Tafuta mwanamziki wa blue stars aliekuwa anapiga chombo chochote cha mziki umuhoji hapo studio.... au mwanamziki wa moreno batamba yeyote aliopo hai.. umuhoji......mama yuko choma huyo pamoja na kula chumvi nyingi.hongereni sana kwa kutupa story ya blue stars mimi nilikuwa mpenzi wao sana huku tanzania arusha