Тёмный

Makamua feat Chidi Beenz - TELL ME WHY 

Makamua
Подписаться 4,6 тыс.
Просмотров 24 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

8 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 39   
@mwanampotevudigital9884
@mwanampotevudigital9884 8 месяцев назад
2024 bado ngoma kali! Hisia za mapenzi zilikuwa nzuri sana kipindi hicho!
@hafidhissa4405
@hafidhissa4405 2 года назад
I wish hii ngoma ingekua na video❤ Old is Gold. Enzi zetu nyimbo ukisikiza tu lazima ziishi sio sasa watu wanaimba matusi na ujinga tu. Big up Makamua pamoja na benz
@KibweOnlineTv
@KibweOnlineTv Месяц назад
2024 miaka kumi na wanae hivi Imepita Ahsante mungu kwa Afya njema 😢❤🙏
@herrysimonmakandi9337
@herrysimonmakandi9337 Год назад
Nadhani 2008 songi hili nilikuwa nalisikiliza on repeat. Na kaflash kangu flani kwenye subwoofer la masela hostel. Dah! Makafamua, Wakali Kwanza Kwanza.
@adaking2786
@adaking2786 6 месяцев назад
2024..old gold man..😢
@viwawamwenge2412
@viwawamwenge2412 2 года назад
Kaliii sana alafu hiii comment inatoka moyoniii by JOCO
@innocentmboya8480
@innocentmboya8480 Год назад
Huyu jamaa amewahi niliza na hii ngoma mashairi na ujumbe matata❤❤❤
@severinndunguru6270
@severinndunguru6270 Год назад
makamua Mbona ukamui tena Mzee? Old is gold broo
@kamdinindevu5185
@kamdinindevu5185 2 года назад
Game nyeupe aina muimbaji kama wew na gjay kaka
@mgazaabeid5873
@mgazaabeid5873 Месяц назад
Makamua kamua kaka!
@Richbtz
@Richbtz 2 года назад
Bonge la Ngoma 💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥
@MudyAbuu-tx8lw
@MudyAbuu-tx8lw Год назад
Wakali kwanza kwenye ubora wao hao watu walibamba knm
@kassimulega7043
@kassimulega7043 Год назад
Memories! Speechless😢
@nacophai.t2601
@nacophai.t2601 Год назад
Mfanye tena hizi mzifanyie remake muongeze na manjonjo na mavideo
@mudyabuu4664
@mudyabuu4664 Год назад
Fundi dah wakali kwanza nimewamisi san
@hermankihugu6796
@hermankihugu6796 2 года назад
Try to put your songs on Spotify please
@barakawatu9226
@barakawatu9226 Год назад
Song brand truck was released from 2008, Makamua from wakali kwanza featuring Chid benz from la familia, 💯💯💯.
@costantinejoseph4907
@costantinejoseph4907 Год назад
chid jmn dah
@inocentlema5574
@inocentlema5574 2 месяца назад
Usichezee na Chid Benzino✌️
@Arapmisemo
@Arapmisemo 2 года назад
Simba cheed💯
@MichaelLimu
@MichaelLimu 10 месяцев назад
Makamua na anaendeles kukamuaaaaaa.😊
@FrankKajoba-v9f
@FrankKajoba-v9f 8 месяцев назад
Waimbaji kama Hawa siku hizi hawapo tunasifia matakataka TU 😢
@ummyhadjat6432
@ummyhadjat6432 Месяц назад
Ngoma kali sana,Makamua anajua sana,mwenye namba ya Makamua pls
@waitaramwita4923
@waitaramwita4923 Год назад
Chid Benz 🔥
@jonesmarwa4913
@jonesmarwa4913 Год назад
LEGENDARIES WHO LIVED BEFORE THE FUTURE OF THEIR FANS MUSICALY UNDERSTANDING, AND WHEN TZ MARKET WASNT READY .by jones.
@jofreymsomba4652
@jofreymsomba4652 8 месяцев назад
Noma sana hii
@FrankKajoba-v9f
@FrankKajoba-v9f 8 месяцев назад
Daa waimbaji kama Hawa siku hizi hawapo tunasifia matakataka TU siku hizi😢
@zaqwishashaban
@zaqwishashaban Год назад
My favorite
@marylutengano1555
@marylutengano1555 7 месяцев назад
Everyday every time I sing this song
@kamdinindevu5185
@kamdinindevu5185 2 года назад
Rud kaka
@NikomachipsMakuya-fn1fu
@NikomachipsMakuya-fn1fu 5 месяцев назад
sikia dogo pambana uludi unajua sana
@fredrickraphael1624
@fredrickraphael1624 Год назад
Good music alive!
@mgazaabeid5873
@mgazaabeid5873 Месяц назад
Kama saa dakika na sekunde vinge rudi nyuma basi ningekupa moyo wangu ungeona jinsi gani unavyouchama!!!! Duuh unyama ni mwingi sana! Kama umemuelewa Makamua gonga like yako tujuane!!!😂😂😂😂
@gameonmwanza
@gameonmwanza 11 месяцев назад
tell me why haupo kwenye game had sasa, we miss you bro
@sheyla9004
@sheyla9004 Год назад
Lyrics please
@Self_ish-l6i
@Self_ish-l6i Год назад
Nilipo kuwa naanza kujua maumivu ya penzi nlikuwa natamani Dunia ijue nlivyokuwa nkiumia 😜😄
@innocentgeorge1117
@innocentgeorge1117 Год назад
🎉🎉ata Mimi kaka we acha tu hiii ngoma Kali kinoma🔥
@humphreycned4056
@humphreycned4056 2 года назад
Tell me why hatari sana
@Bill_sailor1
@Bill_sailor1 Месяц назад
😢
Далее
Makamua feat Enika - Rudi Nyumbani
4:40
Просмотров 101 тыс.
marlaw ft chidi Benzi - bado umenuna audio track
4:45
НАШЛА ДЕНЬГИ🙀@VERONIKAborsch
00:38
Просмотров 303 тыс.
БЕРЕМЕННА В 16 - 5 ВЫПУСК (МАМА В 16)
1:53:50
QJay feat Joslin - Sifai (Official Music Video)
4:27
Просмотров 228 тыс.
diamond ft chidi BENZ  nalia na mengi
4:34
Просмотров 47 тыс.
Wanoknok
5:00
Просмотров 28 тыс.
Ali Kiba Feat Chidi Benz - Far Away
4:37
Просмотров 437 тыс.
Mashallah (feat. Mzee Yusuf)
4:59
Просмотров 565 тыс.
Langa Kileo ft Chid Benz - Ninaposimama
4:01
Просмотров 82 тыс.
НАШЛА ДЕНЬГИ🙀@VERONIKAborsch
00:38
Просмотров 303 тыс.