Тёмный
No video :(

MAKONDA APELEKA MADAKTARI ZAIDI YA 450 KUTOA HUDUMA JIJINI ARUSHA 

Habari Digital
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 5 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

21 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 16   
@lucascosmas908
@lucascosmas908 Месяц назад
Haloo uyu apa kiongozi makini m'bunifu mwenye roho moja ya kizalendo na watanzania hakika mm nina kuombea siku moja ukamate nchi hii yaani sijui itakuaje ivi awa jamaa kwann awakuigi mkuu aisee ww ni hatari ongera mungu akubariki sisi tunasema tupo pamoja na ww salute mh. Paul makonda
@merymbise5763
@merymbise5763 Месяц назад
Magufuli mwingine huyu ,Mungu azidi kukulinda kwa utendaji kazi wak mzuri 😘🙏🙏 zoezi hilo litakua maeneo gani
@user-dd8ud2gk4l
@user-dd8ud2gk4l Месяц назад
Jaman tunaomba mipango namikakati kama hii ifanyike hata jijini kwetu Dodoma, Mungu akubariki sana mh Paul makonda
@sabinajoseph9297
@sabinajoseph9297 Месяц назад
Amina mungu akulinde na akuongoze katika KAZI zako unazozifanya akuepushe na watu wabaya
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 Месяц назад
Naamini ukipata nafasi ya u Rais...tulikokuwa tunaelekea na JPM tutafika kwa Kasi kubwa.... Mungu nipe hekma ya kutenda na kuongoza vema watu uliowaweka katika usimamizi na utegemezi wangu.,..ili ukiniweka juu ya wengi utukufu upewe wewe uumbae mioyo ya heri kwa waja wako...
@user-dd8ud2gk4l
@user-dd8ud2gk4l Месяц назад
Nakumbuka Kuna sku pindi magu ametutoka, Nape alizungumza bungen yakuwa legas yakiongoz Huwa haipotei ikiwa nzri hvyo legas yamagu haitopotea kwakuwa makonda ni miongon mwaviongoz wachache sana tz wanaoienzi legas hiyo. Anafanya kwavitendo ingawaje najua pia kwake kuna vita kubwa sana unaendelea kuififisha legasi hyo, barikiwa sana mkuu
@user-bc2hc4xn9v
@user-bc2hc4xn9v Месяц назад
❤❤
@stephanokanyika6321
@stephanokanyika6321 Месяц назад
Hongera makonda kwa kazi nzuri iyo
@gladistaemanueliy6336
@gladistaemanueliy6336 Месяц назад
Amina makonda mungu akubariki
@esthersissamo1120
@esthersissamo1120 Месяц назад
Amina mkuu wetu Makonda asante sana kwa hilo ni faraja kubwa sana Mungu akupe maisha marefu yenye afya tele pamoja na familia yako Mungu ibariki Tanzania na wananchi wake
@robsonlotyloy5678
@robsonlotyloy5678 Месяц назад
Safi sana kaka. Du! Mungu hakubariki sana na hakuepushe na mabaya.
@user-qp6so3bf3p
@user-qp6so3bf3p Месяц назад
Hongera jembe
@MubinaRoshan
@MubinaRoshan Месяц назад
Amin amin amin
@daudimichael7338
@daudimichael7338 Месяц назад
Kiongozi wa mfano!!
@user-qj2fz8uq3j
@user-qj2fz8uq3j Месяц назад
Hv kna sababu gan ya makonda kutopewa kit Cha urais mm nashindwa kuelewa rais anatakiwa awe na sifa zipi
@user-ym6hd7xh3g
@user-ym6hd7xh3g Месяц назад
Makonda ana heka heka jamani.
Далее
Sevinch Ismoilova - Xayollarim 18-Avgust 19:00 Premera
00:19