Ilikua ni kwenye harusi ya mchekeshaji mwenzao ambaye ni Masanja Mkandamizaji ambapo Wachekeshaji wenzake waliingia wakiwa wamevalia sare za jeshi la Polisi Tanzania.
sijamuona mwarabu wa dubai safi sana wanacomedy masanja hongera kwa kupata jiko God bless u Mr & Mrs masanja tunawatakia maisha marefu ya ndoa ila ndoa ndoano