Тёмный

Maisha ya mfanyabiashara wa ngono Sierra Leone 

BBC News Swahili
Подписаться 619 тыс.
Просмотров 855
50% 1

Zaidi ya miaka minne, mtengenezaji wa filamu Tyson Conteh amefuatilia maisha ya wafanyabiashara ya ngono katika mji aliozaliwa wa Makeni, Sierra Leone, na kuweka wazi hatari wanazo kutana nazo, uraibu wa dawa za kulevya na vifo ambavyo wengi wao hukabilianavyo kila siku.
-
#bbcswahili #sierraleone #biasharayangono
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili

Опубликовано:

 

18 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 3   
@FreedomBiafra
@FreedomBiafra 2 дня назад
Hii ni mbaya! Hakuna hata mmoja wa watoto na dada zetu anayepaswa kupitia haya. Nchi zetu zinatushinda.
@rosemarymwanitega7926
@rosemarymwanitega7926 День назад
Lakini BBC SWAHILI lalamiko langu kwenu kwann hajatuletea hii habari yote jamani
@benhamza5649
@benhamza5649 2 дня назад
Kumuita kua ni "MFANYABIASHARA" sio sahihi ki sheria na kiutu kama mwana adam pia. Hajawekeza kwa kupendelea! I think it is time to start taking action against the like you @BBC as you often undermine Africans by pretending to help. All we know you choose your WORDS very carefully . shenzi nyie!
Далее
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
28:24
Просмотров 1,8 тыс.
Jose Chameleone: Gwiji wa muziki Afrika Mashariki
2:59
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
28:21
Просмотров 6 тыс.
Somalia, Sexism and Me - BBC Africa Eye documentary
6:07
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
28:25
Просмотров 9 тыс.
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
28:10
Просмотров 7 тыс.
Matangazo ya Dira ya Dunia TV Alhamisi 18/07/2024
28:10