Тёмный
No video :(

Mambo Matano (5) ya Kumfanyia mtoto baada ya Kuzaliwa - Ukht Fatma Mdidi 

Kalamutz
Подписаться 137 тыс.
Просмотров 23 тыс.
50% 1

Maarifa ya Uislamu

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 45   
@omanomqn4345
@omanomqn4345 2 года назад
Mashaallah,,, Allah akulipe hili ktk mizani yako ya wema kesho akhera
@aishaissa2691
@aishaissa2691 2 года назад
Masha Allah tabarakallah shukran San Allah akupende zaidi na zaidi
@fawziaabdurrahman2251
@fawziaabdurrahman2251 2 года назад
Shukran ustadha kwa darsa nzuri Allah akujalie umri mrefu wenye kheri, akutakabalie amal zako njema, akuzidishe maarifa na ilmu na akubarikie watoto wako na akupe jannah. Na sisi sote ummati Muhammad hivo hivo. Na wasio kua na watoto Allah awajalie watoto wa kheri na tufuate mafunzo tuliopata kwenye hii darsa allahumma amin
@Awatee
@Awatee 2 года назад
ALLAH humma Amiin
@sumol9586
@sumol9586 2 года назад
Mwenyezi mungu akuzidishe
@aishaomar9621
@aishaomar9621 Год назад
Mashaa Allah tabaraka Allah Allah akuzidishie umri furaha Tele uzidi kutujuza
@fatumahamadi6072
@fatumahamadi6072 2 года назад
Shukran kw ujumbe mzr ALLAH akujaalie siha n Afya njema
@Ukhtyzuhura
@Ukhtyzuhura 11 месяцев назад
Hili darsa liwafikie Wote wenye kudhani Ya kuwa 40 ni dini Kumbe si dini watu wametengeneza Ada Badala ya kumfanyia Mtoto aqiqah Zinafanywa gharama Kubwa za shughuli ya 40 Wengi wao wakidhani wametimiza Ibada kufanya hivyo . Shukran Ukhty Allah akulipe kheir Uzidi kueleimisha umma Wa kiislam🤲
@kalamuMedia
@kalamuMedia 11 месяцев назад
Aaaminx3
@ramlajeffah9831
@ramlajeffah9831 10 месяцев назад
Waaleikum msalam warahmatullahi wabarakatu shukran jazila ya ukthi
@abdulhida8291
@abdulhida8291 2 года назад
Masha Allah, Jazzaka Allah kheri. Darsa zuri
@zenahbayeh7371
@zenahbayeh7371 2 года назад
Shukurani jazakallahkher
@a.856
@a.856 Год назад
Jazakallah khayran
@karambeuamini4516
@karambeuamini4516 Год назад
Shukran JazaqAllahu kheir
@khamisabduuqataadah8488
@khamisabduuqataadah8488 2 года назад
Ukhuty Fatma Mdidi nakuombeni mzingatie Sitara ya kuvaa Niqa'ab Maana mwakaa uso wazi nyusi zaonekana.
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 2 года назад
Kwani lazima
@baisheally4636
@baisheally4636 2 года назад
mwambie hasaa
@sitikhamis7978
@sitikhamis7978 2 года назад
Niqab sio lazma katka uislamu wala gloves
@khamisabduuqataadah8488
@khamisabduuqataadah8488 2 года назад
Ni kiungo gani katika Mwili wa Mwanamke hupambwa Sana? Na nipe ushahidi wa kuwa Niqa'ab si muhimu.
@ralmazidi6978
@ralmazidi6978 2 года назад
Sio lazima
@mohamedshee7967
@mohamedshee7967 3 месяца назад
Ma sha Allah
@shadyaahmad7066
@shadyaahmad7066 2 года назад
Mashallah
@saidemuamedeali2678
@saidemuamedeali2678 Год назад
Hongera
@Abuuabdillah259
@Abuuabdillah259 10 месяцев назад
Mbona hutoi dalili ya hayo unayoyaeleza
@ashashaban6484
@ashashaban6484 2 года назад
mashallah mashallah
@user-xq6mg1yu1y
@user-xq6mg1yu1y 2 месяца назад
Salaam aleikum warahimathullah wabarakathu,je ni vipi kama imefika siku ya saba na sikupata kichinjoo,je naweza kunya siku nikiwa nimepata,hata kama ni nimiaka kumi au saba?
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 5 месяцев назад
Haijuzu muislam mwanamke kuzungumza hadharani mpaka wanaume wakasikia na hicho unachofanya ni haram
@user-vi3lz7sz8r
@user-vi3lz7sz8r 6 месяцев назад
Assalam alaikum ustadhat. Na Je! kama hakuna uwezo nifanyeje
@aminaalmazrui9785
@aminaalmazrui9785 Год назад
Assalam alaykum,natamani niilize masuala maana ata sijaelewa vzr
@aminachaulaya278
@aminachaulaya278 Год назад
Mwanangu ana miaka 10 je naweza kumfanyia hakika?
@saidmuha3997
@saidmuha3997 2 года назад
Balaka allhu raka
@zainabuali9915
@zainabuali9915 Год назад
Maahaa Allah. Kam mt hakuwahi kufanya hayo wkt mtot ni mchnga na mtot ashfikia mwak mmoj na nusu afanyeje? ktk kuchinja na sadaka
@jumahamadomar9124
@jumahamadomar9124 Год назад
Hayo mengine yatakuwa yamekupita lakini hili la kumchinjia bado lipo unaweza ukamfanyia mtoto wako lakini vizuri zaidi ni siku ya saba na kama utakosa sabaa ya kwanza unamchinjia sabaa ya pili au yatatu
@osamashakeeb7194
@osamashakeeb7194 Год назад
Shukraan
@mubashop444
@mubashop444 Год назад
Asalam aleykum ukht mi nna shida na wewe
@mubashop444
@mubashop444 Год назад
Mimi ni mwanamke mwenzio lakini natumia simu ya mume wangu
@SalumuSaid-vq2kp
@SalumuSaid-vq2kp 9 месяцев назад
Nahii siku ya arobain yamama kutoka nje ipoje hii kuna majambo gan yapaswa kufanya ama ipo tu
@reemareemo2698
@reemareemo2698 Год назад
Sante dada mxuri
@salhin9591
@salhin9591 Год назад
Mashallah
Далее
Mke ndio Daktari namba moja wa Mume
35:52
Просмотров 129 тыс.
SAIKOLOJIA YA MWANAMME
53:34
Просмотров 39 тыс.
Only I get to bully my sister 😤
00:27
Просмотров 21 млн
Sifa 8 za mke mwema katika Uislamu - Ukht Fatma Mdidi
45:43
Ujue uke wenza Sehemu Ya 1 - Ukht Fatma Mdidi
1:40:03
Просмотров 80 тыс.