Тёмный
No video :(

Mama weeeeee!! SUALA LA AZIZ KI MZEE WA JAMBIA ANASIRI YA WAKALA KAMPENYEZEA!! KIMENUKA JANGWANI 

LIKE MEDIA
Подписаться 32 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 29   
@Izzoh2021
@Izzoh2021 Месяц назад
Huyu oruma hana network hohoho jina lake nikama maneno yake yanatia huruma hohoho
@jacksonmillengo1913
@jacksonmillengo1913 Месяц назад
Iko hivi simple sana Aziz kasaini lkn Soka ni biashara ameshakuwa mali ya Yanga isipokuwa wenye fedha wakiendelea kumtamani wanunue Mkataba kwa mkwanja mrefu zaidi wa kusaidia kileta vyuma vingine Bora zaidi na vyenye maisha marefu eleweni hivi
@bonifassimon7909
@bonifassimon7909 Месяц назад
Eti wakala ametafutwa cheusi mandala wa efm radio hongera mzee wa jambi ila azizi ataondoka yanga ataiacha wee na wenzio endeleeni kudanganya
@athmanimkangara9290
@athmanimkangara9290 Месяц назад
60/40
@HassanZiroy
@HassanZiroy Месяц назад
Uyo boko hana akili alafu anachobisha mimi skielewi kwakifup kwaluga laisi aziz hana mkataba pale yanga
@lucymsheshi5871
@lucymsheshi5871 Месяц назад
Huyo wakala akimpa taarifa huyo oruma atakuwa chizi anaakili kama ya oruma😂😂😂😂
@HassanZiroy
@HassanZiroy Месяц назад
Mbona hueleweki bloo azizi hana mkataba mkataba umeisha
@msemakweli...
@msemakweli... Месяц назад
Mkataba upi ulioisha au walisaini mkataba wa wiki 2?😅😅😅😅😅
@josephgalandu128
@josephgalandu128 Месяц назад
Huyo aliyeongea ni msemaji wa Yanga??uchambuzi uchwara tu
@SurprisedFullMoon-gg9vu
@SurprisedFullMoon-gg9vu Месяц назад
Wapunguzen presha utopolo"wasije wakafaaaa
@msemakweli...
@msemakweli... Месяц назад
Uko sahihi maana utopolo wa mo dewji watakufa kwa pressure wakigundua kumbe Aziz Ki bado yupo😅😅😅
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 Месяц назад
HAO WOTE NI WAONGO SANA. KWANN MNADANGANYA? HIZO ZAMA ZILISHAPITA NA WAKATI. KWANN UNAKUWA MWONGO?MARA AMESAINI MARA HAJASAINI HIYO NDY NN?ACHENI UTOTO WENU.
@msemakweli...
@msemakweli... Месяц назад
"Nimemtafuta wakala wa Aziz Ki nikachati nae". Lugha yenyewe hujui ila umeweza kumpata na kuchati nae Mashabiki wa mikia ni waongo sana😅. Ila Hersi kaishika nchi pabaya kwenye upande wa soka😅😅😅😅😅😅
@AzizMangara
@AzizMangara Месяц назад
Mkataba umeisha, ila Kuna mapenzi na PESA, Aziz ki ananipa Heshima Yanga, wamuengezee PESA, ila Yanga PESA sijui Awana!!! Sasa akienda kwenye PESA msimchukie, ingekuwa mwingine mbaka Leo angisha sepa, sasa Yanga mmepewa Heshima na ki. Siku aliziwapa Yanga msipo mpa Ela kumuongezea. Anasepa huyo.
@lucymsheshi5871
@lucymsheshi5871 Месяц назад
Tulieni sindano iwaingie hamjaona usajili yanga hawajatangaza mnaongea pumba Hizo za ndani ni zakwenu nyie kolo FC😂😂😂
@anyeresa928
@anyeresa928 Месяц назад
Oruma hata wakala wa azizi humfaham acha uongo !!
@lucymsheshi5871
@lucymsheshi5871 Месяц назад
Ndio maana tunasema hiki kikundi cha hii redio ni wahuni TU 😂😂😂😂 wanaumia kweli nakutowa uongo
@lucymsheshi5871
@lucymsheshi5871 Месяц назад
Nyie hamjaona usajili tulieni sindano iwaingie😂😂😂
@josephgalandu128
@josephgalandu128 Месяц назад
Kolo lololooooohao
@lucymsheshi5871
@lucymsheshi5871 Месяц назад
Hiki ni kikundi Cha kolo FC 😂😂😂
@msafirimhagama6445
@msafirimhagama6445 Месяц назад
Katika mchambuzi mku.. u ambaye simkubali ni huyu msenge oruma sura ngumu kama govi la punda
@lucymsheshi5871
@lucymsheshi5871 Месяц назад
Azizi Ki ni Mali ya Yanga
@amanilupembe9788
@amanilupembe9788 Месяц назад
Hatuuzi silaha wakati tupo vita ni
@bkkomesho9272
@bkkomesho9272 Месяц назад
Hiyo ni tension injinia anaandaa ili kumpandisha thaman azizi, azizi kaisha saini muda tu ila maelezo ya injinia yatafanya azizi atafutwe na timu nyingi sana kibinafsi hii itafanya injinia aonekane bora kwa kumzuia azizi, kumbe alishazuiwa. Na kaipata hii kiki baada ya kuona moh dewji kamtaka akaona mmmmmmmh! Hii mbona kama kiki tam.
@MrishoMindu-zq7mz
@MrishoMindu-zq7mz Месяц назад
Kuna mambo mawili hapa unachanganya weka tafakuri yako sawa Ukisha mzuia mchezaji maana yake umesha mfunga sasa na ukisha mfunga anae mtaka aje kwako kwa dau unalo taka wewe (Unaringa) hapo unakua hauja mpandisha thamani watu wataogopa kuja kwa sababu ya dau. Lakini hili la pili wasomi hua wanaongea na kuweka akiba jifunze hili ktk mazungumzo ya Engineer ametaja vilabu vikubwa vinavyo mtaka akavitaja kwa majina lkn hukumsikia akimtaja Mo dewj anamtaka hapo angeitaja Simba lkn hakuitaja. Wewe unapata wapi ujasiri wa kuidanganya akili yako Engineer baada kumsikia MO anamtaka. Kaitafutia kiki. Acheni kukurupuka.
@issayaibrahim8490
@issayaibrahim8490 Месяц назад
Oruma wewe unamuuliza wakala wa azizi kama nani acha kuifata yanga kaa na simba yako
@amanilupembe9788
@amanilupembe9788 Месяц назад
Hapo nimekuelewa
@user-ce3tx7mr8v
@user-ce3tx7mr8v Месяц назад
UNAELEWA MAANA YA 60/40?AZIZI KII AMESAINI YANGA ASILIMIA 60+40=100
@mohamedguveti5372
@mohamedguveti5372 Месяц назад
Umbea kwisha sasa
Далее
C’est qui le plus fort 😂
00:18
Просмотров 10 млн
ALI KAMWE AMCHARUA SIMBA SC KISA FEI TOTO
11:08
HARUSI IMEVUNJIKA  MKE AMENIACHA SIKU YA HARUSI YETU
22:39