Тёмный

MAPENZI YA BONGO pt1 

Mr Uky
Подписаться 71 тыс.
Просмотров 83 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 451   
@eunicegerminus193
@eunicegerminus193 3 месяца назад
Mapenzi yamekuwa mabaya jaribuni na kilimo😂😂😂😂
@meshacklekie4002
@meshacklekie4002 3 месяца назад
😂😂😂
@godfreyerjames3837
@godfreyerjames3837 3 месяца назад
😂😂😂😂
@ramadhaniabdulabdul
@ramadhaniabdulabdul 3 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂😂
@LINETHMUNUO
@LINETHMUNUO 3 месяца назад
😂😂
@jobutv7688
@jobutv7688 3 месяца назад
Umenifurahisha mwanangu
@ConfusedOpenStadium-sl1he
@ConfusedOpenStadium-sl1he 3 дня назад
Daaaa Yan mm siwezii haya mapenzii ya bongoo Yana umizaa kichwaa kwa mm nisiyeenpendaa hekahekaa hapanaa sitawezaa
@zuwenasalim2794
@zuwenasalim2794 3 месяца назад
Kiufpi chukuwa vitu vyako kafungie stoo Daniel uachane naye unatuangusha singo mazaaa😂😂😂
@AbisinaRashidi-wg5jt
@AbisinaRashidi-wg5jt 3 месяца назад
Tangu nitendwe naogopa hata kuambiwa nakupenda na mpaka sasa mwaka wa tatu sina mtu naogopa ndo nimekua saidia fundi maana sijasoma na mwanaume alikua msomi kapata msomi mwenzie nikasema sijakua na mtu wakunisomesha kwaio nabeba zege ila naamini ipo siku mungu atanipa wangu tu
@SafinaKephasi
@SafinaKephasi 2 месяца назад
Pole sana mungu yupo
@AlexNswila-g1q
@AlexNswila-g1q Месяц назад
Tupo uku
@aminamohamed9955
@aminamohamed9955 3 месяца назад
Mmmm mapenzi haya hatr tunasubili pati tu mm ctaki kumpa mtaji mwanaume jamani yalio nikuta makubwa Pole mdada jamani
@rosemilingi7860
@rosemilingi7860 3 месяца назад
Yaani watu hawana huruma kbs
@jafarysoahsoah8530
@jafarysoahsoah8530 3 месяца назад
Yaani unapata mwanamke mzuri anapambana na anaelewa Nini maana ya maisha na bado unacheet daaaah
@thabitimkufi7388
@thabitimkufi7388 3 месяца назад
Aisee upele unawapata wasio na kuchaaa
@jafarysoahsoah8530
@jafarysoahsoah8530 3 месяца назад
@@thabitimkufi7388 kweli kaka ani me sijui nina bahati Gani nakutana na mapaka yanayowaza viwanja tu qumamake 😂 nikimpata kama huyu ntampenda Hadi nimkere
@pachitofilm
@pachitofilm 3 месяца назад
Tunajari bc😂😂😂
@BestonMfikwa
@BestonMfikwa 3 месяца назад
Acha wanyooshwe wapuuzi hawa
@sophsoph4740
@sophsoph4740 3 месяца назад
Ndomana kumuhudumia mwanaume siwez kwasababu hatakayokuja kulipaa😂😂utalia mara 2😢😢😢
@user-no7pz1bz4y
@user-no7pz1bz4y 3 месяца назад
Kiupande wangu, mapenzi na waachia WAHINDI🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@WelimaNyamwanja
@WelimaNyamwanja 3 месяца назад
🤣🤣🤣🤣🤣Ewaaaaaaa ilooo naloo neno
@user-no7pz1bz4y
@user-no7pz1bz4y 3 месяца назад
@@WelimaNyamwanja 😅😅😅🤣😂🤣
@ZuwenaMohammed-fp4yv
@ZuwenaMohammed-fp4yv 3 месяца назад
🤣🤣🤣🤣 kwakwel sikuhiz nawaza maokoto Tu ndo kila kitu 🙌🙌
@LatifaKinanay
@LatifaKinanay 3 месяца назад
Kula tu ndio kitu pekee hunisumbua haya mapenzi sharukh Khan aendelee nayo😂😂
@AgnesDavid-et3zn
@AgnesDavid-et3zn 3 месяца назад
@@LatifaKinanay 😂😂😂 nimecheka kama fala
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 месяца назад
Mtangazaji ebu punguza kingereza. Kwa sababu sio wote wanaoangalia wasomi. Kipindi chako kizuri sana ❤❤🎉🎉
@pillyramadhani3726
@pillyramadhani3726 3 месяца назад
😂😂😂jamani mtoto wa kiume usiomzaa audumiwi tujifunze
@rabiarashid1721
@rabiarashid1721 3 месяца назад
😂😂😂 serious
@juliethswai4263
@juliethswai4263 3 месяца назад
na ukianza kumuhudumia nae anaenda kuhudumia mwingine
@HappynessStephano
@HappynessStephano 3 месяца назад
Binafsi suweziii
@hellenasylivester1067
@hellenasylivester1067 3 месяца назад
Nilikuwa natafuta hii comment. Unawezaje kumlea mwanaume km hivo?? Mkiambiwa jueni thamani zenu mabinti mnaona wanawaonea wivu. Rubbish
@sophsoph4740
@sophsoph4740 3 месяца назад
Nashangaaaaaaaaaaa had nalia jmn wahi nihudumie mtot wa mtu jmn😢😂😢😅😢😂😂😂😂
@ZuwenaMohammed-fp4yv
@ZuwenaMohammed-fp4yv 3 месяца назад
Aiseee naenjoy sanaa 😂pia najifunza mengi sana kupitia Mr uky
@AgnesDavid-et3zn
@AgnesDavid-et3zn 3 месяца назад
Ila kuna mengine yanachekesha😂😂
@CherylEdward-em8ix
@CherylEdward-em8ix 3 месяца назад
Yaan mpka naogopa😂😂😂
@ZuwenaMohammed-fp4yv
@ZuwenaMohammed-fp4yv 3 месяца назад
@@AgnesDavid-et3zn yaan yahuyo dada kidg yalonikuta miye achaa tu mungu ndo anajua
@ZuwenaMohammed-fp4yv
@ZuwenaMohammed-fp4yv 3 месяца назад
@@CherylEdward-em8ix unaogopa nn sasa mm asaiv nimeacha kupenda🤣🤣🤣💗
@AgnesDavid-et3zn
@AgnesDavid-et3zn 3 месяца назад
@@ZuwenaMohammed-fp4yv kwahiyo yako makubwa kuliko ya huyo pole dada
@sophsoph4740
@sophsoph4740 3 месяца назад
Mimi naomba pepo la kumsaidia mwanaume kipesa stak mana kuja kulia mara mbili stak bora nlie mara moja
@macsun6727
@macsun6727 3 месяца назад
Mr. UKY bwana Ukweli ni mzuri jinsi unavochanganya ngeli unaharibu...
@bathoromeorichad2957
@bathoromeorichad2957 3 месяца назад
Sema mwamba hajatuangusha wakulungwa zote kaz 😅😅😅😅ila sasa kazini kwake kuna kaz😂😂😂
@RemaKviewshoursago
@RemaKviewshoursago 3 месяца назад
😂😂😅😅
@HappySeverine
@HappySeverine 3 месяца назад
😂 Au sioo
@angonzamujunangoma8775
@angonzamujunangoma8775 3 месяца назад
Dada achana na huyu mme,lea mtoto wako na fatuta pesa
@johasaeed391
@johasaeed391 3 месяца назад
Yaani hamna eti amepangishia why wasikae nyumba moja😂😂😂😂
@mishimzihir421
@mishimzihir421 3 месяца назад
Heti mm nashangaa
@nikrahayubu-sz3pw
@nikrahayubu-sz3pw 3 месяца назад
Unajua pamoja na vyote kuwa ana afamya mapenzi kisiri Siri lbd hatak family yake ijue kuish na mtu Ambae hajakuowa
@ingabireshakira9631
@ingabireshakira9631 2 месяца назад
Fatuta pesa😂
@johasaeed391
@johasaeed391 2 месяца назад
@@ingabireshakira9631 mbona kaeleweka unamkosoa nini kwa typ haimuachagi mtu salama hata wewe ushakosea sana tu
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 3 месяца назад
Yaaan bora utunze wazazi wako wakubariki kuliko hicho kibuyu Daniel. Pole. Achana na mapenzi kwasasa lea mtoto
@gladnessbelonda5005
@gladnessbelonda5005 3 месяца назад
😂😂 kibuyu
@mkamaboy2016
@mkamaboy2016 3 месяца назад
Wadada wanapenda kupendwa Jamaa kalipa vitu vyote tyr kapewa mzigo
@safinandomba990
@safinandomba990 3 месяца назад
Mwanaume ukimsaidia pesa anajua mwisho wa siku wewe uliempa utakuja mcontrol tu 😂kitu anafanya ni anatafuta mtu mwingine anaeweza kumcontroll 🤣🤚jamn mwanaume apewi pesa anatiwa moyo na nguvu ya kutafuta pesaa 💔
@sachymassy
@sachymassy 3 месяца назад
hilo neno kbsa
@RosechandeRosechande
@RosechandeRosechande 3 месяца назад
Kabisa akina akili
@user-ih9nd1yt8s
@user-ih9nd1yt8s 3 месяца назад
Kweli kabisa hapo umenena
@MarieMichael-on6qu
@MarieMichael-on6qu 2 месяца назад
Sure
@AtkaKalinga-ht3pi
@AtkaKalinga-ht3pi 2 месяца назад
Kabisa
@monicambarikiwa9532
@monicambarikiwa9532 3 месяца назад
💔inauma…. Ila huenda MUNGU alikuwa anamtumia Ummy ili kumfikisha mtu (Daniel) mahala fulani. And it looks like the game is over. Move on Mamaa😢 ni ngumu ila inawezekana. MUNGU analipa thawabu
@teddysisty320
@teddysisty320 Месяц назад
Jifunzeni kitu wanawake ukimuhudumia mwanaume ujue anakaa na wewe coz ya pesa zake lakini inreal sense wewe hakupendi
@JamilaMbago-w4j
@JamilaMbago-w4j 3 месяца назад
Mapenzi yameshindikana India mutayawesa African 😂😂😂
@meshacklekie4002
@meshacklekie4002 3 месяца назад
😂😂😂😂
@tonomiale5786
@tonomiale5786 3 месяца назад
@@meshacklekie4002🤣🤣🤣
@abdulkaleemmbarak6670
@abdulkaleemmbarak6670 Месяц назад
Mdogo wangu Uky ungeachana na kingereza huja kimudu vizuri Una kikongoa Sana.
@mariachifupa4654
@mariachifupa4654 3 месяца назад
Jina lenyeweee Daniel 😂😂😂....2lio single tuendelee kujifukizaa 🥱
@annastaziambelele3211
@annastaziambelele3211 3 месяца назад
🤣🤣🤣🤣
@BahatiKaninka
@BahatiKaninka 3 месяца назад
😊😊😊
@ziddyziddy2524
@ziddyziddy2524 Месяц назад
😅😅😅😅
@Rachelshirima-t9k
@Rachelshirima-t9k 2 месяца назад
mshumii de Ummy.......Nmekumc jmn from kiraenigrls member
@divadivana368
@divadivana368 3 месяца назад
Leaa tu mwanao dear Achanaa na huyoo mwanaumee hanaa malengo yoyote na wewe ndg yang focus on your goals mbonaa we mrembo na bdo mdogo jmniii komaaaa dear Achanaaa na huyoo kaka aiseeee, , , yaaaan mpk napataaa hasiraaaa
@user-xe6yq8pw9j
@user-xe6yq8pw9j 3 месяца назад
Imenibid nicoment jmn uyo mdada ni msaarabu sanah jmn 😻💓💓
@UmayyaNkya-ze3ri
@UmayyaNkya-ze3ri 3 месяца назад
Ndio kina ummy huwaga ni wastaarabu sana sie😂😂
@StellahSaid
@StellahSaid 3 месяца назад
Naisubir part 2 apigiwe cm Daniel achaguee!!mapenz msenge sanaa aloo
@Enocky-pv5ui
@Enocky-pv5ui 3 месяца назад
Oy bila kuongea ukweri sio vizuri huyu mwanaume unajua kuchagua du mana whote niwasitaribu hata akisema Aishi nao Haina shida 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@mohammedipaulo7619
@mohammedipaulo7619 2 месяца назад
Daaah aise kuna wanaume wengeni hawana bahati sana kwakweli yani kupata. Mwanamke kama huyu
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 3 месяца назад
Mimi nimehamia jwenye kilimo cha maparachichi wanaume nimepumzika
@AKRAMSTEWART
@AKRAMSTEWART 3 месяца назад
Big up bro you know how to make wounderful scene ❤
@ThauratSule
@ThauratSule 3 месяца назад
Shakukushauri dada uyo Jamaa Achana nae mfukuze mrudishe kijijini uyo Jamaa hafai kabisa
@braithe100
@braithe100 3 месяца назад
acha roho mbaya
@ThauratSule
@ThauratSule 3 месяца назад
@@braithe100 mchukuwe ww ukae nae mwenyewe roho nzur
@RamiaMavengu
@RamiaMavengu 3 месяца назад
Dah yani mapenzi nayaenzi asante mama kwa kunizaa mwanaume ila mm #mungu kanipa kilema na mwendo uliopitilizà
@user-uk3vr1oi9m
@user-uk3vr1oi9m 3 месяца назад
Jmn immh
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 Месяц назад
Ila wanawake tukome viherehere sb sisi hatupaswi kuhudumia na kupenda jamaniii. Khaaaa. Tatizo siku hizi hatujielewi
@Aishatheboss117
@Aishatheboss117 2 месяца назад
Mimi nitajalibu kilimo nione🤣🤣🤣
@GoodluckAlex-vd6vc
@GoodluckAlex-vd6vc 3 месяца назад
Ukishakua single mother ni maumivu kupata mwanaume atakaekubali mechi ianze moja bila ni ngumu labda kama ana shida sana
@MeryMrosso
@MeryMrosso Месяц назад
Kingereza chako kinanifanya klipu zako sifuatili mpaka mwisho ongea kiswail
@jacklinejackson9600
@jacklinejackson9600 3 месяца назад
Kwani hizo pesa za kumpangia mwanaume mnazotoa wapi😅😅😅
@user-tw9wu2gz4g
@user-tw9wu2gz4g 3 месяца назад
Sio kila mwanamke tegemezi kama marehemu.
@IreneMacha-d5q
@IreneMacha-d5q 3 месяца назад
Ata mm najiulizaga .
@rehemaMkumbo-mf5gs
@rehemaMkumbo-mf5gs 3 месяца назад
😂😂😂😂😂
@mickdady9536
@mickdady9536 3 месяца назад
Duh jamaa kaznguw sana Yan m nipate husiano linalo eleweka kama hili alooo kunitoa mje mnitoe na tingatinga kwenye hili husiano
@julianamaganga4803
@julianamaganga4803 3 месяца назад
🤔
@sophyliciouzmushi2952
@sophyliciouzmushi2952 3 месяца назад
Huyu dada anataka kufanana na nanadolz,hadi anavyoongea,ila my dear pambania maisha ya mtt wako tu!Mwanaume sio ndugu yako!
@LilianSita-tr6wj
@LilianSita-tr6wj 3 месяца назад
Kbs
@sophsoph4740
@sophsoph4740 3 месяца назад
Kbs
@Sophlizzy21
@Sophlizzy21 3 месяца назад
Siku nyingine ni bora muongee kiswahili mwanzo mwisho kuliko kuchanganya na kingereza mpaka mnakosea. Haya huyo dada kasema “the gay” badala ya “the guy”
@WilliamSumuni
@WilliamSumuni 3 месяца назад
Ebu itamke tuone tofauti
@SofiaMasawe
@SofiaMasawe 3 месяца назад
😂😂😂
@ZeyanaKhamismashaka
@ZeyanaKhamismashaka 3 месяца назад
Mapenzi shikamoo😂😂😂😂😂 kwa kweli likufikaa jambo ndo utajuwa mapenz ni nii😂😂😂😂
@Ummy-c7n
@Ummy-c7n Месяц назад
Ww unadhalilisha kina ummy hatunaga tabia ya kulea waume ovyo😂😂
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 3 месяца назад
Ila uyu mwenye mtoto NI MSTAARABU.. MNGU akupe subra...NI mtihani kweli
@TumainiMaseta
@TumainiMaseta 3 месяца назад
Yani hawa mmbwa hawabebeki
@elishakayagwa9371
@elishakayagwa9371 3 месяца назад
Ni mstaarabu kwenye camera ila ana matatizo sana
@HadijaZabroni-pu1lt
@HadijaZabroni-pu1lt 3 месяца назад
Hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha 😂 😂 🤣 🤣 🤣 ​@@elishakayagwa9371
@RashdaAbdallahMahuwile
@RashdaAbdallahMahuwile 3 месяца назад
Ila mimi kiukweli mapenz yatanisamee akitokea wa kunitapeli anitapeli kipande chote ch ngozi yng lkn co kwny kumgharamia mmmh 🙌🙌🙌🙌tena nimemtoa mbwinde😅😅😅
@imrankweka4752
@imrankweka4752 2 месяца назад
Mnalilia mahusino yasiyokua ya ridhaa ya MwenyeeziMungu ?
@clarapiaelias8767
@clarapiaelias8767 3 месяца назад
Kitu siwezi kwenye maisha yangu kulea mbaba mwenye nywele zote na zimekoaa
@happiefrancis8824
@happiefrancis8824 2 месяца назад
Mi hapo sijaelewa sa si ana duka la perfume kwanini bado unamlipia pango jamni wanawake tusijitwike majukumu ya wanaume
@JoharManasse
@JoharManasse 3 месяца назад
Nakukubali sn we kaka man mnasaidia sn wadda
@mariamhakim1463
@mariamhakim1463 22 дня назад
Daa huu niujinga😢😢
@AlexNswila-g1q
@AlexNswila-g1q Месяц назад
Uwo ni ujinga wenu wanaume wapo kibao munalalama apoapo
@KaguttaEdson
@KaguttaEdson 3 месяца назад
Mapenzi yanekuwa magumu sana, jaribuni na ufugaji.
@ziddyziddy2524
@ziddyziddy2524 Месяц назад
😅😅😅😅
@gregorymarcel
@gregorymarcel 3 месяца назад
Bro naomba nmb ya ummy kaka nikutane nae I'm Gregory bro i need her pleasee
@mwaamwetahussain9947
@mwaamwetahussain9947 3 месяца назад
Hayo ndio madhara ya kuhumia wanaume mwache mwanaume ajifaitie mwenyewe pole by the way
@FAUSTAMBAGA
@FAUSTAMBAGA 3 месяца назад
Jamani tukome awa wanaume wamejizoesha hii tabia
@LoyceTamsony
@LoyceTamsony 3 месяца назад
Wanaume ni ukwaju tena mchachu😂
@kyannickk2be
@kyannickk2be 3 месяца назад
😅
@LatifaKinanay
@LatifaKinanay 3 месяца назад
Wanaume ni wadudu🙏😂😂
@HusnaMm-h3v
@HusnaMm-h3v 3 месяца назад
Mm jamani moyo huwo sina wakumhudumiya kenge wamtu 😂😂😂 sujarigwa bado
@rebeccamayo911
@rebeccamayo911 3 месяца назад
😅😅😅😅
@Denismayeye18
@Denismayeye18 3 месяца назад
Pole sana dada usikate tamaa we ni mzur sana
@LutfiaRashid
@LutfiaRashid 3 месяца назад
Yeah..mi mrembo
@Denismayeye18
@Denismayeye18 3 месяца назад
I think na mm nipate bint mrembo kama wewe
@AbuuHaj
@AbuuHaj 2 месяца назад
Mmmh shkamoo mapenzi❤❤🎉
@LatifaIddy-tj1fv
@LatifaIddy-tj1fv 3 месяца назад
Hapo kwenye kumuhudumia mwanaume😂
@lilianNdossa-dk5ts
@lilianNdossa-dk5ts 3 месяца назад
Apo apo sijui nguvu katolea wap
@Humanity21216
@Humanity21216 3 месяца назад
Ummy kajaje huku 😂😂, my friend kaumia sana ila kuja kwa media kateleza
@sophykivuyo
@sophykivuyo 3 месяца назад
Mnanishangaza mnapowalilia maboyfriend😂😂😂😂😂😂, move dd pengine sio fungu lako
@Barakakadama
@Barakakadama Месяц назад
Aise Kuna watu hawajielewi
@ZawadBartholomew
@ZawadBartholomew Месяц назад
Unachotakiwa kumsaidia mwanaume wako ni chakula na maji tu ukimfanya awe wa hadhi ya juu atakuacha atafute wa hadhi yake yaani hawa wanaume ukimtoa babu yangu wote mbwa tu😮😮
@SalomeSylvester-er3rq
@SalomeSylvester-er3rq 3 месяца назад
Bi mdogo umejipa asilimia zote uko pekeako 😢wanaume ni nyoko hamnaga mwanaume singlee
@Nalee-f5b
@Nalee-f5b 3 месяца назад
Achen kufanya kazi nusunusu mpakq tubembeleze part 2 jamn
@FAUSTAMBAGA
@FAUSTAMBAGA 3 месяца назад
kingine tujifunze kumpenda sana mwanaume isiwe tiketi ya kumzalia mnaongeza idadi ya masingo maza
@Humanity21216
@Humanity21216 3 месяца назад
Uyo Daniel sio baba wa mtoto wa ummy ni wana mahusiano tu
@jenipherishengoma1239
@jenipherishengoma1239 3 месяца назад
Jinga kumpangishia na kumuhudumia mwanaume ni kumzarau mwanaume na majukumu yake kwendaaaaaaaa na lazima ungelia tu
@hellenasylivester1067
@hellenasylivester1067 3 месяца назад
Tena mjinga haswa huyu dada. Mwanaume hahudumiwi jaman kwani wenzetu mnasomaga vitabu gani vya dini nyieee mnakeraa sanaa
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI 3 месяца назад
Mganga wa Dani fundi nyie .😂😂😂 Alfu inaonekana demu hataki kuhachana na dani . Nakuita mara 3 we Dani, we dani, we dani mganga ako fundi 😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌
@Mdosi_tz2
@Mdosi_tz2 3 месяца назад
Sasa mbona daniel hujamuwek hapo kati wambananisheeeee
@mohamedally121
@mohamedally121 Месяц назад
Wanawake mnafeli wapi?? Hv bado hamjui kuwa mwqnaume hatosheki na mwqnamke mmoja??
@tanzaniamycountry9308
@tanzaniamycountry9308 2 месяца назад
Zote ni pic😊daadek
@neemareuben311
@neemareuben311 3 месяца назад
Kwa mm jaman kiukweli haya mapenzi ni nyoko ni nyoko sana kiufupi hya mapenzi mahusiano nawahachia makanji bahiii huko mumbai 😅😅😅 ila na ww single maza kichwan haupo sawaaa kbsaa
@SweetJeff-x7g
@SweetJeff-x7g 23 часа назад
Clark Amy Davis Larry Gonzalez Cynthia
@uzzietrends3795
@uzzietrends3795 3 месяца назад
Aaah that is very touching aisee😂😂
@jenifapaul3369
@jenifapaul3369 3 месяца назад
Pole dda ila kukupenda uchizi kwanni msinge kaa pamoja
@lucymallya4348
@lucymallya4348 3 месяца назад
Kwahyo ulifkiri ukimlea mwanaume ndo atakupenda peke yako pole dada😂😂😂
@AgustinoMpondo
@AgustinoMpondo 2 месяца назад
Yule kaka nifala
@lidyakinono9917
@lidyakinono9917 3 месяца назад
Hivi watu mnapata wapi nguvu za kuhudumia wanaume 😂😂😂😂
@SuzyFkajjsis
@SuzyFkajjsis 3 месяца назад
We acha tu
@comfort-rjtv3291
@comfort-rjtv3291 3 месяца назад
Wanaumeeee! Mr uky nimependa swali kwamba unamamzungumziaje Daniel kiufupi Daniel Wa ummy na Wa dorvin ni watu wawili tofauti
@aud548
@aud548 3 месяца назад
Ummy mzuri Mash'Allah 😊😊😊
@JemimaMdota
@JemimaMdota 3 месяца назад
We dada upendwi unavumiliwa na hela zako 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@مناسكالراشدي
@مناسكالراشدي 2 месяца назад
Hivi hiii nikweri au mipango 😂😂
@rachelcharles2383
@rachelcharles2383 3 месяца назад
Hivi ujasir wa kumuhudumia mwanaume hua mnautoa wap😂😂😂😂
@UmmyDaudi
@UmmyDaudi 3 месяца назад
Jamani wajina na wewe pia kenge ana kuumiza kichwa timua akalime mihogo uko kwao
@EVERINAAHUNGU-cv3dq
@EVERINAAHUNGU-cv3dq 3 месяца назад
Nimepend ni waelewa sana
@barakaalimas
@barakaalimas 4 дня назад
Mr uk nitumie namba ya umi
@emilysanga7662
@emilysanga7662 Месяц назад
Pele humuota asiekua na kucha
@mayahkim4390
@mayahkim4390 3 месяца назад
Yani iki kizazi chetu mwanamke una ujasiri kbsa wa kusema nimempangia dani namhudumia dani daaaah
@khadidjaabdi-hd8py
@khadidjaabdi-hd8py 3 месяца назад
Mapenzi ndo nin jamani please kilamtu anaumizw tuuuu😂
@user-xl6ye5xx4j
@user-xl6ye5xx4j 2 месяца назад
Punguza kingereza
@saeaaa8571
@saeaaa8571 2 месяца назад
Na kwann wew umuhudumje jmn ikiw n wajibu wake kukuhudumia wew na si yeye
@theajoicy
@theajoicy 3 месяца назад
Iv kumbe Kuna wanawake wapumbavu jmn 🤣🤣
@SuleimanAbubakary-m1h
@SuleimanAbubakary-m1h 3 месяца назад
Oooy wadau asee hii mbona ni hatary na mtotonwa kiume halelewi anatunzwa🤣🤣🤣
@EnaraMfwango
@EnaraMfwango 3 месяца назад
Dad ogop mwanaum anaitwa Danny kimbia nin maan mm nin historian na Iko jina
@fridakaria9904
@fridakaria9904 3 месяца назад
Hata mm na historia na Hilo jina , we acha tu
@LilianMassawe-ix3sx
@LilianMassawe-ix3sx 3 месяца назад
Na kevoo😮😮
@ChristinaChumi-or9bb
@ChristinaChumi-or9bb 3 месяца назад
Hela za kuwapa hawa wenzetu mnapataga wap jamani😀😀😀
@leahmatima3971
@leahmatima3971 2 месяца назад
Huyo ndio Daniel Mengine tuwaachie 😂😂😂
@RehemaVMkanga
@RehemaVMkanga Месяц назад
Daniel kashikwa na delila
@habibaraphael6583
@habibaraphael6583 3 месяца назад
Pole my ndio ujifunze mwendelezo
@neykombe8831
@neykombe8831 2 месяца назад
Ni kwamba wanawake mmekata tamaa hvy mpk mnawapa wanaume pesa jmn mbon dada mzuri hvy kwann unajikatia tamaa hvy me lishangaz wa miaka 33 lkn sijajikatia tamaa
@khadidjaabdi-hd8py
@khadidjaabdi-hd8py 3 месяца назад
Hakuna mwanaume wapeyako 😂 hata umpee nini kukuchet nikawaida yakoo baadhi ya wanaumee
@stulidamligo1142
@stulidamligo1142 3 месяца назад
Tufanye kazi tuachane nahabali zawanaume
@neliciousmtata5309
@neliciousmtata5309 3 месяца назад
af dani mwenyewe ukute mlamba lips kimoja chali kinembe hakichezi af anakoromA aiseeee🙌🏼
@ziddyziddy2524
@ziddyziddy2524 Месяц назад
😅😅😅
Далее
MAPENZI YA BONGO Pt 2
8:30
Просмотров 90 тыс.
MWANACHUO WA CBE AKATALIWA NA MPENZI WAKE | WAACHANA
6:21
Merab vs Sean underway!! 🚨 #ufc306
00:23
Просмотров 1,1 млн
Russian soldiers get chased by Ukraine drone
00:28
Просмотров 66 тыс.
NLIKUA NAMTAFUTIA SABABU | WAKUTANISHWA
15:01
Просмотров 223 тыс.
SABABU YA ZOMPA KUMUACHA FAY MOMO
10:31
Просмотров 58 тыс.
LIZZ KAWACHANGANYA WADADA
12:57
Просмотров 38 тыс.
MUME MALAYA PART 2
16:14
Просмотров 16 тыс.
MAPENZI YA WAGOMBANISHA SIKU YA BITHDAY
8:02
Просмотров 73 тыс.
NIMEKUACHIA UYO MWANAUME
8:49
Просмотров 66 тыс.
Merab vs Sean underway!! 🚨 #ufc306
00:23
Просмотров 1,1 млн