Тёмный

Mkasi | SO9E10 with Ali Kiba 

MkasiTV
Подписаться 173 тыс.
Просмотров 232 тыс.
50% 1

Follow MkasiTV on
Facebook : / mkasitv
Twitter : @MkasiTV
Instagram @MkasiTV

Развлечения

Опубликовано:

 

23 авг 2014

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 80   
@sadamosses9763
@sadamosses9763 8 лет назад
good boy, hana majigambo wala sifa nampenda sana yupo simple, hivyo ndio maisha sio kila jambo ktk tv na magazeti,
@riobae8139
@riobae8139 10 лет назад
i love alikiba..so humble. always been a fan. anajibu maswali vizuri sana..diplomatically.
@makunguiselele8768
@makunguiselele8768 6 лет назад
Huyo nd king mi team wasafi lkn kiba kwa majb hayo ur xo intelligence congraturationx king
@jumamgunga6521
@jumamgunga6521 5 лет назад
Kiukweli Alikiba ukimsoma nini anapenda na nini hapendi na ukalenga vitu nya msingi katika kumuuliza kwenye interview, Utampenda kwenye majibu,anakuwa mpole msikivu na mnyenyekevu na anakujibu kwa busara. Asanteni kwakumtambuwa kiba,, year baba.
@matildaalphonce8403
@matildaalphonce8403 10 лет назад
ali kiba ni mtu mmoja anajielewa sana big up unajibu vzr maswali bila majigambo
@raoulbyamungu3251
@raoulbyamungu3251 6 лет назад
Alikiba is someone who has never wanted to show her self different but his different. his humble collaborating person he knows how to speeks with others and his respectable.
@lelahassanali7373
@lelahassanali7373 6 лет назад
Nakupenda sana ali yaani una tatu dredi uko very simpol and clear sijutii kukushabikia
@pelezi84
@pelezi84 10 лет назад
Safi sana kumleta Ali Kiba, akaze boot maana sasa muzic upo na mabadiliko mengi. Asisahau kutumia media za mitandao ya kijamii kujitanga zaidi. But I will be happy if you will interview the Ya Motto Band hopeful they did some good music, itakuwa poa kuleta group lote hapo kwa saloon, au sit ni chache??/ teh teh
@mikebarakaruwa737
@mikebarakaruwa737 9 лет назад
Yeah alikiba ni mtu mwenye amestaarabika...Yuko simple sana anajibu maswali Bila kujigamba..one love alikiba
@paulmoster8842
@paulmoster8842 6 лет назад
nakubali Sana kazi za kiba my king keep it up king kiba yaaaaaaaaaaaa#
@chazkoillah2652
@chazkoillah2652 6 лет назад
I watch now 2018 kumbe wasiojulikana walikuwepo tokea zaman doh pole king kiba pia nimegundua ww ndio ulimpa shavu diamond akakubalika up to now japo for now kama vile ana ku snitch...
@kentinakalantine1025
@kentinakalantine1025 10 лет назад
wooooooooooooooooh ali kajibu maswali vizur am lovin the show sana i cant wait for zitto nxt show
@lenaliz8037
@lenaliz8037 9 лет назад
Ali KKiba, do u ever get mad? U r always smiling it seems.
@abdiaweso9296
@abdiaweso9296 8 лет назад
Kaka kiba video ya galama ndio yenye maingizo mengi kwa sababu inakua nzuri na kuuza sana tuamshe mashabi wako video nzuri
@thabithamis8918
@thabithamis8918 9 лет назад
ali umeongea ya maana sana acheni kusikiliza maneno ya watu hua wanapenda sana pale mnapo gombana kama salama anavyosema watu hua wanaleta maneno mengi juu ya salama na dj fetty fanya yenu mkuu usisikilize wanafik big up ali
@shamsheryaj18
@shamsheryaj18 6 лет назад
👑 nimekukubali mkali upo vzr
@fazilikumpun5206
@fazilikumpun5206 10 лет назад
Nawafatilia sana mkasi najua uwezo wenu ni mdogosana katika uulizaji wa maswali nahii nadhani inachangia na nielimu ndogo swali la kwanza mwuachieni mtu ajitambulishe yeye kama nani anatokea wapi na anajishughulisha na nini na ana miradi gani
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 9 лет назад
Kaka Fazili Kumpun "swali la kwanza mwuachieni mtu ajitambulishe yeye kama nani anatokea wapi na anajishughulisha na nini na ana miradi gani" Fazili Kumpun introduction kama hizo, kwanza nikwayule chipukizi ambaye haja julikana katika game, pili, helewa kuwa ina tuboa sisi kama wasikilizaji kusikia superstar anajitapa au kuhongelea alikotoka kila interview anayofanya. Tafadhali helewa hilo. kama huja juwa wapi Ali katokea do what we call "flashback", so you will know where to start... Big up sana MKASI group.!
@mohamedsuleiman7682
@mohamedsuleiman7682 10 лет назад
Ali k uko juuuu,,, lovely maaan big up I see
@saidndaki9783
@saidndaki9783 2 года назад
only one king 2021
@ngallaali4154
@ngallaali4154 10 лет назад
Nice one Ali umejibu mashwali vyema kabisa#salama nice interview 254 twakupenda sana.
@fatmaramadhan3035
@fatmaramadhan3035 9 лет назад
yes yes kiba anaongea kama mwanaume
@levinahcaitygift1827
@levinahcaitygift1827 9 лет назад
Bongezi sanaaaaaaaaaaa Alikiba wajua kuongea zaidi wwallai I salute u no one of them like Ali kiba.niite Lovy Lover from Kenya. I love you Ali kiba
@ramadhansaid5468
@ramadhansaid5468 7 лет назад
dah kwel king kiba ulkua mapumzko maana ufalme wa bongo fleva ni wako, umerud mikataba hyoo ya rockstar. Ajee imeleta heshima kimataifa hadi mtvmamma
@dockaridk
@dockaridk 9 лет назад
Salama for real you are good hauna maswali ya upuzi kama sporah.
@joanitarita1568
@joanitarita1568 9 лет назад
haaaaaaaaaaaaa salama nomaa haaa nampenda sana
@assanimkeyo5839
@assanimkeyo5839 5 лет назад
Nakupenda sana mtu wangu king kiba
@timoyhymushi8116
@timoyhymushi8116 10 лет назад
A good one
@rosedamian7136
@rosedamian7136 6 лет назад
safi sana
@mejubaraza8787
@mejubaraza8787 6 лет назад
👑💞Sina usime ww ni wangu 4 really
@japhethonundongiye3435
@japhethonundongiye3435 2 года назад
Only one king
@sabrinaayoub7032
@sabrinaayoub7032 6 лет назад
I love kiba
@canny255
@canny255 10 лет назад
Kiba for really I appreciate you much
@sifapeter6957
@sifapeter6957 10 лет назад
1st to comment! Haven't watch it yet ( I'll save & watch tomorrow)
@zenaally9707
@zenaally9707 5 лет назад
Keep it up king
@emmykidoti8961
@emmykidoti8961 9 лет назад
daa napend san nymbo zake
@mathewshedrack603
@mathewshedrack603 6 лет назад
namkubal cna salam anauliza maswail yanayo takiwa hafich hata kidogg king nic cna
@vonkale8565
@vonkale8565 10 лет назад
Saaaaaaanaaaaa
@alexsulle9683
@alexsulle9683 4 месяца назад
nani anaangalia 2024
@alphoncmarthini3692
@alphoncmarthini3692 6 лет назад
king big ahsate sana kiba
@gideonlewa8057
@gideonlewa8057 6 месяцев назад
Alikiba ndo mwimbaji namba moja afrika
@emmanuelmoses6112
@emmanuelmoses6112 6 лет назад
good broo Wa mie
@shengomaevodius4141
@shengomaevodius4141 9 лет назад
ally kiba penda ww miaka 800.
@kijonalusay
@kijonalusay 2 года назад
only one king
@Kamkojr
@Kamkojr 5 лет назад
Yeeees is #Kibaaaaaaaaa Tzking
@JuddyCharlz
@JuddyCharlz 10 лет назад
Nyc
@rahmayusuf6482
@rahmayusuf6482 3 года назад
Napenda sna nyimbo zko kiba
@aaronmakaveli2062
@aaronmakaveli2062 8 лет назад
kwenye interview muwe mnazima sim bwana hyo cm inayo vibrate inaboaa
@fatmaramadhan3035
@fatmaramadhan3035 9 лет назад
my king
@babilonjastin7698
@babilonjastin7698 6 лет назад
fatma ramadhan
@bahatimussacharlesmussango5678
Gdkiba
@loveelaadam2517
@loveelaadam2517 6 лет назад
Uko vizur king
@OmanCom-ky8tn
@OmanCom-ky8tn Год назад
I love you alikiba my friends
@jelasnkoma4240
@jelasnkoma4240 8 лет назад
nice
@paulmoster8842
@paulmoster8842 6 лет назад
it is Wiz dos tz
@tracycheptoo305
@tracycheptoo305 8 месяцев назад
2023 mpo
@ramadimwe1379
@ramadimwe1379 6 лет назад
Good
@amisiokey8532
@amisiokey8532 10 лет назад
Itabidi muongeza time atleast 40 mints time ni kidogo tena munatia ma advtirsment mingi sana
@ashalikata1417
@ashalikata1417 8 лет назад
Napenda mziki wako alli unajielewa
@zizamshindo4672
@zizamshindo4672 3 года назад
King kiba km king kiba Nkbl
@komborashid5891
@komborashid5891 5 лет назад
jamaa mtu poa sana
@davidmlami5515
@davidmlami5515 6 лет назад
Imekaa poa xn
@airprint9753
@airprint9753 9 лет назад
kiba kweli wewe ni mtu mzima umetulia cna katika kujieleza rispect br
@mejubaraza8787
@mejubaraza8787 6 лет назад
Kutoka +254
@raziajolie7774
@raziajolie7774 6 лет назад
Je suis folle de lui k
@sasabaadaye8828
@sasabaadaye8828 9 лет назад
Kiba anatisha
@mwljohnray1725
@mwljohnray1725 2 года назад
Kumbe The Joint Walichukulia Idea huku
@allahisone6386
@allahisone6386 6 месяцев назад
YEAH 🎉
@tulizobahati6085
@tulizobahati6085 5 лет назад
* Munachekesha kweli Teap *
@ericbmamazing9173
@ericbmamazing9173 2 года назад
12 /10/2021
@mainangatia1063
@mainangatia1063 6 лет назад
Nichawa kiss sana
@flowila82
@flowila82 9 лет назад
Hawa wote hawana uwezo wwt wa kuuliza maswali, ovyo ovyo tu kwanza hiki kidemu na huyu mzaire akiri zao pumba tu nyamafu
@blackjack4241
@blackjack4241 7 лет назад
asante
@boydantiz3714
@boydantiz3714 5 лет назад
Watu wasiojulikan wana hatar kwel yan
@chyladolson
@chyladolson 9 лет назад
Pambe
@wambiliwamachalili7325
@wambiliwamachalili7325 5 лет назад
u just stuck with diamond he's nothing at all salama kiba is deferent planet \/ bluffing super star ,along ago there is slim Ali(r.I.p) sorry salama u base one side / ur diamond side if t.v presenter don't tag one side( viper)
@emmanuelmoses6112
@emmanuelmoses6112 6 лет назад
penda sana kibaa
@sasabaadaye8828
@sasabaadaye8828 9 лет назад
Kiba anatisha
@paulmoster8842
@paulmoster8842 6 лет назад
it is Wiz dos tz
@andrewfundi6517
@andrewfundi6517 5 лет назад
Safiiiiii
Далее
Mkasi | SO9E10 with Ali Kiba Extended Show
48:56
Просмотров 218 тыс.
Salama Na Gabo Ep 25 | MTOGAPAAFWE Part 1
35:07
Просмотров 134 тыс.
Макс Пэйн - ТРЕШ ОБЗОР на фильм
47:02
Mkasi | SO9E09 with Dudubaya ( Extended Show )
48:44
Просмотров 108 тыс.
Salama Na Jokate Ep 3 | KAMISHNA Part 1
26:24
Просмотров 318 тыс.
TOMAŽ GOREC / INTERVJU #8
3:32:35
Просмотров 105 тыс.
🍁 Поверил в себя
0:19
Просмотров 1,1 млн
Magician turns his Hair into Animal 😳
0:37
Просмотров 22 млн