Тёмный
No video :(

Mapokezi ya Alikiba akitokea South Africa na tuzo ya MTV 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 211 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 фев 2017

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 256   
@rosemarysempombe8559
@rosemarysempombe8559 7 лет назад
Well done bro, huwezi kupendwa na wote ila tupo tunakupenda na kuzikubali kazi zako, Mungu azidi kukusaidia katika kazi zako.
@simbacoach8600
@simbacoach8600 7 лет назад
Alikiba king ..such a great guy. mpole hana maringo mtulivu na mwenye heshima. big up Alikiba.
@doctordula7853
@doctordula7853 6 лет назад
mond mkli
@consozawadi1565
@consozawadi1565 7 лет назад
daaaaaa nomaaaaaaaa sanaaaaa kweli Ali ni kipenzi cha watu
@amadsabimbona2553
@amadsabimbona2553 7 лет назад
hongera kiba uko juu
@asminamani3112
@asminamani3112 5 лет назад
Noma xanaaaaaà king wetuuuu hakuna kama wewe
@agnesjailes7551
@agnesjailes7551 7 лет назад
Ally Kiba ur the best one ,no one like u llove the way ur ,keep it up ❤
@daniellipumbu8883
@daniellipumbu8883 6 лет назад
Uyu ni mfalme kweli !!! 🤴 kibA ur my favorite artist ❤️💯 ! Am one of ur big fan from drC ! Keep it up man 👆🏽👆🏽💯❤️❤️✌🏼❤️✌🏼 👑 🤴
@alinotistiven3204
@alinotistiven3204 7 лет назад
Big up king 👑 kiba
@mottofoundationinc.3492
@mottofoundationinc.3492 7 лет назад
dah..Kiba anastahili pongezi kapenya kwenye soko la afrika bila collable wala skendal good appreciated it.....I mean hakutaka kubebwa mchiziii
@shafiially7037
@shafiially7037 7 лет назад
Half.C Kipaji kila mtu ananjia zake kwenye mafanikio
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 7 лет назад
Half.C Kipaji wee utakuwa choko tu
@hassankayla4076
@hassankayla4076 7 лет назад
Half.C Kipaji Well said my brother
@zaudatmakula3454
@zaudatmakula3454 7 лет назад
Half.C Kipaji alisema hana papara anasibiri mola atampa na ndio kampaaaa king kibaaaaaa
@soniaharrison6924
@soniaharrison6924 7 лет назад
we made history yesterday so proud of you alikiba 💪💪💋💙
@wemakalam9415
@wemakalam9415 7 лет назад
mwenyezi mungu akujalie kila la kheri katika safari yako ya mziki akuepushe na mahasidi. watching from Saudi arabia. masalama king kiba na hiyo trophy yetu
@oscartvonline2382
@oscartvonline2382 7 лет назад
Haya ndo mapokezi ya mfalme. Watanzania nawaheshimu sanaaaaa...#1 fan of #kingkiba outta +254
@jenivavedasto636
@jenivavedasto636 7 лет назад
congratulations King Kiba!
@consozawadi1565
@consozawadi1565 7 лет назад
jamani yani wanapendana mtu na mdogo wake #Alikiba and #Abdulkiba
@noelimwawa1993
@noelimwawa1993 7 лет назад
Mi nimependa iyo mtu na mdogo wke coz nowdayz mtu akifanikiw anakuw m binafs bt hongera kwa king kiba.
@hassnakhamis3489
@hassnakhamis3489 3 года назад
Kabisaa yaan mungu amlinde na familia yaoo
@missmannydxb
@missmannydxb 7 лет назад
Kiba Mtu wa watu, mi Mkenya na nampenda sana King Kiba ☺️
@mwajumasaid8327
@mwajumasaid8327 7 лет назад
sio kwa furaha hiyo jamani, hongereni kwenu na team nzima ya Alikiba.
@shellybig1617
@shellybig1617 7 лет назад
ongera kiba.. nakukubali sanaaa
@petermwantole9433
@petermwantole9433 7 лет назад
hatari sana ,kweli kiba kipenzi cha watu... big up sana
@sheikhnambilili4269
@sheikhnambilili4269 5 лет назад
yee baba team alikib👑 akuna mwengin
@sashaaden3062
@sashaaden3062 7 лет назад
some of the people wanafikiri kiba anafuata mkumbo huyu anakipaji alafu mbali na kipaji anamtegemea mungu brother Mimi kama Sasha nakupenda sana
@angelmcdonald812
@angelmcdonald812 7 лет назад
Sasha Aden true say my
@gracekaroki7137
@gracekaroki7137 5 лет назад
KingKiba most lovly man natusibishane na mtu254🇰🇪🇰🇪😍😍😍😍Kiba Mungu akuzidishea miaka kabisa
@halunamaneno9986
@halunamaneno9986 4 года назад
grace karoki
@abdallamasoud7384
@abdallamasoud7384 6 лет назад
wew ni king na utaendelea kuw king kiba
@zingahassan5851
@zingahassan5851 7 лет назад
you may shade tier's for happynesss people have spoken the Tanzanian are amezing people thanks for surpot.And that is a good image to the world include SONY ENTERTAINMENT PLIZE MAKE SURE YU NOT DESAPOINTS THE FANS OF KIBA MAKE SURE KIBA GROW STONGER ...
@mash-hurahmed2106
@mash-hurahmed2106 7 лет назад
i tink bsyd being a good artist pple love alyk coz of hz personality from da word go alyk aliingia ndani ya nyoyo za watu.such dat he dzn't need to strugle soo much ndo aonekane ukiwa mzuri kwa watu dy will just love u without trying dat what dy call true love.
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 7 лет назад
Hongera sana #kingkiba
@consolathasaimon2545
@consolathasaimon2545 7 лет назад
kingkiba Waukweli panda sana
@jonaselisha9503
@jonaselisha9503 4 года назад
Daa bahati mbaya nipo Chuga...nami ningejumuika hapo... Navyomkubali Kingkibaaaaa. Big up sanaaaaa
@salmazena1932
@salmazena1932 7 лет назад
jamaaaaani team kiba woooooooooooyoooooooo
@macksonkinenge5324
@macksonkinenge5324 7 лет назад
Nafkiri Washaelewa Haina haja ya kubishana tena
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 7 лет назад
mackson kinenge acha usenge wew mondi alizipiga tatu hizo siku moja pimbi wew acha kufananisha mavi na halua
@abdalla967
@abdalla967 7 лет назад
Hassanova junior ww Mavi lini huyo domo kapata ema kaishia kuambulia vi mama's Hahaha hlfu huyo Ne-Yo tushapiga nae collabo zamani kwenye Coke studios hata kabla hajamjua huyo domo kishamjua Kiba Nani ww hamuwezi kufananisha uharo wenu domo na king Kiba
@abdalla967
@abdalla967 7 лет назад
King bwana hawakuwezi hata kidogo Hahaha R-Kelly ushapiga nae collabo kwenye one 8, NE - Yo ushapiga nae collabo kwenye Coke studios, Chris Brown ushaperform nae mombasa rocks festival, Yvonne chaka chaka tiyari duh we kiboko Ya domo atakunya mwaka huu atabaki kufata nyayo tu Hahaha😂😂😂😂😂
@fafi9092
@fafi9092 7 лет назад
mode the Zaman sana nakumbuka kenya aliwakilisha mwadada aman tz kiba kitambo sana kipind iko domo yupo kigoma analima
@abdalla967
@abdalla967 7 лет назад
Fafi 90 ingia RU-vid tu andika alikiba ft Ne-Yo Coke studios itakuja iangalie utaona
@jirarodgers3850
@jirarodgers3850 7 лет назад
ukweli usemwe ban ..kiba congrats bt kile kimefanyika sah mwendelezi wako diamomd platnumz ashakifanya ...xo isiwe kama n maajabu
@fafi9092
@fafi9092 7 лет назад
Upole wake ndio naheshima yake ndio sir yamafanikio yake all the bect king hana tatoo ata mmoja
@user-gi1ez6fc1y
@user-gi1ez6fc1y 7 лет назад
Fafi 90 kweli hata mm nampenda xn jinsi alivyo2 yani yuko tofauti kabisa na wasanii wengine
@noelimwawa1993
@noelimwawa1993 7 лет назад
Rang yke inatosh kujigamba
@alexrakovets2478
@alexrakovets2478 7 лет назад
Am proud of you kibba...ww ni Zaidi ya msanii na watanzania wengine wakuelewe wewe cyo mzee wa show of...vizuri sana👏🏼👏🏼 achana na wapiga kelele @cynthya aka sio Demu video vixen
@shedrackmfilinge7178
@shedrackmfilinge7178 7 лет назад
kiba umetisha unapokelewa kama Rais
@costakamwaya5638
@costakamwaya5638 2 года назад
Lovely brother kìng kiba
@phelisgrace3107
@phelisgrace3107 7 лет назад
congrats king ...more love
@macksonkinenge5324
@macksonkinenge5324 7 лет назад
Hahahahaa Eee bhana Hatari Sana Jeshi La MTU Mmoja
@hamidambarouk7547
@hamidambarouk7547 7 лет назад
team domo mpunguzi wivu
@mlapikauma7660
@mlapikauma7660 7 лет назад
BRAVOOOO KIBAAAA HONGERA
@johariissa4395
@johariissa4395 4 года назад
mm nakukubali sana king wetu mm nasemaga huna mpinzani wakimbize kina wetu wewe ni zaidi ya simba mwaaaa nakukubali sana
@christopherbona6407
@christopherbona6407 6 лет назад
King we nomaaa.
@miminiyuledem4208
@miminiyuledem4208 7 лет назад
kwann alitumia hiyo ngari ni ndogo sana ilitakiwa iwe na back roof kubwa asimame ndani bt congrats ali
@bintalhwamer5291
@bintalhwamer5291 6 лет назад
king kiba we nomaaaa sanaaaa 😍 😙
@lenaliz8037
@lenaliz8037 7 лет назад
I swear Tanzania has the most rambunctious fans. Good thing though.
@deogratiasnjee5708
@deogratiasnjee5708 7 лет назад
Huu ni upendo wa hali ya juu nataman ningekuwa mm but najua time yangu itafika coming soon ##@deey salvado
@zizinezuzu8579
@zizinezuzu8579 7 лет назад
ukweli ni kwamba King ni King wala hafananishwi na yeyote. mond anapata tunzo kwa kupitiya collabo yani vipaji vya wengine. ila King kiba ni peke yake. najuwa mutaelewa tu team janjajanja. hapa ni mziki muzuri
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 7 лет назад
Zeze13241324 Zeze huna jipya
@MohamedMohamed-yx4gh
@MohamedMohamed-yx4gh 7 лет назад
Huna jipya hata hao waliompokea ni wana majungu tu
@k.oman121khadijahassan4
@k.oman121khadijahassan4 6 лет назад
Zeze13241324 Zeze kweli 😂 🙌👄 I
@allysadala3316
@allysadala3316 6 лет назад
Zeze13241324 Zeze QQ
@kasimusaidi8189
@kasimusaidi8189 7 лет назад
safi sana kg kiba
@abbyramky4646
@abbyramky4646 7 лет назад
☺King ni King Tu🙌👑
@abdulshija3715
@abdulshija3715 7 лет назад
hongera sn kiba nafurahi sn kuzaliwa tanzania
@nafisamohamad3182
@nafisamohamad3182 7 лет назад
mmh sio magari hayo na hizo boda boda, yani utasema ni rais magufuli yuwapelekwa state house.
@fatmahharon41
@fatmahharon41 6 лет назад
Mmmm magari ndio
@swahilimovies2558
@swahilimovies2558 7 лет назад
Diamond na Ali ni sawa na SIMBA NA YANGA 😁😁😁
@alinotistiven3204
@alinotistiven3204 7 лет назад
Yasini Ngililea 😜😜😜😜😜😂😂😂
@consozawadi1565
@consozawadi1565 7 лет назад
Haaaaaaa kweli
@aahilprince7423
@aahilprince7423 7 лет назад
kama uko hapa ili kumjibu huyu fala aleicoment ujinga hapa gonga "LIKE"
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 7 лет назад
Yasini Ngililea hahahahah
@MakoyeAman
@MakoyeAman 7 лет назад
akili ndogo hujadili mtu, jitahd ujikwamue hapo ulipo, wenzio wanamake mkwanja
@myshylysh3554
@myshylysh3554 7 лет назад
dah! this made me miss hom😥 wakenya namark register
@salumsaid2341
@salumsaid2341 5 лет назад
Jaman king ni king tyuuu
@zuhrasharif9261
@zuhrasharif9261 4 года назад
well Im proud of kingss musicssss
@alicenice1711
@alicenice1711 3 года назад
Kingkiba4life
@andrewsylvester1103
@andrewsylvester1103 7 лет назад
Aliiiiii ni kipenzi cha watuuuuuu
@emaydickson4239
@emaydickson4239 6 лет назад
iko very sana kwa shangwe la kutosha
@princeboniphace4312
@princeboniphace4312 7 лет назад
kingkibaaaaa
@pendojohn8809
@pendojohn8809 7 лет назад
congratulations brooo
@mashakajuma902
@mashakajuma902 3 года назад
Daah ebna king n mmoja tu jaman king kiba
@omaryluambano3495
@omaryluambano3495 5 лет назад
Yeeebabaaaa Kingkiba
@sumeiyaaswani9559
@sumeiyaaswani9559 3 года назад
Mashallah Kiba kweli ni kipenzi cha watu
@laurentchimbirani5990
@laurentchimbirani5990 4 года назад
Kingkiba
@rongermillan226
@rongermillan226 7 лет назад
hatudili bawachubua ngozi. hapa king tu
@saadakiyungi6437
@saadakiyungi6437 4 года назад
Puma yet jamanii😘😍
@alinotistiven3204
@alinotistiven3204 7 лет назад
Si jawai kuona Ali kiba Ame kasirika hata post zako lakin mi saaani mingine duuuu😂😂😂😂🤣😂😂😂
@user-gi1ez6fc1y
@user-gi1ez6fc1y 7 лет назад
Alinoti Stiven kweli kabisa yani
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 7 лет назад
Alinoti Stiven acha ushabiki mandazi
@angelmcdonald812
@angelmcdonald812 7 лет назад
king atawanyoosha sana tu
@tumao970
@tumao970 7 лет назад
hongera kiba ila tungefanya sie team wachafu mngesema tumeiga
@ruthmalinga520
@ruthmalinga520 6 лет назад
Baba yao anapendwa na kila mtu shikilia hapo hapo daddy usha fika
@regine-valerievanya782
@regine-valerievanya782 4 года назад
Tuna ku miss😍🇧🇮
@petroantonylunyilija6905
@petroantonylunyilija6905 7 лет назад
Tisha sana king hatmae wameelewa
@vanscauz6513
@vanscauz6513 7 лет назад
kibaaaaa oyoooo nomaaaaa sana
@samsonmusa7626
@samsonmusa7626 5 лет назад
Watu wa Ali kiba wanaangaika sana, wanalazimisha eti watu wawe sawa uwezi linganisha alimasi Na madini ya kawaida
@tertulacasmiri3096
@tertulacasmiri3096 7 лет назад
King ni king tu. u done well Kiba
@salumugalile6914
@salumugalile6914 5 лет назад
King kiba Atari
@alisuleiman3728
@alisuleiman3728 7 лет назад
sema tumeona sana diamond akiwa anarudi kuchukua tuzo yuko anaona upendo mashabiki zake huyu hayuko kuonesha sana upendo kwa mashabiki zake muscat oman
@neematumaini2130
@neematumaini2130 7 лет назад
ali suleiman Hajui ndo maana katika na kuingia kwenye gari
@lesages494
@lesages494 4 года назад
King
@kihanda2554
@kihanda2554 7 лет назад
Maskini Harmorapa😨😨😨. Kapiga magoti wakafunga Kioo. Kiba anafanya vzr waache mambo ya Timu siyo Mazuri. Napenda waungane waache utengano
@sharifaadam4318
@sharifaadam4318 7 лет назад
Ua da best artists to me
@leonellykweka7165
@leonellykweka7165 7 лет назад
KIBA UTAREPORT CENTRO.....SIO KWA KUWATOA WATU POVU
@fatimhalfatimh1147
@fatimhalfatimh1147 7 лет назад
Jeshi la mtu mmoja big up kipenzi changu
@awaziernest8000
@awaziernest8000 7 лет назад
watu wanamahaba ya dhati na king kiba kweli no kipenzi cha watu
@IbrahWAKITENGA
@IbrahWAKITENGA 7 лет назад
Noma sana
@sebastianmafuru8336
@sebastianmafuru8336 7 лет назад
pamoja sana kingkiba
@godfreychristopher4733
@godfreychristopher4733 7 лет назад
Aya bhana king kiba
@jackykasambula7158
@jackykasambula7158 7 лет назад
Nice sana king tanapa musics
@fredrickkiberenge7569
@fredrickkiberenge7569 7 лет назад
watu na nyota zao
@asantegustave3620
@asantegustave3620 7 лет назад
kazi nzuri kiba
@nasraiddy8282
@nasraiddy8282 7 лет назад
hongera kiba kwa hatua uliyofikia
@dogotwaa6349
@dogotwaa6349 6 лет назад
umetisha sana brother were noma hakuna kama we we kmzk
@miltonmutugi7108
@miltonmutugi7108 5 лет назад
Heey hi ni Zaidi ya mapenzi...Kweli huyu jamaa ni KING mwenyewe
@felisterjames1127
@felisterjames1127 5 лет назад
Mm nikaa na wanangu naangalia nyimbo za kiba bila matatizo bila kuogopa lakini za vichaa wengine hawa nakua na limot mkononi.
@joycemichaellovelove2221
@joycemichaellovelove2221 7 лет назад
hamna gen yote yazaman kwetu tunazo zimepangana had chooni😂😂😂tunzo yenyewe had ahurumiwe eti oooh ilikosewa noo haiwes kuwa mtu akosee Jina hapa kuna namna
@johnibrahimu9807
@johnibrahimu9807 7 лет назад
ataleeeeeeeeeeeeeeeeeee
@ziidyabdul1011
@ziidyabdul1011 7 лет назад
NEEMA TUMAINI WANITXT NIWAONESHE MOND TENA ANAZO 2 MTVEMA NA NDIO MSANII PEKE AFRICA ALICHUKUA TUZO 2 KWA MPIGO NA UKITAKA KUAMINI INGIA KWENYE PAGE YA @MtvEma Instagram utaona wamemfollow mond
@zuweenaalzuweena3740
@zuweenaalzuweena3740 7 лет назад
piga keleleeeeeeeeeeeeeeeee
@alphasystemcurtstv424
@alphasystemcurtstv424 4 года назад
Namuona team mwehu apo
@aishaamy7954
@aishaamy7954 7 лет назад
rangi orijino kiba big up
@fashionkillernerob636
@fashionkillernerob636 3 года назад
Cool
@blessingshik513
@blessingshik513 7 лет назад
hoyeee lov mob alikiba God bles u
@denislyoka1931
@denislyoka1931 6 лет назад
Kiba mwanzo mwisho
@salamaomary6604
@salamaomary6604 7 лет назад
namuona shishi boy 😂😂😂😂😂
@safaribisimwa2815
@safaribisimwa2815 4 года назад
Moto👉👑🤴🤴🤴
@janembwana3628
@janembwana3628 7 лет назад
Kiba👑Addict😍100%
Далее
до/после Знакомо?
00:16
Просмотров 13 тыс.
Mkasi | SO9E10 with Ali Kiba
26:54
Просмотров 232 тыс.
DIAMOND PLATNUMZ-BEST MALE SINGER AWARDS
6:29
Просмотров 174 тыс.
Hakuna Kama Alikiba - Wolper
1:48
Просмотров 135 тыс.