Тёмный

Masanja Mkandamizaji - TULIATULIA (Official music Video) 

FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Подписаться 199 тыс.
Просмотров 1,5 млн
50% 1

Masanja Mkandamizaji - TULIATULIA (Official music Video)

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 980   
@Feelfreechurch
@Feelfreechurch 4 года назад
ASANTENI SANA KWA KUANGALIA VIDEO USISAHAU KU SUBSCRIBE KAMA BADO MWANAWANE🙏🏾
@zawadimgonde7331
@zawadimgonde7331 4 года назад
Good
@wilbrodwemaonlinetv8379
@wilbrodwemaonlinetv8379 4 года назад
Hapo ndipo Moyo wanguu.... UNATULIA TULIA
@dicksonsheja251
@dicksonsheja251 4 года назад
Mwanawane
@geofreypaul4760
@geofreypaul4760 4 года назад
Masanja nakupenda Sana damu yangu
@rhinakiza
@rhinakiza 4 года назад
Lakini kwa nini akuniita jameni na mimi nije kuemba kweli ninge kuja kutoka hapa America my favorite song💃💃💃💃
@emmanuelkayanda8014
@emmanuelkayanda8014 3 года назад
Mtumishi barikiwa Sana nakuomba tukumbukeni na sisi ambao hatujatoboa mwishowe tumeamua kwenda machimbon kuzika kipaji Kama mungu amekuinua nikumbuke na Mimi Kaka nimuimbaji na mwanamziki lakini sjafanikiwa nikumbuke
@ozanee1739
@ozanee1739 4 года назад
Izi ndio nyimbo zakuomba Like sasa nipeni like katika bwana 🙏🙏
@hassanmsellem5302
@hassanmsellem5302 4 года назад
Nyimbo yoyote ni kazi ya shetani tu, ktk Uislamu manyimbo yote hayafai Mungu anaabudiwa kwakuswali, kusoma Qur'an na ibada zingine sio kucheza sebene
@ozanee1739
@ozanee1739 4 года назад
Hassan Msellem kaswida ni nini acha ujinga wewe
@hassanmsellem5302
@hassanmsellem5302 4 года назад
@@ozanee1739 hhhhhhhhh, we Yessu hebu sikia Kaswida ni sawa na bongo flavors na gospel haina mnasaba wowote na uislamu hakuna andiko ktk Qur'an linalozungumzia kaswida kama ni ibada, tulia ww usifatilie imani za watu juu soma sana Yessu ww
@ozanee1739
@ozanee1739 4 года назад
Hassan Msellem daudi akacheza na kuimba mbele za bwana kwa nguvu zake zote ama mpaka nikuambie mstarii
@gauedwin1960
@gauedwin1960 4 года назад
@@ozanee1739 umemjibu swadakta Sana boy,Yani kama kuna KAZI tutaenda kufanya mbinguni no kuimba kuimba kuimba×1000000000 Hamna kusoma bibili Kwa mshua au eti sijui quaran..Kwa taarifa ya kama hwa kina Hassan na wengine kuma huimbi Hamna nafasi yako Kwa mshua juu unaenda kufanya😳
@emmanuelkayanda8014
@emmanuelkayanda8014 3 года назад
Nimekufatilia tangu ukiwa mchekeshaji kipindi Cha chaner5 Kaka mungu amekuinua nikumbuke walau namimi someone yako
@tymanwalker7670
@tymanwalker7670 4 года назад
Yesu ndio tulizo la moyob Like👍👍👍👍 kama unakubali
@hassanmsellem5302
@hassanmsellem5302 4 года назад
Allah ndio tulizo la moyo sio Yessu atabaki kuwa Nabii tu kama manabii wengine
@phmmkimbizi9898
@phmmkimbizi9898 4 года назад
@@hassanmsellem5302 we ndugu nna wasiwasi na wewe, ni afadhali usicomment kuliko kuandika vitu tofaut.
@phmmkimbizi9898
@phmmkimbizi9898 4 года назад
@@hassanmsellem5302 haipendezi hiyo
@aaaaaah290
@aaaaaah290 4 года назад
Hassan Msellem ...... KO UNAPENDA DUNIA NZIMA TUWE DINI YAKO.... PAMBANA HUENDA UKAWEZA 🤣🤣🤣🤣
@brigithadidas5128
@brigithadidas5128 4 года назад
@@hassanmsellem5302 allah tena anahusikaje apa
@AlAl-sd9pl
@AlAl-sd9pl 3 года назад
Waooo masanja upo juu kama rokert
@hainesschaula7961
@hainesschaula7961 4 года назад
Natulia kwa Bwana, hakika pastor wangu uzidi kubarikiwa,wewe ndo uliniongoza sala ya Toba Mito ya baraka kwa mara ya kwanza naingia mahali pale.Mungu azidi Kukuinua zaidi na zaidi
@marcondokeji8982
@marcondokeji8982 4 года назад
Kweli video nzuri imetoka vizur na ujumbe ni mzuri mno. Nadhani umebariki kila mmoja aliyetazama na mwenye mapenzi mema na Bwana YESU
@isayasanga4357
@isayasanga4357 4 года назад
Ninavyo mkubali huyu baba lazim niwe wa kwanza kuitazama maana am no 1 fan of my pastor mkandamizaji
@smprotz
@smprotz 2 месяца назад
Masanja kipaji chake ni kama chakula, ukimkataa Leo utamkubali Kesho. Mungu akuweke Bishop
@felistermbua4703
@felistermbua4703 4 года назад
Moyo wangu tulia kwa YESU!!! Ila hivyo viatu sasa
@nzuritaraja9558
@nzuritaraja9558 4 года назад
Moyo wangu unatuliya kwa Yesu tuuuuu.
@DMENDTVmusicMovie1
@DMENDTVmusicMovie1 4 года назад
hiii nyimbo Ni nzuri Sana pia Masanja anaonyesha kua na KIPAJI kikubwa Cha aina yake . Humo ndani aniacha na furaha, anacheza VIZURI mno. This is really ministry
@harunimfaume6280
@harunimfaume6280 4 года назад
Hatakama sio muuni wa dini hii ila ww na mwaitege aisee hua nyimbo zenu nazilubali kwa makuzi ndo njia bora sana inamfanya mtu apende kitu vile nyimbo imeaza nimejikuta nairudia tenaa good sana masanja mfalume
@upendonnko1516
@upendonnko1516 4 года назад
Hiyo nyimbo huko mwishoni imenifurahisha sana
@monicaregina7792
@monicaregina7792 3 года назад
Kweli utumishi uko ndani yako mhacha vangu.
@msafitv8663
@msafitv8663 4 года назад
Mjungaji anayekwenda na wakati GOD be with you all the time,We ni mfono kwa vijana wengi.Tanzania tupo proud na ww💪💪💪💪
@petrohaonga4353
@petrohaonga4353 4 года назад
iko poa sanaa lazima tutulie hasa nahii corona tunatulia kwa Yesu
@elishakhamis9471
@elishakhamis9471 4 года назад
Kama umemkubali mzee matayo weka like hapa👉👉
@paphosmediatz
@paphosmediatz 4 года назад
Nakupenda sana kaka angu nitakusapot kwa kucheza ubarikiwe sana kaka
@kubaalbertmwaya1361
@kubaalbertmwaya1361 4 года назад
Ooooh how I waited this song itoke... Ilikua 2019 moshi Chuo mwaka wa Tatu. Niliiskia hii nyimbo katika youth festival. Hii nyimbo ilinibariki sana . Ilinivusha kipind Nimeachwa na my gal . Sikutegemea kama ningesahau ila nikamwambia yesu moyo wangu utulie kwako na ukatulia kwa bwana. Now I am happy and greatful.
@Feelfreechurch
@Feelfreechurch 4 года назад
Kubaalbert Mwaya Umeonaeee
@godifreiomari7109
@godifreiomari7109 4 года назад
Kubaalbert Mwaya yesu ndo kila kitu
@kahoribonga9280
@kahoribonga9280 4 года назад
Mungu akubariki sana Utuletee niseme nini bwana
@pastoreliamsika9355
@pastoreliamsika9355 4 года назад
This is my song aisee Wimbo ninao ila wakumlingia Yesu😂 #Jesus to the world
@YANGAHIGHLTS3073
@YANGAHIGHLTS3073 Год назад
Wao hii ndio ngoma Sasa gonga more like hap
@gazukojunior7725
@gazukojunior7725 4 года назад
Balaaaaaa jipya mjini 🔥🔥🔥🔥 songi langu Forever
@haulebh5007
@haulebh5007 4 года назад
Uzuri wa hii nyimbo tunacheza popote hata kwa viti virefu haujabagua🙌🙌🙌🙌🙌
@costansiambuni7315
@costansiambuni7315 3 года назад
Wimbo umenibariki sana hakika napaswa kutulia kwa yesu
@mandarrr663
@mandarrr663 4 года назад
umetisha mtumish ama kweli we ni fundi mwanawane
@danielmlanda2546
@danielmlanda2546 4 года назад
Kama kawaida na skuna zako Masanja.... Kichupa cha mwakaaaa
@platoxmumbay8945
@platoxmumbay8945 4 года назад
Bonyeza uone 💥👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-sy3A__Ywd4M.html
@furahamakunga5347
@furahamakunga5347 4 года назад
Kaka hongera kwa huduma barikiwa sana songa mbele
@AlexJoseck
@AlexJoseck 4 года назад
BuraAAAZAAAAAAAAAAA YAANI WEWE UKO TALENTEDI SAAANA KILA UTOACHO KINABARIKI YAANI VERY CREATIVE IDEAS SI MUCHEEEZOOOOO
@Feelfreechurch
@Feelfreechurch 4 года назад
Alex Joseck Asante sana kaka mkubwaaaa
@piusaugustino9270
@piusaugustino9270 4 года назад
@@Feelfreechurch kaka upo vizuri japo mm co muimbaji Ila natamn San kutumia kwa uyu yesu lkn cjui nn tatizo nashidwa
@sabrinabruno3481
@sabrinabruno3481 4 года назад
/??@@Feelfreechurch
@sabrinabruno3481
@sabrinabruno3481 4 года назад
@@Feelfreechurch / /
@newgeneration9524
@newgeneration9524 3 года назад
Waooo daaah this is more than a song
@mussajackson783
@mussajackson783 4 года назад
Waislam tunao skiliza hii ngoma tu like hapa
@hassanmakamba9543
@hassanmakamba9543 4 года назад
Unazingua
@moodrasheed6093
@moodrasheed6093 4 года назад
Unaboa
@jennifernduka720
@jennifernduka720 4 года назад
Wanaokupinga kuisikiliza hawajui dini achana nao wee sikiliza zako wewe ❤❤❤
@rosechesko975
@rosechesko975 4 года назад
Im here
@athumaniwazirisengoli4321
@athumaniwazirisengoli4321 3 года назад
Poa
@PastorsTz
@PastorsTz 3 года назад
FUNGA vizuri kanga hii ninyimbo ya injili...NAULIVO NYOA NA MAVAZI HAYO SIO NYIMBO YA INJILI
@ezekielxanga3722
@ezekielxanga3722 4 года назад
😃😃😄😄😄WAKINA SIKUJUA MTAKUJA KUARIBU LINE.. JAMANI LIKE ZANGU BASI
@emanuelloiruk3114
@emanuelloiruk3114 4 года назад
MUNGU akubariki Sana massanja kweli tulia🤩🤩🤩
@egberthermandus6508
@egberthermandus6508 4 года назад
HUYU NDO EMMANUEL aka MASANJA MUNGU AKUINUE MTUMISHI MUHA NAKUOMBEA KWA MUNGU🙏🏽🙏🏽🙏🏽💪🏾💪🏾💪🏾
@amosandrew642
@amosandrew642 4 года назад
Nice work Pastor
@kibaigwakibaigwa6469
@kibaigwakibaigwa6469 3 года назад
We we nani mtowe mtoti.nani weww mzee matayo
@sirsebaonline9106
@sirsebaonline9106 4 года назад
Duuh majaji wamekuwa waimbaji wa injili kweli masanja ni fagio la chuma kudadeq
@clintonmfugale2064
@clintonmfugale2064 4 года назад
nyimbo nzuri sana KWELI MOYO TULIA KWA YESU
@cathbertcyprian419
@cathbertcyprian419 3 года назад
barikiwa kwa nyimbo nzuri.Mungu akubariki kwa nyimbo nzuri.
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 3 года назад
Barikiwa sana wimbo nzuri sana😘❤
@edelikakikoti7652
@edelikakikoti7652 4 года назад
ubarikiwe masanja wapange hao vizuri wadibuke wunofu
@evancyarburton4243
@evancyarburton4243 4 года назад
Nyimbo nzuriii sanaaa yaan very creative 🔥
@josephclemencejoseph2134
@josephclemencejoseph2134 4 года назад
Yesu nimambo yote ndaniyayote ukimpata yeye umemata yote achakusumbukia yaulimwengu njookwake
@itazowanzagi5721
@itazowanzagi5721 4 года назад
Mungu ambatmriki kama unamkubali gonga like hapo
@growrich2332
@growrich2332 4 года назад
Asante sana kwa wimbo mzuri.karibu Mtwara
@shadrackdamiani1363
@shadrackdamiani1363 4 года назад
wakusifiwa ni yesu jamani moyo tulia kwa yesu eeh mungu nitulize kwako
@mudybestmusic3889
@mudybestmusic3889 4 года назад
bora ulivyoondoka mana wangekudhurumu mil.50 yako
@geralddavid4582
@geralddavid4582 4 года назад
kwel kabisa ndgu zangu tutulie kwa yesu 🙏🙏 amina
@isayasanga4357
@isayasanga4357 4 года назад
Jaman nisiwachoshe na mm msinichoshe nyimbo imeisha
@immanueli9013
@immanueli9013 4 года назад
Kucheza atari
@maikomlawa6312
@maikomlawa6312 3 года назад
Mubarikiwe
@kelvinaron5596
@kelvinaron5596 4 года назад
Njema kazi na injili yenye kupenya ndani mioyo so kazi nzuri sana
@davidmbaima656
@davidmbaima656 4 года назад
Hongera Emmanuel, acha watu wasifu wapenzi na watawala wa dunia inayopita. Sisi tumsifu MFALME WA WA WAFALME YESU.
@fardeennasser2963
@fardeennasser2963 4 года назад
Someni maandiko vizuri. Huyo Yesu ni Mwanadamu, Nabii, mtumishi wa Mungu. Hajawahi kujiita Mungu wala kusema aabudiwe. Marco 12:28,32) Matayo 4:10) Yohana 17:3) Ufunuo 1:1) huu ndio ukweli wa Yesu.
@mahamoudomar5492
@mahamoudomar5492 4 года назад
Fardeen Nasser kweli yesu anakula analala amezaliwa anasifa zote za mwanadamu ila yeye ni mtume tu Mungu ni mmoja tu hakuzaa wala hakuzaliwa na wala hakuna yeyote mfano wake.☝️
@platoxmumbay8945
@platoxmumbay8945 4 года назад
Bonyeza uone 💥👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-sy3A__Ywd4M.html
@platoxmumbay8945
@platoxmumbay8945 4 года назад
@@fardeennasser2963 Bonyeza uone 💥👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-sy3A__Ywd4M.html
@elsonyohana8535
@elsonyohana8535 4 года назад
Moyo wangu umetulia penye msaada ooh Yesu n mbwana
@ajheemclassicaltv7608
@ajheemclassicaltv7608 4 года назад
KIMBILIO LANGU, LAKO , WEWE ,YULE JAMAA NA MARAFIKI ZAKO NI KWA YESU NANI ANABISHA
@hassanmsellem5302
@hassanmsellem5302 4 года назад
Kimbilo langu, lako na yule ni Allah s.w Yessu ni Nabii tu kama Nabii wengine
@missynasra775
@missynasra775 4 года назад
AJHEEM CLASSICAL TV safi sana nyimbo zuri vibwagizo ndiyo usiseme
@brigithadidas5128
@brigithadidas5128 4 года назад
@@hassanmsellem5302 allah kimbio lako wewe usitulazimishe wengne tumkimbilie tusiyemjua
@eliyajelemia6244
@eliyajelemia6244 4 года назад
Hassan Msellem Yesu niMungu allah ndovinn mbonana unahangaika huwezi zuia jinala Yesu nimoto unataka tuaminidin yawapenda ugomvi navita namajin hutupati
@gladnesssidiu8945
@gladnesssidiu8945 4 года назад
@@hassanmsellem5302 Allah siyo Mungu tunayemuamini sisi wakirsto kwaiyo acha kutumezesha sumu Allah hapendi wakrsto na wayahudu Mungu gan asopenda watu Waislam amkeni someni Koran inamambo ya ajabu mnooo
@trinitynorberth5068
@trinitynorberth5068 4 года назад
Nakubali sana brother weng uwa wanajua utan kumbe sisi tupo serious ktk jina la yesu na hatuamiami tumetulia kwa yesu kristo wa Nazareth amen
@mutimaflorence7446
@mutimaflorence7446 4 года назад
Yani nilitamani ingeendelea tu mpaka dakika 30 lakini umeikatiriza this song is amazing for real
@imash04tv20
@imash04tv20 3 года назад
kua makini katika maamuzi ya kumjua mungu ni nsni usisubr mpaka uondoke katika mgongo wa ardhi
@jameseligius9459
@jameseligius9459 3 года назад
BC BBC BBC
@jameseligius9459
@jameseligius9459 3 года назад
Y
@jameseligius9459
@jameseligius9459 3 года назад
Via Very
@geophreyephraim3564
@geophreyephraim3564 4 года назад
Nakukubali sana kaka kweli ckuiz nikutulia kwa yesu tyuu amna wa kupnga iyo kaka
@basirmohammed5675
@basirmohammed5675 4 года назад
Amen be blessed nyc song,can i have more likes fans
@johnwar8408
@johnwar8408 2 года назад
Wake up your mind what ph***ken song it is if not black magic one Shame on you all wasted your time...instead of finding the truth that's the way to helll...If you don't know determin to know forget about all these shit is just make money
@pendomwenda6190
@pendomwenda6190 4 года назад
Masanja shida Mungu want nisaidie mbavu zangu Mungu akupe miaka
@producerqfocus1636
@producerqfocus1636 4 года назад
Jamani kama umependa mtumishi alivyo pita kwenye biti ipasavyo nipe rike
@treyguydangote4034
@treyguydangote4034 4 года назад
Mtimishi wa nn xx
@hassanmsellem5302
@hassanmsellem5302 4 года назад
Mtumishi au msanii anatafuta fan base tu, dini ya kweli ni uislamu tu
@treyguydangote4034
@treyguydangote4034 4 года назад
@@hassanmsellem5302 haswaaaaa na hamna kama uislam na haitotokea
@sabrinarobert8971
@sabrinarobert8971 4 года назад
@@treyguydangote4034 mtasubir Sana Iman yako ndo itakayokuponya
@treyguydangote4034
@treyguydangote4034 4 года назад
@@sabrinarobert8971 we unaimani gani hiyo ya kuabudu picha
@mohamedmsafiri5131
@mohamedmsafiri5131 4 года назад
Amen barikiwa sana by James Donald Nyantanero in Rockcity Mwanza
@nyandwifidele8528
@nyandwifidele8528 4 года назад
Nakuona mzee wa kiulizo jinsi unavyoikaribisha pasaka kwa song la Aina yake.. Kwa kweli Hongera sana kwa wimbo Mzuri, video nzuri, content nzuri... Yani wewe ni zaidi ya mwimbaji.. Yani unaleta Raha mpaka umepitiliza..
@platoxmumbay8945
@platoxmumbay8945 4 года назад
Bonyeza uone 💥👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-sy3A__Ywd4M.html
@zabronmligo9629
@zabronmligo9629 4 года назад
hongera wimbo mzur together ubarkiwe sana tunashelekea pasaka kwa burudan goodddddddd
@officialdaniel4030
@officialdaniel4030 4 года назад
Bwana Yesu asifiwe Mch....Mimi Nina ushauri mdogo sana kwako,..nimefatilia sana kazi zako,huwa ni unatumia garama kwenye video, na ili unalitendea haki,lkn kuna kitu unakosea Brother, sijuh Oudio zako unafanya kwenye studio zipi aisee,mfano katika huu wimbo back vocals ziko safi na wewe umeimba vizuri lkn kiukweli beat imepwaya sana kaka,na hivi uko Dar kabisa kwenye kitovu cha kila kitu,..naomba kaka lifanyie kazi hili,kama mwanamziki nimeona nikushauri,huu wimbo umenibairiki lkn upande Wa mziki muandaaji hajakutendea haki kabisa....Asante
@streetkidonline4777
@streetkidonline4777 4 года назад
yap sahh kabisa
@jumamlanda5266
@jumamlanda5266 4 года назад
Yanga choir?
@kigomamc1179
@kigomamc1179 3 года назад
nyimbo zur kiatu sasa masanja jaman😅
@rhinakiza
@rhinakiza 4 года назад
Wooooow I was waiting for this song longtime💃💃💃💃
@wivinavedasto5109
@wivinavedasto5109 4 года назад
Amina.....Kwa Yesu rahaa saana asa ukitulia kwake Kuna furaha tele
@faithrachel7696
@faithrachel7696 4 года назад
This song is fire kwakweli 🔥
@rahabumwakajoka6721
@rahabumwakajoka6721 4 года назад
Hongera mno Mtumishi wa Mungu
@eliarichard9218
@eliarichard9218 4 года назад
powerful.
@penuelfullsalvationchurch3350
@penuelfullsalvationchurch3350 3 года назад
Polen vipofu mnashnglia upuuzi huu hkna sifa za namna hii dunian lbd kzimu
@patricknamangoa3478
@patricknamangoa3478 4 года назад
What a nice song!
@marjoriehebron2624
@marjoriehebron2624 4 года назад
Pastor uko very creative and talented🙌🙌vile tunapata injili na huku tunaburudika kwa kucheka😀weee moyo wangu tulia kwa Yesu.
@kamanyile
@kamanyile 4 года назад
kama unamkubali Emmanuel Mgaya gonga like hapo chini
@ShuhudiaMahuvi
@ShuhudiaMahuvi 10 месяцев назад
Hongera sana kea kipawa ulicho pewa na mungu kitumi sawasawa
@happyngungur8868
@happyngungur8868 4 года назад
Can't get enough of this song jmn... Masanja live for his Glory
@Feelfreechurch
@Feelfreechurch 4 года назад
Happy Ngungur Thank u Happy
@johnwar8408
@johnwar8408 2 года назад
What good deed have got into this song which can't even jinger my brain....where are from? MAGU..so it must be good for foolish as like you are..Jocking God..He is not foolish God would get you as well your ph***cken Masanja
@isakaboy9305
@isakaboy9305 2 года назад
Nainjoi sana kuzi tama nyimbo zamasanja
@deusoden3128
@deusoden3128 2 года назад
@@Feelfreechurch Habari. Huu wimbo nakumbuka upo original yake. Hukiachana na hii video. Je naweza kuupata?
@aldagosb9752
@aldagosb9752 4 года назад
Hapo ndipo moyo wangu unatuliatuliaaa weeuwee
@jimmydaniel2468
@jimmydaniel2468 4 года назад
nice song
@gizengogospormussiondaress1974
@gizengogospormussiondaress1974 3 года назад
Jamani nyimbozingine upakounashukawenyewetu prse LIKE by G IZENGO GOSPOR MUSSION DAR TZ
@happinessmtitu4485
@happinessmtitu4485 4 года назад
Uwiiiii mbavu zangu mimi jamani 😂😂😂😂
@asiatirukaizire3067
@asiatirukaizire3067 3 года назад
Amazing mwanawane nimeipenda
@silyviapaul2676
@silyviapaul2676 4 года назад
Amen!
@silasmanyenze7691
@silasmanyenze7691 4 года назад
Hahaahahahahahahahahahaah Ubarikiwe Sana Brother Nimecheka Sana Leo Afadhali Mwanya umwimbie Yesu
@ommymsomi4362
@ommymsomi4362 4 года назад
The king himself
@emanuelkailas9701
@emanuelkailas9701 4 года назад
Ahsante wajina wangu, kanyimbo kanabariki mno, shukran kwa mungu.
@calskim4173
@calskim4173 4 года назад
🤣🤣uyu mzee Matayo anavyocheza buana 🤣
@silasmanyenze7691
@silasmanyenze7691 4 года назад
Jamani Mmeona Kiatu Cha brazaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@wakali_wa_masauti1884
@wakali_wa_masauti1884 4 года назад
Kama unacheki hii vide na inakufurahisha 😀😀
@devothabishagazi2390
@devothabishagazi2390 4 года назад
Hongera mwanawane,siku moja naomba nidance kwenye video yako moja tu ndipo moyo wangu utatulia tulia,nguo nitavaa zangu mwanawane
@faidaalimasi2017
@faidaalimasi2017 3 года назад
Amen merci beaucoup
@carenfyataga1091
@carenfyataga1091 4 года назад
Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu
@sitefanomwizarubi1408
@sitefanomwizarubi1408 4 года назад
leo umetisha
@deborajoseph1725
@deborajoseph1725 3 года назад
Ni kwel moyo Wang tulia kwa yesu
@immah_deo19
@immah_deo19 4 года назад
Comment ya 700 imetoma Kwangu
@akimdjango7669
@akimdjango7669 2 года назад
Jamani ikiwa kuna mtu mwenye moyo wa huruma ani saidiye Kuni kutanisha na askofu masandja.yeye ni ndoto yangu,mimi ni mkongomani
@officialf8404
@officialf8404 4 года назад
Asa we unaedislike unamaan gan???😭😭
@wilbrodsungura4775
@wilbrodsungura4775 4 года назад
Hapo hakuna kumsifu yesu bali ni kumdhihaki tu. Yesu unamsifu kwa utukufu wa heshima sio kwa kuluka hvo...
@luperbukuku2659
@luperbukuku2659 4 года назад
Umekuwa Mungu kuhukumu
@drrphaeltz1
@drrphaeltz1 4 года назад
I need support from you broo
@nesphorymasawe5893
@nesphorymasawe5893 4 года назад
Mi namkubali sana huyu jamaa kweli anaongozwa na roho
@richardmmbaga7435
@richardmmbaga7435 3 года назад
Ni nzuri
@MS.herithie
@MS.herithie 4 года назад
My favorite iii sasa maana nilihaza kusikia unaiiba kanisani mungu akubariki mtumishi wamungu
Далее
MASANJA MKANDAMIZAJI -NII- (OFFICIAL MUSIC VIDEO 4K)
3:36
MASANJA  HADHARANI FATILIA MPAKA MWISHO
24:02
Просмотров 731 тыс.
MASANJA MKANDAMIZAJI  ZABURI YA 150 OFFICIAL VIDEO
9:45
Uso Wangu
9:52
Просмотров 119 тыс.
Founder TZ - Dar es Salaam (Official Music Video)
3:12
Masanja MONICA ft Walter Official Video
5:13
Просмотров 677 тыс.
IMENIUMA SANA by Zabron Singers (Official Video)
5:05