Тёмный

Simba 0-1 Yanga | Uchambuzi wa goli | NBC Premier League 19/10/2024 

Azam TV
Подписаться 2,8 млн
Просмотров 123 тыс.
50% 1

Amri Kiemba anang’ata na kupuliza kuhusu makossa ya golikipa… Lakini Godlisten Muro anawanyooshea kidole wachezaji wote wa Simba ‘kusinzia’ uwanjani na kukosa utayari wakati free-kick ikipigwa huku akimkingia kifua Kijili…
Kwa upande wa Ramadhan Mbwaduke anatoa sifa kwa wachezaji wa Yanga akisema “…hiki kitu wamekifanyia kazi mazoezini”
Je, wewe unasemaje??
FT: Simba 0-1 Yanga.
#AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #SisiNiSoka #KariakooDerby #WataniWaJadi #DerbyYaKariakoo #SimbaYanga #SimbaSC #YangaSC #HakunaKisingizio

Опубликовано:

 

20 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 149   
@ramadhaninassoro4624
@ramadhaninassoro4624 День назад
MBWADUKE NI MWALIMU WA WACHAMBUZI WOTE HATAPA TANZANIA ni memaliza anaebisha nyoosha kidole juu 🙌🏽🙌🏽
@KhalidHashim-y4n
@KhalidHashim-y4n 12 часов назад
Dr.Leakey 😂😂😂
@NsobozesaFinancial
@NsobozesaFinancial 5 часов назад
Ee ulitoka
@ezekielbkuyeko5241
@ezekielbkuyeko5241 День назад
Kiemba kazungumza vizuri sana na sidhani kama kuna la kuongezea juu ya alichozungumza japo tutasikiliza tu kwasababu ni haki ya mtu kuongea na kusikilizwa lkn @kiemba amechambua vizuri wenye kuelewa haraka tumemuelewa vizuri
@lusajoholland7072
@lusajoholland7072 День назад
Mbona comment hamna?mnataka tusome Nini sisi wapenzi wa comment jamani!?😅
@grationkato7658
@grationkato7658 День назад
Siilikuwa live
@EmanuelMinja-fv9dn
@EmanuelMinja-fv9dn День назад
Wewe unataka koment gani wew Ni Simba eee kunywa pombe huko ujitulize
@Waberoya
@Waberoya День назад
Nyie Simba chambuenj
@ezach3375
@ezach3375 День назад
CC Chama
@OsmanAdija
@OsmanAdija 8 часов назад
hao makoro niwakwe2 hawana mpir
@poldmkinga4450
@poldmkinga4450 15 часов назад
Wachambuzi wameongea vizuri sana kuhusu upigwaji wa mpira na kipa kudaka kwa makosa. Sijaona hata mchambuzi alieweza hata kuthubutu kuwa baada ya kipa kuutoa vibaya mpira uliangukia nje na kurudi ndani. Tukubaliane bado mapungufu yapo kwenye mpira wetu.
@markmakowa6154
@markmakowa6154 День назад
Aisee wachambuzi mahiri sana
@ElishaZachariaEmmanuel
@ElishaZachariaEmmanuel День назад
Umaili upi
@NsobozesaFinancial
@NsobozesaFinancial День назад
Moira ulitoka nje bana
@AbiudEdmond
@AbiudEdmond 11 часов назад
Moira ulienda nje
@mandeladaudy5264
@mandeladaudy5264 День назад
Mpira ulikuwa unazunguka kwahio ulikuwa unaenda moja kwa moja wavuni😊
@rukaiyakondo5265
@rukaiyakondo5265 5 часов назад
mpira huo umetoka nje hat mbl y kamera unaonekan.. kama hadi nyie wachambuzi mnajifanya hamuuoni ligi ya tanzania bado sana
@AliSaleh-x9e
@AliSaleh-x9e День назад
Ni kweli class ya timu ,kipa mpira unatoka hajui,
@Tassyomy
@Tassyomy День назад
Kijili..Aliona Bora Amlipe Mzize..Mapema Lakin Alichokosea Jakuangalia Malipo Yake Anayalipia Sehemu Gani.. Mzize Na Kijili Wote Mbingumi..😂😂😂
@jeremiamtawa3481
@jeremiamtawa3481 День назад
Coach Fadlu Do not bet on changes of squad, Kibu Denis and Mutale are energic players who offer defense and attack and causing right back and left back of the opponent remaining on theirside
@victorernest7702
@victorernest7702 День назад
Angedaka mtanzania salim au manila mbona wangekohoa damu Kwa kes za kuuza match ila kwakuwa ni mgeni aaaaaaah😂😂
@charlesmseti4345
@charlesmseti4345 День назад
tatzo hatupendani wabongo wivu unatusumbua
@GracePaul-k2l
@GracePaul-k2l День назад
Umenikumbusha kwenye zile tano😂
@afropanorama4730
@afropanorama4730 День назад
bila ya VAR hamna kitu marefa wetu bado sana,usimba na uyanga unaharibu ladha ya ligi
@rogersiddy
@rogersiddy День назад
Watangazaji msiwaulize wachanbuzi juu ya mchezaji aliesababisha goli chukueni muda wenu muiteni mchezaji mwenyewe mchambue nae pmj ilikuaje adi ukajifunga wakati ulikuwa peke ako?mchambuzi atakupa maneno ya kubeti tu nahisi nahisi nadhani nadhani nyiiingi wakati mchezaji anakaa hapa hapa mjini sio mkoani
@abudalaabdumalik9362
@abudalaabdumalik9362 11 часов назад
Na umetumia akil zote apo zimeisha kabisa
@StevenSevelin-d8z
@StevenSevelin-d8z День назад
Wachambuzi machoko manicho chambua niunafikii tu kasivyoo mbn mengine awayazungumzii 🤔🤔🤔🤔🤔🤔
@jeremiamtawa3481
@jeremiamtawa3481 День назад
It is very painfully to be beaten by Yanga, and it continues to destroy your credit at Simba.
@TOmasMwesongo
@TOmasMwesongo День назад
Mashabiki wasimba tungane pamoja tusome arubadiri kayoko mweziujao asiuwone nawaombasana tuungane pamoja simba nguvu moja
@Officialviber-k2c
@Officialviber-k2c 15 часов назад
Kikubwa natoa Pongezi kwa Wachambuzi
@RamaBakaa
@RamaBakaa День назад
Mpira ulivyotoka mikononi mwa goalkeeper umedundia nje kabla ya kurudi ndani na kufungwa goal kwa mujibu slow motion ya video
@Princeking-t4f
@Princeking-t4f День назад
Imagine hawa wachambuzi eti hawajaona mpira nje kekekkekeke ina chekesha
@mweyoms5548
@mweyoms5548 День назад
Jibu la Mbwaduke ndilo limekaa vizuri zaidi. Mabeki wa Simba pale siwalaumu,walizidiwa maarifa ya kimchezo kwenye hili tukio.
@Baberes120
@Baberes120 День назад
1.Mpira ulitoka 2. Haikuwa fauli
@BarbraMbelwa-jr9sd
@BarbraMbelwa-jr9sd День назад
VAR ingekuwepo lisimgekuwa goli.Mpira ulidunda nje ukarudi ndani.Ile ilistahili kuwa kona.
@wechemakambo2182
@wechemakambo2182 День назад
yanga ndiyo magoli yao hayo na waamuzi hufungwa macho
@RosePetro-ck8pt
@RosePetro-ck8pt День назад
Ungeweka kona,mtateseka sana
@BarbraMbelwa-jr9sd
@BarbraMbelwa-jr9sd День назад
@@RosePetro-ck8pt 😁
@HusseinBakar-k8n
@HusseinBakar-k8n День назад
Je kibendera hakuona kama mpira umetoka
@TeddyPaul-qo2iy
@TeddyPaul-qo2iy День назад
Tumekubaliana na wachambuzi ukiona hivo lusajo
@princezebest7453
@princezebest7453 20 часов назад
Huyu golikipq sio kabisa
@DumishaTanzania
@DumishaTanzania 23 часа назад
Camara anayo makosa, mpira kama ule si wa kutaka kuukamata. Ila kosa kubwa ni kwa mabeki, walijisahau sana. Kuhusu Chama kapiga vizuri lakini sio kwa dhamira ya kutaka mpira itoke nje ili Camara aurudishe ndani. Wachezaji wa Simba wengi ni wapya, lakini pia sio matured. Wamejazwa wakajaa. Kama sio hivyo wangeweza kushinda au kupata draw
@DanielKitangita
@DanielKitangita День назад
pengine VIR zinasaidia sana kwa ule mpira ukiangalia vizuri na zaidi ulidundia nje ukaludi ndani ilipaswa kupigwa kona ila kwakua ni mpira wa kiafrika tutaumizana tu kila siku
@ashuramuhammed3257
@ashuramuhammed3257 День назад
Simba kamara mnampenda lakin Ali salum yuko vzur sana ila mnapenda sana wagen
@MuznaAlly
@MuznaAlly День назад
Nyie diara mwenyeji??
@medimisi6930
@medimisi6930 День назад
kamara anawenge anajifanya anajua akae bench hata gemu mbili ili aingie akili angeliutoa nje tu ule mpira kuliko lengo la kuudaka hata hivyo ulikua unaenda nje tu. mm naona lile ni kosa la kipa bila kupwepwesa. 😂
@GracieTyno
@GracieTyno 13 часов назад
@@MuznaAllySasa diara ubora wake unaonekana,kawazidi wazawa. Nyie huyo camara kazidiwa kila kitu na ally salim ila mmekazana kumuweka golini,acha awalambishe ndimu kila siku😂😂😂😂
@SajentElly
@SajentElly День назад
Mbona mpira kama ulitoka nje
@LinusKyando
@LinusKyando День назад
MPAKA USEME
@AugustinhoManyangaunitedboetz3
Aukutoka ulidunda kwenye mstari na sio nje
@RosePetro-ck8pt
@RosePetro-ck8pt День назад
Lkn nyavu zikatikisika
@RosePetro-ck8pt
@RosePetro-ck8pt День назад
Poa sana chama,
@YusuphRdrck
@YusuphRdrck День назад
Weeeeeeeee mpilaukutoka😂
@Fofo-z6t
@Fofo-z6t День назад
Semeni moja Sasa 😢ni goli ama c goli😢
@remmybenjaminkasochela1901
@remmybenjaminkasochela1901 День назад
Pamoja na yote Kamala ndio golikipa bora kuwah kutokea Tanzania league huyu mwamba apewe maua yake
@KhadijaHassany
@KhadijaHassany День назад
Mungu akulan kayoko
@DoreenMlay-e8g
@DoreenMlay-e8g День назад
waeleweshe hao wasiojielewa
@WillysonShilagwa
@WillysonShilagwa 2 часа назад
Kitendo cha mwamuzi kunyosha mkono juu mara baada ya faulo kutokea alikuwa akimaanisha ni indirect free kick kikanuni na sheria za mpira mpigaji hakupaswa kupiga moja kwa moja, ilipaswa uguswe na wachezaji wa wili waliokuwa wakishambilia ndo upigwe kuelekea golini na siyo utoke moja kwa moja kwa mshambuliaji, halikuwa goli kwa maoni yangu mimi
@officialdana5114
@officialdana5114 День назад
Nyie hamjui mpira azam umaacha ligi inatawalwa na wasio jua kutawala
@HusseinBakar-k8n
@HusseinBakar-k8n День назад
Mm pale sikuona faulu
@jankenkasambala7687
@jankenkasambala7687 22 часа назад
Kiemba ni shabiki wa Simba
@frankngendelo4697
@frankngendelo4697 День назад
Kwan hilo la mpira kutoka nje hamlioni au
@rightclick10
@rightclick10 День назад
Mnachosema ni sahihi 100%. Baada ya kipa kukosea waliotakiwa Kurekebisha makosa ni beki wa simba. Ila hakuna beki hata mmoja wa simba aliyeufuta mpira. Infact wamereact kwa kuchelewa.
@JulianaBotto-f8p
@JulianaBotto-f8p День назад
Nimekubal
@scopy0428
@scopy0428 День назад
Mbwaduke sasa ndio ameongea points wachambuz wengi wanamlaumu golikipa wa simba badala ya kumsifia mpigaji
@yunusimchala6569
@yunusimchala6569 День назад
Ila mvua imeharibu lad has ya bolii
@truhjay7891
@truhjay7891 День назад
Mi ni sound engineer aise, waambie studio wafanye vizuri kwenye sautii aisee kuna makelele Yani (distortion) ni hayo Tu.
@OmarSeafood
@OmarSeafood День назад
Ebwaaa eee kuna huyu jamaaa anaitwa mwaduke ni bonge moja la mchambuzi ukimsikiliza lazima kuna kitu unajifuza ni kweli hili Goli ni lilifanyiwa kazi mazoezini😮
@ZuhurafumaoHatibu
@ZuhurafumaoHatibu День назад
Hukutoka nje
@franccoz94
@franccoz94 День назад
MBONA HAMSEMI MPIRA ULIKUA UMETOKAA,AZAM MNAWAOGOPA UTOPOLO, PENATI HAMSEMI,MNASIFIA UTOPOLO NA USHINDI WA UDHURUMATII
@ennopromes8584
@ennopromes8584 День назад
Wakisema goal litafutwa au
@JumaMbambizi-k6c
@JumaMbambizi-k6c 8 часов назад
Nataka niseme kilio changu kisichonishia mpaka Kufa kwangu ni. Madeni ya ndani ya Serikali hayajalipwa kwa miaka mingi tunaohusika Unyonge umetukumba kutokana na Watendaji wenye Wivu wa Tamaa ya hela kutilia Ugumu wa kulipa HAKI ZA WATU.
@YusuphUdu
@YusuphUdu Час назад
Kwa stair yanamna hii yanga itachukua makombe mara kumi kumi ??? Rabda simba ahame rigi
@Ridhiwani-v7x
@Ridhiwani-v7x День назад
Kayoko ndo kaishindisha simba
@davidntowanga7717
@davidntowanga7717 День назад
no comment
@MsafirSteven
@MsafirSteven День назад
Simba wanayo shuli mm renad Joseph kutoka sengerema mwanza tz 0:00
@MsafirSteven
@MsafirSteven День назад
Nami nipo musiniache
@Princeking-t4f
@Princeking-t4f День назад
Sijui hamuone mpira inje naona nyinyi pia mnakula pesa
@HusseinFeisal-m3l
@HusseinFeisal-m3l День назад
Ni kweli nmeona interview za abdul azizi akisema kua tumefanyia mazoezi hizi
@BlessMbogela
@BlessMbogela День назад
Me AZAM kuanzia leo😅
@GilbelineNkurunziza
@GilbelineNkurunziza День назад
Yani simba badosana kuifunga yanga tani bado😅😅😅😅😅
@thrillingpoint2132
@thrillingpoint2132 День назад
Nyie ni wachambuzi wa karanga mnazingua ina maana hamuoni kuwa huo mpira ulitua nje baada ya kuchezwa na golikipa? Huu ni upuuzi pro max yaani licha ya kuwa na screen kubwa bado hamuwezi kuchambua matukio. Shame on you wachambuzi na refa wenu wa hovyo
@Princeking-t4f
@Princeking-t4f День назад
Hio ni corner mpora upo inje nanyinyi mpo kimya eti uchambuzi mnakula
@Princeking-t4f
@Princeking-t4f День назад
Tuna macho mpira umenda inje kabisa nashanga nyinyi kuka kimya hating sana pesa hio
@LameckLulimbiyeNdalifanye
@LameckLulimbiyeNdalifanye День назад
Yeye angeuacha tatzo misifa huwajui Simba eti anaweza kalikologa alinywe sasa
@adamrusheke2454
@adamrusheke2454 День назад
Porojo toeni hukumu moja kwa moja acheni histolia za kuungaunga
@pascalPembamoto
@pascalPembamoto День назад
HUO MPIRA ULITOKA NJE KABISA,SIMBA INAONEWA SANA.
@vicenttarimo2203
@vicenttarimo2203 День назад
Kwanza mbona tofauti na mpira kutoka pia wacheji wa yanga walikua Of said
@rashidsaid1092
@rashidsaid1092 День назад
Mbona hawachambui zile penalti walizonyimwa simba ...hamna uchambuzi hamna lolote
@jumannemohamedy1456
@jumannemohamedy1456 День назад
Nyie AZAMU ni waulize kwani mli nunua VR ije kuwa urembo wa Taifa ama mme nunua VR ije kuwa urembo kwenye jumba lenu la AZAMU mmna ukosea sana mpira wa miguu
@MhinaKulewa
@MhinaKulewa День назад
Azam hawana mamlaka ya kununua VAR na kuifunga kwenye uwanja wowote bila Tff kuhusika. Kama unataka VAR waulize Tff sio Azam
@NURUSAIDMAULID
@NURUSAIDMAULID День назад
M😂😂😂Pira ulitoka inje😅cona ilitakiwa
@BahatiMgallah
@BahatiMgallah День назад
Imeisha hiyo point tatu
@Princeking-t4f
@Princeking-t4f День назад
EKKEKKEKEKEKEKKE INACHEKESHA WACHAMBUZI HAWAONI MPIRA NJE INASHANGAZA TZ HAKUNA HAKI KABISA WACHAMBUZI WENGI KWENYE STUDIO ETI HAWAONI CORNER HIO
@HusnatShabani
@HusnatShabani День назад
Siogoli mpira ulikuwa umetoka njee refa wenu kayoko kakaa kimia
@Shaban-m7k
@Shaban-m7k День назад
Iyo ndio mipango ya soka
@AltamimSoud
@AltamimSoud День назад
Hapa wachambuzi wote sioni kama wanafuatilia vizuri maana kama kumeamuliwa kuna VAR na wakiangalia uzuri mpira alioruka kamara na ulitulia nnje ukarudi ndani sasa nchi za wenzetu ndio wanagutilia matukio hapa wanalaumu kipa na simba sio marefa na ma VAR wanaofuatilia hawajaliona la mpira kutulia nnje ukarudi ndani alipojaribu kuudaka kipa ??
@GodlistenNdetaulwa
@GodlistenNdetaulwa День назад
Yanga imeshindikana Africa ,Simba kwani sio ya Africa au, ataachwaje na Yanga bila kulizwa!????
@mianjotv1244
@mianjotv1244 День назад
Mpra ulitoka nje
@GodlistenKamnde
@GodlistenKamnde День назад
Ninyi pia huwa niwachambuzi wa mchongo, mnawaogopaga Simba hamuwaelezi ukweli. Waambie hao Simba alie wagharimu ni kipa wao mechi mbili sasa, aache utoto, sifa zimemzidi matokeo yake asababisha goli
@naimasbuguza2395
@naimasbuguza2395 День назад
Camara ni kipa mzur lakin Hana kocha mzr na hajawah kupata kocha mzr. Anatumia kipaji chake tu Bila professionalism au akili yake... Ikiwa mchezaji anakipaji inahitajika apate kocha atakaye muongezea mbinu na akili ya kiuchezaji.. Kamara anafanya makosa yakitoto for the second time..
@babycandycharles7816
@babycandycharles7816 День назад
Kweli kabisa faulo inapigwa michezaji ya simba yote imeduwaa tu ivimashabiki hawaliononi hili onawachezajiwao walivoduwaaa wanashangaa mpaka Max anaenda kupiga mpira yenyewe ikaatu kimya mwisho inaenda kujifunga yenyewe hahahah hongeleni wachambuzi kwakuliona ilo
@simonIbrahim-hc8vm
@simonIbrahim-hc8vm День назад
Yanga Bingwa💪
@EmanuelMinja-fv9dn
@EmanuelMinja-fv9dn День назад
Simba wamepamban kupunguza goli nyingi
@selemankishema5780
@selemankishema5780 День назад
Hata kama vipi kipa alitakiwa aokoe kwa kutoa nje sio kuurudisha ndani au kuudaka hata kama alidhani mpira utaingia golini kwakuwa ulikuwa mpira uliopigwa pembeni mwa goli
@HajiAthumani-z9e
@HajiAthumani-z9e День назад
Mpira unaonyesha ulitoka na lazimeni alikua karibu kashindwa kunyanyua kibendaea?
@Cheka_upasuke
@Cheka_upasuke День назад
KAYOKO hafai kuwa na bag ya FIFA maamuzi ya kifala sana
@PhilipoLeonard-q5w
@PhilipoLeonard-q5w День назад
Mbona hamsemi offside wachezaji wanne mwamuzi anaangalia tu
@SafarKuhaha
@SafarKuhaha День назад
Mbaka. Mseme na hajasema
@EnzoKaisedo-t9s
@EnzoKaisedo-t9s День назад
Tusipo wafunga wanajifunga wenyewee
@BoniphaceNkiya
@BoniphaceNkiya 9 часов назад
Baba mbwaduke halipingwii hilo
@KhamisShaur-wt3fk
@KhamisShaur-wt3fk День назад
Ulitoka nje
@ALBERTNyemba-uk3fr
@ALBERTNyemba-uk3fr День назад
Muulize faluduro kwann komment akuna😅😅😅😅😅
@harunkaluona7779
@harunkaluona7779 День назад
Mbona mpira mbona umedunda nje.nyinyi mmeng'ang"ANIA kwenye hili.
@nelsonerasto6048
@nelsonerasto6048 День назад
Wapumbav kwel hao kwenye mpira mbn hawachambui kwamb umetoka au haujatoka kitaalam
@AugustinhoManyangaunitedboetz3
Sasa watachumbuaje mpira ambao aujatoka ukiona kitu akichambuliwi jua akijatokea
@GeofreySolomoni
@GeofreySolomoni День назад
Mpira ulitoka
@GetrudeSusuma-pe5ui
@GetrudeSusuma-pe5ui День назад
Dah goli la mchongo
@LinusKyando
@LinusKyando День назад
KILA MKIMUWEKA KAMARA IMO
@allytwalib7787
@allytwalib7787 День назад
hiv na simba hii wachezaji wamehongwa? au yanga wapo mbali kiuwezo
@rukaiyakondo5265
@rukaiyakondo5265 5 часов назад
Eee wachezaji tumehongwa, tutashinda siku tukipenda
@allymtanga8127
@allymtanga8127 День назад
KAMA SAUZI TUU😅😅😅😅😅
@AliSaleh-x9e
@AliSaleh-x9e День назад
Kipa anaanika nguo kavu
@errydeo8865
@errydeo8865 День назад
Kipa au beki,kama huna UHAKIKA, MPIRA UNAUTOA NJE ili wenzio wajipange! Hiyo ilikua school boy error! Diara huo ujinga HAFANYI! HUYU KIPA HAMNA KITU! kesha i cost simba 5 POINTS kwa makosa ya kitoto!
@johnnyome8292
@johnnyome8292 12 часов назад
hapo kipa ndo mpumbavu
@habarimatukio3985
@habarimatukio3985 День назад
MPIRA ulisha toka mbona golikipa kaushikia nje
@rachelbujuli4487
@rachelbujuli4487 День назад
Mechi irudiwe😂😂😂😂😂
@piussangu7963
@piussangu7963 День назад
Gamond ni anga zingine nyie
@user-nb2iq6el3y
@user-nb2iq6el3y День назад
kiukwel mpira umeonekana na ukubwa ndo huoooool
@LinusKyando
@LinusKyando День назад
MNASHANGAA KUFUNGWA GOLI MOJA?LEVEL YENU NI KENGOLD,KMC,
@rukaiyakondo5265
@rukaiyakondo5265 5 часов назад
Tunashangaa mnavyojitambia sehem ambapo hapakutakiw kuwa nafaulo, na sehem ambapo mpira umetoka nje na eti mnajifny hamuon
Далее
ОН У ТЕБЯ ЗА ДВЕРЬЮ!
22:33
Просмотров 450 тыс.
1 Subscriber = 1 Penny
00:17
Просмотров 48 млн
MSUKUMA "AVURUGA" bunge Zima, AKINUKISHA Balaaa!!!!!
10:02