Тёмный

Mama Oummi astaafu! 

DW Kiswahili
Подписаться 174 тыс.
Просмотров 38 тыс.
50% 1

Imekuwa ni safari ambayo haikuwa rahisi, lakini anakushukuru wewe shabiki kwa mchango wako mkubwa kuifanikisha. Bruce Amani amezungumza na mtangazaji nguli wa DW Kiswahili Oummilkheir ambaye amestaafu leo.

Опубликовано:

 

5 фев 2020

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 141   
@carolykwawe
@carolykwawe 4 года назад
One of the voices that kept me glued to DW radio ,you really made me to love swahili
@hemednassour4763
@hemednassour4763 4 года назад
HOongera sana mama yetu UOUMMI KHEIR katika kipindi chako chote cha utangazaji miaka 42 uliuitumikia vizur DW Na sasa umeamua kuichia microphone nakutakia kila lakhery katika maisha yako mapya nitaimis sana sauti ako DW
@mkushiandikayakoachananaya7944
@mkushiandikayakoachananaya7944 4 года назад
SITAKI KUAMINI KAMA AMESTAAFU HUYU MAMA, NILIIPENDA SANA SAUTI YAKE YA PEKEE! KWA MARA YA KWANZA LEO TAREHE 5 MWEZI WA 3 MWAKA 2020, NDIO NAUONA USO WAKE! NITAKUKUMBUKA SANA MAMA YANGU!
@charlesmataba8344
@charlesmataba8344 4 года назад
I'm a real Tanzanian but upon today ,I don't know were this grandmother originated!!..... I loved her for each and everything!,
@MG-wx8yx
@MG-wx8yx 4 года назад
My respect to you mama Oummi. Wishing you all the best.
@jessesamuel4799
@jessesamuel4799 4 года назад
Hakika nlipenda kusikiliza sana DW Kiswahili, kukusikiliza wewe mama hakika kustaafu kwako ni pengo na pigo kubwa kwa wapenzi wa DW Kiswahili.Hongera sana mama kufikia hatua iyo.Staafu kwa amani mama.
@ahmadomar3306
@ahmadomar3306 4 года назад
pumzika mama ummulkheir munguakulinde
@mengicacoconut8144
@mengicacoconut8144 4 года назад
35 years old nimekuona Leo! Allah akupe rehma kwa kila ulifanyalo
@kishukufilms1391
@kishukufilms1391 4 года назад
Kila lenye kheir Mama, nimeanza kuipenda sauti yako ya utangazaji tangu niko mdogo. Hakika ni safari ndefu. Hongera sana
@mgonjacharles195
@mgonjacharles195 3 года назад
Mama. Huyo alikuwa nguli wa utangazaji.Hebu sikiza sauti yake na lugha ya Kiswahili iliyojaa vionjo na matamshi murua.Hongera sana Bi Oummilkheir mstaafu wa Deustche Welle Radio.
@helenarhobi1250
@helenarhobi1250 Месяц назад
Mama mpendwa sauti yako ilinivutia nikapenda sana kusikiliza DW. Da! Missing you mamy! Have a good life!
@youngsachafurniture5482
@youngsachafurniture5482 4 года назад
Nimenza kumsikia tangu 99 😂😂 ndio kwanza nakuona leo
@anorldmarandu4725
@anorldmarandu4725 2 месяца назад
Leo tarehe 30.05.2024 nimewakumbuka sana hasa mama humilieri na isack Gamba, toka 2011 nimeanza kuipenda dw,sakata la Gadafi nlipenda sana taarifa ikiripotiwa na ww,Mungu akutakie maisha marefu sana.
@noelakilack7133
@noelakilack7133 4 года назад
Congrats a lot mom alwayz u made me happy when am listen ur voice mom ❤💜
@barksserio6857
@barksserio6857 4 года назад
Nafurahi kuona mama Ummy alijiunga DW siku moja baada ya mimi kuzaliwa.
@melichmahingule2896
@melichmahingule2896 3 месяца назад
Huyu mama nampenda sana, nakumbuka alivyokuwa anatangaza taarifa ya habari kipindi Osama akitafutwa na Marekani mwaka 1999 , yaani ilikuwa pindi ya kusisimuka sana, mama huyu ni bora sana, Mungu amlinde aishi miaka 100
@eteabii3987
@eteabii3987 4 года назад
Mungu akujaalie afya njema. Asante sana kwa utumishi wako ukiwa DW. Nimehamasishwa na utendaji wako ukiwa DW hasa (ulipokuwa unasoma taarifa za habari, uchambuzi wa magazeti na sura yabujerumani etc). Mwanangu 5yrs old nimempa jina lako kwa mapenzi niliyonayo kwa kazi nzuri at DW. Asante sana mama etu.
@hassanhajj6804
@hassanhajj6804 3 года назад
Ndio kwanza namuona Leo ummul kheir 22 julay 2021 nampenda sana
@mosamsaid2405
@mosamsaid2405 4 года назад
Katika tasnia ya habari , DW Kiswahili, nakupongeza Oummilkheir kwa kazi nzuri iliyokua ukiifanya.
@mtakimjinja2328
@mtakimjinja2328 4 года назад
Namtakia kila laheli mimemusikia kuanzi 1995. Apumzike kwa amani na Mungu amubariki!
@user-tq4rk1ps8v
@user-tq4rk1ps8v 8 месяцев назад
❤Sauti Yako mama nai penda sana ubarikiwe na yesu
@geraldmtitu6256
@geraldmtitu6256 4 года назад
Mama kwa kweli uko vizuri kwenye kutangaza mungu akulinde mama wetu wa dw kiswahili
@mohdabdi4157
@mohdabdi4157 4 года назад
Bi oummi hongera sana tumependa utangazaji wako ni mzr na tunakuelewa kwa urahisi unachokiongea hongera sana x100
@paschalmartin1273
@paschalmartin1273 4 года назад
MAMA ubarikiwe sana ukaishi maisha mema ulikuwa unapendeza sana kutangaza DW na sauti nzuri uliyo nayo
@allanwabwile1386
@allanwabwile1386 3 года назад
Unasikiliza taarifa ya habari za ulimwengu kutoka Boooonnñn!!😄😄😄,,we shall miss that voice 🤭🤭🤭
@wilsonkahamba8806
@wilsonkahamba8806 4 года назад
Mie nakupenda xana nimekua nakusikiaga kwenye Redio mpaka umekuja utanda wazi wa mitandao nakuku ona live leo hongera xana mwaaaa mama shupafu
@MahmoudAli-uk8ci
@MahmoudAli-uk8ci 4 года назад
Mama Ummi nimekuskiliza tokea 1992 hongera Mwenyezimungu akubariki akupe mapumziko mazuri yenye kheri nyingi
@sharifabdul6085
@sharifabdul6085 4 года назад
Mama asante kwa huduma zako na tutakumbuka sana huduma yako ya habari asante mama tunatumai utakuja kuungana na wenzio azam tv
@abuumussa2390
@abuumussa2390 4 года назад
Kiukweli sauti ya mama naipenda sana mungu akupe urimurefu nakutakia mapumziko mema ya kwenda kurea wajukuu
@husseinmillans3794
@husseinmillans3794 4 года назад
Love so much mama. Kila la kheir
@michaelkunambi4531
@michaelkunambi4531 4 года назад
Hakika siamini Kama mi ntapenda tena dw nampenda sana ana sauti nzuri yakuvutia sana naomba arudi awepo tuuu Jaman daah
@mabydal5556
@mabydal5556 4 года назад
Maa shaa allah mama hodari na mwenye weledi wa hali ya juu allah amfanyie sahli ktk maisha yke yote
@frankbunini9898
@frankbunini9898 4 года назад
Na mimi ipo siku nataka nije kuwa mtangazaji bora kwa viwangi vya mama oumilkheir
@mzeewamadodoso1816
@mzeewamadodoso1816 4 года назад
Toka nikiwa Mtoto nakupenda sana
@frediricknandonde1690
@frediricknandonde1690 4 года назад
Bruce amani nilidhani mzee kumbe bwana mdogo sauti kubwa nakukubali sana
@elialemah801
@elialemah801 4 года назад
Mama yuko vizuri Sana sauti ya halima mdee akizeeka
@mohamedpesambili9460
@mohamedpesambili9460 4 года назад
Kwenda zako uko lixaut la mdee baya vile ndo ulinganishe na xaut ya dhahabu
@amanimjuli5265
@amanimjuli5265 4 года назад
Mama tunakuomba uwe Una tanga za japo mara 1 kwa wiki, Miaka yangu kuanza kukufaham ni 16 tu bado na kuhitaji Na mungu akuweke miaka mingi.
@hajimakame1062
@hajimakame1062 4 года назад
Uko vizuri mama sana tunasikitika kuikosa sauti yako sana
@kelvinvitalis175
@kelvinvitalis175 4 года назад
Kila la herii mama oummi katika kustafu kwako
@charzbarnabas1581
@charzbarnabas1581 4 года назад
am gonna miss ur voice,grandy
@salumumsike8175
@salumumsike8175 4 года назад
Mungu akulinde na usiwe mbali na DW
@jassonfurgence6180
@jassonfurgence6180 4 года назад
Daaaaah Mama Oummi kheir siamini kama umestaafu. Kila ilipofika wewe kuhabarisha ndani ya DW nilijisikia raha saaaaaaaanaaa mno mama kwakweli. Nitakumiss sana sana yaaani sana mama yangu Oummi!!! Ongera pia kwa kustaafu na kila la heri.
@anthonypiusmganule4052
@anthonypiusmganule4052 4 года назад
Mama Oummilkheir Mwenyez mungu akulinde mama...ukapumzike mama hakika sauti yako ni lulu.
@hassanyuusuf6176
@hassanyuusuf6176 4 года назад
Umulkheyr is synonymous with Radio DW.Am very nostalgic about her departure. Tutamu miss sana.Namtakia kila la heri katika maisha yake ya kustaafu.
@herymalundo1716
@herymalundo1716 4 года назад
Mungu akubariki mama!
@dullahoroond5241
@dullahoroond5241 2 года назад
Ma Sha Allah
@stephenmadembwe4784
@stephenmadembwe4784 4 года назад
Mama Umri Heri unasauti ya kipekee sana na ulivyobobea kwenye utabgazaji ni balaa sana!
@mrsramadhani2400
@mrsramadhani2400 4 года назад
Nakupenda.bule.bibi Mana Allah.alkualia.sauti
@fidelmbai3642
@fidelmbai3642 4 года назад
Kila la kheri Mama
@pasiannjau9572
@pasiannjau9572 3 года назад
kila la kheri mama.Hakika roho inauma sana hatutakusikia tena.hakika sauti yako ni adhimu sna
@hmk..
@hmk.. 3 года назад
what a voice ! wow! a TZ national treasury !
@jafaryjey
@jafaryjey 4 года назад
Nitamiss sana sauti ya huyu mama
@quinnmeles901
@quinnmeles901 3 года назад
Mimi nilikua najua nimuhindi nimeshangaa sana lakini nimwarabu? I miss her voice
@mussaisaac
@mussaisaac 4 года назад
Mama uko vizuri sana ww ni lulu ya utangazaji
@isakamanisaka8652
@isakamanisaka8652 4 года назад
hakika Hongera sana mama katika utumishi uliotukuka tutaimisi sauti iliyotulea kwa kweli
@jumaabdallah8886
@jumaabdallah8886 4 года назад
Hakika mungu huwapa na hutoa karama kwa waja wake, mama mungu akupe maisha marefu hapa dunian na kesho mbele ya haki
@charzbarnabas1581
@charzbarnabas1581 4 года назад
God bless grandmum entirely anywhere
@johnlameck9507
@johnlameck9507 4 года назад
Tutamiss sauti yake jamani. We love uuu
@millicentaswata3907
@millicentaswata3907 4 года назад
Kila la heri mama. Nilikuwa napenda sana Sura ya ujerumani :)
@aleyslaim4935
@aleyslaim4935 4 года назад
Mama nakupenda Sana unavyo ongea
@shabanborondi6526
@shabanborondi6526 2 года назад
Mama njoo BBC Swahili sasa
@petermahimbo9450
@petermahimbo9450 4 года назад
Ifikapo saa saba mchana inanijia sautiyako nafungulia radio. Saa 12alfajir pia..sasa nitaiskia wapi tena mimi.
@sostentete3395
@sostentete3395 3 года назад
The best
@laprincevonkingpin2538
@laprincevonkingpin2538 Год назад
Umeupiga mwingi sana,,, mama sauti yako ni burudani tosha sana huwa inanikosha sana.
@bockernyarusahi3655
@bockernyarusahi3655 4 года назад
Sauti yako ni ya kipekee Mama
@sudymsigala5532
@sudymsigala5532 3 года назад
Aiseee hakikaa kipekeee nafurahia sana kumsikilizaaa
@helenarhobi1250
@helenarhobi1250 Месяц назад
Nimefurahi pia kumwona Bruzi Aman naye sauti yake ni Amizing!
@salumumsike8175
@salumumsike8175 4 года назад
Mama nakupenda sanaa
@ladsonmshana9920
@ladsonmshana9920 4 года назад
Tangu nikiwa mdogo mpaka ss
@karenzijumaahmad257
@karenzijumaahmad257 2 года назад
Mama Oummilkheir. Nitakumisi na sauti yakoinaendelea kuwa ndani yangu kila ninapo kukumbuka
@georgemwalukasa1090
@georgemwalukasa1090 4 года назад
Hakika utangazaji wako ulikuwa wa aina yake.Ninayashukuru maisha yaliyonipa nafasi kukusikiliza. Kila la kheri.
@hassanissa4145
@hassanissa4145 2 года назад
Huyo bi UMMI nimeipenda DW kwa sababu yake
@stephenshio588
@stephenshio588 4 года назад
Nadhani DW ijitafakari kumwajiri Oummi kwa mkataba kwani tumezoea kusikia sauti yake ambayo ni sauti ya DW
@abdullahomar8687
@abdullahomar8687 4 года назад
allah amfanyie sahli ktk maisha yke
@ranman4910
@ranman4910 2 года назад
Natamani nilie machozi ya furaha kwa kukuona kwangu leo coz nimeisikia sauti yako longtime pasipo kuona Wala kuijua sura yako Duh enzi nikiwa mdogo kijijini kwetu ilikuwa haipiti siku bila kusikiliza DW apo tushakula chakula Cha mchana tukiwa chini ya mti tunasikiliza DW nililipenda Sana sauti la mama uyu
@jacobzawadi735
@jacobzawadi735 Год назад
Miongo mi nne. Safi
@godfreyemmanuel8028
@godfreyemmanuel8028 3 года назад
Mungu akubari
@samsonwambura3563
@samsonwambura3563 3 года назад
Dah huyu mama
@suleimanomar6467
@suleimanomar6467 4 года назад
Uyu mama siri kubwa yakutengeneza brand ni bidii ubunifu na kuipenda kazi yake..nampenda sn
@misangasaidih6678
@misangasaidih6678 4 года назад
Hakika Mama Oummi amejaaliwa. kwangu natamani angeendelea ila sababu ya wakati Allah akujaalie kila la khair. Hivi ni mzawa wa wapi na anaishi wapi angalau kumtembelea ni mmoja ya utalii mzuri sana
@charlesmataba8344
@charlesmataba8344 4 года назад
You will not be replaced!
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 4 года назад
Tutamis saut ya biumi aslimia 100
@allykutenga2862
@allykutenga2862 4 года назад
Nataka kujuwa cku gani ataingia nyumbanii 2nataka wadau wake 2je kumpokea kwa maandamanoo kutokea AIRPORT.
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 11 месяцев назад
✌️👊👍.
@nicolasnkembo2265
@nicolasnkembo2265 4 года назад
Hongera saana ulianza kutangaza mwaka nilio zaliwa mimi
@mgonjacharles195
@mgonjacharles195 3 года назад
Huyo mama Oummilkheir s
@someaafrika.3379
@someaafrika.3379 4 года назад
Hakika tuta'kumiss sana mama
@saidahmed9688
@saidahmed9688 4 года назад
mama UMMU LKHEIR NAIPENDA SAUTI YAKO
@NabiiJamesNyakia
@NabiiJamesNyakia 4 года назад
Huyu mama alikuwa ni kivutio kwa sauti yake nanumahiri wa kutamka Maneno. Mungu ampe afya njema na uzee mwema
@abbyadams8691
@abbyadams8691 4 года назад
Prema Martin,Sekion Kitojo, Ramadhani Ali, Umili Kheri,Aisha Yahaya,,......,............,...........
@nkwabitz233
@nkwabitz233 4 года назад
mimi n Bruce Aman
@abdulmagina3350
@abdulmagina3350 4 года назад
Naomba uhai media mmchukuwe mama kwa gharama yoyote mtajizolea mashabiki wengi sanaa binafsi nilikuwa nadhani ni Mzungu.
@abdullahomar8687
@abdullahomar8687 4 года назад
wallah mama twakukosa mno twakukumbka saana sauti adhym na weledi wa hali ya juu....
@callcentre301
@callcentre301 4 года назад
Napenda sauti wakati ukitangaza ni ya kipekee sana
@patricmkusa6519
@patricmkusa6519 Год назад
ni raia anzwan comoro
@samwelnatay7994
@samwelnatay7994 4 года назад
Hakika wengi tutakumiss umi raheri sauti yako kweli imekua dhahabu ndani ya idhaa ya kiswahili ya dw.
@user-su3zd6mz6d
@user-su3zd6mz6d 6 месяцев назад
Mm nikajua wanaedit saut kumbe ana saut nzur ya kuzaliwa
@mjuba
@mjuba 4 года назад
Natamani uendelee kubaki mama oummil
@mausseinsultani4569
@mausseinsultani4569 4 года назад
Dah. Kwanini mama asibaki2 hapa DW maana napendaga sana kumsikiliza kwenye matukio makubwa sana pia nimtu anae jielewa na mwanye uwezo mkubwa sana
@michaelkunambi4531
@michaelkunambi4531 4 года назад
Sauti yake tuu ukiwa mbali nikisikia tuu sauti yake hata Kama niko na kazi lazima niiache mama ulifanya simu yangu imalize moto kila siku maana sikuacha kuskiza dw kbs na ww ndio brand ya dw kbs wajue hilo
@damasiuspetro5178
@damasiuspetro5178 4 года назад
Professor wa habari aliyenifundisha mengi had nikasoma mpaka chuo kikuu kwasababu ya habari zake
@emmanuelkimath2881
@emmanuelkimath2881 4 года назад
Bruce Amani mwambie mama aje nyumbani kuendeleza gurudumu
@mohamedpesambili9460
@mohamedpesambili9460 4 года назад
nyumbani wapi xax.maana huyo mama ni raiya wa COMORRO
Далее
Agosti 03, 2024 | Mchana | Dunia yetu Leo
30:56
Просмотров 3 тыс.
Редакция. News: 128-я неделя
57:38
Просмотров 1,5 млн
Sekione Kitojo Astaafu
4:59
Просмотров 24 тыс.
Wasemavyo wastafu wa DW Kiswahili
2:16
Просмотров 836
Salama Na Zuhura Ep 13 | DADAKE Part 1
28:06
Просмотров 341 тыс.
FAHAMU KUHUSU OUMLIKHER WA DW
4:19
Просмотров 6 тыс.
Oumilkheir na maisha baada ya kustaafu
5:45
Просмотров 9 тыс.
Wafahamu waandishi na watangazaji wa BBC Swahili
5:10
Просмотров 126 тыс.
Vijana wa Kijerumani wakikicharaza Kiswahili
13:53
Просмотров 3 тыс.