshack2518
@israelmeshack2518 5 лет назад
Kwakweli sihaki kabisa nikubianatu sasa ukiwa kwenye ajira yamkataba mkatabaukaisha ndani yamia mitano nauna umri wamiaka 25 utasubiri adi ufikishe miaka 55 ndouje kupewa
@coro_the_affiliate
@coro_the_affiliate 5 лет назад
Taarifa ya habari ya azam inaonekania wapi mbona azam two haionekani . nipeni jibu tafadhali
@abeidpastory3960
@abeidpastory3960 5 лет назад
Pakua App ya azam unapata taarifa
@makariospeter9447
@makariospeter9447 5 лет назад
ukitaka kuiona ipo kwenye app yao inaitwa azamtv. download it.
@emanuel1990ism
@emanuel1990ism 5 лет назад
Ushenz mtupu
@ernestsinje9532
@ernestsinje9532 5 лет назад
hili suala msipolibadilisha uchaguzi ujao JPM simpi kura yangu na kuanzia sasa mawazo yangu na ya wengi kama mimi mtaniunga mkono huu ni ujinga kama serikali haina pesa ya miradi mikubwa KOPA ni suala la kawaida kabisa Marekani na China wanakopa sembuse sisi Watanzania?KENYA mbona wamekopa?Kodi mnaotukata katika mishahara ni kubwa mno ,hivi serikali haina njia yeyote ya kupata mapato mpaka inakata kodi kubwa namna hii katika mishahara yetu?Haya nimetumikia nchi yangu leo nipate mafao yangu ya uzeeni unanipa asilimia 25 ili nife niziache na nikiziacha hakuna mirathi maana hata watoto wangu ..............hili mbadilishe ni upuuuzi.
@Mike-yg7pb
@Mike-yg7pb 5 лет назад
Mimi mwenyewe nimeanza kuvunjika moyo 2020 nabadili mawazo, utaratibu wa hivi wa kutaka kurecover mapengo serikali ni na wanaoumia ni wananchi wa chini kabisa, kwa hili urafiki wa kura yangu na serikali iliyoko madarakani ndo utakuwa umefikia mwisho, mke kajifungua anaambiwa hakuna tena mafao ya uzazi sasa nani ataipenda serikali, Rais wetu hao washauri sio wazuri kwako I kura utakazopoteza 2020 hutaamini!! For those who advised you that, they are trying to kill you in cold blood! So as to lose in 2020
@ramadhanikakoree3728
@ramadhanikakoree3728 6 лет назад
Tuta0na vingi ila huu utaratibu Ni wizi kbsa
@bigmwami9983
@bigmwami9983 6 лет назад
Chozi la haki
@victorsanga2229
@victorsanga2229 5 лет назад
Sawa rais wa wajonge, umeamua kuua kabisa watumishi! Msingi wa pensheni si monthly payment bali ni kiinua mgongo! Mmeshindwa kulipa trilion 8 mnazodaiwa na mifuko sasa mmeamua kuikwamua mifuko kwa kuwaibia watumishi! Mungu wa mbinguni atateta na wewe , na roho hiyo mbaya kama umetokea kuzimu!!!
@hassankawale5534
@hassankawale5534 5 лет назад
Kumbuka hata nyinyi mnao tunga hizo kanuni ni wafanyakazi. Vzr mkaangalia haki ya mstaafu Maana miaka yote amekatwa mshahara wake hivyo vzr awe na option juu ya haki yake
@stivejayngoga1403
@stivejayngoga1403 5 лет назад
Yaan hapa ndo huwa naipenda ccm!
@kingkendrickk
@kingkendrickk 5 лет назад
😂😂😂😂
@marysadiki1887
@marysadiki1887 Год назад
Ujinga.kanisa
@lazarojr8923
@lazarojr8923 6 лет назад
Huu wizi sio haki kabisa
@michaelkyejo9048
@michaelkyejo9048 5 лет назад
Achen kutufanya watumwa
@andrewandrews4635
@andrewandrews4635 5 лет назад
hv jmn, mm naona hv ndio sawa coz zamn ndio walkua wana nyanya ska unafnya ndio ukistf unapewa chko baada ya muda unaishiwa unaanza kua msumbf tna mtaan si kwa watt wala watu bk unabkia tu na sifa hyu alkua flan, bora saiz mzee anachkua pesa zke kdgo anaenda kufnyia mambo yke hata hata aibu ya hao staaf haita onekna,
Далее
FAHAMU KUHUSU KIKOKOTOO KIPYA SEHEMU YA PILI
15:40
Просмотров 9 тыс.
Это было КРАСИВО!
01:00
Просмотров 992 тыс.
Paint Projects
00:17
Просмотров 1,3 млн
These Are Too Smooth 😮‍💨
00:57
Просмотров 2,8 млн
Impeached DP Gachagua speaks after leaving Hospital
14:16
MAFAO HII NDIYO PSSSF EPISODE 05
15:01
Просмотров 2,7 тыс.
#TBC: UNDANI KUHUSU MAFAO YA NSSF
17:33
Просмотров 393
Why Turkey Has Finally Had Enough of Erdogan
9:48
Просмотров 276 тыс.
Это было КРАСИВО!
01:00
Просмотров 992 тыс.