wewe ni baba wa UKWELI ,ona ulivyomsaidia huyu binti ,Nabii Geordavie,Nabii Mkuu Nakuombe Mungu akupe maisha marefu,kwani hata mimi bila wewe nisingefika hapa nilipo,nakupenda wewe baba wewe 🙏🙏
Naomba nami nitamkie kufunguliwa Baba naitwa Anna Ndunguru nimekupenda Sana Baba navyoona unawafungua watu nafrahi hadi nalia nataman sana nikuone cjui nifanye nn
😅😅😅😅😅 Wanaume Sie Sio Watu Wazuri Kabisa Daah yani Vijamaa Vinagonga tu Vinaacha ilimbidi Atafute Mzee Huwenda Akatumia nae daah Nando inavya Kuwaga Mkitulingiaga Sana Badaee Mkija Kubuma Basi Wazee Wenu Wanajisevia Mizigo Poleni Sana
Baba naitw jesca Paulo naomba nitamkie kuhus famlia yangu kuna ugomvi mara kwa mara hatuelewan lkn sku zngine hali inakuw kawaida naomba nisaidie pia hakun ktu tunakifany kiendelee mwanaume anafany kaz hela haionekan
INASIKITISHA,Kwa hivyo uyo mungu atashuka mwenyewe kutoka mbinguni amfungue na ampe hela ya kwenda moshi na kurudi mtwara Huyu ni NABII MKUU KINYWA CHA MUNGU.
Naitwa Lydia.Niko Kenya Nabii Mkuu. Nataka kukuona, sijui nitafikaaje huko. Niombee ili Mungu aniwezeshe kufika huko Arusha. Sijawahi toka inje ya nchi yangu Kenya