Masha Allah ongera Sana kaka kwa video zako zenye hikma na mafunzo ndani take..ninaimani kwa wale wasothamini mamazao nakuwaeshimu watajifunza upitia hii shukran Sana...much love from kenya
Bb Joan never give someone a second chance umekosea kumregesha huyo mwanamke..eeh maisha haya yana changamoto kwel.familia ya mume watu wema ila ya bibi moto tena wachawi.