Тёмный
No video :(

MAMA ALIYEHOJIWA na GLOBAL TV APEWA ZAWADI ya NG'OMBE 5 BAADA ya DAWA ZAKE KUTIBU FAMILIA ya CHIFU.. 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 3,4 тыс.
50% 1

MAMA ALIYEHOJIWA na GLOBAL TV APEWA ZAWADI ya NG'OMBE 5 BAADA ya DAWA ZAKE KUTIBU FAMILIA ya CHIFU....
Baada ya siku kadhaa GLOBAL TV kuripoti taarifa iliyokuwa ikimuhusu Bi Rose Lyimo kutokana na Dawa za Asili anazozitengeneza amepatiwa zawadi ya Ng'ombe wa tano baada ya familia yake kupona kutokana na dawa zake alizozitumia...
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 13   
@globaltv_online
@globaltv_online Год назад
JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!
@mohmadalmahrizi3717
@mohmadalmahrizi3717 9 месяцев назад
@Ashura maida kutoka oman Mashallah Mashallah Mashallah Allah akuzidishie umri uweze kuwasaidia wengine Watanzania tujifunze dawa za Asili ndio kila kitu dawa za wazungu zinatuachia sumu mwilini Hongera chifu kwa zawadi Allah akuzidishie ulipopatowa
@sangaapaul
@sangaapaul 4 месяца назад
Jamani Mungu mwema kwetu
@africandarling6925
@africandarling6925 Год назад
Alhamdulillah mungu ni mwema kwa Sie WATANZANIA kwa tiba Asili neema kutoka kwa munguuu
@mohmadalmahrizi3717
@mohmadalmahrizi3717 9 месяцев назад
Mashallah Mashallah Mashallah Allah akupe umri mrefu uwasaidie jamii ya Tanzania na ulimwengu kwa ujumla Watanzania tujifunze dawa za Asili ndio kila kitu dawa za wazungu zinatuachia sumu katika mwili wetu
@user-jl1ct8be4o
@user-jl1ct8be4o Год назад
Mimi peter kadoshi wa mwamlapa bariadi simiyu ila nko zimbabwe naomba mnitumie namba zake narejea mwezi wa tisa njenimfatilie waga nasumbuliwa na magonjwa mengi
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Год назад
Maashaallah
@mugishamajeba9628
@mugishamajeba9628 Год назад
Kaka ongereni sana
@dppd4219
@dppd4219 Год назад
Tatizo tunaima na dawa za wazungu bila kujuwa wanatuangamiza makusudi
@zuwenasalim2794
@zuwenasalim2794 Год назад
Waseme basi hayo magonjwa
@DuLLAWAZIRI
@DuLLAWAZIRI Год назад
Inatibu pumu, kisukari, presha, na magonjwa ya viungo
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Год назад
Mashaalah
@mohmadalmahrizi3717
@mohmadalmahrizi3717 9 месяцев назад
Na inatibu h i v pia
Далее
Mama Anayelala Nje na Watoto, Asimulia Mazito!
15:02
Просмотров 40 тыс.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /34/ #love
30:22
Просмотров 138 тыс.