Тёмный
No video :(

MAPOKEZI YA PASSION JAVA PAMOJA NA PROPHET LOVY ELIAS / KUELEKEA MKESHA WA USIKU WA MAAJABU DEC 08 

Wasafi Media
Подписаться 4,7 млн
Просмотров 52 тыс.
50% 1

www.youtube.co...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

24 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 275   
@mawajackiemasika3031
@mawajackiemasika3031 8 месяцев назад
I can't believe seeing prophet on the land of Africa your mother land please bless Africa we love the God in you and you so much we are blessed to have you
@happinessvenant4443
@happinessvenant4443 8 месяцев назад
I love the simplicity of prophet Lovy but the thing is carrying is unexplainable.You are so humble
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 8 месяцев назад
Walokole wengi wanafake maisha hawa wameamua kuwa wao so don't judge them
@user-mr7gl5ox6u
@user-mr7gl5ox6u 8 месяцев назад
Huruma sana Mungu atusimamie kwakwel maana huu ni mtihan tena msiba mzito
@williambenedict6074
@williambenedict6074 8 месяцев назад
Waamimbie kwa niaba yetu Wakenya😂
@stellapeter9358
@stellapeter9358 8 месяцев назад
I love you Prophet Lovy, welcome to my Country, am blessed to see you.
@trophywilson7211
@trophywilson7211 8 месяцев назад
Hee lost is alot
@jamesraphaelmdima4729
@jamesraphaelmdima4729 8 месяцев назад
Tupo katika siku za mwisho, maandiko yanasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa, mcheni Mungu na kumtukuza kwa maana saa yake imefika!
@stellapeter9358
@stellapeter9358 8 месяцев назад
Eeeh Mungu wasamehe watu Hawa wanaowatukana watumishi wako uliowatuma kukutumikia, hawajui walitendalo au wanachosema, I am so so excited papa lovy is here in my city, God bless you papa I wish to meet you, you are a great man of God. Chosen one❤
@user-ud3kb7vn3l
@user-ud3kb7vn3l 8 месяцев назад
Watch the prophecy of Ian ndlovu concerning java
@limo_7
@limo_7 8 месяцев назад
😂😂😂😂
@simbajumanne9718
@simbajumanne9718 8 месяцев назад
Umepigwaaa kifikraa wewe tafuta pesa
@benardpeter3562
@benardpeter3562 8 месяцев назад
Huna Akili
@Evodiasalvatory
@Evodiasalvatory 8 месяцев назад
I am speechless today after watching this!!! Waaaoh yaani natamani ningekuwa Tanzania kukuona live . I am very impressed to know that prophet Lovy can speak Swahili as well. Tuko pamoja. A Tanzanian lady living in Uganda
@roselinemoshi5008
@roselinemoshi5008 8 месяцев назад
Welcome to our beautiful country Tanzania 🇹🇿 Please bless our land and people of Tanzania 🇹🇿 we need prayers, we need to bless wash us with blood of Jesus Christ, bless this country we really need The Almighty One to take control of this country please save us Almighty One we need your miracles, stay with us Almighty One Amen amen and amen 🤲🏽 😭😭😭
@Susan-cz3ez
@Susan-cz3ez 8 месяцев назад
Ooh...... Tanzania you are blessed...... Prophet Java, Prophet Lovy Karibuni sana,naomba mungu atukubuke Kenya,haswa Mombasa 🙏
@jonathandulle
@jonathandulle 8 месяцев назад
I will come to get wisdom, wisdom and knowledge from annoited man of God prophet lovy
@LucasKaik-vl3yk
@LucasKaik-vl3yk 8 месяцев назад
Yan huu ndo wendawazimu mulikuwa mnatutanhazia kila siku, kweli Tanzania ni kichwa cha mwenda wazimu Mungu anawaona wote mnaohusika na huu ushetani.
@mmapulamatabane8114
@mmapulamatabane8114 8 месяцев назад
Typical of Prophet Lovy asking the woman kneeling in front of him to stand up. Always glorifying Jesus. So humble.
@Donrugi
@Donrugi 8 месяцев назад
dah 😢 Too sad 😔 Tutafika mbinguni tumechoka sana. Mungu atusamehe bure tu 🙏
@Prossysannyu546
@Prossysannyu546 8 месяцев назад
Wow 😲 Glory be to God 🙏🙏 my Papa Prophet Lovy Elias is live in Tanzania, Tanzania is my neighbor country wululululu wululululu 🫂🫂🤝♥️♥️♥️ I love you PAPA LOVY 💕💕💕💕 I believe next time you are coming to Uganda 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
@samwelimwanja4105
@samwelimwanja4105 8 месяцев назад
You know nothing
@user-vs6to5cq6w
@user-vs6to5cq6w 8 месяцев назад
Much love from South Africa....I wish I would be there for real...mambo ni moto..
@stephenmwanzake
@stephenmwanzake 8 месяцев назад
Karibu sana Pops! usikose kupitia Home aisee!
@happyhousekeeper
@happyhousekeeper 8 месяцев назад
NAANDIKA KWA HERUFI KUBWA TOKA UGHAIBUNI HUU NI USIKU WA GIZA NENE WAKRISTO HII SIO KITU CHA KUFURAHIA, TUSOME BIBLIA KWA MATUNDA YAO, MUNGU TUNAOMBA TUFUNGUE MACHO YETU YA ROHO TUONE, TUTAWATAMBUA MUNGU IBARIKI TANZANIA NA MUNGU AINGILIE KATI GIZA HILI, LOLOTE LINALOPANGWA NA ADUI TUNALIKEMEA KWA JINA LA YESU KRISTO AMEN.
@user-oj8cq9ls6f
@user-oj8cq9ls6f 8 месяцев назад
Love these men of God for doing God's work dedicatedly
@angelithashioo
@angelithashioo 8 месяцев назад
NINAWAPENDA HAWA WATU WAMUNGU NYIE MPAKA NAHISI KUVURUGWA❤❤MUNGU AWATUNZE MZIDI KUTUKOMBOA AMEN
@pumarice2710
@pumarice2710 8 месяцев назад
Mwenyezi Mungu atupe macho ya rohoni, mmh, Si shawishiki n'goooooo,
@innocent2004
@innocent2004 8 месяцев назад
We are blessed for your visitation in our Land 🇹🇿 We love you Prophets ❤
@trophywilson7211
@trophywilson7211 8 месяцев назад
Heee
@edweniahendricks2612
@edweniahendricks2612 8 месяцев назад
🇿🇦🌊🕊️🔥🔥🔥may the Father's fire blaze like never before, Glorrrrrrrrrrrrrrrry for a mighty new move of God the most High, humbleness in the Father is most beautiful picture, most beautiful picture 🙌
@DonatoEstreller-vp7cs
@DonatoEstreller-vp7cs 8 месяцев назад
All glory and honor to our Lord Jesus Christ 🙏❤️❤️❤️
@brother_majesty
@brother_majesty 8 месяцев назад
Mungu huwaita aina tofauti kuwapata kundi mbalimbali za watu
@user-sg3rm4lc1q
@user-sg3rm4lc1q 7 месяцев назад
Shida wa TZ mnapenda mambo ya kuhiga sana
@fayverenah
@fayverenah 8 месяцев назад
Prophet lovy simply indicates that you can serve God the way you are no reason to complicate yourself 😢kama unataka kumsikia well and good kama hutaki pita ukienda why attack him juu ya muonekano wake😢😢
@holisticlife2126
@holisticlife2126 8 месяцев назад
It is so tempting to receive this welcome gesture with pride but the two received it with humility.
@carolineatieno2865
@carolineatieno2865 8 месяцев назад
Karibu sana afrika mashariki nabii lovy
@user-lc6te2pe2l
@user-lc6te2pe2l 8 месяцев назад
Duuuuu tusamehe Yesu
@MusicChallenges961
@MusicChallenges961 8 месяцев назад
Nimependa kingereza ya host😂😂😂😂😂😂
@gideonstanley2155
@gideonstanley2155 8 месяцев назад
We love you prophet lovy wolcom home
@user-ei3qs2de4q
@user-ei3qs2de4q 8 месяцев назад
The dressing of Prophet lovy is amazing. He doesn't dress to intimidate
@jacquelinemosha8653
@jacquelinemosha8653 8 месяцев назад
mungu.mwema atatenda Sana karibuni Sana tumewasubiri kwa hamu mno
@AwadhiAlfani-bd5pj
@AwadhiAlfani-bd5pj 8 месяцев назад
nyiendo mnao sababisha kiama kifike halaka munafulahia ushetani
@AshaAmrani-vh5nh
@AshaAmrani-vh5nh 8 месяцев назад
Hongera mwandishi kwa ngeli
@janewambui5712
@janewambui5712 8 месяцев назад
My prophet iam happy uko nyumbani
@rebeccainspiredministries
@rebeccainspiredministries 8 месяцев назад
Welcome to Tanzania man of God prophet Lovy.
@user-kv1yd3mm2o
@user-kv1yd3mm2o 8 месяцев назад
Welcome Men of God.... bless my country❤❤❤@Arusha
@jamesraphaelmdima4729
@jamesraphaelmdima4729 8 месяцев назад
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa!
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 8 месяцев назад
Tukubali tukatae, dini itabaki kuwa 1 tu ya hakki , uislaamu. Alhamdulillahi الله . Manabii wana jitokeza kila kukicha, poleni.
@iddybakar1946
@iddybakar1946 8 месяцев назад
watu wamungu wanamionekano wao sio muonekano km watu waivo kiimani zaid sawa kwamba mungu yuko moyoni ayuko kwenye tatu wala nguo but lazima pale malaika anapokua kukuletea ujumba kutoka kwa mungu na uko na vichupi ivo mitatuuu how comes hizi mambo sikuiz ukijua tu kuongea na kwakua wengine wanasomea uhubiri basi sio cha ajabu sn akuna ile kitu utumishi wamungu haswaa unaoendana na matendo ya mungu ww prophet uko ivo na akija mdada na kitaita na yeye kwa madai kwamba imani aipo kwenye nguo utampata malaik gan wakukupeleka taarifa zako wa mungu
@simonhussein4848
@simonhussein4848 8 месяцев назад
They are so simple, I like it.
@husseinally6699
@husseinally6699 8 месяцев назад
Siku ambayo wakristo mtakuja kujua kua mlikua hamjui , ni siku ambayo mtajua ambavyo mlikua hamvijui na hivyo ndivyo mlivyokua mkiambiwa kuwa sivyo ndivyo nanyi mkafanya ndivo ilivyo , na hivyo ndo itakavyokua hivyo hivyo sivyo hivyo
@user-fj5jb6el7n
@user-fj5jb6el7n 8 месяцев назад
Msio na imani na uelewa mtapata taabu sana awa ndio manabiii saiii chini ya chua
@jacquelinemosha8653
@jacquelinemosha8653 8 месяцев назад
kabisa nimewasubiri mno mungu ataanyavmaajabu sana
@user-tt1nm9xs4n
@user-tt1nm9xs4n 8 месяцев назад
Hakuna manabii hapo mashetani hao
@jacquelinemosha8653
@jacquelinemosha8653 8 месяцев назад
Kabisa wanaangalia mwonekano badala waangalie karama aliyonayo inatenda sana
@PatriciaPalemon
@PatriciaPalemon 8 месяцев назад
Glorrry prophet lovy in Tz we are blessed
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 8 месяцев назад
Kanisa lipo wapi
@user-zw4tf5os8b
@user-zw4tf5os8b 8 месяцев назад
God looks inside the heart and outside the body, don't deceiving people of God!
@goldprocessplant5893
@goldprocessplant5893 8 месяцев назад
wasafi mnajitahidi saana
@worldhappiness1181
@worldhappiness1181 8 месяцев назад
Wagalatia 3: 1-10, ni jibu. Lakin pia siwalaum, na hauwez kumbadilisha mtu kile anachokiamin yamkin pasi na hiari ama kwa hiari kakikubal kwenye roho na mwili. Ni Mungu ajuaye yote katika kweli na uongo, na basi akafunue moyo katika kila mwanadam aitafutaye njia ya haki, na aipate kadri amkadiriavyo.
@AjuaLupembe-px2rb
@AjuaLupembe-px2rb 8 месяцев назад
Mnamchukuliaje Mungu
@user-ju4mi1qx5b
@user-ju4mi1qx5b 8 месяцев назад
Mnaumiza moyo wa yesu Ongezani vikombo venue. Kwa ukahaba mwenye masikio na macho macho ya roho anajua huo ni ushoga tu hamna yesu hapo
@user-yn5lk7wk1r
@user-yn5lk7wk1r 8 месяцев назад
Tanzania tanzania Mungu aturehemu tuko kwenye majanga ya mafuriko huko tunaongeza tena kukaribisha miungu
@maystellakajuna5461
@maystellakajuna5461 8 месяцев назад
Mtumishi kwani unakua hayo majanga ya mvua yametoka wapi! Omba Mungu akufungue macho ya rohoni.
@catherinenzioka1020
@catherinenzioka1020 8 месяцев назад
Glory be to God papa remember us in kenya I'm from machakos kenya remember us I love you. You have tought me about salvation shalom
@ProphetLovyMessages
@ProphetLovyMessages 8 месяцев назад
To everyone reading this, I sincerely pray for that whatever is causing you pain or stress will pass. May your negative, excessive worries and doubt disappear, and replaced with clarity/understanding. May your life be filled with peace, tranquility and love. 🙏
@user-cy9xn6pw9o
@user-cy9xn6pw9o 8 месяцев назад
Amen
@emilykendi567
@emilykendi567 8 месяцев назад
Thank you Sir, my life has been transformed through your teachings. Am sending love from Nanyuki, Kenya.
@raydoll435
@raydoll435 8 месяцев назад
Listen this is God all over❤❤❤❤
@user-my5gq2hq7v
@user-my5gq2hq7v 8 месяцев назад
Amen watching from Kenya, 6:00
@kenedymdemu6943
@kenedymdemu6943 8 месяцев назад
Biashara si kumtafuta mungu ktk roho na kweli ,sanaa tupu
@reuben_357
@reuben_357 8 месяцев назад
Great men of God❤️
@user-cw3vu8mu3k
@user-cw3vu8mu3k 8 месяцев назад
Hawa majamaa tumewatangaza sana kupitia uvaaji wao kumbe wasingevaa ivyo tusingewajua
@hellenrichard6528
@hellenrichard6528 8 месяцев назад
Nimempenda mtangazaji
@samanthamueni6322
@samanthamueni6322 8 месяцев назад
I love prophet lovy 🎉
@rachelwangare5116
@rachelwangare5116 8 месяцев назад
Tanzania you are truly blessed.
@trophywilson7211
@trophywilson7211 8 месяцев назад
Is really cursed
@samwelimwanja4105
@samwelimwanja4105 8 месяцев назад
Hivii anaewakubali hawa watu kuwa ni watumishi wa Mungu Akili zako ziko sawa kweli? Wataenda vichaa2 na wana wa kuzimu ila siamini kama ni Mtu umeokoka kweli utaenda hapo
@jonasdaniel1025
@jonasdaniel1025 8 месяцев назад
Kaka watuambie wanatembelea Neema ya mungu Gani maana wako Miungu wengi brother
@prophetesswinnierichards5446
@prophetesswinnierichards5446 8 месяцев назад
Connection ya kiroho utaijuaje wakati wewe sio wa rohoni? Mambo ya rohoni utambulikana kwa namna ya rohoni! You can tell kwamba these men carry God from their words,wameanza kuhojiwa tu hapo hapo prophet lovy kaanza kumzungumzia kristo ndo utajua namna gani kristo amekaa ndani yake kwamba you cannot separate him from christ! Maana kimtokacho mtu mdomoni ni kile kilichojaa moyoni mwake! Ameanza kumuongelea kristo na hiyo ndo main reason ya wao kuja! Sasa endeleeni kuangalia mavazi huku mnapishana na Mtu! Mnamkariri Mungu! Njia zake hazichunguziki alimwambia nabii hosea akaoe kahaba, tatizo hata biblia hamuijui ndomana kazi kukaa kuhukumu watumishi wa Mungu! Wengi maisha yamewapiga kwa laana za kusema watu wa Mungu! Wengine ndo kwanza mmemuona leo hamjawahi kufatilia ameponya watu wangapi na Mungu amemtumia kuokoa roho za maelfu mangapi kazi kuangalia tatoo! Kwahiyo mtu akiwa na tatoo asimtumikie Mungu au? Watanzania bado sana mnahitaji neema haswa
@peninashungu6633
@peninashungu6633 8 месяцев назад
Pesa zinatumika kwa vijana wetu
@Beyond-Boundaries-Belief203
@Beyond-Boundaries-Belief203 8 месяцев назад
we love you prophet lovy
@sezan6585
@sezan6585 8 месяцев назад
We a waiting for u in uganda
@edchrisbeatz8976
@edchrisbeatz8976 8 месяцев назад
this is crazy gyz mungu hataniwi but sio mbaya as long as kila mtu ataubeba msalaba wake kama tujifunze vtabu vya mwenyezi mungu and mungu akikuchagua kuifanya kazi yake lazma ubadilike kwa kila kitu ila hawa jamaa sijawaelewa kabisaa but msiache kumuomba mungu maana hali sio nzeri msiche kingine ni kwamba hakuna nambii mwingine zaidi ya yesu na mohamed kwa vizazi vyetu hata kama wanaongea ukweli manabii hawapo karne hii saa hii tumebaki na walimu pekee sasa kaz kwako kumfuata nabii issa au mohhamed au kufuata waalimu ambao nao wamesoma ingawaje na wewe unaweza soma kama wao
@jeremiapeter683
@jeremiapeter683 8 месяцев назад
Misso Missondo ume pigajee hapo??? 😂😂😂🇹🇿🙌🏿🙌🏿
@agnesmacharia6055
@agnesmacharia6055 8 месяцев назад
Unapedwa na wengi welcome kalibu sana
@JuDaniel-kq5zq
@JuDaniel-kq5zq 4 месяца назад
Amen 🙏🙏
@mukhent9370
@mukhent9370 8 месяцев назад
God bless and protect His prophets❤
@Donrugi
@Donrugi 8 месяцев назад
Mathayo 7:15 - Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa-mwitu wakali. Then 1 Yohana 4:1 - Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani.
@user-ju4mi1qx5b
@user-ju4mi1qx5b 8 месяцев назад
Mmmm kweli hao ni Maonyosho ya ukahaba mwenye masikio na macho ya roho anajua tuache Kulalamika songa
@bujashidaniel5537
@bujashidaniel5537 8 месяцев назад
Presenter wa moto sana so pw ngeli imenyooka sana
@AwadhiAlfani-bd5pj
@AwadhiAlfani-bd5pj 8 месяцев назад
hawasaniii
@majaliwajoackimu2700
@majaliwajoackimu2700 8 месяцев назад
Bible says usiukumu usije uka ukumiwa ata kama wameeka matatuu mungu pekee ndo ata waukumu ok
@jezreellaleti1342
@jezreellaleti1342 8 месяцев назад
tanzania ur blessed.
@Kariminjagi07
@Kariminjagi07 8 месяцев назад
TANZANIA is blessed
@user-px3po9lt8g
@user-px3po9lt8g 8 месяцев назад
Iv kweli mnawaamini hawa watu kweli
@Beyond-Boundaries-Belief203
@Beyond-Boundaries-Belief203 8 месяцев назад
and our father java
@estermodestus6077
@estermodestus6077 8 месяцев назад
🔥🔥🔥🔥🔥
@azizymachadeson3577
@azizymachadeson3577 8 месяцев назад
Dah kama Migos ! Quavo na Offset! Sjui bhana ni vizuri kuamini unachokiamini Kama ni Mungu kweli Mungu awatunze !
@chantalmbanjeryiza9738
@chantalmbanjeryiza9738 8 месяцев назад
What is the sense of that man with a snake on 0:28 to 0.30? We rebuke that spirit in the name of Jesus
@mwakibwalaissah
@mwakibwalaissah 8 месяцев назад
Tupo katika nyakati za mwisho kabisa hizi hakika watu wangu mnaangamia kwa kukosa maarifa kwelii na akili zako et huyo ni baba watu waende wakakutane na nguvu ya mungu au ya shetani watumishi wamevaa pensi wamevaa kiuni alafu useme wanamungu hao na hiyo mitatuu tutapigwa pigo kubwa sana la hanangi litakuwa dgo tujifunze kilicho tokea hanangi ndipo ujue mungu sio wa mchezo
@prince_godfrey
@prince_godfrey 8 месяцев назад
nikwambie kitu kaka Hao sio waongo wanajua wanachokifanya kwenye ufalme wa Mungu si si hivyo wangeamua hata wavae suti ili wakubalike kama wangekua ni wapiga hela ,kitu kingine hata kama ni waongo basi angalau hata wao wanashuhudia kwamba Yesu anaponya na anaokoa kuliko wew ambaye hata majiran zako haujai kuwaambia mazuri ya Bwana kwa kuwakusanya .kwaiy angalia kwanza njia kabla hujanyosha kidole kwa mwenzio
@gideonstanley2155
@gideonstanley2155 8 месяцев назад
​@@prince_godfreygood
@NgengeMkeni-uo5hq
@NgengeMkeni-uo5hq 8 месяцев назад
Unaongea kama mtu aliyevurugwa na maisha na kujikatia tamaa😂
@prince_godfrey
@prince_godfrey 8 месяцев назад
kama hao wanakosea basi wewe usishindane nao bali kuwa mstari wa mbele kuhubiri iliyokweli ila usiwe unaropoka maneno mabaya kwa watu ambao wamehubiria roho nyingi na bado wanaendelea kuhubiri kwa jina Bwana
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 8 месяцев назад
Haya maabudu mashetani, yatakokota wengi kuzimu.
@maystellakajuna5461
@maystellakajuna5461 8 месяцев назад
Please pray for Tanzania, especially the young people, this is obviously the work of the devil. Mtu wa Mungu fanya vita vya kiroho.
@athumanimohamedi9921
@athumanimohamedi9921 8 месяцев назад
Sas hawa si Migos
@westonkatiti9120
@westonkatiti9120 8 месяцев назад
Naona saivi kuna masihara na mungu
@wadantz123
@wadantz123 8 месяцев назад
Yan mungu atusamehe alaf kuna watu wanasapoti
@fabilianothedecor3393
@fabilianothedecor3393 8 месяцев назад
miujiza hata waganga wa kienyeji wanayo hata shetani anaweza fanya miujiza ila tunahitaji watumishi wa mungu kweli na sio wa uongo tunawapima kwa macho ya roho na ya mwili tumeona hakuna mtumishi hapo ila devil worshipers
@NaisonMkwananzi-cy2fc
@NaisonMkwananzi-cy2fc 8 месяцев назад
Icho java
@williambenedict6074
@williambenedict6074 8 месяцев назад
Sengee sana ati prophets of God....
@user-vx5gl8iw5y
@user-vx5gl8iw5y 8 месяцев назад
❤❤❤❤❤ Rise and Shine The Glory of the Lord is risen The supernatural Spirit of God in the Prophets of God❤
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 8 месяцев назад
Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa Hosea 4 :6.Hakuna mitume wala manabii hapo, hilo ni genge la waabudu mashetani (Masonic gangs).
@Jastus100
@Jastus100 2 месяца назад
Bro fuatilia mafundisho ya prophet lovy utasikia mafundisho ya Mungu ndani yake
@williambenedict6074
@williambenedict6074 8 месяцев назад
Aka the Migos
@badully1511
@badully1511 8 месяцев назад
N matatu ayoo m Rasta mungu gani uyo alisema mujichore hii n wazi kuwa Hawa n w as ongo t
@bushbabytz
@bushbabytz 8 месяцев назад
usipende uropoka, huyo levy longomba ni ndugu ya awilo longomba, na kabla hajaooka ndio alikuwa amechora hiyo mitatoo.....unataka ang'oe ngozi!?
@japhetjoseph1772
@japhetjoseph1772 8 месяцев назад
Your worry, acha kuhukumu muonekano alafu java alikuwa msanii marekani kabla aja wahivi Leo kwaiyo tayari Alisha jichora izo tattoo. Don't touch Man God.
@Donrugi
@Donrugi 8 месяцев назад
@@japhetjoseph1772kwanini asizifute au unajua tatoo huwa hazifutiki
@user-tt1nm9xs4n
@user-tt1nm9xs4n 8 месяцев назад
Since ajifute mbona watu wanafuta hio
@jumaamohamed2815
@jumaamohamed2815 8 месяцев назад
Wasenge tu Hao kwaiyo hata hiyo minywele wameshindwa kutoa af hizo sio Rasta hayo ni madread ya kusuka, wanevaa mapensi hamna kitu hapo
@HadithiHub
@HadithiHub 8 месяцев назад
Wabongo hatujui kingerezA ila huyoo dada anajua... Wasafi mtumieni huyuu
@dorahelias9161
@dorahelias9161 8 месяцев назад
My fada my fada
@user-gy9gk5zo1g
@user-gy9gk5zo1g 8 месяцев назад
Na utakuwa usiku wa maajabu kweli yetu macho
@TawandaMarukutu-vp7kg
@TawandaMarukutu-vp7kg 8 месяцев назад
Twabamu prophert passion java
@KeithMuoki
@KeithMuoki 8 месяцев назад
Okokeni jamaa, hakuna Mungu hapo
@mirabelle174
@mirabelle174 8 месяцев назад
Watanzania wana ulokole mwingi, kama uko spiritual kweli utajua tu kuwa hawa ni wa Mungu. Ila kama una ulokole wa kuigiza ule wa kujifanya mnyongeeee, mtakatifuuuu kumbe moyo wako upo mbali na Mungu lazima utawapinga hawa. Ila kama una MUNGU wa KWELI, na unamuamini YESU KRISTO, utajua kuwa hawa ni watumishi wa Mungu wa kweli. Na Yesu atawashangaza hiyo siku ya Night of Wonders jinsi anavotumia watu ambao machoni kwenu mnawaona hawafai.😁
@samwelimwanja4105
@samwelimwanja4105 8 месяцев назад
Hujasoma biblia wewe kwani miujiza ndio msingi wa kutufanya tuamini hawa wahuni?
@carolinederi5690
@carolinederi5690 8 месяцев назад
Hakuna uungu wowote apo isipokua nonsense marasta tattoos uchafu utupu captura Kawaida manabii wa uongo ndio wenye sifa izo zote kma huamin endlea kupotea kma vyeny wamepotea hawa weny dada wamevaa half naked na hakuwaon shame
@user-sc4ku5cr7x
@user-sc4ku5cr7x 8 месяцев назад
Siku zaisha kabisa,Manabii wa uongo wamekuwa wengi sana.Nimechukia kwanza mavazi yao naya wenye waliowapokea😢😢😢😢
@newforcejv9721
@newforcejv9721 8 месяцев назад
Hawa ni watumishi WA MUNGU Moja kwa Moja mm ninayo macho ya utambuzi HAWA wana nguvu ya Mungu
@wadantz123
@wadantz123 8 месяцев назад
@@newforcejv9721 duuuuh
@mardhalbouanzi5653
@mardhalbouanzi5653 3 месяца назад
Tite 2:3: l'extérieur doit correspondre à la sainteté.
@ebenwanderztv6005
@ebenwanderztv6005 8 месяцев назад
Wabongo wanajudge muonekano wa mtu wanasema ni waabudu shetani😂
@RyanElias1
@RyanElias1 8 месяцев назад
Embu kawafatilie hawa watu kwanza mzeee huyo passion anafanya secular music huyo Lovy Alicheat mke wake alivomuacha akasema Mungu anadiriki kumtaka yeye sikia Biblia inasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa ndo huku kwenyewe
@jacquelinemosha8653
@jacquelinemosha8653 8 месяцев назад
Washamba wabongo watabaki na ushamba tu mungu huwa hachagui wakumtumia
Далее
Prophet Passion Java Prophesying in Tanzania 🇹🇿
11:56
Yana bir yangi qo'shiq YORAM BIYO | Yaqin kunlarda
00:57
Yana bir yangi qo'shiq YORAM BIYO | Yaqin kunlarda
00:57