Тёмный

HUYU SIO MLEVI MBONA ANA AKILI HIVI? I DIWANI NA MTENDAJI WAUMBUKA I MASIKINI WANANYIMWA 

ST BONGO TV
Подписаться 171 тыс.
Просмотров 117 тыс.
50% 1

►Instagram / stbongotv
►TikTok / stbongotv.tz
►Facebook / stbongotv
►Twitter / stbongotv
ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder #Makonda #Mlevi #ziara #Siku6ZaMoto

Опубликовано:

 

30 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 41   
@johpixel4108
@johpixel4108 3 месяца назад
Walevi hua wanazungumza ukwel
@laurentrichard4638
@laurentrichard4638 2 месяца назад
mh makonda. ni kiongozui mwenye hekima na akili. na pia ni mtu menyenyekevu na anabusara saaana... na uyo melevi yuko vizuri ameagizwa kazi kama uchanji uwezi elewa
@PaulaGozbert
@PaulaGozbert 2 месяца назад
Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa Mwenyez Mungu Akupe Maisha Marefu
@musaamos2431
@musaamos2431 3 месяца назад
😂😂😂😂 mtu aliyelewa akisema amesema ukweli
@faridsalehmohamed1230
@faridsalehmohamed1230 4 месяца назад
Kuchimba kisima mita 300 milion mia sita 6 huu wizi mkubwa kabisa
@mr.erickmwacha8575
@mr.erickmwacha8575 3 месяца назад
only in TZ
@albertbunyinyiga7581
@albertbunyinyiga7581 4 месяца назад
JPM wa 2
@CristinLyanga
@CristinLyanga 3 месяца назад
Anawajua ni wezi ameshafanya vikao vya ndani anajua kila kitu watumishi hawana ukweli wowote,yaan hizo hela zote hamna maji? Hata alieishia la pili B humdanganyi hizo hesabu.
@MariamuJames-g9n
@MariamuJames-g9n 3 месяца назад
Mungu naomba simanjiro apate mkuu wa mkoa au wilaya kama makonda viongozi wote wa simanjiro hawana kazi makonda omba uhamishiwe simanjiro au uwe RAISI WA TANZANIA
@musaamos2431
@musaamos2431 3 месяца назад
Huyu dada Anaoneka mwizi tu
@PriscusKimario-x6n
@PriscusKimario-x6n Месяц назад
Mungu akubariki makonda
@edrisalusonge4141
@edrisalusonge4141 3 месяца назад
Shida ataondoka makonda mambo hatakuwa Yale Yale ndo shia ya ccm yni shida sio neno ccm shida wanaobeba hil nno la ccm
@JosephTibu
@JosephTibu 2 месяца назад
MUNGU IBARIKI TANZANIA❤❤
@MfiriFulgensi
@MfiriFulgensi 3 месяца назад
Kwanini waulizwe swali Wayne maelezo wakati wamesoma?
@lizybagamba2067
@lizybagamba2067 3 месяца назад
Dada ako na confidence ad raha..
@rashidbusanya5843
@rashidbusanya5843 2 месяца назад
Makonda ni tunu ya taifa letu lazima tujivunie na tupambanie awe Rais wetu
@IgnacioAndrew-rj8pd
@IgnacioAndrew-rj8pd 3 месяца назад
Hahahahaha hatukuoni
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 3 месяца назад
Nchi wanaitafuna kwelikweli
@SmilingFreshwaterLake-tg5qp
@SmilingFreshwaterLake-tg5qp 3 месяца назад
😂😂😂
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 4 месяца назад
SUPANA SUPANA SUPANA MPAKA KIELEWEKE ARUSHA 😂😂😂
@ChiefNgosyemo
@ChiefNgosyemo 2 месяца назад
Baba Baba Babaetu tusaidie P Makonda
@JacksonSaid-r1q
@JacksonSaid-r1q 2 месяца назад
Siasa ya tz Hapa panatakiwa akili
@ShakilaKim
@ShakilaKim 3 месяца назад
Mungu akulinde makonda
@AlexKweka-j6p
@AlexKweka-j6p 3 месяца назад
Tuplia mbali
@liverpoolfootballclub9985
@liverpoolfootballclub9985 3 месяца назад
Kwenye hesabu Kuna madudu mengi sana. RC makonda piga spana. Wabane mafisadi wote. Nchi inashindwa kuendelea chanzo ni haya madudu
@barackamtwange1925
@barackamtwange1925 2 месяца назад
Rais wangu ajaye
@barakachelango1695
@barakachelango1695 2 месяца назад
Chapa kazi makonda big up.
@paschalfausitine7108
@paschalfausitine7108 4 месяца назад
Piga supana
@MfiriFulgensi
@MfiriFulgensi 3 месяца назад
Schenck nae a toe kero za walevi pia
@josephlorri431
@josephlorri431 3 месяца назад
In vino veritas
@elizalutiga6287
@elizalutiga6287 3 месяца назад
Makonda hoyeeeee
@noelmsimbe3293
@noelmsimbe3293 3 месяца назад
Huyu jamaa huwa hasikilizi wanachosema watumishi ili tu awafurahishe wananchi Sasa mtu anasema kitu kinaeleweka kabisa ye anamkatisha katisha ili aonekane tu ana makosa sipendi hii tabia yake , kweli anafanya kazi nzuri lakini aache watu wajieleze waeleweke sio kuwakatisha katisha then yeye ndio anakua hajaelewa.
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 3 месяца назад
Hivi unaonakabisa anajikanyaga kanyaga aendelee ili amdhalikishe? Kumbuka alikabidhiwa mzigo na waziri wa TAMISEM mchengerwa madudu yaliyopo yaani ukiwapa waongee ni madudu na kukidhalilisha chama
@azaellivingston7415
@azaellivingston7415 3 месяца назад
mlevi akiongea hamalizi siku ukiwa kiongozi utaelewa
@SolomonNkoze
@SolomonNkoze 3 месяца назад
Kweli ww ni mbumbumbu tena ngazi ya chekechea
@deozomboko8949
@deozomboko8949 3 месяца назад
Wewe jamaa una cheki kwa😂
@MfiriFulgensi
@MfiriFulgensi 3 месяца назад
Jibu swali kisomi kama umesoma kama unajibu kamaunajibu kama masai amba hujaenda hata darasa moja hata hajawahi kupeleka ngombe mnadani hafai kuwa msimamizi wa ofisi ya serikali
Далее
КОТЯТА В ОПАСНОСТИ?#cat
00:36
Просмотров 1,8 млн
КОТЯТА В ОПАСНОСТИ?#cat
00:36
Просмотров 1,8 млн