Host jifunze ustaarabu usiwe too comfortable nyumbani kwa mtu. Unaingia moja kwa moja unapandisha miguu juu ya kochi muhusika mwenyewe hajafanya hivyo..hovyo kabisa
Hunywi pombe wakati mezani kuna chupa ya wine ila wabongo bhna😂😂😂hv kwann linapofika suala la kunywa pombe mnaruka distance kubwa sana why passing around
@@hildagabriel1003 mapambo yake ni mazuri ila yamekua mengi mno analafu langi aijaendana na sofa na mapazia kwaiyo ayapo kwenye mpangilio mzuri sebule aija pendeza🙏🏻
huo ni wivu dada, marangi mengi...nyumbani kwenu mmezingatia rangi gan kwa mfano, dada wa watu kachagua zake theme nzuri af we unaropoka ropoka tu, wivu na ushamba tu