Тёмный

MSHINDI WA DV LOTTERY TOKA TANZANIA 🇹🇿 ANAONDOKA USIKU HUU KWENDA USA 🇺🇸 

EBM SWAHILI
Подписаться 69 тыс.
Просмотров 10 тыс.
50% 1

Mshindi mwingine wa GREEN CARD LOTTERY toka TANZANIA, Placidia anaondoka usiku huu kuingia Marekani baada ya kupewa Immigrant Visa (Green Card).
Placidia aliomba Green Card Lottery tokea Tanzania mwaka 2021 na matokeo yakatoka 2022. Hii ilikuwa Mara ya kwanza kuomba na kushinda kwa mara yake ya kwanza tu.
FULL INTERVIEW IPO RU-vid / ebmswahili
Kwa mlioomba mwaka jana, Matokeo yanatoka Jumamosi, May 6, 2023.
Nafurahi kuona wanaoshinda ku-share ushindi wao na kuwa encourage wengine nao waombe na wafanikiwe. Tokomeza roho mbaya. Share information za opportunities kwa wengine, ili nao wanufaike.
Placidia hivi karibuni atafungua youtube channel yake yenye kuelezea kiundani safari ya maisha yake, na maisha mapya ya Marekani kama mshindi wa DV LOTTERY.
Please FOLLOW Placidia kwenye intstagram account yake / madampula
#ebmswahili #ebmscholars #dvlottery

Опубликовано:

 

8 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 111   
Далее
IT'S MY LIFE + WATER  #drumcover
00:14
Просмотров 18 млн
Первый день школы Катя vs Макс
19:37
Jinsi ya kupata mzungu marekani
44:20
Просмотров 31 тыс.
IT'S MY LIFE + WATER  #drumcover
00:14
Просмотров 18 млн