Тёмный

Malezi ya Watoto Kikristo na Pastor Glory Nahonge (Instagram: the_power_of_ parenting 

Mjenge Mwanao
Подписаться 89
Просмотров 53
50% 1

Zaburi 127:3 Tazama, wana ndio urithi wa BWANA, Uzao wa tumbo ni thawabu
Tukitambua watoto ni mali ya Mungu tutawalea kwa misingi ya neno lake ili maisha yao yampe Mungu utukufu.
Karibu kusikiliza mazungumzo yetu kuhusu malezi ya Kikristo na Pastor Glory Nahonge Founder wa The Power of Parenting.
Baadhi ya maeneo tuliyogusa katika mazungumzo yetu ni pamoja na;
- Malezi ya Kikristo ni nini?
- Umuhimu wa malezi ya Kikristo
- Kati ya baba au mama yupi mwenye jukumu la kusimamia malezi haya
-Familia yenye mzazi mmoja mfano; mama tu au baba tu afanyeje?
Tafadhali fuatilia hadi mwisho na Mungu akubariki!

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
Mahusiano kati ya wazazi na watoto
15:43
Просмотров 143
iPhone 16 для НИЩЕБРОДОВ!
00:51
Просмотров 313 тыс.
Они захватят этот мир🗿
00:48
Просмотров 761 тыс.
MAMA APOSTLE MUSSA  SOMO: JE, YESU NI MUNGU?
44:52
Think Fast, Talk Smart: Communication Techniques
58:20
UUNGU WA YESU KRISTO.
20:02
Просмотров 207
iPhone 16 для НИЩЕБРОДОВ!
00:51
Просмотров 313 тыс.