Тёмный

Usiku wa Kuamkia Leo RC Hapi amuweka Ndani Diwani CHADEMA, KISA? 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 267 тыс.
50% 1

Mzee amekuja Mbele ya Mkuu wa Mkoa RC HAPI, na kuadithia Jinsi alivyobomolewa Nyumba yake na Diwani wa CHADEMA

Опубликовано:

 

28 сен 2018

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 656   
@godlovebtimbula5406
@godlovebtimbula5406 5 лет назад
this man is a true leader mamae namkubali uyu jamaaaa aseee... may the lord protect u my niqqah
@mgosiphilemon7111
@mgosiphilemon7111 5 лет назад
Safi sna kiongozi umefanya kazi nzuri. Wote mlio comment kwa kumlaumu mkuu wa Mkoa ndo wale wale tu wanachadema maana nyie hata mtu afanye mazuri ni lawama tu. Weka ndani hata mwaka akasome namba sisi ni mbele kwa mbele haturudi nyuma.
@alfredymwamba3146
@alfredymwamba3146 5 лет назад
mgosi philemon hata mm ni mwanachadema lakini Mkuu wa mkoa Yupo sahihi kabisa awekwe ndani uyo mama anachuki binafsi sio kaz ya chadema anayoifanya
@mgosiphilemon7111
@mgosiphilemon7111 5 лет назад
@@khamisrajab980 ni mwna ccm org na matusi usidhani yanasaidia jibu kisomi pengn lbd uwe hunaenda shule huna haja ya kutukana maana chadema hawakulishii familia yako wala hakuna unachofaidika nacho ndugu shida zako zitabaki pale pale wapo wanaokula ruzuku ya milioni mia tano. Ila ccm tunafaidika maana miundombinu inaimarishwa tunaitumia na nyie sote lkn pesa zenu mnazopewa na serikali hiyo hiyo mnayoshinda mnaikashifu hazijulikani zinafanya kazi gani.
@munaahmed8499
@munaahmed8499 5 лет назад
Mgosi 😂😂😂 tenaaaa
@munaahmed8499
@munaahmed8499 5 лет назад
@@khamisrajab980 khamis pole sana na utatukan sana lkn chadema hamjielew nyie hamna ubinadam na wanyam wakubwa msojua kutetea matatizo ya wengine pole kwa kuumia
@agreykayombo9612
@agreykayombo9612 4 года назад
Tumezoea kupinga hata jema.Makosa hayaangalii vyama. Kumbuka waliomkataa ni watendaji ambao waliamulishwa kwa kutumia cheo. Angefanya wa ccm mungepiga makofi lakini kafanya chadema kaonewa.
@alextzmmary5121
@alextzmmary5121 5 лет назад
Inauma sana huyu baba mungu amuwezeshe apate nyumba yakumtosheleza na familia yake
@gitu4me
@gitu4me 5 лет назад
Safi sana ifike hatua watu tuheshimu sheria na utendaji Ally happy jitahidi kabisa kurekebisha matatizo baadae Muwe wazalendo muongoze nchi Unajua mwalimu wa zamu akiwa mkali hata vilanja nao wanatenda kazi vizuri..
@frankemson
@frankemson 5 лет назад
Uongozi ni dhamana tu, Mungu tusaidie sana.
@user-xf9or5cv1d
@user-xf9or5cv1d Год назад
Asante mku wa mkoa mungu akubariki katika kazi yako
@danfordaugustino3461
@danfordaugustino3461 5 лет назад
Mbaya zaidi Yule Afisa TRA aliyedai rushwa ya mill 2 namuona akichangia elfu hamsini 50000
@kautharmohammed7868
@kautharmohammed7868 5 лет назад
"Huwezi kuwa kiongozi ukatumia madaraka yako kukandamiza watu... " R.C Ally Hapi.. Source: youtube video above
@athumanomary1438
@athumanomary1438 5 лет назад
Mwenyez MUNGU enderea kumuongoz kumrinda kumsimamia na kuzidi kuimalisha afya yake kiyongoz wetu mkuu wetu wa mkowa
@emanulmwaitege5531
@emanulmwaitege5531 28 дней назад
Mungu AMBARIKI SANA RC
@raymondkaswaga8334
@raymondkaswaga8334 5 лет назад
Hapi ndugu I am a lawyer too...tunatakiwa kuanza na investigation then Arrest... sisi ni nchi mwanachama wa mikataba ya kimataifa hasa ya mwaka 1966 ya haki za binadamu nadhani unaijua ambayo ni ICCPR na ICESCR... usisahau hilo... awe ameonea au hakuonea bado kuna rights zake ndani ya katiba na sheria za nchi....na miongozo mbalimbali... vyama tofauti lakini ni raia wa nchi moja hiihii sote tu watanzania
@mbowethaddeus8851
@mbowethaddeus8851 5 лет назад
tumepata janga la uongozi
@fadhilikawambwa6463
@fadhilikawambwa6463 5 лет назад
Pumba tu
@vumiliabakari6050
@vumiliabakari6050 3 года назад
Mama unaroho ngum penyewe umezaa
@vanessagoodluck7176
@vanessagoodluck7176 5 лет назад
Hatari ni mungu tu, Kama wew ni mtu hatari siku yako ya kufa goma usife Au pambana na izilaeli asiitoe rohoyako.. Hapo utakua mtu hatari.
@leonardjoseph5643
@leonardjoseph5643 5 лет назад
Vanessa Goodluck Vanessa Angekuwa mwanaume anafanyiwa hayo mge shangilia
@haidaryomary1669
@haidaryomary1669 5 лет назад
Fact
@user-wh5pw5uh9u
@user-wh5pw5uh9u 5 лет назад
Vanessa good luck BIG UP AND EXCELLENT
@ramadhanichaulembo1329
@ramadhanichaulembo1329 5 лет назад
Pingakazi hali hapi wewe ni kiongozi wa mfano kwa kutetea wa nyonge mungu akujalie sana
@msiiwazir1908
@msiiwazir1908 5 лет назад
Leo hii inaonekana nyumba iliobomolewa no hiyo moja tuu serekali mpaka Leo imebomoa nyumba ngapi na watu waliobomolewa mpaka Leo wanalala nje
@zedonomkichwe8930
@zedonomkichwe8930 5 лет назад
Acha ushabiki wa kikuda nyumba ivunjwe kwa mujibu wa sheria ss huyo mzee wa watu nyumba yake ivunjwe moja tu mtaa mzima isitoshe hata alikupanga akafuatwa na ana watoto 9ingeku ww ungekubali hizo nyumba za ubungo unazozifikira kuvunjwa zilishalipwa boya ww
@daudipiusi4307
@daudipiusi4307 5 лет назад
Hizo ni kampeni mnafanya
@huseniyahaya7485
@huseniyahaya7485 4 года назад
Ali hap yupo iringa 2 hawezi enda kila mkoa kama mkuu wako wa mkoa haitumi kama hy hayo ni juu yako
@tarzanshayo
@tarzanshayo 5 лет назад
Super work from you Rc, chapa kazi
@dullayomwinyi3359
@dullayomwinyi3359 4 месяца назад
Nakubali apige kazi
@AlAl-sd9pl
@AlAl-sd9pl 3 года назад
Upo vzr Sana mkuu wa mkoa wa iringa mungu akulinde 🙏
@user-sn7gy6cd5q
@user-sn7gy6cd5q Месяц назад
Hongela
@user-ev6bq9gf1f
@user-ev6bq9gf1f 5 месяцев назад
Wanaokuponda awajui uchungu wawatanzania kazi nzuri sana mkuu wamkoa nimefurai sana mueshimiwa appy ally
@EliaMwaijumba-jc9fj
@EliaMwaijumba-jc9fj Месяц назад
Cheo ni zamana ongera mkuu chapa kazi
@rashidibrahimshemlugu7845
@rashidibrahimshemlugu7845 5 лет назад
ishu sio siasa kiongozi gani unasimamia mwananchi wako anabomolewa nyumba yake ingekua sheria basi wangebomolewa wote nyumba,safi sana rc happi
@kadogoomushadi5409
@kadogoomushadi5409 5 лет назад
Yaani.hadi mwili unanitetemeka huyu mbayaa kwelii yaani mkuu Allah akupe maisha.marefu.
@gideonsospeterleonard433
@gideonsospeterleonard433 5 лет назад
sikudhani kama happy ni hatari, nimeamini ni hatari na kazi ya kuongoza watu haiwezi!
@martinamarugu44
@martinamarugu44 3 месяца назад
Be blessed
@kajanjaahamadi7550
@kajanjaahamadi7550 5 лет назад
hapi unajizalilisha na ccm yako maana unalazimishauongowenu wa naccm uwe ukweli na kk zenu tumezichoka
@evelyneroselusasila4687
@evelyneroselusasila4687 5 лет назад
👏👏👏 kazi nzur mh hap kaz, big up kwa mh Rais
@ustadhabdul-raufalmunaawiy6629
Mashaallah Ewee Allah mola wote, ihifadhi Tanzania
@ggmaths9636
@ggmaths9636 5 лет назад
Mzee nguvu ulizotumia Ni nyingi sana kuuwa sisimizi
@michaelsamson4784
@michaelsamson4784 5 лет назад
Nimecheka kwa sababu uyo mama atakushinda kesi ilo eneo nikweli ni hifadhi!!! Subiri utayapta majibu yake!!! Hahaha, poor happi!!!
@rosekyara2821
@rosekyara2821 5 лет назад
pumbavu Huyu
@emanuelmsangi6686
@emanuelmsangi6686 5 лет назад
Mimi ni mtu hatari sana! Kauli hii ingesemwa na opposition kungetokea kitu gani??
@mbowethaddeus8851
@mbowethaddeus8851 5 лет назад
wapuuzi kwenye uongozi wa kichaa
@yohanamsangi4717
@yohanamsangi4717 5 лет назад
Sijapenda kwakweli huu ni uzalilishaji
@vancesolomon6298
@vancesolomon6298 5 лет назад
CHADEMA mnahaha mtanyooka paka awamu hii iishe
@bakarimngazija6672
@bakarimngazija6672 4 года назад
Ni uongozi usiokuwa na sheriakuna polisi mahakama mpaka mkuu wa mkoa anakuwa juu ya sheria za nchi .
@twahiraliy3382
@twahiraliy3382 5 лет назад
T shirt la kijani kweli mambo ni moto
@fitinaelias421
@fitinaelias421 5 лет назад
Hawa vijana ni malimbukeni....huwezi kuwa kiongozi uka-treat wawakilishi wa wananchi namna hii..kuongoza watu kunahitaji hekima na busara....huu ni udhalilishaji uliovuka mipaka..mimi ni mtu hatari sana ??? ni kauli ya kipuuzi kabisa...hii si sawa!!!!
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 Год назад
Kwa sasa hana jipya na yeye.anaota joto ya jiwe
@andersonnyahove2867
@andersonnyahove2867 5 лет назад
Aisee kuwa mpinzani yataka kuwa na moyo mgumu sana, kinachotafutwa hapa ni mama wa Chadema wengine wanaingia tu. Mkuu wa Mkoa angetafta namna nyingine ya kulifanya jambo hli kwa sabab ya chain ya wanaotajwa kuwa wengi na wapo. Mama amewaambia wachunguze watapata majibu na ikumbukwe kwamba watendaji wa serikali wote ni makada wa CCM hakuna mahali ambapo viongozi wa upinzani watatetewa
@mussabuma9592
@mussabuma9592 5 лет назад
Mkuu pamoja sana sasa naanza kukuelewa mungu akuogoze
@lucymacha1853
@lucymacha1853 4 года назад
Safi Sana mkuu wa mkoa hlo limama sukuma ndani
@alexmurithi1327
@alexmurithi1327 5 лет назад
This is how Tanzania government work. Very sad!!! Sounds like a kamukinji government
@theophilkimaro9397
@theophilkimaro9397 Год назад
Baraka and
@fatumahassan8212
@fatumahassan8212 5 лет назад
Mheshimiwa mungu akubariki kwa kuwateteya wanyonge# nasikiya uchunguzi sana baadhi ya viongozi kwa dhuluma wanayoifanya ktk utendaji kz wao mungu wasimamiye viongozi wenye upendo na wananchi wao
@yohanakihongosiy361
@yohanakihongosiy361 5 лет назад
Fatuma Hassan mmmm
@msangimsangiz9967
@msangimsangiz9967 5 лет назад
MAKUBWA, ILA MKAE MKIJUA SIKU YA HUKUMU HATUTAULIZWA TILIKUA NANI DUNIANI ..YANGU MACHO NA MASIKIO
@tedlema8105
@tedlema8105 5 лет назад
acha kujisifu kijana,unajua tu Leo,kesho huijui
@zahraramadhan7130
@zahraramadhan7130 5 лет назад
Minakupenda tu mkuuu salute
@johnkihiyo6090
@johnkihiyo6090 5 лет назад
sijawahi ona uongozi wa aina hii!
@alexmurithi1327
@alexmurithi1327 5 лет назад
Very sad.
@gasperylwena1045
@gasperylwena1045 5 лет назад
John Kihiyo Kwaiyo mlizoea kuona nyumba zinabomolewa kiholela bila kuulizwa. kujenga kazi
@aureliabernadi4170
@aureliabernadi4170 5 лет назад
@@gasperylwena1045 kama umejenga sehemu sio lazima ubomolewe mbona ss bima tumebomolewa
@MultiMbongo
@MultiMbongo 5 лет назад
kwa hiyo za kimara na mahakama ilikataza kubomolewa na zikabomolewa zilijengwa kirahisi nini
@rajabmasoudkhamis4572
@rajabmasoudkhamis4572 5 лет назад
Mtu hatari !!! Hufai kuwa kiongozi . Kiongozi anaefaa anatakiwa kuwa mtaratibu na mwenye busars .
@judithmaziku4525
@judithmaziku4525 5 лет назад
Nimesoma comment nyingi ila nilichokiamini Leo hata utende mema huwezi pendwa na wote
@huseniyahaya7485
@huseniyahaya7485 4 года назад
Kweli kuna wengine akili zao ndogo kweli
@sagandamalechampullo659
@sagandamalechampullo659 5 лет назад
Acha usenge, mtu unamumwima furusa ya kijitetea kwa kuwa umekuja umemukamia, nyumba ngapi nyie CCM mmewambolea watu, huku Kimara Bomoaboa inawalaza watu nje mpaka leo
@kesterkanyala7718
@kesterkanyala7718 5 лет назад
Safi sana..
@kato_tz
@kato_tz 5 лет назад
A good leader is a listener, sikiliza mtu aongee amalize kisha toa maamuzi, It is one of the leadership skills, ila hata hiyo ya kukatiza katiza nayo ni skill pia ingawa mwisho wake huwa kuna upande ambao unaelemewa
@SteveShemsanga-il3ct
@SteveShemsanga-il3ct 4 месяца назад
Najuwa hapo anatimiza ilani yachama angekuwa ccm usinge sema akamatwe huo niuchama ndio unawasumbua
@rucdokibaha7668
@rucdokibaha7668 5 лет назад
very good
@asifiwemakela8462
@asifiwemakela8462 5 лет назад
wewe in MTU kama Mimi tu siyo MTU hatari mungu anakuona
@macksonmwakisisa8347
@macksonmwakisisa8347 5 лет назад
Ccm kweli haina jipa kwani huyo hape hana kazi au kikitu
@yusufumngoya611
@yusufumngoya611 5 лет назад
safi sana, kamata hao, ikiwezekana wachapwe viboko hadharani. safi sana
@user-ko2he4ij9i
@user-ko2he4ij9i 5 месяцев назад
Nyumba imebolewa ,kila mtu alikuwa anakata,saiz wameingia lain, Asante mkuu wa mkoa
@moseskaponda4948
@moseskaponda4948 Год назад
Mungu akubaliki Sana kiongozi mkuu wa mkoa
@muhammednassor3569
@muhammednassor3569 Месяц назад
Sumu ya makonda inafanya kazi Makonda big up and big up
@tumpaleluhanga1396
@tumpaleluhanga1396 5 лет назад
Hawezi kuwa mtu hatari. Ni mtumishi wa wananchi.
@shanunially114
@shanunially114 2 года назад
Rc hapi nimeupenda utendaji wa kazi yako mkuu
@abuibra
@abuibra 5 лет назад
MWESHIMIWA HAPI,TUNA KUSHUKURU KWA KAZI UIFANYAO MKOANI IRINGA,WAHEHE WAPOLE SANA LAKINI SIYO WAOGA KABISA KUNA MAMBO AMBAYO HAWAWEZI KUYAVUMILIA NA KUBWA ZAIDI KUVUNJIWA HESHIMA AU KUDHARAULIWA MBELE ZA WATU IKISHA FIKA MHEHE KUSEMA (SWELAA)BASI NDIO DUKUDUKU LAKE ATALITOA NA HATARI.
@husseinkulumbiza8894
@husseinkulumbiza8894 5 лет назад
Pole sana Mzee wangu,Mungu yupo Atatenda Haki,Muheshimiwa Mungu Akulinde Akutie nguvu,pamoja na watendaji wako.
@danielmsimbwa1807
@danielmsimbwa1807 5 лет назад
Mmmh apo km NI itikadi lifatiliwe vizuri mwshon limeharibu picha zima
@lloveyoutanzania5315
@lloveyoutanzania5315 2 года назад
Huyu dogo Happy ni kiongozi bora Tanzania yaani Magufuli katuachia jembe bora sana
@jossshilima4040
@jossshilima4040 5 лет назад
Kwa maaana hiyo sheria hazina kz ukimsikiliza vizur maana anapanga mpaka ciku ya kuwekwa ndan anatoa hukum tayar
@jipozeonline3983
@jipozeonline3983 5 лет назад
Kufanya kazi kwa mihemko ni shida sana busara hakuna kabisa kwa kweli yajayo yanafurahisha
@danyojoro8672
@danyojoro8672 5 лет назад
Tatizo kubwa LA nchi yetu ni Kuwa wanaongozwa na wanaoongozwa ni washabiki wa mambo ya hovyo hovyo
@boazjoseph3572
@boazjoseph3572 5 лет назад
Mbunge wetu wa Iringa tunaomba tetea haki za watu wako No right of speech /nimetoa machozi kwa yule mama kuto kusikilizwa na kutishiwa Mungu anawaona
@e11said23
@e11said23 Месяц назад
Sio kauli nzuri kumtisha mama
@hamismalendula1948
@hamismalendula1948 5 лет назад
cheo dhaman broo
@jamesrobare9995
@jamesrobare9995 5 лет назад
Nifikiri haya yana mwisho ndugu rejoice today but you mighty be carrying tomorrow. Continue time will tell.
@wakwetukabisa3150
@wakwetukabisa3150 5 лет назад
Hatari
@vicentsubeth2268
@vicentsubeth2268 5 лет назад
Daaaa,Mbn nmeona mapicha picha2 Iv ni kweli chuki za kisiasa bdo zipogo au!!!!
@piusmdoe3551
@piusmdoe3551 5 лет назад
mbona hapo ndio siasa ya wazi.
@LilianKisumbi
@LilianKisumbi Месяц назад
Wajaman kazzi kubwa wakuu wa mkoa mnafanyaaaa hongeren sana
@vanessagoodluck7176
@vanessagoodluck7176 5 лет назад
Mama ameomba mkuu wa mkoa afuatilie ki undani zaidi so ni swala linalo hitaji muda Lkn kwa mihemuko na kiki zaidi awamu ya tano ni staili mpya.
@leonardjoseph5643
@leonardjoseph5643 5 лет назад
Vanessa Goodluck Angekuwa mwanaume huyo mgesema bora awekwe ndani mnataka Haki sawa hahaha piga kazi
@cristianamos8790
@cristianamos8790 5 лет назад
Vanessa Goodluck this is not home of love brow
@abalhassanmunira5183
@abalhassanmunira5183 5 лет назад
Kisheria mam lazma akamatwe kwnza mpk ahojiwe na uchunguzi uwendelee lakn mama anaonekana anamjua anaehusika na kubomoa nyumba anaogopa kumtaja sasa kisheria lazma akamatwe akahojiwe ndo atasema ukwel
@MrLogalaa
@MrLogalaa 5 лет назад
Ndo maana mkuu wa mkoa kasema akamatwe ahojiwe na uchunguzi ufanyike ili ijulikane zaidi..
@colethamunishi7334
@colethamunishi7334 5 лет назад
mtu hatari WAP wewe ni Mbwa tu kama Mbwa wengine fala wewe msikilize mtu kwanza amalize kuongea
@JanefantoChannel
@JanefantoChannel 5 лет назад
This is what we call instance justice,,, Tanzania is unique,,,
@eugendawilson1644
@eugendawilson1644 5 лет назад
dah sdhani km kuna ktu hapo tusubiri
@innojoel
@innojoel 5 лет назад
Mama hajasikilzwa,maamuzi ya kutfta kiki,na matusi yote kwa mama kwel jmn,
@rajabmsinzia1715
@rajabmsinzia1715 5 лет назад
Asikilizwe mara ngapi maana anaulizwa suala moja anatoa majibu matano, sweka lupango atakwenda kujieleza mbeleni huko
@tendatanzania8358
@tendatanzania8358 5 лет назад
Hii ni siasa tu hamna jipya hapa CCM wanatumia fursa ya uongozi kuwakandamiza wapinzani
@francisjohn7512
@francisjohn7512 5 лет назад
New leadership style
@agustinorichadi1253
@agustinorichadi1253 Год назад
Safi sana
@evaevance5932
@evaevance5932 5 лет назад
Mmmhhhhhhh siasa hiyo
@calvinkitaly9376
@calvinkitaly9376 5 лет назад
Fuata sheria ya nchi acha mheuko
@JumaNdingo
@JumaNdingo 4 месяца назад
Kiukweli tanzania tuna wataka viongozi kama hawa wenye uchungu na wananchi wake hongera sana mkuu wamkoa iringa
@karloladislaus45
@karloladislaus45 5 месяцев назад
Mtu hatari na yeye alitumbuliwa na mtu hatari. Huu ujinga wa viongozi wa CCM ndo unao filisi taifa letu. Hiki anacho fanya Happi ni Mob justice
@omarirajabu9703
@omarirajabu9703 5 лет назад
DIWANI huyu wa CHADEMA Bogus sana
@user-vh3yh2ec8r
@user-vh3yh2ec8r 9 месяцев назад
Safi sana baba
@mr.sampaelias1885
@mr.sampaelias1885 Год назад
Tunakushukuru mama Samia kwa kumwondoa huyu Dikteta Hapi, nilichokiona hapa Hapy hafai ktk uongoz maana ni mdhalilishaji kama yule jamaa wa Arusha, niombe Samia Rais wetu mpendwa Fungulia kesi huyu Hapy
@christerbelljr9545
@christerbelljr9545 5 лет назад
Ukizurumiwa ndo utaelewa alichokfny hapi.....ila kama unaropoka kuwa hajafnya sahihi hujawah zurumiwa
@agreymsemwa8021
@agreymsemwa8021 5 лет назад
Christerbell Mwaruka kabisaa wamezid hao
@marckmbimbi7228
@marckmbimbi7228 5 лет назад
Christerbell Mwaruka hajazulumiwa uliza ujibiwe huyu mama hana kosa
@mohamedimchomvu8402
@mohamedimchomvu8402 5 лет назад
hizo ni siasa chafu
@amonilusinde6064
@amonilusinde6064 5 лет назад
kisa mwenyekiti chadema et mlalamikaji amevaa tisheti ya ccm lazma abebwe tu
@JAMESONMBIRO-mz7eb
@JAMESONMBIRO-mz7eb 2 месяца назад
🎉
@akramsayjr591
@akramsayjr591 5 лет назад
Uwezi kuwa kiongozi kutumia madaraka yako kukandamiza watu....🙏🙏🙏🙏 nukuuu
@tinyaanosiatha1118
@tinyaanosiatha1118 5 лет назад
Polena sana mzee
@jamessilwamba2862
@jamessilwamba2862 5 лет назад
mwache aongee sasa
@sayibaba8566
@sayibaba8566 5 лет назад
Uongozi unaoacha alama si kuweka watendaji ndani.. nlitegemea ungehoji idara inayohusika kama huyo mzee alijenga sehem sahihi au vip we RC unakurupuka tu!!!
@jchuwatv1890
@jchuwatv1890 5 лет назад
Cheo ni dhamana mzee baba ww sio hatari ww ni wakawaida sana... Shubaamit
@fnk2619
@fnk2619 5 лет назад
We Mungu utoaye haki ya kweli, nakuomba uwaongoze viongozi wetu waweze kutuongoza kwa haki bila ubaguzi wa rangi, dini, jinsia, umri, kipato wala chama. Amina
@salmadalaquimane5303
@salmadalaquimane5303 5 лет назад
Vzr sana kka mkubwa
@hamismasoud8306
@hamismasoud8306 5 лет назад
Tulizoea kuishi kwa mazoea acha wapate adabu maana mikoani viongozi wa vijiji wanadhurumu sana.
@videosongspeter9496
@videosongspeter9496 5 лет назад
Mh, Kasesera Naomba namba yako, nakukubali sana.
@timothlavamba8633
@timothlavamba8633 5 лет назад
Pole sana mkuu wa mkoa kwa maamuzi yako ila Mungu yupo atahukumu pia kama ww ni hatari bas sawa ila mm ni najua hatar ni MUNGU tu note hilo
@emanuelmbondo4598
@emanuelmbondo4598 5 лет назад
Nimeshangaa sana
@stephenmwingira1179
@stephenmwingira1179 5 лет назад
Madaraka ni ya dunian, ubabe hauna maana yoyote. Na uongozi ni wa muda tu
@moseskaponda4948
@moseskaponda4948 Год назад
Nc
@jumanguru670
@jumanguru670 5 лет назад
siasa imeharibu nchi
Далее
Стас о своих клиниках
00:19
Просмотров 212 тыс.
Mzee Anena MAZITO kwa RC HAPI kwa Kubomolewa NYUMBA
53:22