Тёмный

MAKONDA AONESHWA PICHA ya MAMA ALIYEKATWA MKONO BAADA ya KUBAKWA na KULAWITIWA - AHUZUNIKA... 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 27 тыс.
50% 1

MAKONDA AONESHWA PICHA ya MAMA ALIYEKATWA MKONO BAADA ya KUBAKWA na KULAWITIWA - AHUZUNIKA...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 39   
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 2 месяца назад
Bro Makonda, nikwambie neno moja tu, mwenyezi mungu azidi kukulinda, ameen 🤲
@sylvestermitanda3502
@sylvestermitanda3502 2 месяца назад
Muheshiwa Makonda Mungu akutie nguvu na akulinde kwa k unachapa kazi kuwasaidia Watanzani Mkoani Arusha
@LovelyOmbreSky-pu4jt
@LovelyOmbreSky-pu4jt 2 месяца назад
Kaka wewe mungu akulinde sanaa ktk kazi hii uliyolisi kutoka kwa babayetu magu
@ajuwazaglodim7645
@ajuwazaglodim7645 2 месяца назад
Mungu akutie nguvu na akulinde mheshimiwa! Nimelia machozi kumusikia huyu mama akizungumzia hili tukio😭
@jacksonjamesndyabawe471
@jacksonjamesndyabawe471 2 месяца назад
Uozo mwingi sana tanzania.. Huu ni unyama gani.. Kama hao watu wafungwe maisha.. Pole sana mama
@pastoreliwkimaroni8332
@pastoreliwkimaroni8332 2 месяца назад
Mungu akulinde Makonda
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 2 месяца назад
Wallah haya matukio ya ubakaji yamekuwa tishio kwa Taifa zima Mungu atunusuru na vizazi vyetu. Halafu wabakaji hawachukuliwi hatua wapo tu
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 2 месяца назад
Aaamin.
@frolencejovenary667
@frolencejovenary667 2 месяца назад
The guy is very humble, respectively and so on.
@JudetyMbila
@JudetyMbila 2 месяца назад
Mungu akulinde,uendelee kusaidia wanyonge
@dativachuwa3566
@dativachuwa3566 2 месяца назад
Mh!Mungu akubariki mno chochote kinachotumwa juu yako hakina mamlaka katika Jina la Yesu
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 2 месяца назад
Mungu awe nawe makonda nakukubali Sanaa toka kwa magu🙏🙏🙏🙏piga virungu wara rushwa
@AhmedAli-x8w9e
@AhmedAli-x8w9e 2 месяца назад
Oyaaaa makonda nirushie nomber Yako nikupe gifti
@AhmedAli-x8w9e
@AhmedAli-x8w9e 2 месяца назад
Aiseee uyo brother ni hatari
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 2 месяца назад
Safi Baba kigani mungu akulinde siku Zote🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@JosephAnangisye
@JosephAnangisye 2 месяца назад
Mkuu wa wilaya wanamlalamkia ni tatzo anakul kodi zetu tu
@husseinmrisho8601
@husseinmrisho8601 2 месяца назад
Mungu akulinde umekuwa faraja kwa wengi
@ullujaffariyohani1186
@ullujaffariyohani1186 2 месяца назад
Siamini kama ni Tanzania😢 Police ndiyo chanzo cha matatizo yote haya hawafannyi kazi zao😢 😢
@Nedjadist
@Nedjadist 2 месяца назад
Sidhani kuna nchi raia wake wanadhulumiwa kama Tanzania, ukitoa nchi zilizo vitani.
@DeogratiusAndrew-zi7zv
@DeogratiusAndrew-zi7zv 2 месяца назад
Huyo Dc aangaliwe vizuri hayuko nawewe huyo ,akiwa nawe nimwema lakini akiwa nawengine niadui huyo,
@HAIKALYImO-u3k
@HAIKALYImO-u3k 2 месяца назад
Mungu akutangulie kwa kila jambo
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 2 месяца назад
Laanahtullah hao n kua tu, wamekula utamu saa mkono wamemkata ynn,
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 2 месяца назад
Jesus
@sergebaleke695
@sergebaleke695 2 месяца назад
Makonda tatizo lako unapenda kujisifu mwenyewe acha watu wakusifu bhana
@cyliruta5021
@cyliruta5021 2 месяца назад
Rubbish 😊
@rashidmsuya5721
@rashidmsuya5721 2 месяца назад
Kwaiyo apo kajisifu wap?
@dativachuwa3566
@dativachuwa3566 2 месяца назад
Wewe hayajakukuta kwa familia yako laiti ungejua huyu mama alivyoteseka selina hospital ya Ngaramton
@OmbeniMwalupindi
@OmbeniMwalupindi 2 месяца назад
Amejifu nn hapo.ukimchikia mtu mchukie kwa sababu zako binafs.sio kumponda
@MariamJames-b5x
@MariamJames-b5x 2 месяца назад
Hapo kajisivu nini au nawewe niwalewale
@ullujaffariyohani1186
@ullujaffariyohani1186 2 месяца назад
Nchi haina hata haki za binadamu shem on Tanzania
@allyfutto8763
@allyfutto8763 2 месяца назад
Jembe!
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 2 месяца назад
NAKUKUBALI MUESHIMIWA MAKONDA UBALIKIWE KWA UMAKINI WAKO ❤❤❤
@JeanBaptisteBasumingera
@JeanBaptisteBasumingera 2 месяца назад
Tanzania munasema hakuna vita kuna vita zaidi ya kuonewa. Nyinyi maoga tu
@CholoFaizaan
@CholoFaizaan 2 месяца назад
Niwatanganyika hao cci wazanzibar hatutaki huo ujinga
@CotridaKigwile-d6p
@CotridaKigwile-d6p 2 месяца назад
2025 tunahitaj Rais yani akitoa saut au agizo linafanyiwa kaz kwa mda huo R.lp pombe tutakukumbuka
@beneginoboniface
@beneginoboniface 2 месяца назад
Hivi Sheria ya maadili inajulikana kweli haya mambo Ili yaweze kuisha ni lazima kutimiza Sheria ya maadili MTU akibaka ni lazima sehemu aliyotumia kubakia kukatwa MTU akiua ni lazima auawe hiyo Sheria inahitajika kuwekwa wazi
@beneginoboniface
@beneginoboniface 2 месяца назад
Akiua kwa makusudi ni lazima auawe kwa namna Ile ile
@pastoreliwkimaroni8332
@pastoreliwkimaroni8332 2 месяца назад
Hilo nitatizo lakitaifa yapo mengi sana
Далее
Women’s Celebrations + Men’s 😮‍💨
00:20
MUWEKEZAJI MKUBWA AMVUNJA MBAVU RC MAKONDA, SEMA UNA..
18:49
Women’s Celebrations + Men’s 😮‍💨
00:20