Тёмный

Mahubiri ya Askofu Dkt. Msafiri Mbilu, aliyoyatoa kwenye Ibada ya Jumapili ya Tarehe: 09/09/2024 

KKKT DKMS Online TV
Подписаться 7 тыс.
Просмотров 650
50% 1

Ibada ya Jumapili Siku ya Bwana ya 14 baada ya Utatu,iliyoambatana na tendo la kuingizwa kazini kwa Mkuu wa Jimbo la Tambarare Mch. John Ndimbo na kuingizwa kazini kwa Wajumbe wanne wapya wa Halmashauri Kuu ya KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki pamoja na Mkurugenzi wa huduma za Jamii Mwl. Afizai Vuliva na Mkurugenzi wa Uchumi Mipango na maendeleo Pendo Lauwo.
Ibada hii iliyofanyika katika Jimbo la Tambarare Usharika wa Korogwe,iliongozwa na Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Mch Dkt. Msafiri Joseph Mbilu. TAR:01/09/2024
TUFUATILIE KUPITIA MITANDAO YETU:
INSTAGRAM - / elctned
FACEBOOK ACCOUNT North Eastern Diocese
FACEBOOK PAGE - ELCT-North Eastern Diocese
RU-vid - / KKKT DKMS Online TV
WEBSITE : elctned.org/
KWA MAONI NA USHAURI:
Simu : +255 743 399 798

Опубликовано:

 

19 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 4   
@faithmangesho2081
@faithmangesho2081 19 дней назад
AMEN Mtumishi wa Mungu
@MichaelKingazi-wm7xj
@MichaelKingazi-wm7xj 19 дней назад
Among the one bishop, Among those with higher Technical in.preaching, napenda huwa anatoa.mifano hai, maandalizi katika kutoa neno.lazima tufanye maandalizi mazuri, ndio mahubiri yetu yakubalike.Amen
@MichaelKingazi-wm7xj
@MichaelKingazi-wm7xj 19 дней назад
Nawiwa kuongea zaidi hapa, kupitia mahubiri ya baba askofu kwa uelewa wangu, kumbe watumishi wetu wakifanya maandalizi mazuri wanaweza kuzuia wimbi la wamama wengi na wengine wanaokimbilia VISHOKA WA INJILI Amen.
@MichaelKingazi-wm7xj
@MichaelKingazi-wm7xj 19 дней назад
Walawi gospel group arusha Tanzania 🇹🇿 Tunashukuru baba tunajifunza nasi umetugusa hapa walawi, kuna jambo hapa la sisi kujifunza hapa kama watumishi, lazima tufanye jambo kwa wahitaji japo kwakweli huwa tunafanya, tusidharau wito wa kuwasaidia wenye uhitaji ili watu wakiulizwa waseme ni sisi tumefanya, tufanye competition na yule msamaria mwema.Amen
Далее
Salamu za faraja kutoka kwa Dean Amasia Mweta
27:04
Просмотров 2,1 тыс.
Mch Moses Magembe -  WANYAMA WANNE
2:07:36
Просмотров 145 тыс.
IBADA YA JUMAPILI 30 JUNI 2024
1:56:48
Просмотров 3,1 тыс.