Тёмный

#ZaNdaaani 

Wasafi Media
Подписаться 4,6 млн
Просмотров 107 тыс.
50% 1

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Спорт

Опубликовано:

 

8 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 235   
@user-wh2mm1eq2x
@user-wh2mm1eq2x 13 дней назад
Za ndaaaaani😂😂😂 Momo bwana, eti Mo Sarah. Momo sema Mo dewj siyo Mo Sarah
@saadomar2480
@saadomar2480 13 дней назад
Kama NIKWELI, MOO SHKAMOO KAKA WATAIFA😂😂❤❤❤❤❤😅😊
@daruweshshifaaonlinetv6958
@daruweshshifaaonlinetv6958 13 дней назад
Wa mwisho naomba like zangu ila naushauri acheni kupenda wachezaji pendeni timu zenu😂😂😂😂😂❤
@mckobatz5861
@mckobatz5861 13 дней назад
Halafu mnataka kusema tx dullah ndio mwenye comedian talent pekee msiache jina la Momo tafadhali 😂
@mcray0609
@mcray0609 12 дней назад
Eng. Hersi shikamoo.. Unajua kuyumbusha watu ad momo anadanganya umma
@vailetheanyambilile9749
@vailetheanyambilile9749 13 дней назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huyu kaka hahaha anajua kunivunja mbavu
@basiaarsh3835
@basiaarsh3835 13 дней назад
Huyu jamaa yupo vzuri saaana
@amosmemba9926
@amosmemba9926 13 дней назад
Aziz Ki huyooooo
@user-sy3mj5gh5g
@user-sy3mj5gh5g 13 дней назад
Zaa ndani nakutukana kwa furaha kudadadekiii zako
@StephanoFrance
@StephanoFrance 13 дней назад
Aaah ila leo mzee wa za ndani umetupa laha sana wa lunyasi
@victorvenance1009
@victorvenance1009 13 дней назад
Hakuna timu ya kufanya usajili wa Bilion 3 kwa mwaka mmoja kwenye ligi ya Tanzania.
@joshuanyaulingo4109
@joshuanyaulingo4109 13 дней назад
kaa hvo hvoo sas
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 13 дней назад
Dora laki tano sawa na 1.3b
@evdsam7286
@evdsam7286 12 дней назад
Huyu jamaa anatabia za kikekike sana, anavyodanganya mpaka sura inaonesha ukike ndani yake
@piuskusenge-jf2ob
@piuskusenge-jf2ob 13 дней назад
Momo kwa mikwala cheki alivyomuigiza tajiri alivyoshika sigara 😂😂😂
@jamesngindo4583
@jamesngindo4583 13 дней назад
Mnahangaika tu Aziz alishasaini yanga kitambo, sema engineer mjanja ameaachia tu media zihangaike kwa muda huu
@moudyhamisi2641
@moudyhamisi2641 13 дней назад
Acha uongo
@allytv1714
@allytv1714 13 дней назад
Huyo ni aziz funguo utoo wanamganda na awana pesa ya wanataka aishi kama family ndo maana mayele alisepa alikataa mfumo wa ww family
@reonardchatanda6371
@reonardchatanda6371 13 дней назад
Poleni sana
@Munyama675
@Munyama675 13 дней назад
Yaan Aziz aache Yanga aende SIMBA?
@allytv1714
@allytv1714 13 дней назад
@@Munyama675 mpira ni biashara kama timu inamwaga pesa zaidi ya yanga anaenda siyo kwao pale mayele alisema yy anaangalia pesa anatafuta pesa kama cristiano Ronaldo
@salimmalaka256
@salimmalaka256 13 дней назад
​@@reonardchatanda6371POLE MATAKO AU 😂😂😂😂😂😂 UTOPOLO MACHOGO FC WEWE 😂😂😂😂 MACHOGOOOOOOOOO
@salimmalaka256
@salimmalaka256 13 дней назад
​@@Munyama675UTOPOLO MACHOGO FC NJAA NYIE
@hendrixmarvel7387
@hendrixmarvel7387 14 дней назад
Naombeni likes jaman😅
@samirshabani-yu4xu
@samirshabani-yu4xu 13 дней назад
Omba nduguzako mshamba wewe
@saeedmagoda9651
@saeedmagoda9651 13 дней назад
🤣🤣🤣🤣​@@samirshabani-yu4xu
@user-iv1it9yy3c
@user-iv1it9yy3c 13 дней назад
Shajua kama injinia aje simba hata leta mgogoro mkubwa bora auzwe huko kaizer sio makolo nae shuka thamani timu ashirk klabu bingwa
@barakayusuph4617
@barakayusuph4617 13 дней назад
wew amka aziz ki yuko huru sasa mtamuuzaje chura wew😂😂
@chamyluna8030
@chamyluna8030 13 дней назад
Lilisikika pumbavu likiongea 😢😢😢😢
@JumaSuleiman-np3eb
@JumaSuleiman-np3eb 13 дней назад
Wivu tu
@onesmothimos2635
@onesmothimos2635 13 дней назад
Ujui kuandika nenda shule choko wewe
@venancemwanya4212
@venancemwanya4212 13 дней назад
Yanga hana mamlaka ya kumuuza Aziz k.Aziz ki yuko hurt hana mkataba na timu yoyote.
@georgesheto4542
@georgesheto4542 13 дней назад
Azizi k to simba like za kutosha apa
@Veni584
@Veni584 13 дней назад
Akacheze shirikisho
@IbniAbbas-yz3kt
@IbniAbbas-yz3kt 13 дней назад
​@@Veni584mjomba watu wanaangalia pesa hilo shirikisho halimpunguzii wala halimungezei kitu
@bone102
@bone102 13 дней назад
​​@@Veni584kama Ahly timu ya 1 Africa ilicheza shirikisho mwaka 2014 kuna kitu gan cha ajabu zaid Simba ambaye ni ya 5 Africa kucheza shirikisho wachezaji wanaangalia timu gani ina muendelezo na sio timu ndo inajifunza kwenye club bingwa mara ya 2 na hamna uhakika mtaingia group stage
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 13 дней назад
JE YA KWELI HAYO ?
@alfonceanton2273
@alfonceanton2273 13 дней назад
​@@Veni584Kwani wakati anakuja nyuma mwiko mlikuwa mnashiriki mashindano gani?
@azizymachadeson3577
@azizymachadeson3577 12 дней назад
Azizi Ally labda hhahaaaaaaa Azizi ki Jangwani yupo sana sajilini kina Debora tuleteeni na Mwajuma 😂😂
@armytonegt3897
@armytonegt3897 8 дней назад
Vp kuhus joyce
@harounzuberi8179
@harounzuberi8179 13 дней назад
Sospiter Bajuna huyo😅😅😅😅
@user-sy3mj5gh5g
@user-sy3mj5gh5g 13 дней назад
Umeeeapa kwa Dini nakuamini
@phidolineprivatus9078
@phidolineprivatus9078 13 дней назад
We msenge leo umejua kunichekesha😂
@LowasaSanare
@LowasaSanare 13 дней назад
Hahahahaha 😅😅😅😅 we jamaa unajuaa kuigizia umbea akii 😂😂😂 nmecheka
@daruweshshifaaonlinetv6958
@daruweshshifaaonlinetv6958 12 дней назад
Momo acha uongo unaapia mpka jina la mola wako ufai bara wala pwani
@josafko2259
@josafko2259 13 дней назад
Timu gan ya kutoa 3b hapa bongo😂😂😂
@francismomo7067
@francismomo7067 13 дней назад
Safi sana wajina
@mckobatz5861
@mckobatz5861 13 дней назад
Anatumika kukikisha propaganda ya Yanga na Ki sema hii ya tajiri lilivyovuta sigar kuwasha na kuvuta ni kali😂😂😂😂
@user-bj8hk9td9f
@user-bj8hk9td9f 13 дней назад
Ina maan wasafi muko vizr kwel munauliza ripoti imendikwa na nani timu haikua na kocha
@user-yk9ll1cd9b
@user-yk9ll1cd9b 13 дней назад
Momo hivyo viwili unavyonyosha juu unatupa mashaka ya ww kuwa mmasonia
@user-sy3mj5gh5g
@user-sy3mj5gh5g 13 дней назад
Wewee ucitutie tamaaa
@user-ww4so9ks9c
@user-ww4so9ks9c 13 дней назад
Mlikuwa wapi kabla eris hajàsema azizi hajasain we muongo bhana
@user-lj7pu9js1d
@user-lj7pu9js1d 13 дней назад
Sikujuaga kama unaongeaga uongo leo ndio nimeamini wewe sio mkweli
@IdrisuMabuda
@IdrisuMabuda 13 дней назад
Yess
@allyfatma7359
@allyfatma7359 13 дней назад
Leo momo kanichekesha sana
@fabiandanford3572
@fabiandanford3572 13 дней назад
😂😂😂😂ameshindwa kumbakisha chama kwa mshahara wa ml 40 utaweza kwa ki kakojoe ukalale nawewe saizi hauna za ndani wala nini
@user-mo6be6gz3t
@user-mo6be6gz3t 13 дней назад
Million 40 kwa umri ule kaka miaka 33 ni uongo kaka hata ww usingetoa
@jamesngindo4583
@jamesngindo4583 13 дней назад
@@user-mo6be6gz3t Chama hajaisha mpira wangembakisha tu kwa mwaka mmoja, sasa tusubiri tumuangalie akiwa yanga tujiridhishe
@biggy_aziz255
@biggy_aziz255 13 дней назад
Kama unatamani kumuona Aziz Ki SIMBA like hapa 👍
@shaiburajabumrope8113
@shaiburajabumrope8113 13 дней назад
Nakukbal sana likado momo
@hamidabdallah5841
@hamidabdallah5841 13 дней назад
Dah siamin
@Economically-Growth-Musicians
@Economically-Growth-Musicians 13 дней назад
From #EconomicallyGrowthMusicians 😂😂😂😂😂
@sundaymsomi6284
@sundaymsomi6284 13 дней назад
Hapa hakuna taarifa ya ukweli kuweni watulivu
@user-wk2bg8zf3l
@user-wk2bg8zf3l 13 дней назад
MNYAMA MKALI
@georgekyando885
@georgekyando885 13 дней назад
6:21 siku zote mkuki ni mtamu kwa ……. Na kwa ….
@mwitafabian9403
@mwitafabian9403 11 дней назад
Jamaa mpaka kaapa, kweli Dunia ina mambo
@chrissantkaunda9958
@chrissantkaunda9958 13 дней назад
Daaaah aziz ki tumemkosa
@Abuu-gs1yi
@Abuu-gs1yi 13 дней назад
Kuwa na amani
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m 13 дней назад
Wapike keki wao si wanapika keki!!!
@georgekyando885
@georgekyando885 13 дней назад
Siku zote mkuki ni mtamu kwa ………… na kwa ni……..
@musanjopeka837
@musanjopeka837 12 дней назад
Poleni
@HalidMuhammad-gi9qy
@HalidMuhammad-gi9qy 13 дней назад
Msenge akikutana na shoga bora nani jamani hapo ndio radio hao wachambuzi mmoja msenge na mwingine ni shoga
@rogersdavis3058
@rogersdavis3058 13 дней назад
Tatizo la ushabiki wa kipuuzi unatukana kisa nini
@BADAWY575
@BADAWY575 13 дней назад
Huyu kama msenge kwenye media analeta story za kama amekula mirungi au mlevi .hawa ndio waharibifu wa kazi za watu .yani kafanya hapa kwa media kama mgahawa wa kahawa ndio maana kaachwa na mke wake sababu ni muongo
@luqmanomary3558
@luqmanomary3558 13 дней назад
Usitutus wala kirungi au pombe chagua starehe yako na wew😂😂😂😂😂
@charlestobby6031
@charlestobby6031 13 дней назад
Mwanzo mlifurahi mwisho wa stori mkanuna mtasubiri sana kudadeki😂😂
@BADAWY575
@BADAWY575 13 дней назад
Jamaa muongo maendeleo ya ki afya ya akili mwanzo ni mtu awe haongei uongo bongo linakua safi .alafu ukizingatia yuko kwenye media kaa sio mlevi ni nani huyo chizi basi au ndio media ya mdogo wake anakaa akidanganya watu .huo wakati wa kutunga naongezi sisi yanga tumeshawacha muda mwingi ata maongezi ya kurogana kitambo tumesahau kuyatamka sisi wana yanga sababu .uchawi wa mpira ni zoezi na pesa management nzuri yenye uwelidi na kuwatizama wachezaji kwa furaha .nyie simba omba omba wa babujiiiii muhindi anawahujumu simba wote wanafiki sasahv yenyewe inashangilia usajili.kweli wachezaji wao ukiwatizama sio uhakika upo .nimependa napenda mpizani awe na timu pia lakini kimaendeleo simba ni ndondo club huo ndio ukweli
@jumanneshego3308
@jumanneshego3308 12 дней назад
sasaivi momo umekuwa muongo sikuwamini tena mpaka unaapa Kwa mungu
@MalakEnock
@MalakEnock 13 дней назад
Mnazinguwaa huuu mwezii sasa sisikii redio yenu morogoro raha kama hii naipatia wap acheni usengee
@robertkisasa1346
@robertkisasa1346 13 дней назад
😂😂😂😂😂😂dah tajiri katisha…momo hadi umesimuliwa tajir kavuta ciger😂😂
@BADAWY575
@BADAWY575 13 дней назад
Yani kweli kuna mashabiki wanae mshabikia huyu .mimi ndio mara yangu ya kwanza kumsikiza nasitatokea tena kusikiza uongo kama huu kama anaongea na watoto wadogo
@IbniAbbas-yz3kt
@IbniAbbas-yz3kt 13 дней назад
😂ni kweli sio uongo sema kwakuwa wee unaonekana jeuri kataa hivyo hivyo!na sio moo aliye fanya hivyo kuna jamaa anaitwa saraha lafiki yake mwana FA
@BADAWY575
@BADAWY575 13 дней назад
@@IbniAbbas-yz3kt mimi ni yanga damu damu na mpira naujua ni biashara Aziz akienda bado nina furaha kuwa timu yangu Young African iko na muongozo wa kisasa na tunavuna mipesa na itatufanya tuzidi kuwa strong.nyie Simba sasa Mo muhindi kawaida yake pre -season mwenye timu yake anasafiri na jitimu lake anafanya market ata pesa anayowapa nyie omba omba baada ya preseason marketing aliyofanya yeye kwa biashara yake na kutumia nembo ya Simba ni yake anakua amerudisha trillion cz Mo ni bilionia .marketing yake ni ndefu sijui umenifahamu .anawahujumu hawajengei ata Simba complex nyumba za wachezaji yani muna jina kubwa tu lakini hamuna kitu munamuomba muhindi yani munatawaliwa .nyerere alishatugomboa amkeni
@onekisstv8412
@onekisstv8412 13 дней назад
Kumbe kashaanguka wino 😂😂😂😂 mimi msenge sana
@NNONGWA
@NNONGWA 13 дней назад
Kuanzia leo sintakusikilizaaa tenaaa ,Mzushiiiiii mkubwaaaaaaaaa
@maliadii4829
@maliadii4829 13 дней назад
Msijixime data alisema hataondoka kwa ajili ya pesa mpaka atakapomalizana na boss wake anaemheshimu sana waambie wakalilie chooni
@user-xm5xg1tt6d
@user-xm5xg1tt6d 13 дней назад
Mbona povu
@brownmoses9543
@brownmoses9543 13 дней назад
Heshima haipo palipo na pes😅
@bone102
@bone102 13 дней назад
Kwan Mayele alisemaje na tangazo la jezi mpya alivaa kaka wachezaji wanaangalia wap watapata pesa mzee
@bone102
@bone102 13 дней назад
Kwan Mayele ilikuwaje na hadi jezi mpya za msimi alivaa na mkasema Mayele haondoki😂
@geralddeus1434
@geralddeus1434 13 дней назад
Momo jau sana daah🤣🤣
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 13 дней назад
MO KWA AZIZI KI DUUUH AISEEE HATARI SN NDUGU YANGU
@chidoxtv.7394
@chidoxtv.7394 12 дней назад
Chidox company limited karibuni
@why-ir8zl
@why-ir8zl 13 дней назад
Inatumika siku hizi... injinia kashafanya yake kwako!
@UmayyaNkya-ze3ri
@UmayyaNkya-ze3ri 13 дней назад
😂😂😂😂Hivi huyu anapataga wapi habar
@GETRUDEGODWIN
@GETRUDEGODWIN 13 дней назад
Chama uyo jamani sio azizi k
@kahamashinyanga
@kahamashinyanga 13 дней назад
Uyu jamaa ni mchambuzi au nani ata simwelewi anaongea km yuko genge la wahuni
@chidyothman5285
@chidyothman5285 12 дней назад
Kula chuma ikoooo yule avc Town
@RESPECTFOOTBALL2024
@RESPECTFOOTBALL2024 13 дней назад
HACHOMOI HUYO
@user-ce1ps5hy4f
@user-ce1ps5hy4f 13 дней назад
Huyu ndo alitwambia fei karudi yanga kapewa mshahara wa m 12 baada ya siku fei huyo azam hili waga niliongo 😂
@LucasMagukuru-hc9kr
@LucasMagukuru-hc9kr 13 дней назад
Huyo anatoa tetesi, ww znaweza kuw kwel au sio kweli, ndo mana kaxem za ndan inasemekana
@BADAWY575
@BADAWY575 13 дней назад
@@user-ce1ps5hy4f muongo sana nashangaa lenyewe linapayukwa na kigugumizi chake waka cha uongo kwanza hana sifa za kuwa mtangazaji sababu anakigugumizi kisha anabadilishwa maneno anayosema .ebwanae hapa naona kama mwenyewe napoteza mmda .jamaa zombi hajui anachosema hajui alipo hajui kama anapeleka ripoti kwa umma yani chizi tu zombi
@nicholousmtemi3902
@nicholousmtemi3902 13 дней назад
@@LucasMagukuru-hc9kr ulikua hufatilii basi Huyu ndo alianza wa kwanza kabsa kusema fei anaondoka yanga
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg 13 дней назад
Amchukue lakini mfumo ndo shida kolo. Muulize Mayele mfumo umemkataa asingizia majini.
@JumaSaidi-xq7ui
@JumaSaidi-xq7ui 13 дней назад
Mfumo wakufnya nn
@SurprisedFullMoon-gg9vu
@SurprisedFullMoon-gg9vu 13 дней назад
Mfumo wa kukutombaaa au
@personpeter2221
@personpeter2221 13 дней назад
​@@SurprisedFullMoon-gg9vu😂😂😂umelijibu vzur hilo punga
@SurprisedFullMoon-gg9vu
@SurprisedFullMoon-gg9vu 13 дней назад
@@personpeter2221 haya ma utokwinyoo masengee kwel
@HappyKitindi
@HappyKitindi 13 дней назад
Mayele umemkataa mfumo wakt anaongoza kwa magoli ligi ya Misri na ana assist 5 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂be
@user-ye3rb9jd6z
@user-ye3rb9jd6z 13 дней назад
😂😂😂😂😂😂😂 Momo we muongo akavuta sigara
@stevenemwakasimba-pt8er
@stevenemwakasimba-pt8er 13 дней назад
Huo usijari wa kagoma wala msihangaike sio Aziz k😂😂😂😂
@fabiandanford3572
@fabiandanford3572 13 дней назад
😂😂😂wakati leo wadanganye ao makolo wenzio
@SurprisedFullMoon-gg9vu
@SurprisedFullMoon-gg9vu 13 дней назад
Tulia shindano iingieee
@killerwizzyofficial2157
@killerwizzyofficial2157 13 дней назад
Daaaaahh brother 😂😂😂😂😂
@SobiTz
@SobiTz 13 дней назад
2:22 Hakuna ki2 kama icho et dollar laki 5,hv unajua ni shingap iyo,alaf kwa mkataba wa mwaka mmoja,Makolo tokeni Usingizini 😂😂😂 Billion na ushehe uko kwa mkataba wa mwaka mmoja 🤣
@athumanimtajih
@athumanimtajih 13 дней назад
Pesa kama huna ni wewe,Acha umaskin jeur
@allytv1714
@allytv1714 13 дней назад
Kwako ni nyingi ila Kuna watu ela ya chaii ela ndogo sana kwao ww mtu anamiliki kampuni kubwaa unajua mtaji wake
@SobiTz
@SobiTz 13 дней назад
@@athumanimtajih Kwamb ww unazo 😏
@FrankChalula-hz6dn
@FrankChalula-hz6dn 13 дней назад
Sisi maskini tukiskia one billion tunapata mchecheto wakati kwa wengine ni kama million Moja ambayo Leo wewe hata kiwanja haitoshi DSM
@user-jh9yv1zp1l
@user-jh9yv1zp1l 13 дней назад
We huna ndomn unaon nyingi
@richymello14
@richymello14 13 дней назад
Fiston Kalala Mayele 🛫
@abubakarishariff8489
@abubakarishariff8489 13 дней назад
We muongo Sana Aya mbona atumuoni kwenye timu ya Simba
@andrewemmanuel1861
@andrewemmanuel1861 13 дней назад
Mnapaish JMN
@ClassicUsed-jg6ri
@ClassicUsed-jg6ri 13 дней назад
Huyo ni Jonas mkude
@nasrakambimton9522
@nasrakambimton9522 12 дней назад
Sas jaman wenzen wanaongerea mpira ww unaweka matus
@jafethleonard5821
@jafethleonard5821 13 дней назад
Mbona mafumbo mengi
@LovelyForestHills-eh4zs
@LovelyForestHills-eh4zs 13 дней назад
Jaman mnajua anaezungumziwa kiiiiiiiiiiii az
@mrliverpoolynwa7641
@mrliverpoolynwa7641 13 дней назад
RICARDO MOMO🐸🐸🐸 watazimia😅😅😅#SIMBA nguvu moja
@davidkabungo1192
@davidkabungo1192 13 дней назад
Punguzeni huo muzic tafadhali.
@answarihamza6814
@answarihamza6814 13 дней назад
Za ndani zako hazijawahi kuwa za kweli shibe ndo inakufanya uongee utumbo
@johnmwasilu7087
@johnmwasilu7087 13 дней назад
Huyu jamaa ni mwongomwongo sana
@CikeTanzania
@CikeTanzania 13 дней назад
Uyu momo eti wakola waitu mmmh Acha tuone.
@AbisinaRashidi-c8d
@AbisinaRashidi-c8d 13 дней назад
Mo wakomeshe hao wasenge mamae
@EliaMkumbo-wn7bm
@EliaMkumbo-wn7bm 13 дней назад
Ma Debora mbona matusi ya nn mama tuliza Nyoro hiyo
@mcray0609
@mcray0609 12 дней назад
Unajua comedy bro
@AshelyAbel-kg4kx
@AshelyAbel-kg4kx 13 дней назад
Huyo momoo! Jinga kweri umetisha Kutuchekesha umenivunja mbavu😃😃😃
@PendoMatemba-ql1ng
@PendoMatemba-ql1ng 13 дней назад
Umenichekesha sana
@user-zb2mj5nd5g
@user-zb2mj5nd5g 13 дней назад
Huyu naye sometimes kama anakula ngada vile
@futurecarefamily5454
@futurecarefamily5454 13 дней назад
😂😂😂😂😂😂
@user-xf3lv5xp1i
@user-xf3lv5xp1i 13 дней назад
Aziz K huyo
@AbdulysuleimanShemashilu
@AbdulysuleimanShemashilu 13 дней назад
Mo tutoe unyonge mchukue Aziz ki ili wajue sisi ndo wakongwe wa bor hapa tanzania
@MagahGeoffrey-md5wb
@MagahGeoffrey-md5wb 13 дней назад
Huyo Ni guede Joseph
@PendoMatemba-ql1ng
@PendoMatemba-ql1ng 13 дней назад
Nimecheka sana😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@user-ws2ub7px4t
@user-ws2ub7px4t 13 дней назад
Uyu nimuongo
@mamrashdon3632
@mamrashdon3632 13 дней назад
😂😂😂 Nmechekeaaaa
@geraldchawala9506
@geraldchawala9506 12 дней назад
aka kajamaa kaongo sana.😂😅😂😂😅
@mohamedguveti5372
@mohamedguveti5372 13 дней назад
Nyie mtaua watu nyie,,,
@mrliverpoolynwa7641
@mrliverpoolynwa7641 13 дней назад
Vyura🐸🐸🐸wataanza kuchoma jezi muda si mrefu😂😂😂😂😂#SIMBA nguvu moja
@mwemajulius5036
@mwemajulius5036 13 дней назад
Nimecheka kwamba kamtikisaa
@IdrisuMabuda
@IdrisuMabuda 13 дней назад
Mafumbo sana 😅
@Adrext
@Adrext 13 дней назад
😂😂momo bhana
@SadiFesi
@SadiFesi 11 дней назад
Endeleaga kudanganya watu
Далее
Iron Chin ✅ Isaih made this look too easy
0:13
Просмотров 8 млн
Ronaldo's Kindness Helps Messi Become GOAT !
0:28
Просмотров 25 млн
Cristiano Ronaldo  Ona 🫀
1:00
Просмотров 1,1 млн