Тёмный

MAMA KUTOKA BUZA AHISI MSANII IBRAAH NI MWANAEI/ ALIJIFUNGUA MAPACHA 

SOUDY BROWN
Подписаться 127 тыс.
Просмотров 378 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 68   
@janeshigami8769
@janeshigami8769 2 года назад
Nimefurahi kusikia kutoka kwa wambea kwamba wata simamia gharama ya DNA....🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@trifoniambilo2400
@trifoniambilo2400 Год назад
Mungu atusaidia akina mama mwee
@saleheamad2060
@saleheamad2060 2 года назад
Damu inauma mungu amsaidie huyo mama Jana kwel ibra Ni mwanae
@خليفهالرحبي-ف4م
@خليفهالرحبي-ف4م 8 месяцев назад
Ninamuomba Mungu akusikie maneno yako😮😮😮jamani inauma mtu akiwa mama wa kweli
@خليفهالرحبي-ف4م
@خليفهالرحبي-ف4م 8 месяцев назад
Kina mama hiyo hospital inaogopesha watakuwa wameshazoea kazi ya kuficha watoto na kuwabadilisha watoto Duuuuh kazi kubwa😮😮😮😮
@alikhamisog3422
@alikhamisog3422 2 года назад
Soud broun nakuomba mtafute daktar nayy mumuhoj atoe maelezo kuhusu mapacha najua atawatetea madaktar kuhusu kuibiwa watoto ila fanyeni ivo
@eunicestasha9319
@eunicestasha9319 2 года назад
Mungu akusaidie huyo kijana anakufanana kabisa 👌
@خليفهالرحبي-ف4م
@خليفهالرحبي-ف4م 8 месяцев назад
Nimependa hivi vipindi lakini niko mbali na Tanzania niko nnje ya Tanzania siwezi kutoa habari yeyote 😅😂
@agneskadzo9087
@agneskadzo9087 2 года назад
DNN pap..kile kisa cha Kenya..cha Mapacha mawili..Melvin na Mario..
@fatumastv
@fatumastv Год назад
Wana fanana sana nitaowa mchango wangu 40shilingi
@jothammuthamia6336
@jothammuthamia6336 Год назад
I can see the mother resembles Ibrah
@balqisabdullah6200
@balqisabdullah6200 9 месяцев назад
Jamani mbona ibra na huyu mama wamefanana sana naanza kuamini
@KaogeKungu
@KaogeKungu 4 месяца назад
Ukweli nikwamba Ibrah nimapacha hakunakupinga
@johnjustice6970
@johnjustice6970 2 года назад
Hospital wanaiba sana watoto...Walipoona ni mapacha ikawa deal yamanesi na daktari.Hata huo upasuaji waliforge tu ili mama asifahamu
@shebbynammurun4049
@shebbynammurun4049 2 года назад
Kwa mfano tu, Ibra angekuwa panya road ungejitokeza?!
@africanmusic1332
@africanmusic1332 2 года назад
Kweli kabisa
@lucylucy3678
@lucylucy3678 2 года назад
Mama anafanana n ibr ila huy kijana hafanani
@momoti-sv8ex
@momoti-sv8ex 2 года назад
Niko uganda nafwatasana tv zenu ukiona ginsi mama wae amemupokeya hanaraha kunasiri nyuma ya iyo pica
@saumusanjiama6991
@saumusanjiama6991 2 года назад
Ahisi nimwanae 🤣🤣🤣🤣
@mohamedelzobery7194
@mohamedelzobery7194 2 года назад
Jaman vipi majibu wazee wa mbanga liliishia wapi hili mlimliwaza mama wa watu
@formatchannel1456
@formatchannel1456 2 года назад
Nice
@johnjaimejoseukoti4174
@johnjaimejoseukoti4174 11 месяцев назад
Kwanza huyo mama ni Ibra tosha wakapime tu
@ShaniiPulis
@ShaniiPulis 6 месяцев назад
Mbn kama naamin amin daa hii
@samdeziner5716
@samdeziner5716 2 года назад
Hawa ni mapacha kabisa,,yaani hapo hata DNA haina haja,,ila acha wakathibitishe,,ibra na rangi na ngozi ya fweza,huyu mwingne maisha yamempiga kofi
@levinaelia8699
@levinaelia8699 3 года назад
Ibra mwenyeweeeee mbona hamumlet a2jibu
@johnyagat973
@johnyagat973 2 года назад
Mama na mwana wanafanana😆
@mariambakari7796
@mariambakari7796 2 года назад
Ila huyu mama amefanana na ibraa
@خليفهالرحبي-ف4م
@خليفهالرحبي-ف4م 8 месяцев назад
Labda inawezekana kwenye huo mtaa kuna mtu hana mtoto na alitaka auliwe huyo mtoto Ibra atakuwa ameuzwa huyo
@khadijatabu578
@khadijatabu578 3 года назад
Huyu mama kafanana sana na Ibra sana
@mariyamkhamiskhamis4646
@mariyamkhamiskhamis4646 2 года назад
Huy mama anyew wamefanana
@rahmambugi1950
@rahmambugi1950 2 года назад
Wamefanana ila kamugisha mnene Ibra mwembamba
@skeyboy2
@skeyboy2 Год назад
Hana fanana naye niyeye
@shadowhatory154
@shadowhatory154 3 года назад
🤔 huyu mama kafanana na Ibrah iko siku ukweli utajulikana, Damu ya mtu haipotei.
@gracegideon2120
@gracegideon2120 3 года назад
Mungu amsaidie ukwel ujulikane kwel huyu mama kafanana xana na ibrah
@amsangi9949
@amsangi9949 2 года назад
Kweli kabisa Mungu msaidie
@vicentmsambaa
@vicentmsambaa Год назад
Mmmh
@SaidShaibani
@SaidShaibani 10 месяцев назад
Huyo ni mm aket mm ni mam hatqkqm.ni rikwam na damu nzit kuliko maj
@shebyboy..k.g.r.387
@shebyboy..k.g.r.387 2 года назад
Kikubwa wafuatilie vizuli ili mama wawatu akaye naaman
@mrsblessednnm2257
@mrsblessednnm2257 3 года назад
Hehehehe niacheni nicheke
@PreshazSijali-fm1iu
@PreshazSijali-fm1iu Месяц назад
hacha ujinga kusini na daar wapi na wapi tena likokona kijijini aah wapi muacheni mtoto wetu umeibiwa na mtu mwingine mshamba wewe
@mwanaidlibabu399
@mwanaidlibabu399 2 года назад
Mama kamu bwan mh sijui uyasemay niyakwel au sio kweli tunavyojua una watt wawili kamugisha na ibra lkn uyo ibra mbona unaye hata ibra msanii mdgn
@amosseleman3562
@amosseleman3562 2 года назад
Pole sana
@iddymalima1952
@iddymalima1952 2 года назад
kama kwel maan midomo na macho makal kama ya ibra
@ShediMorisi
@ShediMorisi 5 месяцев назад
Samani mama na pole ungewawekea harama
@papaamashana3962
@papaamashana3962 2 года назад
Au alimutelekeza
@ahadaldawood3827
@ahadaldawood3827 2 года назад
Kuliendaje sasa
@alafhamaiga4805
@alafhamaiga4805 2 года назад
Acheni ushubwada nyie uyo dem nbichi kabisa anajeuli yakumnzaa ibra uyo au ndoanataka kiki tu kwanza stori ake aina ata ushilikiano
@hawayahaya2446
@hawayahaya2446 3 года назад
Tuleteen mrejesho jaman wa ibrah mbona kimya jaman
@mamushams9433
@mamushams9433 2 года назад
Yakweli haya
@alimomademomade8936
@alimomademomade8936 2 года назад
watu kufanana kawaida
@hussnabakary3507
@hussnabakary3507 3 года назад
Tz jamna
@djkillermaster5359
@djkillermaster5359 2 года назад
Habari yake ngum mmm
@hussnabakary3507
@hussnabakary3507 2 года назад
@@djkillermaster5359 😂😂
@uejekjsjsk9063
@uejekjsjsk9063 2 года назад
😏😏😏😏😏
@emanuelbatholomeo5903
@emanuelbatholomeo5903 3 года назад
Duniani wawiliwawili
@sarahnyamka7415
@sarahnyamka7415 3 года назад
😂😂😂
@saidomar5025
@saidomar5025 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@cestlaviecestlavie4073
@cestlaviecestlavie4073 2 года назад
kwakweli huyo Ibra ni muhaya, hana sura nzito kama za wa makonde, kina Tabu mtingita, Hamonais...
@AikaJuma-m6t
@AikaJuma-m6t 6 месяцев назад
Daamuya mtu haindi bule
@kyalomutinda4238
@kyalomutinda4238 Год назад
Nyi ni wambea kweli! Kuongea ovyo tu hata hamna maafikiano yoyote mngeweza kusaini mahali ya kusapoti madai ya usaidizi wenu wa DNA kwa huyu mama...? Hii ni content ya mwaka mzima sasa ulopita na bado hadi waleo mama imebidi arudi tena Tiki Tv kulilia swala lili hili kwa usaidizi wakati mlimpea ahadi zenu za uongo kwa porojo zenu mtengeze content! Bure kabisa nyinyi!!
@rscheallumiti146
@rscheallumiti146 3 года назад
Ibrah mwenyewe anasema aje 🤔
@allyabdallahally9637
@allyabdallahally9637 2 года назад
Kiki
@mussamlewa2178
@mussamlewa2178 2 года назад
Ibra nayeyey aulizwe
@abduljembe6608
@abduljembe6608 2 года назад
Sasa yeye akiulizwa atajua nn wakati yeye mtoto kazaliwa tu,ingekua ww ungeongea nn sasa?
@rhodangenzi
@rhodangenzi Год назад
Jamani huyo ni mwanae, hata ndugu yetu ilishamkuta hio, alipigwa changa la macho mama wa watu, utofauti wa mwili ni kwa sababu ya kukulia sehem tofauti, jmn pimeni hiyo dna, mm binafsi nimeumia sana sana
Далее
I LOVE MY TEACHER | 3 |
20:24
Просмотров 97 тыс.
На самом деле, все не просто 😂
00:45
MTOTO KAUTAKA | EPISODE 08
18:54
Просмотров 10 тыс.
На самом деле, все не просто 😂
00:45