Тёмный

MASANJA MKANDAMIZAJI - SHORT AND CLEAR - (OFFICIAL MUSIC VIDEO) 

FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Подписаться 199 тыс.
Просмотров 692 тыс.
50% 1

MASANJA MKANDAMIZAJI - SHORT AND CLEAR - (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
SHORT AND CLEAR NI NYIMBO AMBAYO INAELEZEA MAISHA YA BWANA WETU YESU KRISTO HASA LAKINI ZAIDI IMEJIKITA KATIKA JINSI AMBAVYO ALIKUA ANAULIZA NA KUJIBU MASWALI .
USISAHAU KU SUBSCRIBE ILI UWE WA KWANZA KUPOKEA NOTIFICATION YA VIDEO MPYA KUTOKA KWANGU MUNGU AKUBARIKI

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1 тыс.   
@Feelfreechurch
@Feelfreechurch 5 лет назад
NDUGU ZANGU NAWASHUKURUNI SANA SANA, ASANTENI KWA PONGEZI, NAMI NAFANYIA KAZI KILA USHAURI MLIONIANDIKIA!! MUNGU AWABARIKI KWA KUNIHESHIMISHA, NAWATAKIA MEMA!!
@janesamwel8307
@janesamwel8307 5 лет назад
Emmanuel Mgaya masanja hongera sana na Mungu azidi kukuinua
@christophermtabi2809
@christophermtabi2809 5 лет назад
Ubarikiwe mtumishi..hakika nyimbo zako zinanibariki hapa dodoma.
@ambanndola9109
@ambanndola9109 5 лет назад
Emmanuel Mgaya masanja hongera sana mgaya kwa kazi nzuri
@willey_brandtrue9966
@willey_brandtrue9966 5 лет назад
Short and klia
@habaribongo3611
@habaribongo3611 5 лет назад
BE BLESSED MJUKUU WA MUNGU
@michael_deogratius7654
@michael_deogratius7654 5 лет назад
Jamani RU-vid wafanye tuwe tuna like Mara kumi
@francismiho226
@francismiho226 5 лет назад
Kama umeipenda hii nyimbo kama mm plz gonga like...short & clear
@NuruVitusi-mq3kn
@NuruVitusi-mq3kn 9 месяцев назад
Dah safi sana mtumishi wa Mungu nimependa wimbo
@irumvadonciella6960
@irumvadonciella6960 5 лет назад
Wanao penda hii nyimbo kama mimi wagonge like hapa tujuane!
@kulwamalole5127
@kulwamalole5127 5 лет назад
Irumva Donciella Kanum! B
@irumvadonciella6960
@irumvadonciella6960 5 лет назад
Unataka kucheza kigalatia😂😂
@tinanaiwemkeko4549
@tinanaiwemkeko4549 5 лет назад
Masanja ww ni mbunifu Mungu akutunze
@michaelalex2124
@michaelalex2124 4 года назад
Irumva Donciella p
@kahoribonga9280
@kahoribonga9280 4 года назад
Hime ni fundisha vingi sana Mungu ambariki sana
@selemanjames4697
@selemanjames4697 3 года назад
honger mtumishi wa mungu!
@fridaahid2700
@fridaahid2700 5 лет назад
kama umerudia mara mingimingi kama mimi gonga like tujuane
@davidmafyice5572
@davidmafyice5572 3 года назад
daah aise nibonge la ngoma nimebalikiwa kabsa
@lusajolamsonmgala6184
@lusajolamsonmgala6184 5 лет назад
Kupitia wimbo huu ,,unapelekea kukumbuka maneno ya Yesu gonga kukubali(though this song influence to remember the words of Jesus click like)
@paschaldume1015
@paschaldume1015 5 лет назад
Duh! Haposawa endelea mbele
@bitricemunice1520
@bitricemunice1520 5 лет назад
Dah kweli we jamaa Ni shida nimeurudia Hadi nimeishiwa bando short Anadclear barikiwa sana
@ellymaz2187
@ellymaz2187 5 лет назад
Nimefurahi umesema "Wimbo huu na siyo Nyimbo hii" kama wasiojua kiswahili wanavyosema. Najisikia kichefuchefu kusikia "Nyimbo hii"
@prodwemanho3622
@prodwemanho3622 3 года назад
SHORT & CLEAR NICE ONE LIKE TULIA TULIA KWA BWANA..........GONGA LIKE KAMA UMEGUSWA KAMA MIM
@venstonvedasto
@venstonvedasto 5 лет назад
Masanja ur fabulous na mm naomba like yangu
@kelvinaron5596
@kelvinaron5596 4 года назад
Sikutazama kabla huu wimbo nimetazama Leo ni zaidi ya wimbo pia nizaidi ya filamu so ubunifu mzuri sana MUNGU akubaliki kwa aina ya ubunifu wako injili lazima isonge mbele.
@SKILLS360TV
@SKILLS360TV 5 лет назад
Nakukubali sana hebu gong like nyiiing hapa
@hafswatnuru8399
@hafswatnuru8399 5 лет назад
Dj4sTv decoration kawsuda
@estherboniphace8748
@estherboniphace8748 5 лет назад
ubarikiwe sana .Fanya kazi ya Mungu na NEEMA zitakujilia
@estermkaze5589
@estermkaze5589 3 года назад
Barikiwa mtumishi imebarikiwa namahubiri yako
@paulkichele8165
@paulkichele8165 5 лет назад
Kama utaiangalia 2020 gonga like APA chin⬇️⬇️
@sundaymziwanda3162
@sundaymziwanda3162 Год назад
Nimebarikiwa.sanaaaaaaaa
@ismailmaulid1616
@ismailmaulid1616 5 лет назад
daaa kwel umezaliwa na ubunifuuuu gonga like hapa
@protasndunguru7205
@protasndunguru7205 5 лет назад
short and clear😂😂😂😂😂😂😂🙏🏽
@msambyajohnlwango7491
@msambyajohnlwango7491 5 лет назад
#masanja #mkandamizaji bwana YESU aimidiwe
@mikasatv1597
@mikasatv1597 5 лет назад
uyo ndio masanja mbunifu anatoa kile usicho kifikilia
@janethmgogosi5334
@janethmgogosi5334 5 лет назад
masanja nimeikubali nyimbo yako
@upendoignas5014
@upendoignas5014 5 лет назад
mikasa tv kweli Kabsa
@ivancharlespaul8652
@ivancharlespaul8652 5 лет назад
Unaonaje ukiigiza full movie ya yesu gonga like hapa
@jaggaludegula6826
@jaggaludegula6826 5 лет назад
Umeona eeeeh
@apdavie9370
@apdavie9370 5 лет назад
Waaaaaoh Masanja ubarikiweeew
@amanmichael1698
@amanmichael1698 5 лет назад
Kama unamkubari masanja gonga like
@amashamtama8422
@amashamtama8422 5 лет назад
Cheza kiyunani kama mimi au siyo pamoja sana masanja
@mwanadamtz1298
@mwanadamtz1298 5 лет назад
Haaaaaa haaaaaa oyaaa wee Anae mkubali huyu jamaa agonge like hapa
@gracedelence9163
@gracedelence9163 5 лет назад
Kwani ilifikaje hapa?
@byokokika710
@byokokika710 5 лет назад
Unaticha sana wangu ubarikiwe
@dianajoseph8187
@dianajoseph8187 5 лет назад
Ulieangalia kwa kurudia gonga like
@ombolezombwanji9748
@ombolezombwanji9748 4 года назад
Nakupenda sana was kunyumba hongera sana
@dianagat9694
@dianagat9694 5 лет назад
😚😃😃Mungu akubariki sanaaa.
@patricklary8239
@patricklary8239 5 лет назад
Nategemea kuona viewers 5M na zaidi
@pendosammy5984
@pendosammy5984 5 лет назад
nyimbo iko tamu atafikisha
@mwambinguphilip55
@mwambinguphilip55 5 лет назад
From Kenya nimeipenda
@bupivevo
@bupivevo 5 лет назад
Kama unairudia-rudia hii kui wochi mwanawane gonga like Nikuone (Short and Clear) uwiii hahaha tomaso nimependa naonaaaa....
@lokendolokendo3804
@lokendolokendo3804 4 года назад
Kupitia wimbo huu nimejifuza mengi sana ubarikiwe sana
@teodosiakihwili4742
@teodosiakihwili4742 5 лет назад
Kama umetabasamu au kucheeeka kama Mimi gonga dole LA like plz
@eliudhaule96
@eliudhaule96 5 лет назад
Mungu akubariki sana wa khunyumba
@ismailmaulid1616
@ismailmaulid1616 5 лет назад
je ni halali kuangalia huu wimbo mara kumi SHORT AND CLEAR
@liliansimon8736
@liliansimon8736 5 лет назад
de mau TV Hahahahhahahha
@salmamaulid6961
@salmamaulid6961 5 лет назад
de mau TV mi mwenyewe kila nikipata MB nauangalia
@dapinitiative2451
@dapinitiative2451 Год назад
Kama unaangalia hii Ngoma 2023 tujuane Short and klia
@rosekihanga3905
@rosekihanga3905 5 лет назад
Wangapi wamekuja kuona nyimbo baada ya kuona mavazi tu...??
@ibrahimdeogratious4487
@ibrahimdeogratious4487 5 лет назад
Naona mpaka mjomba yesu anagonga sebene safi sana
@estherjoachim9845
@estherjoachim9845 5 лет назад
Good job ....My God bless you !!! brother Masanja mkandamizaji toka nikujue hujawahi niangusha.
@richardjoseph8213
@richardjoseph8213 5 лет назад
Masanja wewe ni baraa katika nyimbo zako zote hii ni komesha nikiisikiliza najisikia vizur na haka kabeet kazuri Sana utafikili watu wa Kenya Mungu akubaliki Sana Kama umebalikiwa sema amina
@jenny20254
@jenny20254 5 лет назад
Short and clear kweli . Likes basi ili twende sawa
@lizzybahati9833
@lizzybahati9833 3 года назад
Nyimbo nzur mno
@sammarcus2075
@sammarcus2075 5 лет назад
Tunahitaji vitu kama hivi katika tasnia ya Mziki wa Injili🙏Saafi kabisa Masanja God Bless You🙏🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Feelfreechurch
@Feelfreechurch 5 лет назад
Sam Marcus Asante Sana
@modesterandrew6865
@modesterandrew6865 5 лет назад
Mbarikiwe kazi yenu ni njema
@nuhumkeya8256
@nuhumkeya8256 5 лет назад
masanja umetisha hii niite tz one kwa jina la yesu
@malijanihamadi8310
@malijanihamadi8310 5 лет назад
Masanja ww ni moto
@nelsonshukran2917
@nelsonshukran2917 5 лет назад
Lakini masanja akili zako Mungu ndio anazijia mwenyeweeee aiseee stay blessed broo
@kulwamalole5127
@kulwamalole5127 5 лет назад
Nelson shukran w Wanyama
@philemonpaulo1790
@philemonpaulo1790 3 года назад
One day I'll be a LEGEND
@lwitikophilipopelela1891
@lwitikophilipopelela1891 5 лет назад
Eeeh Mwenyezi Mungu tujalie vinywa visivyo na maneno mengi Kama Bwana wetu Yesu kristo.... yaani Short and clear... Asante mtumishi wa Mungu Emmanuel Mgaya
@youngelias1717
@youngelias1717 5 лет назад
Noma sans
@rweenysamuel8146
@rweenysamuel8146 5 лет назад
Wanaume wakiwa katika mavazi halis ya kiume.... nimebarikiwa sana na wimbo huu
@emanuelmarko8433
@emanuelmarko8433 5 лет назад
Daaaaah bonge la song. Miaka kama yote nakuelewa sana.hapa nacheza kigalatia,. Kiyaudi, na kiyunani
@upendosilayo1548
@upendosilayo1548 5 лет назад
Hahahahaaa
@emanuelmarko8433
@emanuelmarko8433 5 лет назад
Yaaaani hapa ni shangwe tu
@DiCulture
@DiCulture 5 лет назад
Bro,we first kwa comment yako
@heppyshila31
@heppyshila31 5 лет назад
@@DiCulture ni fireeeee
@DiCulture
@DiCulture 5 лет назад
@@heppyshila31 💃
@upendomvambali1583
@upendomvambali1583 5 лет назад
Nakuelewa brother
@mwombekikatabalo9046
@mwombekikatabalo9046 5 лет назад
All of you who are watching this video be blessed and inspired Thanks masanja be blessed bro
@leoniabeda2711
@leoniabeda2711 5 лет назад
Aamen mtumishi maneno ulioyoyatumia nimeyaelewa saaaana
@zakialustan722
@zakialustan722 5 лет назад
Yesu alisema jitieni nira yangu na mjifunze kwangu .......sasa mbona nyinyi hamvai mavazi mkafanana na yesu.....instead waislamu ndo....
@joelekiru7970
@joelekiru7970 5 лет назад
I am in Kenya I have appreciate it. Be blessed brother.
@idrisafadhili2984
@idrisafadhili2984 5 лет назад
Wooooow uyoo ni ye ye yesuuuuu ni ji ji ji Jesus nimeupenda brother bllesed
@fidesbenard2701
@fidesbenard2701 5 лет назад
Jamani masanja.. iyo biti ya kijaluo😁😁
@jaelnalindi7488
@jaelnalindi7488 5 лет назад
Jama,jama! katitu za kiluo kabisaaa Short and clear.
@eliudniyongabo8396
@eliudniyongabo8396 5 лет назад
Uliimba yimbo nyingi tena nzuri ila huu nikiboko yao ....... barikiwa sana Mtumishi wa Mungu. Ujumbe huu umefika 🙏
@peternjelutv1273
@peternjelutv1273 5 лет назад
Naam,,,, chezakigalatia, au kiyaudi short and clear, basi kiyunani, nauzidi mtumwa wa Bwana.🇹🇿
@prophetraphasonkelvin9181
@prophetraphasonkelvin9181 5 лет назад
Hiv kwa nn tusiwe na sinema ya Yesu ya Kitanzania, ni wazo tu, after all Yesu hakuwa mzungu alikuwa ni brown
@philemonpaulo1790
@philemonpaulo1790 3 года назад
Yesu alikuwa?
@jonhsoncrispo2462
@jonhsoncrispo2462 5 лет назад
Nakukubali sana masanja ila kuinga mambo ya yesu umekosea sana ila nitazidi kuwa wako daima
@mnomahboybright4743
@mnomahboybright4743 5 лет назад
mh Allah wondoe waja wako katka ukafiri
@anthonymuhando826
@anthonymuhando826 5 лет назад
Umeonaaa
@florakabado3543
@florakabado3543 4 года назад
Wewe achana na sisi,beba mzingo yako mwenyewe
@roseibrahim6653
@roseibrahim6653 4 года назад
Tulia wewe Mungu hafundishwi kazi na mwanadamu,kafiri unamuona wewe ila Kwa Mungu ni mtumishi wake na anamuheshimu.
@teresiaraurent3803
@teresiaraurent3803 3 года назад
Amina
@jovinsalum1613
@jovinsalum1613 3 года назад
Nice video
@m.biangwamalenso3291
@m.biangwamalenso3291 5 лет назад
I love this song i will be waiting for the full movie who else thinks this should be a movie 🙌🙋 😍😍😍😍😍😍
@josephjackson6119
@josephjackson6119 5 лет назад
Hizi ni ladha za kijaluo
@kelvinmpinga5703
@kelvinmpinga5703 5 лет назад
Dah Ila Nakuelewa sana, unaisambaza Injili kwa aina yake kabisa. Mungu na akuinue.
@zuberinyenzi1982
@zuberinyenzi1982 3 года назад
Nikajua mapigo ya Mr ong'eng'o 👏👏👏👏👏👏 safi sana
@amosemmanuel9947
@amosemmanuel9947 5 лет назад
😘😘😘 i love this song short and clear
@elicemmbuji4796
@elicemmbuji4796 5 лет назад
Uko vizur Sana
@issackkizeze4208
@issackkizeze4208 2 года назад
Sante kwa ujumbe mzuri short the clear
@kinyamagohaamelye9466
@kinyamagohaamelye9466 5 лет назад
Huu wimbo ni zaidi ya ubunifu! Endelea kubarikiwa pastor
@getrudakikula7723
@getrudakikula7723 5 лет назад
Kinyamagoha Amelye T
@joeljeremiah4899
@joeljeremiah4899 5 лет назад
Gonga likeeeeee jmn nmeipenda sana hii video
@emmanuelmasoko1013
@emmanuelmasoko1013 5 лет назад
Haya wajina, mungu akubariki bro, kwa kazi nzuri hakika ujumbe umefika
@peterphilips270
@peterphilips270 5 лет назад
we masanja japo wimbo umenibariki ila nimekuwa nikicheka kuanzia mwanzo wa wimbo mpaka mwisho nimekuelewa nivile tu nawe unielewe short and clear.we bonge la mbunifuu barikiwaaaaaaaa shoti endee kiliaaa.
@almabenson4136
@almabenson4136 5 лет назад
Nyimbo hii unaweza ikakushikia dhamana polisi,n mahakaman Yote kwa yote nyimbo nzuri Sana m bunifu sana wee mtu
@magrethsamson9632
@magrethsamson9632 3 года назад
Ubarikiwe
@jumamakori9936
@jumamakori9936 5 лет назад
Mzeee umetish bonge la bit nimelipenda
@ithurttolovesomeone
@ithurttolovesomeone 5 лет назад
Hii kweli #masanja ni injili mpya kwa kizazi kipya nime barikiwa na nime Cheka nilikuwa na stress nyingi
@Mhepe
@Mhepe 5 лет назад
Umeitendea haki kaka.....hongera pia kwa director onessimo
@jamalnaeem9569
@jamalnaeem9569 5 лет назад
Dini ya kikiristo ni nzuri sana kwa kufanyia biashara.
@msambyajohnlwango7491
@msambyajohnlwango7491 5 лет назад
Powa sana mchungaji
@josephinemuhonja743
@josephinemuhonja743 5 лет назад
Nampenda Yesu Kristo wa Nazareth.
@Pastorlenhardkyamba
@Pastorlenhardkyamba 5 лет назад
Daaaaah jaman Bro. Masanja aiseee kazi njema sana😂😂😂😂. **KUBALI TU**
@angelherman5464
@angelherman5464 5 лет назад
Mungu aliejuu azid kukuinua zaid maana nimeamin Mungu anakutumia sawasawa barkiwa sana short And clear
@josephmpiluka6381
@josephmpiluka6381 5 лет назад
Kaka hongera nimvivu kukoment ilahii OK big up to you brother
@kephamapogo5333
@kephamapogo5333 5 лет назад
Nimeipenda sana hii ila tutungie nyingine ya Ibada ya Elia na Manabii wa Baali
@doublelifetv4699
@doublelifetv4699 5 лет назад
Mzee huu wimbo mie niliuona tu,,, nikajua nomaa. ...umeua sana masanja, ,, gonga like twende zetu
@barakamathayo3430
@barakamathayo3430 5 лет назад
Hiyo cheza kigalatia imeniacha hoi sana BE BLESSED MASANJA
@leahglory3183
@leahglory3183 5 лет назад
Its so nice Song Nmeuelewa huu wimbo
@abdulimlula
@abdulimlula 5 лет назад
Big up sana brother #mgayaemanueli you are so creative and you will always remain on 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@jozidasuperior7257
@jozidasuperior7257 5 лет назад
Alie Cheka Kama mimi pale Jamaa anarudisha majibu kwa yohana .. like tafadhali
@makelula3240
@makelula3240 5 лет назад
kuna jamaa amefananà na Petro wa film ya Jesus hahaha
@cpahappyjonas9676
@cpahappyjonas9676 5 лет назад
kuna mtu hapo kafanana na yule mgelesi
@paschalmasanja1483
@paschalmasanja1483 5 лет назад
Haya bana uwepo wa Mungu ndani yako unaanza kuonekana
@denisnyalus1419
@denisnyalus1419 5 лет назад
Nyimbo ya 1878 naiskiliza today 2019 mwanawane
@YouMovie4
@YouMovie4 5 лет назад
Mungu akubariki akuzidishie maarifa
@kalundemedia242
@kalundemedia242 5 лет назад
Kiukweli Ngosha, unatumia akili pana sana kutengeneza kazi zako. Karibu sana Magu-Mwanza
@josephmpiluka6381
@josephmpiluka6381 5 лет назад
Nasikiliza zaidi yamara moja asante
@alfredzunda4655
@alfredzunda4655 5 лет назад
Hahahaaaa! Step ya kiyunani sijaona mtumishi. Ubarikiwe sana mtu wa Mungu kwa ujumbe huu wa injili.
@JoseJose-ww3mn
@JoseJose-ww3mn 5 лет назад
Masanja noma
@hasinamohammed6469
@hasinamohammed6469 5 лет назад
Yani nguo za kiislam. Na vilemba kumbe muonekano uislam toka enzi na enzi.mabadiliko yamekuja nyuma tu
@lameckgeophley3379
@lameckgeophley3379 5 лет назад
hahahaaa kaka Emmanuel mungu akubariki sana short and.......
@lwanjiedna5233
@lwanjiedna5233 5 лет назад
Video nzuri sana mtumishi ungeweka na sub tittle ili non swahili yaelewe,nimependa sana madhari na actors wako vzr.barikiwa sana.
@jacksonmtama6963
@jacksonmtama6963 5 лет назад
Kweli mungu akubalik kamwene
@ombeniambrosykalenga811
@ombeniambrosykalenga811 3 года назад
Nyimbo unazozitoa mgaya hua sichoki kuzisikiliza, ubarikiwe zaidi ndugu
@andasonosward9164
@andasonosward9164 5 лет назад
Kama Umeiona kaiweka Instagram Picha ya huu wimbo Alafu Umekuja kuangalia gonga #like
@jydon8405
@jydon8405 5 лет назад
#Mwanawane_Nakukubali sana Kama nawe #Unamkubali gonga #like #tujuane
@joshuasanga5827
@joshuasanga5827 5 лет назад
Wimbo umejaa Neno That what we want
@johnfikiri2171
@johnfikiri2171 5 лет назад
Nimependa yaan umechukua uhakisia kabisa, barikiwa sana kaka Masanja, INJILI LAZIMA IHUBIRIWE, na wataelewa tu
@albinishirima6981
@albinishirima6981 5 лет назад
Aise huu wimbo mzuri sana yan unafuraisha na ina ujumbe mzuri ndani yake nice song
Далее
World’s Tallest Man VS Shortest Woman!
15:07
Просмотров 18 млн
Prank Orchestra
00:10
Просмотров 852 тыс.
MASANJA  HADHARANI FATILIA MPAKA MWISHO
24:02
Просмотров 732 тыс.
MASANJA MKANDAMIZAJI   CHAPA MWENDO OFFICIAL VIDEO
6:42
Masanja na Mama Emma | Ukaguzi wa Wafanyakazi
11:12
Просмотров 57 тыс.
Masanja Mkandamizaji Kemea Pepo (Official Music Video)
4:27
Mpoki, Mtanga, Eliudi | Mkutano wa wanakijiji
9:22
Просмотров 426 тыс.
World’s Tallest Man VS Shortest Woman!
15:07
Просмотров 18 млн