Тёмный

MAMA WA SELEMANI AFUNGUKA MAZITO| ALINIACHIA HELA YA KIWANJA|SIJAWAI KUMWONA MJUKU WANGUN 

Maximum Tv Online
Подписаться 455 тыс.
Просмотров 23 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

29 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 179   
@munakhamis982
@munakhamis982 2 года назад
Pole mom na familia kwa ujumla na sisi tupowe kwa pamoja kaz ya mung hainaga makosa sifa zote njema zinamstahik mung muumba wa viumbe wot tuseme Alhamdulillah
@zamzamabdi5279
@zamzamabdi5279 2 года назад
Kweli kabisa.kazi ya mungu ndo vile uliposema
@salamanauthar480
@salamanauthar480 2 года назад
Alhamdulillah
@salamanauthar480
@salamanauthar480 2 года назад
Alhamdulillah🤲
@salamanauthar480
@salamanauthar480 2 года назад
Pole sana Mama yetu kipenzi' ALLAH Akujaze nguvu inshaallah
@mosesmwaisumo2838
@mosesmwaisumo2838 2 года назад
Dah😭😭😭😭 duniani Kuna mingi mitihani watoto wote kumi kiukweli tuombeni Mungu atupe mwisho mwema,dunian tukumbukane huyu mama anahitaji faraja ya Hali ya juu😭😭😭😭😭
@sophiamirambo9656
@sophiamirambo9656 2 года назад
Mnooo
@janethkomba4485
@janethkomba4485 Год назад
sanaa
@ziadakisanga1011
@ziadakisanga1011 2 года назад
Pole sana mama Allah akupe nguvu
@sharifanyumayo6314
@sharifanyumayo6314 2 года назад
Pole sana mamayngu kwa matatizo makubwa yalokupata! Ila yote ni mipango ya mungu na inaumiza sana kwani Selemani alikuahidi mengi ila ndo mipango ya mungu! Mbele yke nyuma yetu. Na nimekupenda mama wajieleza vzr kwa ujasir mkubwa.!
@florakishiwa4000
@florakishiwa4000 2 года назад
masikin mama pole sana kaka zahili nakuomba huyu mama tumsaidie buku moja tu linampa falaja
@douglasvernon9492
@douglasvernon9492 2 года назад
💕💕💕
@munirachangawa2928
@munirachangawa2928 2 года назад
Pole mamangu.mungu atakufanyia wepesi na atakupa subra katika kipindi hiki kigumu.
@shi5a_
@shi5a_ 2 года назад
Pole sana mama angu m mungu awape subira na amrehem amlaze pema pepon amiin na waislam wote amiin
@salamanauthar480
@salamanauthar480 2 года назад
Aamin🤲
@habibaa9503
@habibaa9503 2 года назад
Inauma sana 😭😭mungu akupe nguvu mama yetu
@olivajoseph1697
@olivajoseph1697 2 года назад
Mama anamitihani huyu. kweli kilajalibu anarokupa Mungu ameona unaliweza. 😭😭😭😭😭
@rahmaramadhani3470
@rahmaramadhani3470 2 года назад
Subhana Allah ainahitajika tumsaidie
@shameemrashid5219
@shameemrashid5219 2 года назад
Kuna siri kubwa sana juu ya kifo cha Selemani yaan haiwezekan mtu apigwe mapanga na boda wake na pikipiki ikutwe masikin Allahu yaa alam Allah ndio anajua kila kitu ... pumzik sele wamekuua kikatili san
@steramwanakira7183
@steramwanakira7183 2 года назад
Pole sanaa mama Pole mnooo
@irenewile
@irenewile 2 года назад
Amezaa watoto wengi Sana na wote amewazika,,Mungu wangu msimamie huyo mama
@mariamissa4029
@mariamissa4029 2 года назад
Subhannallah😭😭😭😭,pole sana mama angu allah akutie nguvu katika kipendi hichi kigumu
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 2 года назад
Pole mama m mwenyezi mungu atawahukumu wote walio mdhulumu mtoto wako
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 2 года назад
Tuwachangie jamani, chochote
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 года назад
Mtihani mungu atawafanyia wepesi ishaalah kwa uwezo wa mungu ishaalah mama wa marehem suleiman
@aminasuleiman8120
@aminasuleiman8120 2 года назад
Mamaake Sele anahitaji msaada kwakweli 😥😥😥 Pole sana mamaangu 😭😭😭
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 2 года назад
Kuna alie sema kuwa kuliwa mtamani kwake kibaha natukitaka kujua ukweli kinazahiri waaende ndugu wanasema kuliwa. Njiani kuna alie niambia kuliwa. Mtamani kwake
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 года назад
@@زيتونتنزانيا Subuhanallah Allahu Akibar basi uwenda a nawajua walio mfanyiahivyo Allah awakamatishe na polisi nawao wauliwe lnshaallah
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 2 года назад
@@hanifatanzania7258 watakuwa wameona tukio zima
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 года назад
@@زيتونتنزانيا mtihani janin nimeliampakanimeshindwskimdikiliza mamayake Sele ,,, sijui binaadam tutamwambianini Mungu ......... Nahao wanawake zake mm Nina wasiwasi nao kwaniniwasikatwe
@maximumtvonline
@maximumtvonline 2 года назад
Mbona umekomalia sisi tuende? Ndugu zake marehemu kwann hawajaenda?..
@maimonamaimona1177
@maimonamaimona1177 2 года назад
Polemama inauma sana
@queenhuu2852
@queenhuu2852 2 года назад
Inaumiiza Sana huu msiiba wa seleiman ,, ila tumtegeemee Allah Kwa Zulma alizofanyiiwa seleiman ,ila Allah anatosha na nimbora wakutegeemeewa ila inaumiiza sn ,huyu mama atia huruuma
@hebronsdaughter1661
@hebronsdaughter1661 2 года назад
Pole sana mama kwa kumpoteza mwanao mwenyezi Mungu akufariji
@mariamjuma4183
@mariamjuma4183 2 года назад
Napenda sana mahojiano ya fabi jaman yaan unamsikiliza vizur sana mtu
@maximumtvonline
@maximumtvonline 2 года назад
@@mariamjuma4183 asante
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 2 года назад
@@mariamjuma4183 sana🤝🤝
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 2 года назад
@@maximumtvonline Allah awajaalie wote 🙏🏿🤝
@himbehimbe4266
@himbehimbe4266 Год назад
Pole sana mama Kwa mitihan
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 2 года назад
Mm nawaomba kina Zahiri kuwe waangalifu sana tena sana. Hamuezi kujua mnakera wangapi kwenye kufatia habari haswa hizo zinazohusiana na mauaji. Kuweni waangalifu sana. Allah akulindeni nyote, amiin.
@fatmamsiliwa8485
@fatmamsiliwa8485 2 года назад
Unamaanisha nini ? Kwan wao si wanatuletea mrejesho
@queenhuu2852
@queenhuu2852 2 года назад
Ata sijamueleewa kabisa mm
@jovanafidelis2802
@jovanafidelis2802 2 года назад
Unaongea Nini?
@tatotato506
@tatotato506 2 года назад
Mbona tv nyingi zinafatilia mauwaji au wewe umeona kwa zahir tuu
@charityjoshua6135
@charityjoshua6135 2 года назад
Mmmm nmeingiwa mashaka na wewe kwann umekereka na haya mauajiiii🙄🙄🙄🙄🙄
@qwqw1665
@qwqw1665 2 года назад
Pole sana mama yangu tunaumia sana kifo cha seleman. Jaman😭😭😭😭👍👍👍
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 года назад
Mtihani mungu afanyie wepesi ishaalah
@rachelsika9588
@rachelsika9588 2 года назад
pole sana mama, tumsaidie huyo mama
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 2 года назад
Pole sana mom
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 2 года назад
Selemani yaani umetoka gerezani ufe, isijekuwa yule mama aliekufunga ndie kakumaliza.
@mamawawili4069
@mamawawili4069 2 года назад
Kwan huy mma yup wap huy aliomfunga 🙄 wend akaw kwel na marehem si aliongeg kusema huy bint sio mwanae ila ni roh mbay yk 2 duuuuh umeona mbal my 😭😭😭😭😭
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 2 года назад
Kuna alie niambia wameuliwa mtamani kwao Siokama kwenye poli natukitaka tujue ukweli kinazahiri waaende kibaha. Ni kajalibu kumbembeleza aniambie kakataa ujue kunakitu
@fatmamsiliwa8485
@fatmamsiliwa8485 2 года назад
Kweli yule bibi hakufurah kurud anaona atakuwa closed na mtt
@jovanafidelis2802
@jovanafidelis2802 2 года назад
@@fatmamsiliwa8485 inaonyesha aliyemfunga selemani Wala Hana ukaribu Sana na Ile familia.kwasababu ilionyesha ni kama vile yule mama mtoto alikuwa anafanya kazi TU kwake.
@mwanaishamande8880
@mwanaishamande8880 2 года назад
Pamoja nayote lkn alikuwa anamjali mama yake mungu amjaae pepo huko aliko
@salhaali9284
@salhaali9284 2 года назад
Amin yarrab
@pilimusa3217
@pilimusa3217 2 года назад
Amiin
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 2 года назад
@@pilimusa3217 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 года назад
Inaumiza nashindwahatakusikiliza hadi mwisho mama inaniuma. Sana 😭😭
@فاطمةسعيد-ث2ق
@فاطمةسعيد-ث2ق 2 года назад
😭😭😭😭
@khadjaiddlis283
@khadjaiddlis283 2 года назад
Kwakweli inauma sana yaani nimeumia mno
@pilikhamis2924
@pilikhamis2924 2 года назад
Pole sana mama yetu kwa kupoteza kijana wako mpendwa mungu ampe kauli sabiti inshaallah mbele yake nyuma yetu amen
@aminaali792
@aminaali792 2 года назад
Subhannah ALLAH tunawashkur maximum tv wote kwa kumpata huyu mama yaani inaskitisha sana kumuona huyu mama anawatoto wote lkn hakuna alieweza kusaidia ya Rabbi amsimamie huyu mama Etu🤲🏼pia naomba kama una number ya huyu mama tuwekee tuweze kusaidia kitu chochote please🥺❤️
@beatricemdoe2850
@beatricemdoe2850 2 года назад
Watoto walikufa amebaki mmoja
@asiacruiz5165
@asiacruiz5165 2 года назад
Pole Sana 😭😭😭bi mkubwa Allah akupe subra
@abelmange5430
@abelmange5430 2 года назад
Dah..! Huyu mwamba kavutaa, Asee Imenigusa sana...!! Kweli dunia tunapita tu,
@husnamtitiko9312
@husnamtitiko9312 2 года назад
Daah acha tu tena kwa kuuliwa😭😭
@twix1404
@twix1404 2 года назад
Pole Sana mama najua uchungu unaoupitia sie tulizaliwa 6 watano woke wamefarik Mei na wazazi wangu, na wao wameondoka nimebaki peke yangu nashukuru Nina wajokba mababa wadogo na wakubwa mashangazi wananipenda wamenisomesha nje
@sadasambuka7814
@sadasambuka7814 2 года назад
Pole sana mpenzi
@twix1404
@twix1404 2 года назад
@@sadasambuka7814 Asante
@mariamahmad8261
@mariamahmad8261 2 года назад
Jaameni duuu pole sana mama jaameni ni uchngu mkubwa sana
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 года назад
Pole bibi
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 2 года назад
pole sana mama Mungu akupe subra lnshallha
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 2 года назад
Itakuwa hao waliomua ndo ndo walichukuwa mobail yake ndo waliokuwa wametoa salam za kufa kwa sababu waliipata vipi mobail yake
@marymuchina1481
@marymuchina1481 2 года назад
Hongera kaka Kazi zuri
@omanoman2044
@omanoman2044 2 года назад
Jaman pole san sie tuna wazazi tumewajengea lakin hata shukuran hawan mungu atupe mwisho mwem
@laymashabani832
@laymashabani832 2 года назад
Inaumiza sana kwakweli 😭😭 pole mamaangu
@asmarajabu5786
@asmarajabu5786 2 года назад
mnalazimisha zahiri aende kufatilia porisi kwiyo mbona ndugu zake hawaende ,mnafikiria rahis,i subutu mwacheni apambane na vipindi vyake
@happynessswai3922
@happynessswai3922 2 года назад
Jaman pole nying kwa family yake Zaid kwa mama ake Mungu ampumzishe salama
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 2 года назад
Daaaaaaaa nimeumia sna pole mama Kaz ya mungu hiii aina makosa 😭😭😭
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 2 года назад
😭😭😭😭😭😭😭
@shabanwolf4986
@shabanwolf4986 2 года назад
Pole sana mama
@anasitacianjerianasitacia4367
@anasitacianjerianasitacia4367 2 года назад
Fabby anaongea na huyu mama kama mtu mzima kabisa,Maximum family God bless you
@maximumtvonline
@maximumtvonline 2 года назад
😁 naongea kama ninavyo ongea na mama yangu
@rayaali9729
@rayaali9729 2 года назад
Ma sha Allah anaongea kwa umakini
@sylviermuhonjah8411
@sylviermuhonjah8411 2 года назад
Hapo zahir hawezi,,ana maneno 10 kwa sekunde😀
@rayaali9729
@rayaali9729 2 года назад
@@sylviermuhonjah8411 hahaha
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 2 года назад
@@rayaali9729 sana
@faithkapondo5383
@faithkapondo5383 2 года назад
Dah watoto 10 kuzika tujifunze ktu
@shameemrashid5219
@shameemrashid5219 2 года назад
😭😭😭😭jamn nimelia kwa uchungu
@mwajomaessa7513
@mwajomaessa7513 2 года назад
Pole san mama 😭😭
@fatmamansour676
@fatmamansour676 2 года назад
Selemani Alesha tangulia mbele ya haki ila mwisho aliwageukia kina zahir mambo yake alikuwa hawashirikishi na akifanikiwa kupata pesa nyingi sana
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 2 года назад
Ila fabi umenifanya nimecheka eti kuna yule askari magereza amezaa nae,mama nae kaongeza chumvi ee huyo siyo askari ni mchaga🙈🙈
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 Год назад
Allahu akbar 😭😭😭😭
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 2 года назад
Maximum tv mumumsa8die kumjengea hiyu mama ake selemani mtowe kwa mawazo ya mwanawe alikuwa anapambana kwa haraka ni muda tu stoke gerezani karat mpaka kumuona mwanaye natafuta kazi kw bibi iliamuweke mama yake kwa nyumba lakini mungu amemuhitaji zahiri amsaidie huyu mama
@khadijamohammed2855
@khadijamohammed2855 2 года назад
Poleni wafiwa
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 2 года назад
Zahiri.... Fabi. Mfanye muende kibaha tutajua mengi
@naaalovee3910
@naaalovee3910 2 года назад
Kashakukatalia. Ndugu wenyew wamegoma kwenda sembuse huyo zahir.
@mrsliverpool4235
@mrsliverpool4235 2 года назад
dah maskini
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 2 года назад
Pole sana mama yangu Allah Awape subira kwa wakat huu mgum kwetu sote😭😭 Amlaze kakaetu mahali pema kwenye wema 🙏🏿🙏🏿💔💔 bro wangu fabi nmepeana no kwa mdogo wetu atakupigia cm jina aitwa saida atakwambia nmemtuma mie tumusaidie mamaetu 🙏🏿🤝
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 2 года назад
Ndugu zangu najuwa mtajiuliza masuali lkn mie kwa saahii nipo jordan na xina Em pesa 🤝🤝 sana
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 2 года назад
@@ayshamahariq6665 fanyaa kutuma money glam my ndio njia tunaiyotumia pesa unafika kwenye moja kwa moja
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 2 года назад
@@ukhutfatumah1154 paka wantumie majina kamili ya kitambulisho ndiyo naeza wstumia hukuu🤗
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 2 года назад
Duu jamani alifungwa sababu ya kumpa mimba mtoto WA watu Sasa na gerezani akenda kumpa mwanamke mwingine mimba haaa jamani nye hizi
@queenhuu2852
@queenhuu2852 2 года назад
Nimecheka mm ,,😆ss miak 20 bila y kujistareehesha buree hii ,, kwnz seleman alikua mjanja Sana ndio maana alipata mwanamke gerezan
@wemasamir9451
@wemasamir9451 2 года назад
Kaka zahir jana nimekuona jmn nimejickia raha mungu akutieni nguvuuu sanaaaa wewe na team yko yote
@shanifesto9037
@shanifesto9037 2 года назад
Dahhh 😭😭😭😭😭pole mama
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk Год назад
Aslamu alaikum kwaupande wapili bwanayesu asifiwe jamani mimi wasiwasi wangu kwahawa wanahabali nikulekumwambia mtu aseme kiasi alicho pata hapo hamuoni kua munamtafutia mtu mashaka ya dunia wakati dini yasema ukitowa kulia kushoto isijue samahanini jamani kama nimekukeleni maana hata yulemama wakihindi alitapeliwa munisamehe bule
@mamushemshami1018
@mamushemshami1018 2 года назад
Kaka kaniliza Sana uyu jaman..historia yake maskin urain kaishi maisha mafup san😪😥😥
@sophiamirambo9656
@sophiamirambo9656 2 года назад
Sana kaishi miaka 20 ndani 20 nje kwaheri dunia mungu amrehemu
@janethkomba4485
@janethkomba4485 Год назад
yani kaacha majozi kwakila mtu😭😭😭
@noorlheyaljabri602
@noorlheyaljabri602 2 года назад
polrsana mama allh akupesubra kwamtihani
@babesangarefans6983
@babesangarefans6983 2 года назад
Sauti ya mama kama ya kijana . Pole na matatizo
@qwqw1665
@qwqw1665 2 года назад
Lakin hilijambo likifwatiliwa kiunda itajulikana tatizo lilikua nnn jaman
@evawilliamchatila8211
@evawilliamchatila8211 2 года назад
Pole sans daaa,!
@olivajoseph1697
@olivajoseph1697 2 года назад
Nimzee lakini anajua kujieleza. kumbe jela wako huru tu jamani
@StAr-yu3vz
@StAr-yu3vz 2 года назад
Pore sana mama
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 2 года назад
Dah inaumiza sana ila huyu mama asikatae mjukuu yeyote atakayeletwa ni mtoto iwe aliambiwa hajaambiwa ila awapokee hapo mwenyewe wanae wote 10 nzima imelamba udongo amebakia mmoja kizazi chake kinaenda kupotea huyu Mungu jamani atuepushie kama ni laana imwondoke siyo bure kabisa 😭😭😭
@khadijashabani5509
@khadijashabani5509 2 года назад
Yani hao watoto wabaki tu kwa mamazao maana hata huko kwa bibiyake nazani kuna mzim unamtafuta
@sophiamirambo9656
@sophiamirambo9656 2 года назад
Kabisaa mungu ampe ukombozi
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 2 года назад
Poleni na msiba, mie naomba kuwaza tofauti Kaka Zahir ulienda kuangalia maiti kuhakiki? Maana kumezuka maigizo mengi hapa mjini za kutafuta kiki, Kuna wale walituaminisha ndoa kumbe sio, Mimi Nina wasiwasi, kama mnaakumbuka Sele alisema alivyotoka jela alikuta wazazi wamefariki
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 2 года назад
Fabi alienda muhimbili na akaiona maiti ya selemani fabi alisema kweneye ile clip ya kutoka muhimbili na maiti ya sele km sikosei😢😢😢
@kiehbhzh7044
@kiehbhzh7044 2 года назад
duh😭😭😭mama anazika wanae yy anabaki wallah inauna sn yy mama na ali ngumu sn jmn dah maisha anaewategemea ndio wanatoeweka😢mungu nyie mliotoa uhai kaka wawatu mungu awalaan sn😢
@uwimanauwimana7692
@uwimanauwimana7692 2 года назад
Selemani alisema babake ndie aliefariki sio mamake
@swadatimmbaga7435
@swadatimmbaga7435 8 месяцев назад
Akiwa gerezan Amezaaje?
@maryamsaid8152
@maryamsaid8152 2 года назад
Nyie jamaniiiiiiii😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@ayshachondo9090
@ayshachondo9090 2 года назад
😭😭😭
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 2 года назад
Marehemu alikuwa ni mtu wa aina gani na kazi yake ni nini na marafiki zake ni akina nani na tabia yake ulikuwa ni ya aina gani .ila kifo lazima kiwe na sababu mbalimbali.ila Mungu amsamehe dhambi zake
@saimonijonas4356
@saimonijonas4356 2 года назад
Ungefuatilia toka mwanzo kadhia alizopitia nadhani ungeelewa nini kimetokea.Andika hivi.Aliyefungwa miaka 30 atoka jela.Utaletewa histori zote kisha utapata ufahamu nini kimetokea kwa huyu kijana.
@tatumussa651
@tatumussa651 2 года назад
Pore mama
@everlyneiminza5722
@everlyneiminza5722 2 года назад
Eeeeh Mungu 😭😭😭😭
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 2 года назад
When we plan God plan us
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 2 года назад
Polen wafiwa hiv yule mke wake wa oman walipeana talaka?
@olivajoseph1697
@olivajoseph1697 2 года назад
Kumbe zile pesa alimpelekea na mama ake 😭😭😭😭😭
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 2 года назад
Jani zahiri kuna alie niambia huyu sele kuliwa mtamani kwake kibaha natukitaka tujue ukweli uende nikambembeleza aniambie alimkataa katu ilq kasema muende ndio mtajua ukweli lazima kutakuwa NA kitu
@aminaam281
@aminaam281 2 года назад
Hakika
@olivajoseph1697
@olivajoseph1697 2 года назад
Aki hii Dunia kunawatu wanayapitia 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@mariamgodfrey53
@mariamgodfrey53 2 года назад
MUNGU wangu 😭😭 watoto wote 10 Kwisha
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk Год назад
Hunimtihani mzito yani ndiomaana mtu usimuite mgumba huwezijua hapo s'imposa attelée kama hivyo
@fatuma5208
@fatuma5208 Год назад
Innalilahwainnalilahranjaun😭😭😭😭😭😭😭
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 2 года назад
Kama aliishi kibiti inawezekana Yale mauaji ya kibiti alikimbia ndio wamemfuata huko. kifo chake ni Siri kubwa
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 2 года назад
Kuna alie niambia huyu SELEMANI kafia mtaani kwake yeye Huyo mtu akasema tukitaka kujua ukweli kinazahiri waaende nikajua hapo kunakitu
@pilimusa3217
@pilimusa3217 2 года назад
Aliuwa mtu kibiti?
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 2 года назад
@@pilimusa3217 mbona wengi Sana walikuwa wakichinjwa kama kuku watu wengi waliopona wakakimbia
@pilimusa3217
@pilimusa3217 2 года назад
@@fatmaabdallah7709 he hatari. Kwa nini walikuwa wanachinjwa?
@pilimusa3217
@pilimusa3217 2 года назад
@@fatmaabdallah7709 selemani na yeye aliuwa watu huko kibiti?
@عبداللهالعازمي-ع3ش
😭😭
@irenewile
@irenewile 2 года назад
Uchungu wa kukaa watoto wote hao .
@omanoman2044
@omanoman2044 2 года назад
Tuwakumbuke wazazi wetu japo kwa sim jaman
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 2 года назад
Sasa huyo mwanamke aliempa mimba akiwa gerezani alikuwa askari magereza. Au alikuwa mfungwa au nini???
@pilimusa3217
@pilimusa3217 2 года назад
😆😆😆😆😆
@alhabsi6430
@alhabsi6430 2 года назад
Hata mimi najiuliza na kushangaa
@gracemadondola7331
@gracemadondola7331 2 года назад
Alikua mchaga
@olivajoseph1697
@olivajoseph1697 2 года назад
Maskini bado amepanga. Maximum TV msaidiane huyu bibi
@tatutatu1570
@tatutatu1570 2 года назад
Pole sana mama 😭💔
@asinakassim1548
@asinakassim1548 2 года назад
😭😭😭😭😭😥😥😥😥
@uwimanauwimana7692
@uwimanauwimana7692 2 года назад
Bibi anamaisha magumu sana 😭
@asmarajabu5786
@asmarajabu5786 2 года назад
sana kama kumsaidia Huyu bibi lakini mambo ya porisi achana nayo
@sophiamirambo9656
@sophiamirambo9656 2 года назад
Kwakweli Bibi maisha yake magumu sanaaa kweli hujafa hujaumbika
@aishachambo8663
@aishachambo8663 2 года назад
Tuwachangie jaman dah
@fatmamamlo7882
@fatmamamlo7882 2 года назад
Sauti inazingua
@munakhamis982
@munakhamis982 2 года назад
Umelala umuumu congole😍
@fatmamamlo7882
@fatmamamlo7882 2 года назад
@@munakhamis982 kiukweli msiba huu umenipa mawaidha tosha tena nimeumia kanakwamba ndugu yangu wa damu mtu kaushi jela miaka kibao katoka sallama salimin anakuja kuuliwa kikatili 🤔🤔🤔🤔
@sweetie6934
@sweetie6934 2 года назад
Simu yako ndo inazingua
@fatmamamlo7882
@fatmamamlo7882 2 года назад
@@sweetie6934 saizi nasikia saut
@munakhamis982
@munakhamis982 2 года назад
@@fatmamamlo7882 Haki mm zaidi hii ndio mitihan tuliyoambiw itatupat unapimwa Imma shaakira waimma kafura 😥
@salmasalim6055
@salmasalim6055 2 года назад
Pole sana mama Allah akupe subra
@DativaMbowe
@DativaMbowe 4 месяца назад
😭😭😭😭
@Elizabeth-777-r3p
@Elizabeth-777-r3p 2 года назад
😭😭😭
Далее
This is how Halo felt as a kid 🤣 (phelan.davies)
00:14
JUMBA LA KIFAHARI LINAUZWA KIGAMBONI 0762505211
4:49
Просмотров 3,4 тыс.
HAPA NDIPO ANAPOISHI MUNIRA KWASASA
5:28
Просмотров 21 тыс.
This is how Halo felt as a kid 🤣 (phelan.davies)
00:14