Тёмный
No video :(

MAKONDA NAOMBA UNILINDE, SIOGOPI KUFA/ MKUU WA MKOA HAWEZI, VITISHO VINGI/ MKURUGENZI HAFAI KABISA 

Uhondo TV
Подписаться 596 тыс.
Просмотров 96 тыс.
50% 1

#UhondoTV #Uhondo

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 170   
@pyelesyamwakatika540
@pyelesyamwakatika540 6 месяцев назад
Sijutiii kupoteza Mb zangu kuangalia mikutano ya mwamba Makonda
@abinelgaitan2428
@abinelgaitan2428 6 месяцев назад
Mh kaka yang makonda mungu akulinde na kukusimamia katika kz unazozifanya za kutetea wanainchi
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 6 месяцев назад
Ondoa huyo Mkurugenzi bomu mama Samia makonda anakusaidia sana mpe ulinzi mkali wasimuue
@user-dc4gz7ue9k
@user-dc4gz7ue9k 6 месяцев назад
Makonda.uko vizuri sana
@susananyasani6526
@susananyasani6526 6 месяцев назад
Maskini Wakulima wanashida kubwa sana na Mavuno katika kuuza Sokoni sababu ya utaratibu usiofaa
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf 6 месяцев назад
MAKONDAA JESHI LA MTU MMOJA , AKIMHESHIMISHA MHE RAIS MAMA WA TAIFA LA TANZANIA MHE DKT SAMIA SULUH HASSAN, KAZI IENDELEE 🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤❤❤.
@GodfreyNsenga-kk6ut
@GodfreyNsenga-kk6ut 6 месяцев назад
Kazi iendelee❤❤❤❤❤❤❤❤ Samia suluhu hassan my president
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 6 месяцев назад
Watendaji wa serikali ni tatizo Tanzania.
@msafiridaffa4045
@msafiridaffa4045 6 месяцев назад
Hongera sana mh makonda watanznia wamechoka na maonevu watete mheshimiwa.
@eizerbitz6715
@eizerbitz6715 6 месяцев назад
mahakama zetu hazina kazi kabisa ukifatilia hizi ziara
@gaudencemhagama7216
@gaudencemhagama7216 6 месяцев назад
Mimi ndo huyu mkuu wa mkoa wa RUVUMA simkubali kabisa mnafiki sana huyu hana uwezo wa kuongoza mkoa yupo kama robot tuu
@mtahogarashid8488
@mtahogarashid8488 6 месяцев назад
Pamoja Mkuu tunachotaka ni haki tu Mzee.
@user-eu4ml4gu2z
@user-eu4ml4gu2z 6 месяцев назад
Upumbavu huu upo hapa kwetu mtu kahangaika kukopa kulima mwenyewe akivuna anapangiwa namna ya kuuza.
@hamisally9255
@hamisally9255 6 месяцев назад
Mhe mkonda una kazi Hawa viongozi wilaya mkoa Ni mafisad. Pole
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 6 месяцев назад
Makonda wasaidie wakulima wanyonge maskini walalahoi wazee wamachinga wansonelewa sanaaaa
@fabianmwinuka1395
@fabianmwinuka1395 6 месяцев назад
Nafatilia sana hizi ziala za mh makonda ,tatizo lililoko kwa Sasa watumishi wamejisahau Sana kiutendaji ,wanachosubili ni tarehe za mishahara na rushwa tu basi ,hii itatupa wakati mgumu Sana kwenye chaguzi zetu zijazo ,natamani Sana hizi ziala ziwe zinabeba vichwa vya watumishi wasio wajibika
@marwa2862
@marwa2862 6 месяцев назад
I really like this kind of leadership. May God bless Mr. Mwakonda.
@elipidhugotesha1909
@elipidhugotesha1909 6 месяцев назад
namna hii hatutoki mkutano ndo umfundishe mtu kazi Mhr Rais kuna.la kufanya apo kuhusu wasaidiz wako
@user-gg6re2gk6b
@user-gg6re2gk6b 5 месяцев назад
Mungu akulindee mweshimiwaa wetu😢😢
@herryignasy8711
@herryignasy8711 6 месяцев назад
Makonda unahekima kubwa kama nabii Suleiman mimi Essau wa Makambako nakuona ukiwa mzima utakuja kua Rais mwenyewe maamuzi mazuri Mungu akushindie kila hitaji lako
@hamisally9255
@hamisally9255 6 месяцев назад
Mhe mkonda hiyo tabia ya viongozi wilaya mkoa ipo sehemu nyingi mkoa manyara mwaka Jana walikuwa wanawazuia mbaazi wauzie manyara hauruhisiwi kupeleka Arusha Kilimanjaro getini waziia wanapewa rushwa na wanunuz wanatuonea tu
@mussahancy6591
@mussahancy6591 6 месяцев назад
Huyu mwamba,huyu,Mungu aendelee kumlinda,Naanza kuamini kuwa magufuli hajafa.
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh 6 месяцев назад
Chezea wananchi hahahaha
@pyelesyamwakatika540
@pyelesyamwakatika540 6 месяцев назад
Mungu mlinde Makonda asipatwe na chochote umfunike kwa damu ya Yes in dah name of Jesus
@AdamSaffi211
@AdamSaffi211 6 месяцев назад
How many Makondas do we need in this country? Probably 10 more. Poleni sana!
@timothymoshi5800
@timothymoshi5800 6 месяцев назад
Mkuu, wananchi wako wanakuona Mwongo. Na aliyekuteua anasikia na kuona wanavyokuita mwongo. Je? Mkuu, unakisikiaje??
@user-md7ug5dd9r
@user-md7ug5dd9r 6 месяцев назад
Makonda kwa sasa mungu atakuinua sana . Usikate tamaa kuwasaidia wanyonge
@user-su6ku1ol2l
@user-su6ku1ol2l 6 месяцев назад
M/Mungu amekuepusha na ajari waache waloge mtegemee Mungu.
@emilianchibinda82
@emilianchibinda82 6 месяцев назад
Oneni sasa faida ya kukaa ofisini!!!Mkiambiwa tembeleeni wananchi hamtaki!!!!
@MwajumaAbdalah-pg7jr
@MwajumaAbdalah-pg7jr 6 месяцев назад
kaka angu makonda huna baya mungu akuweke miaka mia
@danielkanso
@danielkanso 6 месяцев назад
Hapo sawa na makonda nimekuelewa jinsi ulivyo treat huyo mkuu wa mkoa maana angekuwa mwingine angeficha hapo sasa huu ni wakati wa wananchi kusimama nakuamua kile wanachokitaka wao na siyo viongozi kutuamulia
@susananyasani6526
@susananyasani6526 6 месяцев назад
Anayesungumza achaguliwe kama Mkuu wa Mkoa
@ClaveryMwasomola-lh5ev
@ClaveryMwasomola-lh5ev 6 месяцев назад
Namkubali sana makonda.kwani watanzania wengi sio wasema kweli ndo maana mtu akiongea ni adui hivyo wengi wanamuona ni kujipedekeza
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 6 месяцев назад
Makonda uyoo
@user-de2rg9kk7u
@user-de2rg9kk7u 6 месяцев назад
MAKONDA HOYEEEEEEE! 😃🙌
@user-nv6vy3tt4h
@user-nv6vy3tt4h 6 месяцев назад
Duh wananchi wa ruvuma mmenishinda tabia😂😂😂😂
@awadhally1052
@awadhally1052 6 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂😂
@dicksonmatulile1523
@dicksonmatulile1523 6 месяцев назад
Hili la gharani makonda unalichengesha ili liishe kihuni
@kizitokhaissy7150
@kizitokhaissy7150 6 месяцев назад
Anatakiwa kiongozi kama huyu ili kupokea matatizo ya wananchi barikiwa Mh Makonda
@JeremiahMwalukosya-eh5nf
@JeremiahMwalukosya-eh5nf 6 месяцев назад
Nchi kwelii ilikuwa Haina uongozi ilikuwa nawadhalimu watupu hii nchi inaitaji kwelii ukombozi Toka Kwa watawala hawa waovu
@elizabethantidius9991
@elizabethantidius9991 6 месяцев назад
Ingependeza kama tungepata na Majina ya wazungumzaji na vyeo vyao
@danielkanso
@danielkanso 6 месяцев назад
Huyu mkrugenzi kabanwa kweli kila tatizo et hajui hiyo ni hatari
@nixonjohnson4908
@nixonjohnson4908 6 месяцев назад
Mkuu wa mkoa ni kiporo huyo.. aondolewe tu
@fabianmwinuka1395
@fabianmwinuka1395 6 месяцев назад
Viongozi wetu wengi ni watoto na mabinam wa wajomba hawajui kitu kwakweli mungu atusaidie
@NsobiLema-wq9vh
@NsobiLema-wq9vh 6 месяцев назад
Sasa mbona mnachagua mikoa nakusikiliza kero
@emilianchibinda82
@emilianchibinda82 6 месяцев назад
Tembeleeni waananchi kwa nini mnakaa ofisini
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 6 месяцев назад
Huyu mkuu wamkoa na huyu rasi kwann wananongoneza .
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 6 месяцев назад
Hakuna ushirika ni utapeli mtupu
@user-fu1jq6py1e
@user-fu1jq6py1e 6 месяцев назад
Nakuamini makonda
@angelinakakulu1615
@angelinakakulu1615 2 месяца назад
Mungu tunakuomba umlinde kiongozi huyu.
@patrickakitanda7709
@patrickakitanda7709 6 месяцев назад
Makonda ni mmoja tuu Duniani hapa kuzunguka Tanzania nzima na bado Nguvu ipo ya kutosha si mchezo ni Roho wa Mungu anaishi kwa huyu Jama
@calvinjoseph
@calvinjoseph 6 месяцев назад
Honestly, Mh. Makonda! You are doing a great job. I hope you are what you do talk in public.
@MartinEmelan
@MartinEmelan 6 месяцев назад
hakuna mkuu wa mkoa apoo
@petermboje5839
@petermboje5839 5 месяцев назад
Makonda wewe mpana sana naunatumia vzuri elimu yako kwel kaka
@abdulrasulissa5063
@abdulrasulissa5063 6 месяцев назад
kwanza mageti mambo ya kizamani
@milkamalavaga1002
@milkamalavaga1002 6 месяцев назад
Bila kufanya hivyo watakuua kaka yangu
@gaudencemhagama7216
@gaudencemhagama7216 6 месяцев назад
Majiz tuu haya bora itokee tuu kama nuhu tufe tuu wote Dunia ianze upya
@nicodemashaggite8429
@nicodemashaggite8429 6 месяцев назад
Mmmm kufa mwenyewe😅😅
@awadhally1052
@awadhally1052 6 месяцев назад
😂😂😂😂😂.kwel yanauzi kwel haya majizi lkn usimuombe mungu alete azabu hyooo
@mybrain8940
@mybrain8940 5 месяцев назад
This is the system failure , look who gets blamed here CCM right, can't push the car when you are in t😂 you have given this people lot's of power
@user-km5jc6sv5f
@user-km5jc6sv5f 6 месяцев назад
Mafisadi wote hao piga kalamu Mara moja
@hamishassan6784
@hamishassan6784 6 месяцев назад
Yaani hatakama angesema nani kwa kuwa ni mwanadamu basi ni lazima afanye consideration maoni ya wananchi hasa kwenye mambo ya kilimo ambapo ndio watanzania wengi wamejiajiri. Hili kwa kweli limenihudhunisha sana tena sana. Nakuomba Mh Makonda usipunguze nguvu kwenye lile ambalo Rais Mama Samia amekuamini, Usimugope mtu yeyote hata kama awe nani. Msaidie Mama vizuri na hatakama unaona mahala pana mapungufu ya kikanuni au utaratibu Nakuomba Mshauri vyema Mama kwa uadilifu. Hao watu wanaonekana wanalima kweli na hata kama wakiwa wafanya biashara pia sio dhambi kwao bali angalia ni ipi kero ambayo ni vyema ikapatiwa ufumbuzi
@user-dd7mh6bk2j
@user-dd7mh6bk2j 6 месяцев назад
Hatariii
@valenakomba7686
@valenakomba7686 5 месяцев назад
MKOA WA RUVUMA MNATUONEA SANAA. WANA RUVUMA WAKATI UMEFIKA WA KUSIMAMA KIDEDEA KUPIGANIA HAKI ZETU. MIKOA YA WENZETU INENDELEA SANAA LAKINI SISI TUKO NYUMA KILA MWAKA. NA SISI TUCHACHAMAE. TUSIWE WATU WA NDIYO.
@kassimyusuph9470
@kassimyusuph9470 6 месяцев назад
MUNGU AKUZIDISHIE KK
@user-ek6on1rh9x
@user-ek6on1rh9x 5 месяцев назад
😂uwongooooo😂😂😂
@alimussa2655
@alimussa2655 6 месяцев назад
Hiii nchi kumamake dah
@riazshaikh8577
@riazshaikh8577 3 месяца назад
Makonda unapoteza time tu hao wote wezi, kk magu angekuwepo
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh 6 месяцев назад
Wananchi kwasasa hatuna woga tuchezee uwone
@josephlorri431
@josephlorri431 6 месяцев назад
Nchi imefunguliwa
@issakwisamwasanjobe541
@issakwisamwasanjobe541 6 месяцев назад
Jipu😮
@MariamuHamissiKaccdy
@MariamuHamissiKaccdy 5 месяцев назад
Tunamuomba mheshimiwa Makonda aje kilindi Tanga wananchi tunadhulumiwa hakizetu
@elieneapalangyo6938
@elieneapalangyo6938 6 месяцев назад
Jamaa kajitoa muanga?
@amanmyolo5359
@amanmyolo5359 6 месяцев назад
Mwenyezi Mungu ni Mjuzi Mwenye uwezo wake mkubwa na hatimae kamrudisha magufuri tunakushukuru ee mwenyezimungu tulindie Paulo makonda
@hemedchuma9-cq4nh
@hemedchuma9-cq4nh 6 месяцев назад
Watanzania wanakero nyng zngne za makusudi tu baadh ya watumish wanamfelsha mama.Je! Makonda mzgo huu utaubeba?.....mh cjui mwnyz Mungu akucmamie
@amospetro8789
@amospetro8789 6 месяцев назад
Makonda anauwezo mzuri sana kuliko
@selemantibaijuka8384
@selemantibaijuka8384 6 месяцев назад
29:28
@africayetutv329
@africayetutv329 6 месяцев назад
Mmmh 🤔🤔🤔🤔 tunakoelekea sio kama kwa sasa wananchi ni majasiri kuongea hivi mbele ya viongozi wao ipo siku uvumilivu utawashinda watawafuata kwa mikong'oto direct maana si kwa asira hizi duuh hata mwenyewe kwenye simu naogopa macho ya mshikaji as if anakuja kunigwida mimi
@godfreymsofe2366
@godfreymsofe2366 6 месяцев назад
Bashe
@israelmkaka2807
@israelmkaka2807 6 месяцев назад
Mkurugenzi Katili saana
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 6 месяцев назад
Wateuliwa wa raisi ni kansa. Utaratibu wa kuwapata ubadilike
@riazshaikh8577
@riazshaikh8577 3 месяца назад
Wezi wote hao
@richardchawenda5938
@richardchawenda5938 6 месяцев назад
MUNGU akubariki sana kaka
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 6 месяцев назад
Mkuu wa mkoa ana zingua asee 😢yani viongozi wetu njaa zme zidi sjui wana taka tufe maskini
@jacksonmalechera3424
@jacksonmalechera3424 6 месяцев назад
Chama
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 6 месяцев назад
Utumwa Bado upo
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 6 месяцев назад
Haswaa,bado hatuna uhuru kamili
@husseinbenson7965
@husseinbenson7965 6 месяцев назад
Safi sana
@user-my5yp6xx5s
@user-my5yp6xx5s 6 месяцев назад
aaah makonda Yuko vizuri kuliko Samia?mbona mnafichaficha tamka tuuu
@robertgibbe5501
@robertgibbe5501 6 месяцев назад
😂😂😂😂umefunguka chukua coca ya baridi nakuja kulipa
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 6 месяцев назад
Nchihii inawatawala kikatili kabisa huyufara makonda nikitukimoja ndgyangu watZ maccm tunachezewa kwelikweli yaani kesi yangendere umupelekee nyani , huuniupumbavu ccm imeoza inatupiga changa lamacho,
@michaelndilima6210
@michaelndilima6210 6 месяцев назад
Rais wetu ni mzuri na mungwana tatizo ni watendaji walio teuliwa.
@africandarling6925
@africandarling6925 6 месяцев назад
Wajumbe watu hatali sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Muongo muongo Aaaahhh wajumbe hatri mnoo
@riazshaikh8577
@riazshaikh8577 3 месяца назад
Mkuu wa mkoa hafai kabisa
@clarencehilary5588
@clarencehilary5588 5 месяцев назад
Unamwomba muuaji akulinde hii ni hatari
@idrissaabubakari859
@idrissaabubakari859 6 месяцев назад
Makonda kua kama magufuri bado sana😢
@donaldmwahalende4841
@donaldmwahalende4841 6 месяцев назад
Hana mamlaka ya kutumbua
@sumunichannel1034
@sumunichannel1034 6 месяцев назад
Cheo chake ndoo kinambana lakin nijembe
@janetchinga695
@janetchinga695 6 месяцев назад
Shida kubwa ipo jamani, ukilima ushindwe kuuza, uibe unakamatwa unauwawa pazuli nipati jamani 😢😢😢
@khalidballeth5957
@khalidballeth5957 6 месяцев назад
STAKABADHII GHALANI NI WIZI MTUPU,,,HATA ZAO LA PAMBA LIMEANZA KUFA KWA AJILI YA MFUMO HUO HU0
@dionisdominick5860
@dionisdominick5860 6 месяцев назад
Zao la Pamba halitumii huo mfumo
@ndolepeter2770
@ndolepeter2770 6 месяцев назад
Makonda Mungu wetu wa thaman akupiganie ila tunaelewa sasa wananchi ku Rais wetu c mbaya bali watendaji wake alie waamin ndy wabaya
@chachacharles7763
@chachacharles7763 6 месяцев назад
This is political economy Makonda hii ndio yenyewe
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 6 месяцев назад
Watu kama makonda wakonda, wako wengi, ila mifumo ya kuwapata makonda wengi umekufa.
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 6 месяцев назад
Walaka hipo kuwasaidia wananchi gani wakikenya 😂wacheni kuwanyonya wananchi kwa vyeo vyenu mtapigwa risasi wakulima wakichanga pesa watakuuweni kwa tamaa zenu wapumbavu wakubwa nyinyi 😂😂😂
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 6 месяцев назад
MH RAISI Wateuzi wako hao kila kona wanatuhumiwa uyafanyie kazi sio kumfanya makonda kama mzururaji tu. Alafu mrejesho hamna
@milkamalavaga1002
@milkamalavaga1002 6 месяцев назад
Makonda nenda chuo cha sayun kipo mwananyamala sokon ukajue utimilifu na unabii wa ujio wa pili wa Yesu kristo ambao uko katika kitabu cha ufunuo 1mpaka 22
@petermboje5839
@petermboje5839 5 месяцев назад
Mkuu wa mkoa hajui kitu hapo
@petroyohana1126
@petroyohana1126 6 месяцев назад
Ccm bye byee tanzania, makonda karibu chadema
@biteyalutataza7586
@biteyalutataza7586 6 месяцев назад
Rais akitoa kauli wao wanaitumia kula pesa
@valenakomba7686
@valenakomba7686 5 месяцев назад
UNAAMBIWA HUO NI UWONGO .
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 6 месяцев назад
Mama katoa vifaa na fedha za kuzuru mikoa yote lakini fedha(ruzuku) kwaajili ya kudhibiti mfumuko wa bei hatoi hana! Haya tatua madai ya watu wa songea na Peramiho jimbo la Waziri wa sheria na katiba Mh.Jenitsta Muhagama.
@kassimmuktarymurji4242
@kassimmuktarymurji4242 5 месяцев назад
Makonda ww shujaa pambana na matatizo ya watanzania, watanzania tunaamini unaweza kutatua
Далее
WILL IT BURST?
00:31
Просмотров 26 млн
Oh No! My Doll Fell In The Dirt🤧💩
00:17
Просмотров 6 млн
ЛОВИМ НОВЫХ МОНСТРОВ В LETHAL COMPANY
2:42:22
WILL IT BURST?
00:31
Просмотров 26 млн