Тёмный

LIZZ KAWACHANGANYA WADADA 

Mr Uky
Подписаться 70 тыс.
Просмотров 37 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

6 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 320   
@berthangowi55
@berthangowi55 2 месяца назад
Mara nyingi wanawake wanaokata tamaa na kutokujiamini ndio wana kuwa na huo msemo HAKUNA MWANAUME WA PEKE YAKO,ila sio kweli 💯
@user-fc9cx8qg4d
@user-fc9cx8qg4d 12 дней назад
Ni umalaya unawaumbua
@_smart_hb_
@_smart_hb_ 2 месяца назад
Ila Mr Uky punguza kizungu Tanzania 🇹🇿 kiswahili ndio kinafahamika sana achana na icho kizungu bhana 😎
@HappyDreamCatcher-pg8lf
@HappyDreamCatcher-pg8lf 2 месяца назад
Afu kizungu chake Cha hovyo kinakwaza anapoteza Radha😂😂😂
@AminaDaudi-dn4hm
@AminaDaudi-dn4hm Месяц назад
Wakati wenzenu wanasoma mlikua busy kuandika akumbukwe kwa ukuta muacheni na kizungu chake umbra tu kuoga aaaaaaah😂😂😏😏​@@HappyDreamCatcher-pg8lf
@HasnaSawaid
@HasnaSawaid Месяц назад
🤣🤣🤣🤣
@AishaKhamis-gs6qc
@AishaKhamis-gs6qc 18 дней назад
😂😂uyo mwanaume kwani nindugu yake na bwakila😂😂😂
@user-jj5bh1gf4m
@user-jj5bh1gf4m 7 дней назад
😂😂
@nyanziratatou5404
@nyanziratatou5404 2 месяца назад
Kuna maneno ya wanawake wenzangu nikiyasikiaga huwa na cheater sana , eti tumetoka mbali name, siwezi kumuacha, eti ananipenda mimi 😅😅😅😅😅 huwa nacheka sana . 😅😅😅😅😅😅
@user-gb3sf9fy2u
@user-gb3sf9fy2u 2 месяца назад
Kma umeangalia zaidi ya mara kile kipenda kinachosena leana ni kivuruge gonga like hapa
@witnessmlay7415
@witnessmlay7415 2 месяца назад
Hehehe vitoto vya 2000 vinasumbuliwa na mapenzi af sauti ya Wizz mwenyewe sasa😂😂
@PrincessHellen-pg1oy
@PrincessHellen-pg1oy 2 месяца назад
😂sauti inahusijaje hapo 😂😂😂
@LoyceLoyce-fu9pc
@LoyceLoyce-fu9pc 2 месяца назад
duh wabongo mnajuà kuconclude😭
@Rachel-ww1li
@Rachel-ww1li Месяц назад
😂mubaba wake
@PrincessHellen-pg1oy
@PrincessHellen-pg1oy Месяц назад
@@Rachel-ww1li 🤣
@LucyPius-gk1di
@LucyPius-gk1di 2 месяца назад
Kimemushuka shuuui mchepuko ni mchepuko tuuuuuu piga keleeeee watuache na waume zetu watafute waume zao
@Tyughcdrbdt
@Tyughcdrbdt 2 месяца назад
Kwakweliii😂😂😂😂
@user-fc9cx8qg4d
@user-fc9cx8qg4d 12 дней назад
Wanataka tufanane vyeo😂😂😂
@deonatusdaud4640
@deonatusdaud4640 2 месяца назад
Nimekeleka sana kutokna na umri wao na mambo wanayofanya aiseee
@RaymonDbertha
@RaymonDbertha 2 месяца назад
Daah! adui wa mwanamke ni mwanamke
@sulleRuth
@sulleRuth 2 месяца назад
Asanteee studio Nimependaaa mwanaume alivojibu mr uky 🎉
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 2 месяца назад
Mwanaume nimempenda apindishi maneno jmn kanyooka htr😂😂😂
@maksein_h
@maksein_h Месяц назад
😂😂😂 wizz boy hana kazi mbovu
@ramadhanibakari5972
@ramadhanibakari5972 2 месяца назад
Sio lizz na wew ni wizz @Mr Uk jifunze kiswahili unaboa viingereza vya hovyo yan tafran 🤔🤔🤔
@blaqyrn3655
@blaqyrn3655 2 месяца назад
😂😂😂😂
@RACHELFESTO-pt6fv
@RACHELFESTO-pt6fv 2 месяца назад
😅😅😅😅 vingereza vibaya kama maishayangu
@glorymushi6158
@glorymushi6158 2 месяца назад
@@RACHELFESTO-pt6fvhahahahah
@user-oq2wp8oh1f
@user-oq2wp8oh1f 2 месяца назад
😢haya mamichepuko yana ukimwi nini eti Kila mtu aplay party yake sijui yakoje
@DativaMbowe
@DativaMbowe 2 месяца назад
😂😂😂😂😂
@tausishabani263
@tausishabani263 6 дней назад
Mpenzi mwenyewe Bwakila 😂😂
@user-no7pz1bz4y
@user-no7pz1bz4y 2 месяца назад
Watu wakavu 😢😢 et siwez kumuacha nimemzowea,, haya haus gar kamalizie kazizako boss atakufukuza kaz bure,, 😂😂😂 mana limekushuka shuuuu!!!!!🙌🏻🙌🏻🙌🏻😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@christinamagova-ft1fv
@christinamagova-ft1fv День назад
Nimesoma kwanza comments Zenu za wizzy mwenyewe Bwakila ndo nikaja kuskia sauti yenyewe nimecheka kama fala wallah😂😂
@peacermaria2045
@peacermaria2045 2 месяца назад
Unacheza na wasukuma wazee wa kuropoka wanakuaibisha kabisa😂😂
@eggysulle7988
@eggysulle7988 2 месяца назад
😂😂😂😂eshimu kaka wa wenzio 🙄🙄😂😂
@user-tx2kh7rn9q
@user-tx2kh7rn9q Месяц назад
Haki umenichekeshaa 😂😂😂😂
@user-je2gq2et1z
@user-je2gq2et1z Месяц назад
Aibu sana dada memu ya mutu sumu aya hohohoho aibu toka tafata yako
@SyliviaMbuya
@SyliviaMbuya 2 месяца назад
Unajua jomon Kwa watoto wa kike, mnajichoresha hapo, mwanaume anavimba kichwa kama dunia kaimiliki yeye. Anawachora, mm sigombani na mwanamke mwenzangu, unashindwa nn kumove on, Au mwambie Mr Uky akupe namba ya yule dada mwenye idadi ya wanaume, akupe mmoja😅😅😅😅
@user-gb3sf9fy2u
@user-gb3sf9fy2u 2 месяца назад
😂😂😂 umenichekesha eti umwambie yule dada akupe 1, ila kweli bwana wanajiabisha tu ivo wanyogombania wanaume
@HellenMassawe2
@HellenMassawe2 2 месяца назад
Mbona ni watoto sana , Mungu saidia kizazi chetu
@QbaBoy-ew7fc
@QbaBoy-ew7fc Месяц назад
Amekuambia wametoka mbali sana.
@johasaeed391
@johasaeed391 2 месяца назад
Mikaa 2 siyo mbal sana i😂😂😂😂😂jamani vijidada acheni mapenzi yatawauwaa tafuteni pesa kisha muowee
@saidimiarage
@saidimiarage 22 дня назад
Nyie wadada mwanaume hagombaniwi akikupenda atakufuata tu
@mariamhakim1463
@mariamhakim1463 12 дней назад
Mbonakashituka alivyoambiwa mtu yukohapa😂😂
@marymsito7607
@marymsito7607 2 месяца назад
Asante Lizz nimependa alivyo jibu
@AminaSelungwi
@AminaSelungwi Месяц назад
Unajitahd mwanangu Kaz nzur
@UsuiliMilangitoni-gm.c
@UsuiliMilangitoni-gm.c 2 месяца назад
😂😂😂 Alijiamini aibu kaiona mwenyewe, msukuma sikuzote hanachakupoteza.
@DavidDavid-wf5ug
@DavidDavid-wf5ug 2 месяца назад
Leo nyumbani hapakaliki kwa nini ana mchepuko na nyie wadada haya mambo muwe mnamalizana na waume zenu sababu wao ndiyo wanatongoza michepuko.
@MsinaLydia
@MsinaLydia 2 месяца назад
Mm huo upumbavu sina kwakweli kwa wanaume hawa utatafuta wadada wangapi jaman mana wanaume wapo moto sanaa sina huo mda
@user-rh6qv5up6m
@user-rh6qv5up6m 2 месяца назад
Kbxaaaa 😂😂
@user-rh6qv5up6m
@user-rh6qv5up6m 2 месяца назад
​@@MsinaLydia😂😂😂😂😂😂
@DativaMbowe
@DativaMbowe 2 месяца назад
Maisha haya
@johasaeed391
@johasaeed391 2 месяца назад
Alafu vitoto kabisa
@Mamunabeel-hh9kb
@Mamunabeel-hh9kb 2 месяца назад
mapenz mapenz mapenz haya uko uliko mapenz tunakulaan unatualibu sana😂😂😂
@Jasmeni-ns9dg
@Jasmeni-ns9dg 2 месяца назад
Hahah kama kuna kaukweli vule😂😂
@Mamunabeel-hh9kb
@Mamunabeel-hh9kb 2 месяца назад
@@Jasmeni-ns9dg kwel my kaz aziend mapenz atuingz pesa mapenz aaah daaah we mwache tu uyo mapenz anajikuta star wa ulimwengu mzma alipo uko ipo siku tutaonana tu sura kwa macho😂😂😂😂😂🏃‍♀️🏃‍♀️
@mariammilanzi9161
@mariammilanzi9161 2 месяца назад
Sema wizzy anapenda weusi 😅😅😅
@LindaLinda-r8k
@LindaLinda-r8k 2 месяца назад
Umeona ee😁
@zinatyben
@zinatyben 2 месяца назад
Mtazamo wangu wadada tujitahid kudili na wanaume zetu make michepuko wanayo kibaoo yaniiii
@JudyLee-hf9cy
@JudyLee-hf9cy 2 месяца назад
Anaongeaje huyo bwana😂😅😅😅😅😅😅
@Zuhuramahadhi
@Zuhuramahadhi Месяц назад
Anaongeaje hehehe
@mkundemosha1046
@mkundemosha1046 28 дней назад
Hahaha ila wadada wanapenda kujixalilisha khaa. Unatoka huko unaenda kumwambia mwanamke mwenzzio aachane na mpenzi wako ten sio mme
@rahmahamad5005
@rahmahamad5005 2 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂😂 bora tu reyna anajiona sana huyo😂😂😂😂 hayaa wifi yangu karibu nyumban 😂😂😂
@HawaMohamed-ug1sb
@HawaMohamed-ug1sb 2 месяца назад
Kwakwel 😂😂😂
@ZainaHalifa
@ZainaHalifa 2 месяца назад
Mm katika maisha yangu sigombanii mwanaume mm nimemuambia kama unataka kuongeza mke wewe ongeza tu kuliko kudhini
@Awaasha-cn6bx
@Awaasha-cn6bx 2 месяца назад
Jibu lishapatiikana wala bila kupepesa ni funzo kwa vibint vinavyokurupuukia mapenzi ya watu
@user-fx3ws9lp6g
@user-fx3ws9lp6g 2 месяца назад
Jina lenyew wizz
@eggysulle7988
@eggysulle7988 2 месяца назад
Yaan Mungu aniepushie laa sivyoo heeee itakua historian kwa ving'ang'a wenziwe
@RehemaOmary-xp4fk
@RehemaOmary-xp4fk 2 месяца назад
Mi hata km umenichagua ila unieleze vizur kwann unisaliti la cvyo nakuwekea pilipili kwenye maji ya kuoga
@MagrethMallya-we8ui
@MagrethMallya-we8ui 2 месяца назад
Hahahaaa.
@smartnyengo725
@smartnyengo725 2 месяца назад
Hahaha
@user-xh3bp4il8j
@user-xh3bp4il8j 2 месяца назад
Haaaaa kabisa utasema tu​@@smartnyengo725
@Lovness-od7fy
@Lovness-od7fy Месяц назад
Nimecheka😂😂😂 pilipili tena
@RehemaOmary-xp4fk
@RehemaOmary-xp4fk Месяц назад
@@Lovness-od7fy 😂😂
@samwelmasunga8293
@samwelmasunga8293 Месяц назад
Bigup sana mwamba kwa Majibu yako so kila danga lina lika wengne ni hasara tu
@user-gb3sf9fy2u
@user-gb3sf9fy2u 2 месяца назад
Hlf huyo lizz sauti yake mbona kma mkunde simba 😂😂😂
@JudyLee-hf9cy
@JudyLee-hf9cy 2 месяца назад
😅😅😅😅😅😅
@SuzanneMyles
@SuzanneMyles 2 месяца назад
wasukuma shikamoo😂😂😂😂😂😂😂😂
@salisali3738
@salisali3738 2 месяца назад
Miaka 2 kwenye zinaa 😳😳
@hurumaanyisile1918
@hurumaanyisile1918 2 месяца назад
😂😂😂😂na anaililia
@salisali3738
@salisali3738 2 месяца назад
@@hurumaanyisile1918 hatari sana
@YustoMlay-cv4zb
@YustoMlay-cv4zb 2 месяца назад
Wanahalalisha uwasherati na uzinzi tunaona kitu Cha kawaida kumbe haitakiwi tunaita mahusiano😂😂😂​@@hurumaanyisile1918
@eggysulle7988
@eggysulle7988 2 месяца назад
Ringo yy 7 alikua
@salisali3738
@salisali3738 2 месяца назад
@@eggysulle7988 ufuu tatizo itakuwa kuto jua Mungu ana kataza zinaa
@MariamOmary-ep6iv
@MariamOmary-ep6iv 2 месяца назад
😂😂😂Watu hizi nguvu mnazitowa wapi 😅Yani daah wote mnaziniwa 😢😢nimelia😢
@lovepope-c3g
@lovepope-c3g 2 месяца назад
😂😂😂ety umelia
@Yassmulunga
@Yassmulunga 2 месяца назад
.jamaa kanifurahisha jamanjiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌...nimecheka leooooo...eti leina kivuruge huyo achana nae😂😂...hivi wanaume tuna niniii😂😂...anyways hapo jamaa atapiga viswaga viwili vitatu wataendelea kuishi na lui wake...nimependa sana leina alivyoaibika😂😂😂
@RACHELFESTO-pt6fv
@RACHELFESTO-pt6fv 2 месяца назад
Kwani mpenzi ni mme viazi mbatata ote hapo😮😮
@LizzyAdrian
@LizzyAdrian 2 месяца назад
Mdada mwenyewe mbaya kama mimi unagombana na mwanamke mwenzako kisa lijinaume
@user-yi1lb8pb1w
@user-yi1lb8pb1w 2 месяца назад
😁😁😁😁😁 majibu ya huyo kaka mazuri atar
@user-tx2kh7rn9q
@user-tx2kh7rn9q Месяц назад
Kazi nzuriii bro
@abuujoel
@abuujoel 18 дней назад
Njooni morogoro huku yamejaa
@sabrinaaron4212
@sabrinaaron4212 2 месяца назад
Dada amejua kuzalilika😂😂😂😂😂😂
@AgnesDavid-et3zn
@AgnesDavid-et3zn 2 месяца назад
Sasa huyo wizz mbona na mm nimpenz wangu😂😂
@KhairatiSulemani
@KhairatiSulemani 2 месяца назад
😂😂😂
@AdmiringBasket-rm6sk
@AdmiringBasket-rm6sk 2 месяца назад
Duuuuuh MAPENZI kwa heruf kubw kish nakusalimia mamb mpnz😂😂😂😂😂😂😂
@AllenLeonard-k9y
@AllenLeonard-k9y 22 дня назад
Sasa kama mm ndio nmekuona hivi ntakuowa kweli
@jescajohn9209
@jescajohn9209 2 месяца назад
😂😂😂huyo kaka jmn kamuumbua reina
@user-mb7jn6ed4l
@user-mb7jn6ed4l Месяц назад
😅😅sukuma gani anaongea kama mzaramo au mpemba ....
@FatmaMohamed-b5c
@FatmaMohamed-b5c 10 дней назад
❤❤❤❤🎉 nice
@MRCHOICE-t7k
@MRCHOICE-t7k Месяц назад
punguza kingereza
@bethaaloyce4905
@bethaaloyce4905 2 месяца назад
Mmh ni vile Mr UK anapata liziki kupitia hh kazi Ila kinadada mnajizalilisha mjue akikuchit kaa nae chin mzungumze ukishindwana nae bas jua hilo so chaguo lako angalia mpango mwingine
@zuhurahassan917
@zuhurahassan917 2 месяца назад
Umeonaa eeeee
@RichardMpanda
@RichardMpanda 2 месяца назад
Ahahah uyu dada akadili na mwanaume wake na sio kudili na mwanamke mwenzake
@joycezawadi1952
@joycezawadi1952 2 месяца назад
Wazazi wamekaa zao wanaona vitoto vinagombania mabwana 😂😂😂tuzae tuu Jaman
@kyannickk2be
@kyannickk2be 2 месяца назад
akenda ku comfrot jamaa anakutana na wibo wa Bob Rudala "nimekuchagua wewe uwe waangu" ugomvi unaisha hamna maswali ya kujibu .....💡
@ICEELECTRICCOMPANY
@ICEELECTRICCOMPANY 2 месяца назад
Mmmh 😊😊😊 ila mapenzi
@KhadijaSelemani-l6i
@KhadijaSelemani-l6i 2 месяца назад
hahahahahhaha jmn wadada tujuwe tu kuwa vitu vitamu tunakula na wezetu
@FerdinandCharles-ko7de
@FerdinandCharles-ko7de 2 месяца назад
Elewa neno kitu kitamu
@PrincessHellen-pg1oy
@PrincessHellen-pg1oy 2 месяца назад
Eti mwanaume ni wa wapi??😅 😂😂uk bwana 😂hahhaha haya kwake mwenye mwanaume 😊
@user-rh6qv5up6m
@user-rh6qv5up6m 2 месяца назад
Kujizalilishaa to khaaa😅😅😅😅 akuna mwanaume wa peke yakoo shoooo😅😅
@DszxbjjUgvnjeed
@DszxbjjUgvnjeed 13 дней назад
Martinez Daniel Wilson Laura Lee Brenda
@NasmaMfinanga
@NasmaMfinanga 2 месяца назад
Ivi mwanaume aitwe wizi alafu asichepuke gaigaigai jamn wadada tuangalie na kituo Cha kutua🤣🤣🤣
@deogratiuspaul3585
@deogratiuspaul3585 2 месяца назад
Jamaa anaongea kiingereza cha kisenge sana si uongee KISWAHILI TU MZEE
@GeofreyMollel-su2oq
@GeofreyMollel-su2oq 2 месяца назад
Mm n wizzy tumetoka mbl jmn 😅😅😅jina lenywe wizzy km la school boy vilee
@user-fc9cx8qg4d
@user-fc9cx8qg4d 12 дней назад
WAKATI MWENGINE KITU KIZURI CHA KUMFANYIA MTU UNAYEMPENDA NI KUMUACHA HURU AENDE KWA ANAYE PENDANA NAYE KWA DHATI WAACHE WAENDE KUNA MAISHA BAADA YA WAO KHERI UPWEKE KULIKO FURAHA YA KULAZIMISHA KWA KUJIPENDEKEZA ✍️
@TamalyMichael
@TamalyMichael 2 месяца назад
Mwanaume mwenyewe Mshamba😂😂
@AishayoutubeMoosa-zn1co
@AishayoutubeMoosa-zn1co 2 месяца назад
Jamn kujiamin kubayaaaa😅😅unaumbukaa jamn
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 2 месяца назад
Anakdra uyo demu anavyo mjibu mwenzake alafu yy mwizi
@Tyughcdrbdt
@Tyughcdrbdt 2 месяца назад
Alivyoondokaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂ila michepuko inajiamini sanaa
@VeronicaMahende-uy9hy
@VeronicaMahende-uy9hy 26 дней назад
Mmmm kunawatu waujasiri jaman
@Gladnessmichaell-kr1tm
@Gladnessmichaell-kr1tm 2 месяца назад
Haibu ilooooooooooooooooooo😂😂😂😂
@user-ew3zj8ig4n
@user-ew3zj8ig4n 2 месяца назад
Maana nimeludia mara mbili baada ya kusikia leina kivuluge😅😅😅😅😅
@user-eq9ml7yo7d
@user-eq9ml7yo7d 2 месяца назад
Labda anawakojolesha vizuri lazima wamgombanie
@user-wh6bs7cm5p
@user-wh6bs7cm5p 2 месяца назад
😂😂😂😂kaondoka....bila kuaga...alijua atachaguliwa yeye
@obednyagani506
@obednyagani506 25 дней назад
Icho kimchepuko nipeni Mimi jamani ntakijali mpaka basii
@mwajumalubunga1534
@mwajumalubunga1534 2 месяца назад
Rayna amekuja kwa mbwembwe nyingi kumbe ata awamfaamu yaani waskuma bwana dash! Nimecheka ka fala 😂😂😂😂
@Hajer-be2kh
@Hajer-be2kh 2 месяца назад
Siku zote ndo inakuaga hvo 😂😂
@modestajamada3496
@modestajamada3496 2 месяца назад
Kivuluge😊😊😊
@HawaMohamed-ug1sb
@HawaMohamed-ug1sb 2 месяца назад
Mbona kivurugeee😇
@tedyclent8429
@tedyclent8429 2 месяца назад
Yaani kwa maisha ya sahiv bado kuna ujinga wa kugombania mwanaume kweli! Hamko serious na maisha
@aminaomary5567
@aminaomary5567 Месяц назад
Hawa wote ni watoto. Toka enzi za mababu hakuna mwanaume wa peke yako.
@jamilajamila183
@jamilajamila183 2 месяца назад
Naona mapenz weng yamewashinda ,,, focasin kweny vilimo kwaza
@Nasbu-tb6cs
@Nasbu-tb6cs 2 месяца назад
Ulijua wizY MNYAMWEZ 😂😂😂
@SaidMullunga
@SaidMullunga 2 месяца назад
Mr uky mwambie mmoja aje kwangu
@user-wq4zq7rn1v
@user-wq4zq7rn1v 2 месяца назад
Kivuruge typing 😂😂😂
@user-fx3ws9lp6g
@user-fx3ws9lp6g 2 месяца назад
Hiyo saut unatisha sijui yukoje sasa
@JudyLee-hf9cy
@JudyLee-hf9cy 2 месяца назад
😂😅😅😅😅😅😅
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 2 месяца назад
Anavyomjibu mwenzake
@rachelkaminyoge1046
@rachelkaminyoge1046 2 месяца назад
😂 nimecheka majib ya msukuma jmn daah wanaume 🙌
@HawaMsafiri-wr8yo
@HawaMsafiri-wr8yo Месяц назад
Kiukweli nimecheka sana nimetokwa na machozi ya furah mdada kaondoka kimy kimya😂😂
@mackyladislaus7887
@mackyladislaus7887 2 месяца назад
me nataman mtu anifanyie kama hivyo halafu me ndo niwe mchepuko😂😂😂😂,,
@KhairatiSulemani
@KhairatiSulemani 2 месяца назад
😂😂😂
@DativaMbowe
@DativaMbowe 2 месяца назад
😂😂😂😂
@_smart_hb_
@_smart_hb_ 2 месяца назад
Ila wanawake wasipoangalia watachezewa sana kwa upumbavu wao wakijinga jinga 😅 ona kaondoka mwenyewe na kashaliwa sana tu agh wanawake bhana 😂
@CharlesMabwayi
@CharlesMabwayi Месяц назад
Duuh noma sana
@MaryamKhan-co3yz
@MaryamKhan-co3yz 2 месяца назад
Mr uk nakupenda bure jamani
@user-fc9cx8qg4d
@user-fc9cx8qg4d 12 дней назад
UNAKUBALIJE KUZINIWA KISA KUMLIDHISHA MWANAUME😢MABINTI TUSIONJESHE SEHEMU ZA SIRI 🙌🚮KAMA HAWEZI KUKUPATA KWA UTARAIBU WA KUIENDEA NDOA BASII, NDO MAANA MM HUSEMA SISI WANAWAKE NDO TUNAOLEA ZINAA MIONGONI MWETU 🚮🛌
@EsperanceMuzaneza
@EsperanceMuzaneza 2 месяца назад
Mchepuko atabaki kuwa mchepuko tu sio mpenzi 😂😂😂
@SoohiedavidMasika
@SoohiedavidMasika 2 месяца назад
Wizy ex wangu rudi kwangu😂
@PrincessHellen-pg1oy
@PrincessHellen-pg1oy 2 месяца назад
Eti nyie mmempata wapi reyna mmemtoa wapi reyna kivuruge huyo achana nae😂😂😂
Далее
MISSION IMPOSSIBLE [34]
26:56
Просмотров 4 тыс.
WADADA 6 Vs 1 MAN
8:33
Просмотров 17 тыс.
SHEMEJI NA NEYLA
10:25
Просмотров 107 тыс.
MPENZI KADANGANYA ANA SAFIRI
10:02
Просмотров 68 тыс.
FUMANIZI  B2 Part1. @Officialsonjordan
10:27
Просмотров 1,9 тыс.
CHUCHU KANIPONZA KWA KWELI
8:09
Просмотров 61 тыс.
MUME,MKE NA MCHEPUKO MEZA MOJA
11:15
Просмотров 104 тыс.
MKE NA MCHEPUKO WAKUTANA Part 1
11:13
Просмотров 81 тыс.
MWANAUME WANGU AME GAILISHA NDOA KISA LAFIKIANGU
8:12