Тёмный

MANENO YA KIBOKO YA WACHAWI KWA PROPHET LUTUMBA "NAMZIDI PESA MPAKA DHAMBI" 

Bella Tv Online
Подписаться 20 тыс.
Просмотров 17 тыс.
50% 1

#kibokoyawachawi #buza #lutumba

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 113   
@dianajohnson7268
@dianajohnson7268 2 месяца назад
Mweeee na bado wanasema amina na wanatukanwa😢,
@Jehovarohiband
@Jehovarohiband 2 месяца назад
MUNGU anasema watu wangu wameangamia kwa kukosa maarifa ni kweli kabisa❤
@BellaJohnson-z4p
@BellaJohnson-z4p 2 месяца назад
😭😭😭😭, yaani natamani niwamwagie upupu hao watu wanaotikia aminaaa, hahaha Haya mambo yanaboa kweli.
@benernest5125
@benernest5125 2 месяца назад
HAO WOTE WAMESHALOGWA NA HAWA MANABII WA UONGO!!
@KenzyKenzo-s5h
@KenzyKenzo-s5h Месяц назад
Bwana yesu asifiwe,kwa kabisa lako hakuna ama
@YouTuuuuuuube
@YouTuuuuuuube 2 месяца назад
Uyo anayesema Amina 😂 au ni audio ina play
@OmbeniSilaa
@OmbeniSilaa 3 месяца назад
Mungu utusamehe bure
@SalumJohn-h2s
@SalumJohn-h2s 3 месяца назад
Na hao waumini wote,ni kumanina2,Tumien hakili zenu kisawa sawa,Acheni kumtania mungu
@RoseKaiza-g2j
@RoseKaiza-g2j 3 месяца назад
Eemwenyez mungu niepushe na hawa matapeli wanaotumia neno la mungu
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz 3 месяца назад
Yani upo wazi kabisa nishetani kabisa
@lindakapongo8421
@lindakapongo8421 2 месяца назад
poleeee k tumekuelewa tumekupata amina maana yake iwe hivyo ASANTE YESU MWENYE VÝOTE TUSAIDIE TUEPUSHE NA HAYA IWAPI HASIRA YAKO
@mwitamagesa1034
@mwitamagesa1034 3 месяца назад
Sasa mnaanaza kuelewa lile neno, mtawatambua kwa matunda yao. Hauhitani elimu kuuubwa kuelewa kwamba haupo sehem sahihi
@junioremmanuel1695
@junioremmanuel1695 3 месяца назад
Majigamboo sasa hayaaa Mungu hapendiii
@daudaloyce-km4id
@daudaloyce-km4id 3 месяца назад
Tutaona mengi katika nyakati hizi za mwisho, hawa manabii wa uongo wanaongezeka kila uchwao
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz 3 месяца назад
nabado yatazidi hawamashetani wamejipanga
@isayawambura8899
@isayawambura8899 2 месяца назад
@@PeterMahona-zd3oz 😂😂🤣🤣🤣🤣
@rehemachilale7471
@rehemachilale7471 2 месяца назад
Mungu atusaidie 😢😢😢
@boraesther901
@boraesther901 2 месяца назад
Siku za mwisho kweli
@SamwelJoseph-yk3cw
@SamwelJoseph-yk3cw 3 месяца назад
Speechless
@gadisanga-ee2il
@gadisanga-ee2il 3 месяца назад
Unawambia ukweri lakini hiyo nimizombi imeng'ang'ana 😂😂😅
@KarieemWaewa-om5rc
@KarieemWaewa-om5rc 2 месяца назад
Nilitaka kukoment hivyo. Ila uliniwahi 😅😅😅😅
@nenolauzima5281
@nenolauzima5281 Месяц назад
Mfyuuu....
@neemanziku5403
@neemanziku5403 2 месяца назад
Bas we si mtumishi was Mungu we Ni mfanya biashara
@isayawambura8899
@isayawambura8899 3 месяца назад
na kunakichaa anasema amiina😂😂
@MichaelyohanaRumoka
@MichaelyohanaRumoka 3 месяца назад
😂😂😂
@Maimunasimon
@Maimunasimon 2 месяца назад
ten am in a kubwa
@EdnaMadudu
@EdnaMadudu 2 месяца назад
😂😂😂😂😂
@EdnaMadudu
@EdnaMadudu 2 месяца назад
Kweli kichaa 😅😅😅😅 yaani Kama wamelogwa 😂😂😂😂😂
@asmanikahungu7171
@asmanikahungu7171 3 месяца назад
Mtumishi wa Mungu ni ekima
@boraesther901
@boraesther901 2 месяца назад
Unadomo mingi na kutoza malaki tu 😂 pole sana kweli
@MaryKapologweMpya
@MaryKapologweMpya 2 месяца назад
Huyu ni mtoto saana kwenye Utumishi na Hana Uelewa wowote juu ya Kristo. Wakati wao ni mchache mnoo wamekaribia mwisho.
@Afsa-z2v
@Afsa-z2v 2 месяца назад
Ww nimshenzi sana
@IsayaMahanze-yt8es
@IsayaMahanze-yt8es 3 месяца назад
Wapo wanaume kabisa wamekaa wanasikiliza ujinga huo mnapelekwa kama ngo'mbe
@neemanziku5403
@neemanziku5403 2 месяца назад
Mtumishi gan una majuvuno namna hiyo,
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 2 месяца назад
Anajivunia kuwa na dhambi na kuziona kama fahari kwake. Huyu bwana sijui ni mtu wa namna gani. Watumishi wa Mungu msaidieni asiangamie. Mingu anampenda.
@RichardMuhamba
@RichardMuhamba 2 месяца назад
Alafu cha hajabu wanawake ndo wengi makanisani sjuh uwa mna shda gan wamama
@malisaemmanuel1373
@malisaemmanuel1373 3 месяца назад
Amna mtumishi hapo
@LoycierMabenga-ij6bj
@LoycierMabenga-ij6bj 2 месяца назад
UYO ANAEITIKIA AMINA USIKUTE AMELIPWA KWA KAZI IYO,DAAAA!YESU RUDI JAMAN
@gaudencekalyalya8721
@gaudencekalyalya8721 3 месяца назад
Na haya majinga yamekaa yana shangilia ! Kuna injili hapo?
@MaryKapologweMpya
@MaryKapologweMpya 2 месяца назад
Watu wa aina hii nimakosa makubwa kuendelea kuwaacha Nchini hapa. Serikali angalieni mtu huyu mtoeni haraka sana Hapa Tz. Mrudisheni Nchini kwao. Pia maaskofu wa Tz hivi Mnajitambua kweli!? Viongozi wa Kikristo huko kwenye Umoja wenu wenu mnafanya nini!? Au mpo Tu maadamu mnakula !? Hamuoni Upuuzi huu kwenye jukwaa la Injili!?
@MfiriFulgensi
@MfiriFulgensi 2 месяца назад
Ss jamani unataka akuunge mkono hatakama ni mchawi?
@Godliness-ec6gx
@Godliness-ec6gx 2 месяца назад
Matthayo 7:22 soma
@NellyMponi-do1zk
@NellyMponi-do1zk 2 месяца назад
Sasa tulia uko Congo mpuuzi wewe tena uendelee na biashara Yako ya kuku
@hamisaabdalah6232
@hamisaabdalah6232 2 месяца назад
Huyu mpumbavu saaaaana ananyanyasa wenzie mbwa huyu afu mwanga
@samniza1763
@samniza1763 2 месяца назад
Kwa hiyo anajigamba, pesa zimefika kichwani, pesa za maskini, watakuelewa mazwazwa tu sio watu wenye akili.
@veronicamnico4773
@veronicamnico4773 2 месяца назад
😂😂😂😂😂😂 Nimecheka Kwa sauti kama vile Niko na mtu YESU rudi hatujafika mbali😢😢
@ELIZABETHISAAC-l4y
@ELIZABETHISAAC-l4y 2 месяца назад
Umemzidi mpaka dhambi? Alafu ujajiita mtumishi wa mungu,mungu hadhihakiwi na hawataki wenye dhambi we ni mpagani tu
@mandeladaudy5264
@mandeladaudy5264 2 месяца назад
Kaonyesha dharau kubwa sana huyu jamaa
@michaeljackson3855
@michaeljackson3855 3 месяца назад
Ni kanisa au!?
@benardsabuni1102
@benardsabuni1102 2 месяца назад
Wakati WA Bwana utasema walikuwepo wengi kama hao maji na mafuta vitajitenga vyenyewe
@MarrySanga-n1f
@MarrySanga-n1f 2 месяца назад
😱😱😱😱😱😱😱😱😱
@lindakapongo8421
@lindakapongo8421 2 месяца назад
okoa watu wako ee bwana naita damu yako bwana yesu itakase hawa watu waliokalia viti hivyo dawa ya macho wavishe nguo washike mkono
@JudithMlonga
@JudithMlonga 3 месяца назад
Apa akuna injili
@GabrielgabbleMwambengo
@GabrielgabbleMwambengo 2 месяца назад
Endeleeni kutumbukia shimoni,,
@carolicarlos8699
@carolicarlos8699 3 месяца назад
Wewe ni muhuni
@theogeorge3773
@theogeorge3773 2 месяца назад
Wamama fungukeni ufahamu wenu shetani anawatafuta kila kukicha
@estermmafie1758
@estermmafie1758 2 месяца назад
Shika neno la mwisho, amewashinda hata kwenye dhambi
@boraesther901
@boraesther901 2 месяца назад
Arudishe nini kwani mulidaayana ela
@IreneLeonard-rl3jq
@IreneLeonard-rl3jq 2 месяца назад
huyu jama hajawai shika bibria chaajabu
@JamesMachibya-pv3ob
@JamesMachibya-pv3ob 3 месяца назад
Nasikia hadi aibu
@japhetbukuru5300
@japhetbukuru5300 2 месяца назад
Du hili sio tundra la roho wa Mungu kabisa
@SergeJames-g1i
@SergeJames-g1i Месяц назад
Uyu jamaa ni rofa sana
@peterdeus6093
@peterdeus6093 2 месяца назад
Iv hao waumin wanaakili kweli
@salehemsumi615
@salehemsumi615 Месяц назад
Ni wendawazimu tu,yupo kwao Congo na anatukana watanzania kwamba ni wajinga amekula laki tano tano kwa upumbavu wao!!
@EmmanuelMasanza
@EmmanuelMasanza 2 месяца назад
Huyu nimchungaji gani.
@samwelingasa1638
@samwelingasa1638 2 месяца назад
Watu akili hawana kumsikiliza huyo kacontrol watu
@AnnaMsami-f5p
@AnnaMsami-f5p 2 месяца назад
Aisee kawazidi waumini wake pesa na dhambi pia😭 kwani hawa waumini wanasafari yakenda Mbagala au Mbinguni kweli? 😭
@MfiriFulgensi
@MfiriFulgensi 2 месяца назад
Wanatafuta dhambi kubwa kubwa nawao
@godwintumain1450
@godwintumain1450 2 месяца назад
Hana hekima hata kidogo
@martindamas8192
@martindamas8192 2 месяца назад
Serikali, serikali, serikali nawatamka mara 3 nyinyi ndio mnawaangamiza watu wenu maana huyu mtu amepata usajili wa hiduma yake kutoka kwenu, kwanini msimtimue ndani ya nchi yetu?
@carolicarlos8699
@carolicarlos8699 3 месяца назад
Tunamfwatilia Yesu tunae amini yupo ndani yako but kwa hili umetudhibitishia wewe ni mtoto bado unaitaji kukomaa.
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 3 месяца назад
Huyu hana yesu angalia nyendo zake utajua
@AlexSambai
@AlexSambai 2 месяца назад
Nakuzi hadi zambi
@CHARITYKUMBERFIELD-uz9os
@CHARITYKUMBERFIELD-uz9os 3 месяца назад
This is shame....shame shame
@geriokinyunyu1791
@geriokinyunyu1791 Месяц назад
Mda umefika wa kuamini uonqo
@FadhiliJackson-f4x
@FadhiliJackson-f4x 2 месяца назад
Fala tu huyu
@KenzyKenzo-s5h
@KenzyKenzo-s5h Месяц назад
Alafu mafala ao kazi ni Kupiga makofi tuh
@LevinaModesti
@LevinaModesti 3 месяца назад
Achen kukoment ujinga mwachen mchungaji wetu akae Kiboko ya wachawi Mungu akuweke miaka yote utusaidie.
@GRACEFELICIANKALUMUNA
@GRACEFELICIANKALUMUNA 3 месяца назад
Khaaa
@RashidHamad-ro8sd
@RashidHamad-ro8sd 2 месяца назад
Uyu jamaa sijawah kumkubal fala tu msenge
@Storyzaalinacha-e6m
@Storyzaalinacha-e6m 3 месяца назад
Huyu n mhun
@SaidiRegu255
@SaidiRegu255 3 месяца назад
Wew plophet MUNGU akutete maan Dah sio akili yako
@mericknzungu-xf8ji
@mericknzungu-xf8ji 2 месяца назад
na nyie hamna cha kupost? Mnapost usenge tu
@SalumJohn-h2s
@SalumJohn-h2s 3 месяца назад
Kumamamayòo,kafilwe ukoòo!
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 2 месяца назад
Wajinga ndio waliwao.Mhuni huyo na tapeli Freemanson.Majivuno n a dharau😢Ombaomba wanasema Amina.😢Tokeni hapo nyie 😢😢Anatukana watu kanisani.Ondokeni . Serikali weka ndani huyo tapeli.
@jovettedenise2591
@jovettedenise2591 3 месяца назад
Eliya alikuwa nahela gani
@RichVoicetz-z9r
@RichVoicetz-z9r 3 месяца назад
kwanii sikuizi dini ndo imefikia huku duuuh
@IddoMbogo-c2u
@IddoMbogo-c2u 3 месяца назад
Mmh
@TradingPHD
@TradingPHD 3 месяца назад
Mbembe
@obadiajuma436
@obadiajuma436 3 месяца назад
Wewe ni mgeni Tanzania kwenu nicongo naunausanii una MUNGU atakidogo wewe nimtu wakawaida sinauhakika kwamba kuna MUNGU unaemjua
@jovettedenise2591
@jovettedenise2591 3 месяца назад
Waking Yohan unajuwa hata mavazi alikuwa anayava????
@thehouseofprayerministry359
@thehouseofprayerministry359 3 месяца назад
😂😂😂😂😂
@carolicarlos8699
@carolicarlos8699 3 месяца назад
Unatakaje akukubali wewe tunatakiwa wamkubali Yesu.i thought wewe ni mtumwa wa kristo.
@clarencehilary5588
@clarencehilary5588 3 месяца назад
Kweri haya makubwa cjawahi kuona
@OmbeniSilaa
@OmbeniSilaa 3 месяца назад
Utaona. Menngi sana
@Gatrudagaspher
@Gatrudagaspher 2 месяца назад
Ungemvumilia ukaenda kumsemea pembeni
@boraesther901
@boraesther901 2 месяца назад
Wewe uko na ela mbona uko mutu muzima na unaomba ela kanisa ni laki malaki 5 laki 9 wewe unaenda zoofika congo
@Edimond-sw9ce
@Edimond-sw9ce 3 месяца назад
Sio yeye
@Life10061
@Life10061 3 месяца назад
HAHAHA HAPO HAKUNA INJILI
@RachelMollel-v4o
@RachelMollel-v4o 2 месяца назад
mchungaj gani shetani huyo
@mohamedally121
@mohamedally121 3 месяца назад
Hivi hawa waumini wanaojazana wana akili kweli
@MourenLawrenc
@MourenLawrenc 2 месяца назад
Kwaiyo wewe nabii kazi yako nini mbona sijawai kuona ukisoma neno wala ushiki biblia ambayo ndo muongozo wa kuongoza kondoo na kwanini usimtowe pembeni ndipo ukamfukuza ulitaka kumuabisha ili upate kura
@KilonzoJohn-mg7cw
@KilonzoJohn-mg7cw 3 месяца назад
Sasa huyu mbona anawayukana hao waumini wake huyo ni wakala wa shetani
@MfiriFulgensi
@MfiriFulgensi 2 месяца назад
We unatafuta umaafu tu mjings kweli wewe mhuni wrwew unataka kufundishs watu wazarau mpaka wazazi wao kwaji ya pesa kuwa ns sibu wewe kojana
@AIDANIKAHIMBI-ql6tn
@AIDANIKAHIMBI-ql6tn 2 месяца назад
Jinga wewe kafie mbele
@PascalHermas-gg5dx
@PascalHermas-gg5dx 2 месяца назад
Kiboko ya wachawi huyu ni kuna tu
@carolicarlos8699
@carolicarlos8699 3 месяца назад
SHAME HUNA AIBU.THEN HUNA AIBU.
@KenzyKenzo-s5h
@KenzyKenzo-s5h Месяц назад
Kwani ukona mboro mbili umbwa wewe,kafiri wewe
@carolicarlos8699
@carolicarlos8699 3 месяца назад
TELL US ABOUT JESUS MAN. What the Fuck.
@boraesther901
@boraesther901 2 месяца назад
Una mudomo acha masiarha bwana una zambi
@gaudencekalyalya8721
@gaudencekalyalya8721 3 месяца назад
Rubish
@lindakapongo8421
@lindakapongo8421 2 месяца назад
okoa watu wako ee bwana naita damu yako bwana yesu itakase hawa watu waliokalia viti hivyo dawa ya macho wavishe nguo washike mkono
Далее
PUBG Mobile СТАЛ ПЛАТНЫМ! 😳
00:31
Просмотров 87 тыс.
KIBOKO YA WACHAWI KALAANIWA EV PASCHAL CASSIAN
39:08
Просмотров 80 тыс.