Тёмный

Mambo ya Kufahamu kuhusu Viza za Muda Mfupi kuingia nchini Marekani(Utalii na Biashara) 

USEmbassyTZ
Подписаться 2,5 тыс.
Просмотров 8 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 46   
@gwalughanomerryrose4913
@gwalughanomerryrose4913 8 месяцев назад
Hii ilikuwa program bora sana... nashauri muendeleze!! Kuna Mambo mengi mazuri natamani muwe mnatupa ufafanuzi wenyewe... Mungu awabariki!
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 Месяц назад
Upo ok
@SolangeAziza-f1l
@SolangeAziza-f1l Год назад
Upo vizuri dadangu
@NeemRamadhani-j8h
@NeemRamadhani-j8h 8 месяцев назад
Asante sana Kwa mongozo mzuri, God bless you.
@kilalikanestory3635
@kilalikanestory3635 4 месяца назад
Mimi nawashukulu sana kwa mafunzo muliyotupatia
@shukuruilomo768
@shukuruilomo768 3 года назад
Ahsante Sana kwakunifungua
@Abelsimalenga
@Abelsimalenga 3 месяца назад
Naitwa Abel Simalenga tafadhali naomba kujuwa vigezo ni vipi
@boy-pq6ow
@boy-pq6ow Год назад
Asante sana kwa kutuerimisha.
@havilambande2478
@havilambande2478 11 месяцев назад
Mimi ni mtumishi katika imani yangu Mungu ameniambia nikawewe mkono na mtumishi aliye kuwa Marekani ikuaje
@muhammedjuma8966
@muhammedjuma8966 Год назад
Naomba no Nicole
@zainabumohamed8541
@zainabumohamed8541 Год назад
Nisaidie na Mimi tafadhali
@zawadmkanza8458
@zawadmkanza8458 Год назад
Nice
@zawadmkanza8458
@zawadmkanza8458 Год назад
Mm naitwa Mkanza je kwa nn mtu anaposhindwa interview harudishiwi hela yke
@kamuogo
@kamuogo 5 месяцев назад
Tupeni viza jamani
@meshakishaurifisoo8200
@meshakishaurifisoo8200 6 месяцев назад
Meshack shauri fisoo
@CyrilMjindo
@CyrilMjindo 10 месяцев назад
Moja ya vigezo vinavyo takiwa Kwa mwombaji ni vipi
@allymaulid9391
@allymaulid9391 3 года назад
Sauti Chini
@Abelsimalenga
@Abelsimalenga 3 месяца назад
Vigezo nipi hasa
@ogumapeter-s4v
@ogumapeter-s4v 8 месяцев назад
Vigezo HIVYO ni vipi ambazo natakiwa kuwa navy
@NdayishimiyeIsaie-jf5fn
@NdayishimiyeIsaie-jf5fn 3 месяца назад
Sija elewa vizuli vigezo Gani binaweza kuluhusu mtu kwendwa malekani
@allymaulid9391
@allymaulid9391 3 года назад
Mmboreshe kwenye upande wa sauti
@petermarwa3871
@petermarwa3871 2 года назад
Ukifika ubalozini pamele waweke sehemu ambayo watu wasio weza kuongea kingereza vizuri basi wawe na mtu ambaye anaongea kiswahili ili mtu aweze kujibu maswali vizuri
@marrypius576
@marrypius576 Год назад
Unawaambia tu kuw siko vizur kweny English lazima wakusaidie hawan kipingamiz cha lugha nadhan hivy
@petermarwa3871
@petermarwa3871 Год назад
@@marrypius576 nilishaa enda pale wakanizinguwa kwa sababu ya kingereza tu nilimkuta mmama pele
@boy-pq6ow
@boy-pq6ow Год назад
Naitwa mariam John Mjema je kwa wale ambao visa zaoo kama za hotel wanazolipiwa garam a wa nafanya je. Nilisikia kama frorida wa natoa nafasi hiyo.
@angelpaul5997
@angelpaul5997 2 года назад
Mimi Nina ndugu yangu marekani amenialika nikamtembelee gharama zote ananitolea na Mimi Nina kipato cha chini je nitapata VISA?
@muyahamadi3321
@muyahamadi3321 3 года назад
Kwajina naitwa muya hamadi mgazaa
@kessykasale1747
@kessykasale1747 2 года назад
Sauti ya mtoa mada ndogo
@simonanzuruni8415
@simonanzuruni8415 5 лет назад
Nina aja ya kwenda marekani, niko Bujumbura
@andreamndeme1539
@andreamndeme1539 3 года назад
Vigezo hivyo ni vip
@godeflymatabwa8122
@godeflymatabwa8122 2 года назад
Mimi swali langu je unaweza kuomba visa kabra ya kupata ticket
@Richardpaul01
@Richardpaul01 Год назад
Ndio
@hekimamtazamo4151
@hekimamtazamo4151 11 месяцев назад
Kwani tz hawatupatie mika mitano viza ya USA
@kilalikanestory3635
@kilalikanestory3635 4 месяца назад
Mimi Niko na mwaliko wa Canada munanisaidiaje kupata visa?
@muyahamadi3321
@muyahamadi3321 3 года назад
Nahitaji visa
@zainabumohamed8541
@zainabumohamed8541 Год назад
Kama una ndugu kule na ameshakua na watoto wa kizungu na je nitawaonje ikiwa mwanamke wa kizungu hataki kuwaleta africa anaoopa sasa je naweza kuomba visa ya kwenda kuwaona mini nikiwa bibi
@charliesim9565
@charliesim9565 Год назад
Get your sound right
@kitalambobabloja8742
@kitalambobabloja8742 Год назад
Tunaomba kiongozi vigezo gan ili uwenazo uwende marekani na sio mwanafunzi na unatak ukatafute maisha uko??
@saidimega9615
@saidimega9615 9 месяцев назад
Hello habali Samahani ili niombe viza ya utalii natakiwa niwe na kiasi gani chapesa kwenye bank account yangu
@kadhyajuma3471
@kadhyajuma3471 Год назад
Mimi nataka visa ya kwenda marekani kufanya kazi
@kessykasale1747
@kessykasale1747 2 года назад
Ninapataje viza ya kuishi marekani?
@sarahbrown7884
@sarahbrown7884 Год назад
Naunga na maafisa wa visa kiukweli wanaangalia mtu anacho kiongea kina ukweli au la asha
@IAMHERYX
@IAMHERYX 4 года назад
Vigezo nivipi vyakupata viza iyo kaka
@muyahamadi3321
@muyahamadi3321 3 года назад
Nahitaji visa
@yuzzotz3838
@yuzzotz3838 3 года назад
There are permanent resident visa
@kikapuchetu3935
@kikapuchetu3935 3 года назад
Njia rahisi kuingia Canada ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-EpfaRSIzyhQ.html
Далее
NAH UH
00:17
Просмотров 1,9 млн
Каха понты
00:40
Просмотров 336 тыс.
Fact-checking and trust in times of fake news
32:00
Просмотров 16 тыс.
NAH UH
00:17
Просмотров 1,9 млн