Тёмный

MASANJA HII SASA SIFA 

5gear official
Подписаться 47 тыс.
Просмотров 531 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

22 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 83   
@tompatel849
@tompatel849 8 лет назад
Ha ha ha this guy he is so funny! lets be honest MTumishi nimecheka sana umenifurahisha sana! piga injili tenda kazi ya Bwana wetu Yesu kristo. ubarikiwe sana Mtu wa Mungu umewadhihirishia kuwa wa Mungu cyo mackini tu. hata matajiri pia ni wake na ni KAZI YA MIKONO YAKE.
@peragyntinda2651
@peragyntinda2651 6 лет назад
Daaaa kiukweli masanja anachekeshaga sana mm waga naishiwa mbavuuu jamani sauti yake tuuuuuuuuuuuuuu inanivunja mbavuu
@barakachawe6241
@barakachawe6241 8 лет назад
Jamaa kabalikiwa vurugu n vituko kamtawala mtangazaji😀😁😂😀😁😂
@MasterRegan
@MasterRegan 8 лет назад
hahahahahahaha budget au siyo....kwenye misosi tu ila mambo mengine hao nibalaa matumizi . Msachi mfukoni uone kama hata simu kali ya kusuguwa yenye thamani ya mataili manne ya hiyo BM
@michaelbalton7866
@michaelbalton7866 8 лет назад
namkubali sana huyu jamaa,mafanikio huja kwa kupiga kazi.yani pamoja na umaarufu alionao lakin jamaa harembi
@msangiroxsana9822
@msangiroxsana9822 8 лет назад
hahaha Emmanuel ubarikiwe sana'a..Mimi unanibariki sana
@daudianyagilemapunda3932
@daudianyagilemapunda3932 6 лет назад
Nimependezewa na style ya maisha yako, napenda niishi karibu yako unipatie ujanja kama huo
@mamanasramamanasra4018
@mamanasramamanasra4018 8 лет назад
Ha Ha Ha............. Unauwa mbavu Masanja
@mussaremigius2818
@mussaremigius2818 8 лет назад
Home boy ,umesahau kuelezea gari yakwanza Badagu unataga kwenye mteremko by KANIOGA CHIEF RUJEWA
@kambachaku8390
@kambachaku8390 6 лет назад
duuhh hata huyo anae kuhoji hpo kazi anayo 😂😂😂😂😂😂
@shaibadam2320
@shaibadam2320 4 года назад
Nimekubali Kwa BMW
@fadhilifredrick4115
@fadhilifredrick4115 6 лет назад
Mungu aliye juu akubariki sanaa mtumishi
@kennethmutta4948
@kennethmutta4948 8 лет назад
massanja yo rly great....i ve learnt to b a hardworker
@jumamvungi6937
@jumamvungi6937 8 лет назад
Nomaa sanaa mkuu nimeipenda
@daudimwabulambo4240
@daudimwabulambo4240 6 лет назад
duuuh... bro anaongea san 😂 😂 😂 😂 😂
@freemasonkingdom2847
@freemasonkingdom2847 6 лет назад
Uko vizuri mkulima wangu
@dinho2940
@dinho2940 3 года назад
Anyone watching 2021😊😊😊
@kelljosia5602
@kelljosia5602 6 лет назад
Nakukubaliiii sana masanja
@mototv1599
@mototv1599 6 лет назад
*hahaaa mtangazaji umemezwa katika mahojiano*
@maximiliankachatilo9185
@maximiliankachatilo9185 8 лет назад
masanja ww kiboko Max kutoka ifakara
@keybezek4301
@keybezek4301 4 года назад
Hhhhh nimecheka ad bas kufanya interview na masanja Kaz kwel dada interview ya Leo ata hujahangaika masanja anajihoji anajijibu
@abasisundary7610
@abasisundary7610 6 лет назад
kama unakubaliana na mimi mtangazaji anafanana na hamisa mobeto dondosha like yako hapa
@eltonmaro434
@eltonmaro434 6 лет назад
Huo umama mbwea wewe
@barakannko8682
@barakannko8682 4 года назад
Nikadhan n yey
@adelinaadoloph5311
@adelinaadoloph5311 4 года назад
Saf sana masanja sichokagi kukuangalia 😂😂
@shekhekhandereizer559
@shekhekhandereizer559 5 лет назад
aka kadem; mwl penseli kichwa ufuto ila Kana shundu tamu sana
@hawahamisi6237
@hawahamisi6237 8 лет назад
😂😂😂😂😂😂masanja uwiii me mbav
@dominicogeorge1340
@dominicogeorge1340 6 лет назад
Ahahaha. Hapo mtangazaji ndio anaojiwa tisha masanja
@paulsantana9217
@paulsantana9217 7 лет назад
yaani huyu jamaaa kituko kweliii
@mwanaamisa8193
@mwanaamisa8193 6 лет назад
Paul Santana hahah
@abdallahsaidiabdallahsaidi3529
@abdallahsaidiabdallahsaidi3529 4 года назад
Maneno ya kuambiwa ep 86
@deocostantino4304
@deocostantino4304 4 года назад
nakukubali. masnja nimejifunza kupinga laziness ilinopate mafanikio
@godlistenmaridadi754
@godlistenmaridadi754 5 лет назад
Mtangazaji kafunikwa ila hiyo shingo
@ernestinamgeni6329
@ernestinamgeni6329 6 лет назад
daaa unaongea utafikiri flash mpya, ila ukweli nakukubali sana
@Ibnseifjr
@Ibnseifjr 4 года назад
😂😂😂 naona kipindi umekibeba wewe
@francisgao8527
@francisgao8527 4 года назад
Umekatungua tiiiiiii😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@khadijamalifedha5862
@khadijamalifedha5862 8 лет назад
masanja jmn mbavu sina mm.
@benedictarweyemamu7777
@benedictarweyemamu7777 3 года назад
Huyu anajipanga maswali
@josephmunna8577
@josephmunna8577 8 лет назад
Penda sana ww kk#Masanja
@edwardkachwele7299
@edwardkachwele7299 6 лет назад
Upo juu mkuu
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 5 лет назад
MASANJA NI BALAA ANA ONGEA KWELI HAHAHA
@isaacsimon3580
@isaacsimon3580 6 лет назад
Kawa mtangazaji yeye
@kambachaku8390
@kambachaku8390 6 лет назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nimependa sana hiii interview
@silajulius3467
@silajulius3467 4 года назад
Aaa, hahahahaaaaa safi sana kk
@anoldiassey1304
@anoldiassey1304 6 лет назад
hahahaaa kweli wanasaidia kwnye bajeti
@ideasmedia0016
@ideasmedia0016 4 года назад
Mtumishi WA mungu masanja ombea na RU-vid Chanel yangu iende mbele barikiwa mpendwa
@ericklyatuu1301
@ericklyatuu1301 8 лет назад
inaitwa carburettor masanja siyo injector pump
@franciscowetimanedambo2094
@franciscowetimanedambo2094 8 лет назад
gostei das historias.sao boas
@sakinaomar301
@sakinaomar301 6 лет назад
I like it 😘😘
@kibasamohamedi253
@kibasamohamedi253 7 лет назад
ikoooo powaaaa san
@ramadhanimohamedisheshe7073
@ramadhanimohamedisheshe7073 7 лет назад
role model
@isackmoshi505
@isackmoshi505 6 лет назад
Naweza kujua zaidiii kuhusuuu BMW X6
@catherinemsofe8020
@catherinemsofe8020 5 лет назад
Hiyo place in km tabata Barakuda km unaenda fountain gate academy
@rhonjanjaim7173
@rhonjanjaim7173 4 года назад
Hahahaha ..eti si ni mimi
@francomwinuka1187
@francomwinuka1187 4 года назад
masanja unaongea kuli?o mtangazaji daah balaa
@lukasmichael6924
@lukasmichael6924 6 лет назад
Kamasanja hakaishiwi vituko
@saltarisasenga4828
@saltarisasenga4828 4 года назад
Hivi masanja huwa mchungaji kweli?
@wajanjakapundawajanjakapun6344
Unatisha masanja!
@nuamaiko4776
@nuamaiko4776 6 лет назад
We shida
@sixninetz5722
@sixninetz5722 6 лет назад
wew mlokole kweri wew
@Aidenkuye
@Aidenkuye 6 лет назад
Dada ana shingo ya upanga 🤗
@Bongo1Media
@Bongo1Media 6 лет назад
😂
@fatmahissa3019
@fatmahissa3019 4 года назад
Sinimimi😂
@jumannejoel3738
@jumannejoel3738 8 лет назад
Kandamiza
@suleimansuleiman4205
@suleimansuleiman4205 8 лет назад
Masanja mkandamizajii
@mcmnago5544
@mcmnago5544 4 года назад
haaaaaaaaaaa masanja
@evapendo85
@evapendo85 4 года назад
Sasa anaetambulishwa ni nani hapo
@christophermgoli1236
@christophermgoli1236 4 года назад
MUNGU akupiganie
@vedastonyondo4832
@vedastonyondo4832 8 лет назад
Vizur8
@williammatumbati2219
@williammatumbati2219 5 лет назад
Bhagosha na bhakena
@jacksonninja4380
@jacksonninja4380 7 лет назад
😁😁😁😁
@zuhuraali9983
@zuhuraali9983 8 лет назад
hhhahhahga masanj
@itsnotthatserious2291
@itsnotthatserious2291 8 лет назад
😂😂😂
@twaakyondowaw.c.bwasafitv51
@twaakyondowaw.c.bwasafitv51 8 лет назад
duu noooma
@samdavid7540
@samdavid7540 8 лет назад
Hahaha
@mariamm2724
@mariamm2724 4 года назад
Comed ya tz iyo
@udahsammo2906
@udahsammo2906 6 лет назад
Hahaaa
@melchizedeks.massola7445
@melchizedeks.massola7445 8 лет назад
Duuh
@munzalitv
@munzalitv 8 лет назад
xxx
@johnyassin1208
@johnyassin1208 8 лет назад
@lucysenga6858
@lucysenga6858 6 лет назад
We noma sana kaka
@isackmoshi505
@isackmoshi505 6 лет назад
Naweza kujua zaidiii kuhusuuu BMW X6
Далее
СДЕЛАЛИ СОБСТВЕННЫЙ МУЛЬТИК
25:15
NEY WA MITEGO MAFIA APIGA TUKIO BANDARINI
6:44
Просмотров 283 тыс.
UCHAMBUZI WA MITIHANI YA UDEREVA
7:49
Просмотров 28 тыс.
MASANJA: RC KUHAMISHWA MKOA
2:40
Просмотров 5 тыс.
Binti anaichezea gari anavyotaka
9:07
Просмотров 238 тыс.
Mr Blue mjanja sana
8:55
Просмотров 484 тыс.