Тёмный

MAMA WEMA ACHARUKA, AMUWAKIA WHOZU KWENYE SHUGHULI YA MWANAE, AMTAKA AENDE KUJITAMBULISHA NYUMBANI 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 175 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

17 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 353   
@saidshaban8110
@saidshaban8110 11 месяцев назад
Binafs nimemuelewa sana mama wema nmejkuta mpaka namkumbuka mareheu mama yangu aisee makofi meng kwa mama wema hajaongea kwa ubaya ni kwa nia njema na ukiona mzazi kasema ujue kweli kakelekwa, dada zangu na kaka zangu kuna ktu kikubwa cha kujfunza kwa mama wema she's strong woman ❤❤
@antybabybintrashid2333
@antybabybintrashid2333 11 месяцев назад
Amekua mwanae kazd kubadlshi wanaume alaf upuz mwingi hadharan anamuibsha mamake lakn ndio hivyo mtoto akinyelea paja halikatw
@JeniphaAlfonce
@JeniphaAlfonce 11 месяцев назад
💓💓💓👏👏👏👏👏
@andrew0502
@andrew0502 11 месяцев назад
Yupo strong sana inaonekana anataka mwanae awe na mwanaume wa maisha sio mapenzi uchwara na kutumika na kuachwa ovyo ndo kitu anamaanisha
@thabitdaudi9815
@thabitdaudi9815 11 месяцев назад
Unafiki mtupu angekua na malez mazuri kama anavyoigiza hapo mtoto asingeenda kuonesha maumbile yake kushindania miss tanzania, na anajua hio itam expose kwenye devil society. Wanaume wote aliotembea nao had anafika hapo wasingetokea mimba alizotoa na aibu zote zisingempata mtoto. Na kingine mtoto anatambulisha mtu kwa wakat wake pale anakua na uhakika na mtu wake usimharakishe na kutangza mbele za watu ni clout tu ya maisha ya star yeye angetuliza mdomo wake huyo mama. Yeye ndy hana adabu kwenye halaik ya watu unamwambia mtu nyamaza foolish
@VeronikaJerome-wr8yz
@VeronikaJerome-wr8yz 11 месяцев назад
Mama kaongea sahii kabisa makofi kwa mama mama. 👏👏👏👏👏👏
@allymasanilo1961
@allymasanilo1961 11 месяцев назад
mama anachotaka sshv ndoa kwa mtt cyo kuchezewa chezewa . safisana mama
@hadijauledi6995
@hadijauledi6995 11 месяцев назад
Safi sana mama usia mzur kweli mama umeongea vizur sana ❤❤❤❤
@MwonekanoTv
@MwonekanoTv 11 месяцев назад
ALLAH awalaze mahali pema mama zetu waliotangulia mbele za haki. 😢
@khamidajuma3216
@khamidajuma3216 11 месяцев назад
Ameen
@shadrackmohamedi8765
@shadrackmohamedi8765 11 месяцев назад
Mama anaongea point ila tatizo wasikilizaji wanamuona mama kama komedy au kituko. Kizazi cha hovyo sana hiki.
@esperancenathali
@esperancenathali 11 месяцев назад
Haki hivi nayote ni sababu wema ayafanyao
@vailethshayo8275
@vailethshayo8275 11 месяцев назад
Mama kaongea point
@lovelycaroly371
@lovelycaroly371 11 месяцев назад
@@esperancenathali safii
@shadrackmohamedi8765
@shadrackmohamedi8765 11 месяцев назад
@@vailethshayo8275 q
@shadrackmohamedi8765
@shadrackmohamedi8765 11 месяцев назад
@@vailethshayo8275 good
@roseafrael75
@roseafrael75 11 месяцев назад
Ukweli hakuna mzazi anayependa kuona mtoto wake anatumika tuu na kuachwa ni zaidi ya maumivu,,,,mama asante kwa kusema ukweli.
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj 11 месяцев назад
Mama ni Mama ❤❤❤ hakuna mzazi anaenda munayo ya fanya kwenye mitandao kawaposeni muwaoe kama munawapenda kweli 🤝
@hadijaabdallah4057
@hadijaabdallah4057 11 месяцев назад
Mungu wangu nakuomba uzidi kumueka mama angu naumia Sana na maneno ya mama wema😭😭😭
@yahomeshopllc5950
@yahomeshopllc5950 11 месяцев назад
MAMA HUYU AJENGEWE SANAMU KABISA KABISA
@issalyanalijr-8610
@issalyanalijr-8610 11 месяцев назад
Sasa sanamu iliweje? ACHA😂😂 Njia Bora maneno yake yawe kwenye maaandishi Kwa next kizazi,,,,😂😂 Sio " idol worship😂
@Thekidp3702
@Thekidp3702 11 месяцев назад
@@issalyanalijr-8610 Ajengewe sanamu Posta
@janethegidius855
@janethegidius855 11 месяцев назад
Moms will always be moms we disagree with them most of the time but they love us to death
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 11 месяцев назад
Mama ni mama hata kama hajakuzaa akiongea point lazima tuwe watoto wasikivu ❤❤❤❤
@zainabmaulid9637
@zainabmaulid9637 11 месяцев назад
Mama si rikwama tuwaheshimu Sana wazazi wetu haswa nyinyi wasanii mkipata vipesa kidogo mnaona maisha mshayaweza %
@solobennymwanshinga6714
@solobennymwanshinga6714 11 месяцев назад
Dah, watoto wa mujini wanavyofanya vituko vyao unaweza hisi wazazi wao hawawakatazi, mama leo ameamua kumkanya mwanaye hadharani, hawa mastar ni kichwa ngumu sana
@lizybagamba2067
@lizybagamba2067 11 месяцев назад
Wema hongera kwa kuwa na mama dhahabu! Kila la kheri mama W ema wetu'
@zainabwage4658
@zainabwage4658 11 месяцев назад
Makof kwa mama wema 😂😂😂 safi sana umewapa ukwer kuvaa uchi kudanga na sherehe za ovyo ndio wanaona maadil kumbe ayana maana imeisha iyo ila ukwer umesema
@user-xi8ll6ub4j
@user-xi8ll6ub4j 11 месяцев назад
Mama kaongea kwel chukuwa mauwa yk Mama🎉🎉
@ashamahadi5281
@ashamahadi5281 11 месяцев назад
Na radhi ya Mwenyezi Mungu ipo unyayoni mwa mzazi wako kama hamjui mtajuta akiondoka wa kukufariji na kukukataza ni mzazi wako hakuna mwingine. Usijute kinafki atakapoondoka duniani wakati ulikuwa unamradharau. Utamkumbuka wwngine watakutizama uharibikiwe kwa ujuaji wako.
@kadito-o3j
@kadito-o3j 11 месяцев назад
Mother it's like a transformer of your life take note this one day yes you will remember me❤
@happynescostat7420
@happynescostat7420 11 месяцев назад
Kusema KWELI Wema Ni binti mwenye Adabu Sana, nilionana nae Magereza Segerea Ni mpole na mwenye furaha,Asante Sana kwa kumlea na Adabu !
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 11 месяцев назад
Ni mzuri ukimuona live?
@Thekidp3702
@Thekidp3702 11 месяцев назад
@@Catherine-mh8sw Kwan unahis ni mbaya
@RahelSenyagwa-yf4md
@RahelSenyagwa-yf4md 11 месяцев назад
Ivi we unaishi dunia gan mpk useme wema ni binti mwenye adabu njema yan binti wa hovyo km wema unampa maua daaah na was was na ww ukawa ni walewale
@RahelSenyagwa-yf4md
@RahelSenyagwa-yf4md 11 месяцев назад
au unahis mama ake kusema hivo haoni km mtt wake hajanyooka vzr,,,,,acha kupaka mafuta mgongo wa chupa
@shamzone388
@shamzone388 11 месяцев назад
Mama kakasirika sana hakuna mzazi anaependa mwanae afanye machafu au mabaya
@happylynguya3464
@happylynguya3464 11 месяцев назад
Mama umeongea maneno ya hekima nimejisikia kulia 😭😭😭 nimejikuta nimemkumbuka marehemu mama yangu. 😭😭😭. Ambao bado mama zenu wapo hai muwaheshimu jamani.
@AgnessKomba-qg1es
@AgnessKomba-qg1es 11 месяцев назад
Sis tuliondokewa na mama ndio tunamuelewa
@haidhabushiri9558
@haidhabushiri9558 11 месяцев назад
Pole sana
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 11 месяцев назад
Polen Sana mliofiwa na wazazi wenu " na SS Ambao bado wapo hai tuzid kuwapenda na kuwaheshim 🙏😭
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 11 месяцев назад
Dida umri unaenda dada angu nguo gan Hy jmn hata kama ustaaa
@BenardNyakiriga-td8eo
@BenardNyakiriga-td8eo 11 месяцев назад
​@@PaulinaSemindu-ob3deje lulu diva chekinmda wote mkono hautoki hapo
@kamarhelo
@kamarhelo 11 месяцев назад
Inamana yeye hayajui maisha anayo ishi mwanae au hajui kama yupo whuozu yani mama unatakiwa ulilie mwanao aipate ndoa umli alio fikia hajaolewa mtoto wakislam omba mungu mama mwanao apate stara yake awe na familia mana huwezi jua huenda akifunga ndoa na mungu atampa mtot
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 11 месяцев назад
Anajua na hapendi ndio maana anasema hakuna mzazi anaependaa mtt wake wawe anachezewa tu huko inaumaa sana ndioi maana anasemaaa inamuumaa ndioi anasemaaa
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 11 месяцев назад
Swadati mama nakupenda hadi ugongwa
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 11 месяцев назад
Mama umenena vema shida kizazi kimeharibika sana na ulevi na ujinga na kutomcha Mungu
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 11 месяцев назад
Mama kama mama mashaAllah 🎉🎉
@roseamon7906
@roseamon7906 11 месяцев назад
Asante mama nimekupenda Bure strong mother God bless you huna mbamba safiiiii
@prophetnehe_7
@prophetnehe_7 11 месяцев назад
Huyu Mama anaakili kubwa sana💯💯 Vijana wengine wanapotezwa na marafiki wabovu💯💯💯🙌
@aminaayan3460
@aminaayan3460 11 месяцев назад
Wallah inamuuma.uyu mama .. wema uwa anajiliza mtandaoni ila ipo siku atamtamani mamake ata amfoke ila itakua too late ,wema hakuna kama mama
@azpilicuetainternational1234
@azpilicuetainternational1234 11 месяцев назад
Mama wema kaongea vizuri sana hongera mana kwa kuongea ukweli kwa mwanao 👏👏👏
@edamatv
@edamatv 11 месяцев назад
STRONG MAMA
@jamilajamal1584
@jamilajamal1584 11 месяцев назад
Mama 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽❤️❤️❤️❤️
@abdimalikabdulaziz4954
@abdimalikabdulaziz4954 11 месяцев назад
Toto lenyewe sasa hata utuliv halina linaona kama mama mshamba ipo siku yako we dada utaona hata pesa si chochote heshm sana mzaz hujui ameptia mangapi kwa ajir yako
@idrisakabiliga7131
@idrisakabiliga7131 11 месяцев назад
Fact
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 11 месяцев назад
Mama safi sana 100%
@lisabeshy7894
@lisabeshy7894 11 месяцев назад
Mungu akubariki mama wema kwa mawaidha hayo umetufunza wengi juu umeongea ukweli kabisa, God bless you
@SoleilRamadhan
@SoleilRamadhan 11 месяцев назад
Lulu diva anaficha Nini? Kwani nani kamwambia avae nguo hiyo inayo muacha uchi? Halafu anaficha ficha kwel Yani yupo uchi😂😂😂
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj 11 месяцев назад
😂
@MrishoMindu
@MrishoMindu 11 месяцев назад
Aziz ki day.
@happylemboto9103
@happylemboto9103 11 месяцев назад
Ndo hapo Sasa anavaa vitu vya hovyo af anaanza kujifanya uncomfortable....upuuzi umewajaa
@Fgldesigns
@Fgldesigns 11 месяцев назад
Akificha kati paja linakaa wazi akificha paja kati anaacha wazi, yaaani anahangaika tuu na kipande chake cha nguo
@mariyamsalalah8204
@mariyamsalalah8204 11 месяцев назад
Nilijua nimeona peke yangu😂😂😂😂
@bensonjohnsony8124
@bensonjohnsony8124 11 месяцев назад
Kizazi iki ni hatari wanaish maisha co yaooo
@aminamnzava4757
@aminamnzava4757 11 месяцев назад
Mama Wema kaongea vizur
@jescalutegonsombnambyakoda6719
@jescalutegonsombnambyakoda6719 11 месяцев назад
Kumbe wazaz Huwa wanaumiagan😢😢
@SabrinaKunambi
@SabrinaKunambi 11 месяцев назад
Wema jaribu kumuelewa mamaako..ukiona ivo hamna melewano katika Yale hanayokuelekeza.uyu ni mam amebeba moto wako ..
@beatricefredilick1646
@beatricefredilick1646 11 месяцев назад
Good mama. Nakupenda.umeilinda heshima ya was mama wote
@limymasele21
@limymasele21 11 месяцев назад
Maneno yameniuma sana heshima ya Mama au binti yeyote ni Kanga iwepo ndani hadi nimeenda kuangalia kwenye kabati langu kesho naenda kkoo kuchukua pea 4 za kanga
@laurenciakamata
@laurenciakamata 11 месяцев назад
Hongera mama wa
@hidayahamisi3383
@hidayahamisi3383 11 месяцев назад
Mama ❤ wa mfano ❤
@stephanierona6592
@stephanierona6592 11 месяцев назад
Mama kaongea point😂😂😂😂
@saudalilingani9264
@saudalilingani9264 11 месяцев назад
Hakika wema zingatia maneno hayo. Mama anasababu nzito za kuzungumza ktk kumbukizi yako. Wema wema wem MANENO MAZITO YA MAMA HAYA
@nurdinchilambo1486
@nurdinchilambo1486 11 месяцев назад
mama katembeza bakora mtandaoni safi sana
@antybabybintrashid2333
@antybabybintrashid2333 11 месяцев назад
😂😂😂
@josephfrank4446
@josephfrank4446 11 месяцев назад
Safi sana mama❤
@roseurio503
@roseurio503 11 месяцев назад
Lulu Diva anajishuku kama ndiyo yeye anaambiwa uvaaji mwenyewe haueleweki😅😅
@shakiramakombe8503
@shakiramakombe8503 11 месяцев назад
Yaani nguo aliyovaa haimpi Raha .anaishikiria tu ajifiche
@MrishoMindu
@MrishoMindu 11 месяцев назад
Aziz Ki Day.
@Maria-dg6ik
@Maria-dg6ik 9 дней назад
Mashallah ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@sideboy1199
@sideboy1199 11 месяцев назад
NaTamani ningekuepo mama kasema nimefulahi usisahau maneno hayo wema nakupenda japo unijui mungu akujalie umtii mama yako mm sina mama wala baba nichokolaa niko Zanzibar nazalaulika nadondosha machozi ipo siku utanitafuta nakusema kweli usemayo
@happyfaniabatromeo8010
@happyfaniabatromeo8010 11 месяцев назад
Mama Wema sio kwamba kamsema mwanae tu Bali kwa hao wasanii wote wa kike 🔥🔥🙌🙏 maana Mambo wanayofanya Niya hovyo ukiangalia na vile wanavyojipost ndio balaa huyu ndio mama Sasa 🤣🤣 anaonyaa live bila chengaa🔥🔥🔥
@alphatissa9379
@alphatissa9379 11 месяцев назад
Hongera sana luludiva,umependeza san😅
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 11 месяцев назад
Mama wema anaonekana mkali kweli ila wema ndo ustar tu😂😂😂😂
@topaztz7601
@topaztz7601 11 месяцев назад
Ameongea kitu cha Maana sana huyu Mama ❤❤❤
@israeluronu9958
@israeluronu9958 11 месяцев назад
Lulu diva nguo umevaa mwenyewe inakutesa jmn.
@agustinohizza1395
@agustinohizza1395 11 месяцев назад
Ladhi za Mungu zipo kwenye nyayo za mzazi Safi sana
@Sarah-tq2vc
@Sarah-tq2vc 11 месяцев назад
Lulu diva umevaa nini jaman mtoto wa kiislam😢😢😢
@lucykinabo
@lucykinabo 11 месяцев назад
Yan anateseka kujifinika hapo sjui kavaaa nini
@kapingalucy2707
@kapingalucy2707 11 месяцев назад
Sema Mtoto WA MUNGU ,anavaaje Hivyo
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 11 месяцев назад
Asnte Mama tumekusikia na tutayafnyia kazi 🙌💐🎉
@RobbyAugustine-jd2hd
@RobbyAugustine-jd2hd 11 месяцев назад
Ila watoto wa kike bwana wana mambo ya ajabu knoma hvo hapo mama anaongea wanajichekesha😂
@GoodluckMichael-hb1bv
@GoodluckMichael-hb1bv 11 месяцев назад
Mama ulikua wapi mbona unabusara ivi,inamana wema alikua ukusikilizi, nimemuelewa sana mama wema
@Abu-Hamza254
@Abu-Hamza254 7 месяцев назад
Mama kasema ukweli Maansh Allah Mungu ambariki
@janethgenes1074
@janethgenes1074 11 месяцев назад
Lulu gauni inakutesa ungeshona ndefu ingekaa vizur sana
@yusufjuma264
@yusufjuma264 11 месяцев назад
Mama wema anataka whozu atambulishwe kwake lakini naona wa Tanzania washikilia tuu whozu kukaa kwa wema point ni utambulisho mambo mwengine watajipanga hao wawili.
@Zainab_salat
@Zainab_salat 11 месяцев назад
Dida Wewe ninakuona nguo mbona fupi, dear wema happy birthday
@agnessnkugwe7939
@agnessnkugwe7939 11 месяцев назад
Mungu akutunze mama
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 11 месяцев назад
mzazi hatakiwi kutambulishwa zinaa itakuwa unashiriki zambi aje akwambiye mama mimi sasa hivi nazini na fulani hio heshima ndo ipo wapi aolewe kisheria alete posa ndoa ifate hapo bado mwezangu wema hajakosea kwa mungu kwa hilo
@Liliana-mc2su
@Liliana-mc2su 11 месяцев назад
Sihukum usij hukumiwa n wao we shd nn
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 11 месяцев назад
@@Liliana-mc2su pole
@zainabwage4658
@zainabwage4658 11 месяцев назад
Ukwer mama umeongea waambie hao
@simonhaule8976
@simonhaule8976 11 месяцев назад
Mama anaongea point wadada wako uchi da!❤❤❤
@princehancesam9892
@princehancesam9892 11 месяцев назад
Mother kawachana nimemchek mpaka dada mmoja kajitengeneza nguo yake aliona like
@peterdeus6093
@peterdeus6093 11 месяцев назад
Watu wenye hemkima walisema, samaki mkunje angali mbichi ingawa huwa tunabeza busara zao kusema ni mambo yaliyo nje ya wakati. Mama umenena maneno yenye adili lakin muda sio rafiki ata hivyo asante kwa kuwa yatawasaidia hao samaki wabichi kwa huyo mkavu labda jaribu kumloweka
@fettyrashid9042
@fettyrashid9042 11 месяцев назад
Peter 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@lameckraphael3743
@lameckraphael3743 11 месяцев назад
Kweli muda umeisha mama ungemkunja huyo akiwa mbichii
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 11 месяцев назад
😂😂😂😁😀, mama anakwapua shuka kukiwa kumeshakucha tayari.
@peterdeus6093
@peterdeus6093 11 месяцев назад
@@fettyrashid9042 😂😂😂
@habibafeithal4014
@habibafeithal4014 11 месяцев назад
Huyu lulu diva anaona had aibu kwa kiguo iko alichovaaa
@majomamajoma8776
@majomamajoma8776 11 месяцев назад
Asante mama heshima ya mwanke ni.kanga
@issazalala4907
@issazalala4907 11 месяцев назад
Ndio mama afya ya wema haipo sawa kumbe bimkubwa hayupo radhi kwa baazi ya mambo 😂
@sarahmuhammed6872
@sarahmuhammed6872 11 месяцев назад
Yea
@sarahmuhammed6872
@sarahmuhammed6872 11 месяцев назад
Yaani mpaka amesema kwenye watu ina maana imemuuma sana sema no.mzazi afanyaje
@iddimoshi8459
@iddimoshi8459 11 месяцев назад
Dear Mama
@mussaagrey5679
@mussaagrey5679 11 месяцев назад
Aisee sherehee imekuwa sherekeaa kimeumana noma sana
@gracejuma388
@gracejuma388 11 месяцев назад
Mama katoa point ila ninauhakika mtoto atajb 😂😂😂😂😂,, ila tu tujue mzazi ni mzaz anaona mbali😊
@abdulzackawami7780
@abdulzackawami7780 11 месяцев назад
Sasa huyo mwenye gauni la bluu anajificha nini si alishona mwenyewe hilo gauni😂😂
@gladnessshola2718
@gladnessshola2718 11 месяцев назад
Asante màma wambie
@user-ek8bh6xb2i
@user-ek8bh6xb2i 11 месяцев назад
Mama wema umezungumzia maneno mazur
@Alfredmusa24
@Alfredmusa24 11 месяцев назад
Wasikilizaji sasa🤔 hichi Kizazi sijui tukoje😢😢😢 LORD HAVE MERCY
@angelambondelo2836
@angelambondelo2836 11 месяцев назад
Kizazi cha nyoka,🤣🤣🤣
@GreatThinker-x1b
@GreatThinker-x1b 11 месяцев назад
Mama kazungumza maneno ya hekima na busara lakini mbona kachelewa sana kutoa ujumbe yani anakimbuka kumekucha hawa mastaa wa kike wanachezewa sana wakuta staa wa kike ana list ya wanaume weeengi lakini hakuna muoaji
@bahathmuro7145
@bahathmuro7145 11 месяцев назад
Matumbo yanatoa yaan Kuna muda wazazi tunaonya na kuwasema watoto but hawabadiliki ko Mungu tu ndio atusaidie kulea
@jostamzxkaole3113
@jostamzxkaole3113 11 месяцев назад
KUMBE MA SUPER STAAA.. familia zenu zinakaakimya sababu zimewaonya ila hamuonyeki// nikajua familia zinafurahia manjonjo mnayofanyaga hazarani🚰🚰
@meshackhaule
@meshackhaule 11 месяцев назад
Naona vyuma vya mjerumani kwa mbali aseh ... gonga like kama unaona kama mimi 🔥🔥🔥
@ozuabrahamu8079
@ozuabrahamu8079 11 месяцев назад
Sasa hyu cjui n lulu pemben ya wema kavaa nn anahangaika kujifunika kitu Cha ajabu kavaa da htr xn
@happylynguya3464
@happylynguya3464 11 месяцев назад
Ndio ni Lulu, yaani anajifunika huku, huku anabaki uchi 😂😂😂😂
@ziguagossipmedia
@ziguagossipmedia 11 месяцев назад
Yeye mwenyewe nywele ziko wazi haja jistiri sasa anashauri nini 😅😂😂
@antybabybintrashid2333
@antybabybintrashid2333 11 месяцев назад
Hujamuelewa anaongelea kuhusu dada zetu kuchezea na wanaume ovyo na hawaolew wanaibsha wazazi alaf upuz wanaufanya hadharan na mavaz Yao yakipuz hajafunka nywele but hajavaa nusu uchi kama hao watoto wakike
@saumsaid1966
@saumsaid1966 11 месяцев назад
Mama kama amechoka na mambo ya wemaaa
@happylynguya3464
@happylynguya3464 11 месяцев назад
Amechoka
@limymasele21
@limymasele21 11 месяцев назад
Mama alikuwa ameadimika sana nashukuru nimemuona
@medsonulendo4221
@medsonulendo4221 11 месяцев назад
Nimeipenda mama mara nyingine tunadhan mabinti zenu wanaharibika kwa kukosa malezi kumbe kweli nyie ni wayu wayu mama wema nitakuletea maua yako wanaume tunawahitaji wanawake walio fundwa ili tutengeneze family ilio bora nakupenda m mkwe wema namhitaji mdogo wako kama yupo mama yupo vizur
@ibrahimomari2458
@ibrahimomari2458 11 месяцев назад
Mama kahaba mkuu mtoto kahaba mtoto...wote wauza uch...mbwa hao...tabia zote mbaya za mtoto karithi kwa mama ake...
@KhojaNasri
@KhojaNasri 11 месяцев назад
Tatizo hao wanaoambiwa ni vichwa vibovu mama unapiga kelele tuu hapo Kwa wanywa K Vant
@surusuru1994
@surusuru1994 11 месяцев назад
👏👏👏👏💖love mam❤❤❤❤
@linimaarifa5009
@linimaarifa5009 11 месяцев назад
Mama kama mama hakika ameongea vzr sana ni wajibu mtoto kusikiliza
@user-bn9ez5xn3e
@user-bn9ez5xn3e 11 месяцев назад
Mmemuona lulu diva jami😢😢😢😢😢😢
@user-em4wp1ct7s
@user-em4wp1ct7s 11 месяцев назад
Good point fo mommy
@lucypaulo9238
@lucypaulo9238 11 месяцев назад
Mama uko vzr sana
@mestonisimzosha203
@mestonisimzosha203 11 месяцев назад
Hii imeenda!!!.
@tabithadaniel7364
@tabithadaniel7364 11 месяцев назад
Hili suala limemtesa huyu mama leo akasema wacha alitoe......ila nasikia sauti kama ya shishi inadakia hivi
@RandB_Channel
@RandB_Channel 11 месяцев назад
Leo bi mkubwa kasirika namatabiya zenu Wema umesikiya
Далее
AIBU JUX AZUA GUMZO AMUIGA VANESSA KUVAA
3:08
Просмотров 2,5 тыс.
Cook with Wema Sepetu S03E08 Whozu & Tunda
8:10
Просмотров 689 тыс.
ELON MUSK MBIONI KUWA TRILIONEA WA KWANZA DUNIANI
3:52