Тёмный

EXCLUSIVE NA CHID BENZ AFUNGUKA "ROMA HAJANILIPA, NILIKUWA NA HELA NYINGI ZAIDI ALIYONIPA GEORDAVIE" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 128 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 286   
@mbarakkhalid117
@mbarakkhalid117 8 месяцев назад
Chidi anathamini utu zaidi ya vitu hyu ni legendary god bless him
@mcnyota
@mcnyota 8 месяцев назад
God*
@maufijose2294
@maufijose2294 8 месяцев назад
Huyu Jamaa Dah! Mungu Ana Kitu Kikubwa Sana Amempa Kichwan Kwake Ila Mengine N Madhaifu Ya Kiubinadam Tu! This Man Is So Smart
@fatumamfumia4507
@fatumamfumia4507 8 месяцев назад
Kuna kitu watu wengi huwa hawajamuelewa Chidi japo wanamchukulia kama CHIZI. Hii kichwa ina akili sana (GENIUS) tatizo binadamu huwa tunapenda kuongopewa huyu jamaaa anangeaga ukweli mtupu. Natamani sana ningekuwa na uwezo kifedha ningekuwa hata mfadhili wake ila basi tu. Namuombea sana kwa MUNGU arudi tena juu zaidi kwny mziki Inshaallah
@venasalbert3930
@venasalbert3930 8 месяцев назад
Don't say that I am the one who makes him on trending but I am happy because he trusting me to collaborate with him. This man is Genius.
@PaulEbby-n4r
@PaulEbby-n4r 8 месяцев назад
President of Dar City
@Whoisthismantalking
@Whoisthismantalking 8 месяцев назад
broken watch tells right time twice a day.
@JackPatric-x7o
@JackPatric-x7o 8 месяцев назад
Kweli uyu Jamaa napenda jisi anavyoo kuwa mkweli ndomana watch Wanamaker zarau just bcz yupo open Sanaa
@jdanny497
@jdanny497 8 месяцев назад
Well said
@uwezokinahi7870
@uwezokinahi7870 8 месяцев назад
This dude is smart
@thadeusmahendeka4466
@thadeusmahendeka4466 8 месяцев назад
Hakuna kitu kibaya kama wewe kuwa sawa halafu kila mtu anakwambia hauko sawa au anafanya vitendo vya kuonesha hauko sawa.. inafika muda unakua completely hauko sawa, angekua mtu mwengine angegoma hata kuhojiwa maana daily anaulizwa same shit na kila anaekutana nae first impression kwake ni kumuona Hayuko sawa.. Mwenyezi Mungu amsaidie azidi kuwa bold💪🏾.
@modelka222
@modelka222 8 месяцев назад
yes. hasa watanzania tunapenda saana kufanya wengine waonekane wehu. hata watu wa karibu huwa wana hii shida
@STEVENKAJUMBA
@STEVENKAJUMBA 8 месяцев назад
Ujumbe mzuri sana
@Gabonfreeman
@Gabonfreeman 8 месяцев назад
Chid Benz Ana Akili ya ajabu Sana 🎉🎉 proud of him 💪
@dj_jmoon_tz
@dj_jmoon_tz 8 месяцев назад
Ukirudia hii interview mara 4 na hujaielewa ubongo wako ni mdogo saana chid ni genius
@ngellamickyofficial
@ngellamickyofficial 8 месяцев назад
Inahitaji utulivu wa akili sana kumuelewa Genius Chid
@Pathro_Cavosia
@Pathro_Cavosia 8 месяцев назад
Chidi Is so Impressive and Motivating Wallai May Allah Guide and Protect Him Daima.
@officialchidibenz
@officialchidibenz 8 месяцев назад
Kwanini kila kitu ni madaawa..mnataka niongee kama nani tufanane.
@NgaizaKimbeNgaizakimbe
@NgaizaKimbeNgaizakimbe 8 месяцев назад
Mungu Akupiganie Ila Na ww Jitahid utoke Huko Tunakupenda Chid One Love..
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 8 месяцев назад
chid Benz upo sahihi alienda Kumpa pole na hakufikiria atapewa pesa,, wakati anapewa hakuwa na furaha nazo
@boscokikoti
@boscokikoti 8 месяцев назад
Mungu akubariki sana chidi benz uwe kama zamani
@sydneympiluka7959
@sydneympiluka7959 8 месяцев назад
Chidi anauwezo mkubwa sana wakufikiri. Na #anautu_sana na ukiona humuelewi anachokiongea #chidi jua wewe ndo umechanganyikiwa ❤❤
@alimatambwe3402
@alimatambwe3402 8 месяцев назад
He can do it,ni msani mzuri sana,and this guy is so smart more than you think 🤔
@MichaelKarema
@MichaelKarema 8 месяцев назад
This guy sio crazy... ako tu sawa, na angekua chizi hangeweza kuimba kwa umakini kwenye hii ngoma
@aishamohamedi362
@aishamohamedi362 8 месяцев назад
Uyo ndo chid benz ❤❤❤❤❤❤❤kaka yangu nakupenda sana yaan ss watu mliyo sema chid benz yupo na njaa ayo ndo majibu yen
@whiteAfrican83
@whiteAfrican83 7 месяцев назад
Dah Ukiacha mengine chid ni mmoja tu Respect bro
@nabbeely5295
@nabbeely5295 8 месяцев назад
Daah the respect alotoa na akakiss the ground for ngweaaa daah chidiiiiiiiiiiiiii salute
@levygasper7438
@levygasper7438 8 месяцев назад
M Ayo Tv Nawapenda sana from Burundi 🇧🇮 🎉❤ lakini an day interview na Bg Fizzo please 🙏🙏
@stephenmwanzake
@stephenmwanzake 8 месяцев назад
Naweza msikiza Chid siku nzima. Ana mambo, ana ushauri na ana mwanga rohoni mwake. Waja wasiskize mambo mabaya ya kumchafua mtu mzuri. Jamaa ana advices nzuri sana
@goldenjunior_tz
@goldenjunior_tz 8 месяцев назад
This guy ni genius
@devidjav3583
@devidjav3583 8 месяцев назад
Much love kwa chid i wish atakubali kuna tatizo na atafute msaada kweli.
@mikasiadventures6709
@mikasiadventures6709 8 месяцев назад
Kwani yeye tu Chidi ndio ataishi Aki complain hajasaidiwa Na kila Mtu 😊
@SuzyMukhawana
@SuzyMukhawana 8 месяцев назад
Nice chidbenze👍
@Daladalamedia
@Daladalamedia 8 месяцев назад
You have a deep heart Chid Beenz, forever in my heart and praying hard for you.
@waelewaclassic1824
@waelewaclassic1824 8 месяцев назад
Jamaa yuko Sawa Sana..! NAMWOMBEA KWA MWENYEZI MUNGU AMUONGOZE INSHAALLAH na Nchi Pia Pamoja Na Watanzania Watambue Huyu Jamaa Ana akili gan..!! Mwisho Niseme Tu.. MWENYE AKILI ANATAMBULIKA NA MWENYE AKILI MWENZIE same To Some One CRAYZ👋👋
@issasaad3403
@issasaad3403 8 месяцев назад
Chid ana real luv kutoka moyoni kabsaa
@merrynancesimon1562
@merrynancesimon1562 8 месяцев назад
Chidi benzi❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥🔥🔥🔥❤️❤️
@erickdioniz8277
@erickdioniz8277 8 месяцев назад
Chid safi hiyo nimeikubali sana
@MulababazOG
@MulababazOG 8 месяцев назад
Chidi benz noma sanaa Bonge la genius
@Mwenyekiti1118
@Mwenyekiti1118 8 месяцев назад
Dah Huyu jamaaa ana AKILI sana sikiliza mpaka Mwisho
@Sebastian-ul7wg
@Sebastian-ul7wg 8 месяцев назад
Legendary welcome back brother
@richie_Jk
@richie_Jk 8 месяцев назад
Chid akiwa katika hali hiyo still bado kawazidi uwezo wa kufikiri wasanii wengi sanaa... sijui kabla ya dawa alikua je.. ila chidi kwenye wasanii genius top three yangu yupo akiwa na hali hiyohiyo
@koalaness8921
@koalaness8921 8 месяцев назад
Nipe top 2 yako walobakia
@richie_Jk
@richie_Jk 8 месяцев назад
Unju na Fidii
@agustinealberty
@agustinealberty 8 месяцев назад
am from Japan but leme say Huyu msenge anaakili sana
@irenematari6218
@irenematari6218 8 месяцев назад
Aki chidi kumuelewa yataka uwe very keen anauliza kingine anajibu kingine 😂😂😂but we got love for him❤
@butondodavid2105
@butondodavid2105 8 месяцев назад
Ubongo wako low IQ huwez muelewa
@hari_meshi
@hari_meshi 8 месяцев назад
Drugs are a bad thing to human
@alexwatae3165
@alexwatae3165 8 месяцев назад
Unaongea vzur sana tatizo kila unapoongea point pia kuna nguvu ya dawa nayo inajitahid kuongea..Mungu akutangulie
@ericmuthiani1676
@ericmuthiani1676 8 месяцев назад
Wewe shoga Sana...dawa za mamako
@Whoisthismantalking
@Whoisthismantalking 8 месяцев назад
I love this 😅
@mfalmekaitaba2425
@mfalmekaitaba2425 8 месяцев назад
​@@ericmuthiani1676we ndo shoga sasa
@ulimbombonaulindi5088
@ulimbombonaulindi5088 8 месяцев назад
Duh, dawa mbaya sana. Get well soon kong.
@zenawahindi2425
@zenawahindi2425 8 месяцев назад
Chidi 🎉🎉 ukweli unauma ila watu hubadilika i can feel he has changed but still watu bado tunamfatafita chidi yule aliyekuwa namajanga yake ya zamani tujifunze k appreciate the way he is now and try to support him mentally, emotional, financial big kwa roma hajaangalia his pastlife but his talent
@FrenkMwaitambila
@FrenkMwaitambila 8 месяцев назад
Ira serikar ingekuwa inaangalia wasanii wetu kabla awajatoka katika uso wadunia uyu tumtizame kwajicho lakwanza kabisa mtu mhimu sana uyu katka taifa
@ramadhanomar8346
@ramadhanomar8346 8 месяцев назад
It is about love
@walinaziontime7300
@walinaziontime7300 8 месяцев назад
Roma super but chiddy ni super since Long Time chiddy ni super msela
@VicentMillanzi-tw9qe
@VicentMillanzi-tw9qe 8 месяцев назад
Nakosa kuelewa chidy ana tatizo gan...watu wanajaribu kumrudisha kwenye njia lakin Bado aelewi....ila chidy Ujui kama tunakukubali?
@MichaelJames-tp6co
@MichaelJames-tp6co 8 месяцев назад
P1 sana chidi, big up sana mzee
@fischerkashaija3214
@fischerkashaija3214 8 месяцев назад
Halafu nyie mnae muhoji chid benzi mnamuharibia sana aonekane ni mtu wa kulalamika yan mbna mna roho mbaya aisee mwana anajitafuta nyie mnamleta maswali ya kikuda aonekane analalamika yan
@dullahzebuffa
@dullahzebuffa 8 месяцев назад
Safi sana aiseh
@Immahjr
@Immahjr 8 месяцев назад
Chid Benz mtu poa sana
@ZabourahIthnain-cz5vm
@ZabourahIthnain-cz5vm 8 месяцев назад
Chidi for life
@ezekiambise2595
@ezekiambise2595 8 месяцев назад
Mungu amsaidie.
@michaelvincentmhagama337
@michaelvincentmhagama337 7 месяцев назад
Upholding humanity
@AniziaKamanzi
@AniziaKamanzi 8 месяцев назад
Salute bro
@africanscience_chiefkissensi
@africanscience_chiefkissensi 8 месяцев назад
Chid anamaadui wasiotaka Aendelee kuwa Kwenye Nafasi yake, wengine wanajikosha kuwa karibu nae ila Makwilo Still yupo na kipaji kikubwa. ChidKing🇹🇿
@saidilome-ue2df
@saidilome-ue2df 8 месяцев назад
Ngoma ile kali sn kuanzia beat na lyrics,Chidi amemmeza Roma kbs.
@damianjeremia3821
@damianjeremia3821 8 месяцев назад
Chidbenz jina kubwa mjini lakini mwenye jina walaaa hajali wala nini🎉
@onesmolwambano9349
@onesmolwambano9349 8 месяцев назад
Fact
@bittersweet1683
@bittersweet1683 8 месяцев назад
I like this
@Chrishenryson-beats
@Chrishenryson-beats 8 месяцев назад
Bro we Roll❤❤
@salimaziz9858
@salimaziz9858 8 месяцев назад
Kuna kipande kimekatwa 16:58
@kinotasontravel2093
@kinotasontravel2093 8 месяцев назад
Chiz Benz big up bro
@JonathanNsweve
@JonathanNsweve 8 месяцев назад
Chini ni noma
@Heal-with-Dodo
@Heal-with-Dodo 8 месяцев назад
Nyie chid hayupo sawa😕
@JamesReginald-d7c
@JamesReginald-d7c 8 месяцев назад
Jomba ni noma sana Benz
@zerochanneltanzania3797
@zerochanneltanzania3797 8 месяцев назад
STAMINA & ROMA WANAMPENDA CHIDY BENZ KI KWELI KWELI. “Wengine wanamcheka”
@roberttaigo9216
@roberttaigo9216 8 месяцев назад
jamaa yuko very concsious sana,akili kubwa sana
@kalmaarufuofficial74
@kalmaarufuofficial74 8 месяцев назад
Chidi ni wazokubwa sana🔥🔥
@Gabonfreeman
@Gabonfreeman 8 месяцев назад
Kumuelewa chid inaomba akili 🧠👈 Sana 🙏😅🎉🎉🎉
@linusjoseph8454
@linusjoseph8454 8 месяцев назад
Yani huyu jamaa madawa yashamuaribu ata awezi kujitambua
@RabiaIddi-ci2uz
@RabiaIddi-ci2uz 8 месяцев назад
We nae dharau nyingi ndo maana husaidiki sasa mtu hata akikupa laki moja ulikuwanayo? halafu chid wewe sio kwamba wasanii hawakupendi bali wewe ndo hutaki kubadilika 😢ila mungu akusaidie kwakweli
@WaziriRamadhan-ML
@WaziriRamadhan-ML 8 месяцев назад
Ni kosa sana kusema pesa uliyopewa ni ndogo sn kumbuka hela ya kupewa bila jasho sikuzote ni kubwa sn ht ikiwa elufu 7 tu!
@Josephkp629
@Josephkp629 8 месяцев назад
Amna hela bila jasho unazan kaenda kwa mguu arusha
@filberth_Mchilo
@filberth_Mchilo 8 месяцев назад
Huyu Jamaa kuvimba haachagi hata awe kapuku Namna gani 😅😅
@WaziriRamadhan-ML
@WaziriRamadhan-ML 8 месяцев назад
@@Josephkp629 tumia akili wewe kwan arusha aliitwa? au ye alijiendea tu ye mwenyewe kwa madai alienda kumuona mfiwa,sema tu ye chid kikubwa pale alilenga hela na alijua atapewa ht milion kazaa kitu ambacho haijawa hivyo na kupatwa na hasira maana ile kauli yake siyo kbs na kwa mtu mwenye akil nying anajua tu
@FadyFs
@FadyFs 8 месяцев назад
@@WaziriRamadhan-ML kwani ni milion10 ile?
@snaidertv1857
@snaidertv1857 8 месяцев назад
Chid alienda kumuona mfiwa then mfiwa anampatia pesa ndio maana hakuifurahia alifeel bad
@minhokid
@minhokid 8 месяцев назад
Nimecheka et oooh chidi sijui kaiba ooh sijui nini, wanaficha ndani
@chiefshonelyzbeth5844
@chiefshonelyzbeth5844 8 месяцев назад
Safi sana
@noelkibere8208
@noelkibere8208 8 месяцев назад
Ushakuwa wenge BCBG aisee
@AnicethSulo
@AnicethSulo 8 месяцев назад
Chid ameharibu show siku ya chrismas kimara korogwe huwez amin huyu jamaa analewa hatari mpaka alitapika stejin akaondoka hakuimba tena acha unga bro😢
@Whoisthismantalking
@Whoisthismantalking 8 месяцев назад
Ukweli useme tu
@WillsOffuture-ux5tf
@WillsOffuture-ux5tf 8 месяцев назад
Sasa aacha unga au pombe??inshort arudi kamilikamili madawa yapo daily..piga pesa jenga maisha yako vitegauchumi..then fantastic hizo starring zako benzino
@emmanueljackson5445
@emmanueljackson5445 8 месяцев назад
Bro kwel anaroho nzuri afu anakipaji
@kinotasontravel2093
@kinotasontravel2093 8 месяцев назад
Chiz sio mbinafsi 100 💯
@demask3423
@demask3423 8 месяцев назад
Dakika ya 12 umeongea point. Mtu akikutukana jitafakari... Hata na wewe ujitafakari uone ni kwanini watz wanakutusi.. chid punguza unga na pombe.. utafika mbali.
@nyamweririchard5945
@nyamweririchard5945 8 месяцев назад
Binafsi sina uwezo wa kufanya jambo lolote juu ya Chid ila Naamni maombi yangu yatamsaidia,huyo ni Azina kubwa sana kwa Muziki wa Bongo
@isalohsk4762
@isalohsk4762 8 месяцев назад
Chungeni mapenzi yenu mnapopenda watu yasifanye upumbavu ukue, chidi tunampenda lakin ni mpumbavu,look at him age inaenda you think lini atatoboa but maybe kivingine sio muziki ..In fact
@MalickMazikublood-gq2fs
@MalickMazikublood-gq2fs 8 месяцев назад
Hiyo nimeipenda pipa na mfuniko😂😂😂❤❤
@malikzafarani172
@malikzafarani172 8 месяцев назад
Jamaa yuko really sn 🇶🇦
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 8 месяцев назад
Tuseme tu ukweli huyu jamaaa ameeenda
@neviyuzzle3905
@neviyuzzle3905 8 месяцев назад
Nice
@catewahu6860
@catewahu6860 8 месяцев назад
Chidi mungu tu nfio atamsaidia aache vitu anatumia ako na kitu ndani yake talented 😅
@Yb_the_killer
@Yb_the_killer 8 месяцев назад
Chid Benz king Kong chumaa...He come back in town 💥🔥🔥
@AmaniMcharo-wn3ul
@AmaniMcharo-wn3ul 8 месяцев назад
REspeCt chid benz 😂😂😂
@hancykajanjathelimitmusic427
@hancykajanjathelimitmusic427 8 месяцев назад
Hakika bro chidy
@d-manb-free3478
@d-manb-free3478 8 месяцев назад
Pale alikuwa Chod benz Leo ni Rashid 😂😂😂
@newforcejv9721
@newforcejv9721 8 месяцев назад
Kabla ujamponda huyu bwana kasikilize vyote sizani kama hakuna kitu utofunguka lipo la kushika katka 10 anayo yatamka
@collinsstanley6126
@collinsstanley6126 8 месяцев назад
Say no to drugs😎
@officialmanji4438
@officialmanji4438 8 месяцев назад
King Kong 😮
@KulekatsengeHaruni-sb6qc
@KulekatsengeHaruni-sb6qc 8 месяцев назад
Uyu namshangaza Hana shukrani.
@victorvedasto7349
@victorvedasto7349 8 месяцев назад
Huna akili wew
@snaidertv1857
@snaidertv1857 8 месяцев назад
Shog we
@butondodavid2105
@butondodavid2105 8 месяцев назад
Hujamuelew jamaa amekanusha kwa akili sana sababu lilikuwa swali la mtego kuwa alienda arusha kufuata pesa kwahuyo na bii ndio maana kajibu mimi nilizishka nying na hakujua kama makanisa yanato pesa
@hclever7731
@hclever7731 8 месяцев назад
Et pipa na mfuniko😂😂😂 Ila jamaa anaakili mingi,, ila pia inahitaj akili mingi kum understand
@MakalaSimulizi
@MakalaSimulizi 8 месяцев назад
😂😂😂😂😂anakula kwa hasiraaa
@mackhanssa2484
@mackhanssa2484 8 месяцев назад
Anakula KWA hasira sana😂😂😂
@amrozwhite1073
@amrozwhite1073 8 месяцев назад
CHIDI HAWAJAMMJULIA HUYU TAHIRA
@bikangala2448
@bikangala2448 8 месяцев назад
Problem with thought process
@sadathboutique6253
@sadathboutique6253 8 месяцев назад
Kiukweli chid kawa mwehu😢
@nitumesokoni3164
@nitumesokoni3164 8 месяцев назад
Sio kwamba wew ndio mwehu?
@sadathboutique6253
@sadathboutique6253 8 месяцев назад
@@nitumesokoni3164 basi km ujatambua kuwa mwamba akili haipo sawa inabidi na wwe uombe ndugu zako wakupeleke milembe ukaangaliwe😀
@ericmuthiani1676
@ericmuthiani1676 8 месяцев назад
​@@sadathboutique6253wewe akili poa but your nothing...chidi ni chizi lakina uku kenya tuna sing along goma zake...kaa na mamako chorea mastar uko ligi ya mafans bro...uko chini shoste
@mwaisode
@mwaisode 8 месяцев назад
Sahihi kaka dish limanza kuyumba unaambiwa xmass alilewa akatapika stejini
@Whoisthismantalking
@Whoisthismantalking 8 месяцев назад
Ukweli usemwe tu
@mrsinia3064
@mrsinia3064 8 месяцев назад
Chid benz mtu hatari sana....Dsm bila chuma is not true 👊👊 #muda #chidbenz
@mdumashop7423
@mdumashop7423 8 месяцев назад
Mtu anaakil sana huyu
Далее
Dakika 10 Za Maangamizi  : Chid Benz | Planet Bongo
11:24