Тёмный

MASANJA SIPENDI MKEWANGU ASHIKE SIMU YANGU 

FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Подписаться 199 тыс.
Просмотров 139 тыс.
50% 1

MASANJA SIPENDI MKEWANGU ASHIKE SIMU YANGU

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 195   
@juliuskindole4160
@juliuskindole4160 Год назад
Mafundisho ya kutokushika simu ya mkeo au mumeo ni ya watu ambao hawajaokoka mtumishi, hii sio sawa. Being honest ndo kinachotakiwa kwenye ndoa. Shetani hapaswi kupewa sifa hata ambazo hastahili. Kama uko honest na mkeo au mumeo hata ije sms ya aina gani kama kuna kuaminiana kati yenu haiwezi kuwababaisha.
@jennifersindano5135
@jennifersindano5135 2 года назад
Hapana that is wrooooong.Wewe in mtumishi honesty is number one!ukifeli hapo Hamna ndoa!!!
@Ndu-wa.uroony2
@Ndu-wa.uroony2 10 месяцев назад
Umenena vema mtumishi ,hata sheria haimruhusu mume ama kushuka simu ya mwenzake! Ila wapumbavu hawaelewi
@pillykinabo8722
@pillykinabo8722 2 дня назад
​@@Ndu-wa.uroony2 upendo hauna sheria ndugu yangu acha kutetea ujinga, ukiona mkeo au mumeo anakunyima au anaficha simu yake ujue sio mumeo huyo anakupotezea muda. Hakuna siri ktk mwili mmoja
@Victoria-bv6xu
@Victoria-bv6xu День назад
God bless you 👏 tunajifunza
@rahabusimonie5508
@rahabusimonie5508 3 года назад
ktk kitu shetani amewaweza watu wengi ni roho ya uzinzi ht watumishi wameshindwa jinsi ya kutafundisha
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 Месяц назад
Masanja yuko sahihi mimi nimeokoka.
@mamak2466
@mamak2466 2 года назад
Masanja acha kupotosha wanandoa ukiona mwanandoa anaficha sim yake ujue sio mwaminifu.
@joshuashisa4166
@joshuashisa4166 3 года назад
Hapanaaa hapana ayo mafundisho
@JohnMchopa-yc5cw
@JohnMchopa-yc5cw 21 день назад
Hawa watu ambao wanafikiri kuelewana na watu na kufuatwa na watu ndo utumishi Wana shida sana wanasema kuwafurahisha watu wao! Watu wa Mungu mume na mke ni wa Moja,kwa Nini simu iwe sumu kushika? Mungu tusaidie tuseme kweli kuliko kupendeza watu.
@edwarddaniel7459
@edwarddaniel7459 Год назад
Interested lesson bishop massanja
@kajiratv5978
@kajiratv5978 3 года назад
Hapo kwenye simu si kweli
@HelbethMlelwa
@HelbethMlelwa 3 года назад
Ni umalaya ndio unawafanya mfiche simu. Hapo hakuna cha mchungaji wala cha nini...
@zeddybass6672
@zeddybass6672 2 года назад
Na nyie simu zenu za magumashi zinaingia kwa shost 😂😂😂😂
@williamhalinga3584
@williamhalinga3584 2 года назад
anayepingana na maneno ya mtumishi ni mwanamke koloboi
@tausimwangwale1575
@tausimwangwale1575 2 года назад
Mtumishi wa mungu naomba maombiyako angaraunipate faraja ninashida sana
@maigajohn5828
@maigajohn5828 Год назад
Uko sawa good point
@user-cn6db7wt7h
@user-cn6db7wt7h 7 месяцев назад
Asante mungu na azidi kukutumia mtumishi
@msomimosomy9812
@msomimosomy9812 3 года назад
Yaani dini zimeingiliwa
@user-hw2du2ze7l
@user-hw2du2ze7l 2 месяца назад
kabisa
@msomimosomy9812
@msomimosomy9812 3 года назад
Masanja naye niaskofu
@mamawadudu48
@mamawadudu48 2 года назад
Masanja wafundishe watu vitu vya kuwapeleka levo nyingine. Levo ya kutovurugwa hata wakiona kitu cha ajabu kama meseji mbaya kwenye simu. Simu lazima uwe huru kwa kila mmoja katika ndoa. Hata kamabwe wewe umefeli hapo usitake wote wafeli. Simu iwe wazi. Mapenzi yakiingia woga woga yanakua hayana radha.
@jamesraphaelmdima4729
@jamesraphaelmdima4729 2 года назад
Sawa kabisa.
@elizabethmassawe5448
@elizabethmassawe5448 3 года назад
Hapa hapana kwa kwel
@brotherisaiahtv
@brotherisaiahtv 3 года назад
Hiyo cheni hapana inashusha hadhi
@sabihaibrahim3393
@sabihaibrahim3393 2 года назад
Masanja wacha ujanja hahahaaaa vi babe uacheee
@jeanettegloria6244
@jeanettegloria6244 3 года назад
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu
@lusekelodaison8159
@lusekelodaison8159 3 года назад
Yes ni kweli kabisa, ninachoamin Shetan huwa anatuzunguka muda wote kwaajili ya kuvuruga mpango wa Mungu, ninachoamin ni kwamba nikuamua kukata daraja litakalo mfanya shetan avuke kwa urahis hapo, kila mtu abaki na chake
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 Месяц назад
Nyie mnaopiga ni waongo,elewa kila mtu anawivu na wivu ni dhambi,kuna watu wanaweza kutuma sms kwa kugombanisha na anajua umeoa au kuolewa,mwingine amechukua no mwanzoni kwa nia njem saa lkn mbele sms zin
@salvaarobogast2104
@salvaarobogast2104 2 года назад
Nimekuelewa sanaaa mtumishi wa Mungu
@boncenagottalent
@boncenagottalent 2 года назад
Katika makanisa Yana ongoza kwa huduma nzuri na kubariki ni hapa Amina baba askofu
@michaelnzali7781
@michaelnzali7781 2 года назад
masanja nakubali ujumbe mzuri
@eliamkonda5162
@eliamkonda5162 2 года назад
🤣🤣 daah huyu mchungaji balaaa
@pillykinabo8722
@pillykinabo8722 2 дня назад
Hapo @feelfree church umefelli
@prosperjuma905
@prosperjuma905 3 года назад
Kazi kweli kweli.
@ramadhanisimile7205
@ramadhanisimile7205 3 года назад
Umeongea point sana
@rehemarashidi7391
@rehemarashidi7391 2 года назад
Amen wakubwa tumekuelewa
@rodinemahega9925
@rodinemahega9925 3 года назад
Sasa wewe kama mwaminifu kwanini hutaki mkeo ashike cm yako.?
@opulentprudent612
@opulentprudent612 2 года назад
Sasa penyewe kwann aishike??
@williamhalinga3584
@williamhalinga3584 2 года назад
amewapa mifupa badala ya maziwa ndo maana wachangaa kiimani hawajamuelewa kabisa mtumishi wa Mungu
@ednahamisi7288
@ednahamisi7288 3 года назад
ujiamini mtumishi ,
@peterjackson5307
@peterjackson5307 2 года назад
Nimekuelewa vizuri mtumishi wa MUNGU
@elkanakilumbe
@elkanakilumbe 2 года назад
Msifundishe kitu ilikikubaliwe na watu wengi, fundisheni neno la Mungu sawasawa na neno lake. Nini maana ya mwili mmoja? Walimwengu watufundishe kuwa vitu vingine tuvifiche kwa wenza wetu hata kanisani tunanafundishwa mafundisho hayo hayo...what will make the difference?
@jamesraphaelmdima4729
@jamesraphaelmdima4729 2 года назад
Sio kweli kabisa ni kuendeleza uzinzi na Uasherati tu.
@irenesumari5722
@irenesumari5722 3 года назад
Kwan tuliambiwa mume na mke ni mwili mmoja isipokua cm au. ????.
@julytito3891
@julytito3891 3 года назад
Na kama huna mission ya Siri kwann upate hedec Sasa jmn ,,hi kama sijaelewa vile
@christianchando7041
@christianchando7041 3 года назад
Yuko sahihi kabisa. Mwenzako anaweza akawa hana tabia yoyote mbaya. Lakini ibilisi tu akaamua kumtumia mtu kuwavuruga. Mtu anaweza kukutumia sms ya mapenzi ingawa ww hujawahi hata kumuwazia kwa namna hiyo.
@elizabethkamala9176
@elizabethkamala9176 3 года назад
Ameen daddy
@charlesnkasi9904
@charlesnkasi9904 3 года назад
Nakubali sana haha
@samrecordvwawa9133
@samrecordvwawa9133 3 года назад
Unajua wewe nakuelewa sanaaaa
@inviolatamalifa6871
@inviolatamalifa6871 Год назад
Libarikiwe na tumbo lililokuzaaa baba nakuelewaga Dana.
@afandebrighttz2887
@afandebrighttz2887 2 года назад
Yes Datz True
@angelinageorge9479
@angelinageorge9479 Год назад
aminaa mchungaji
@alfamtewa391
@alfamtewa391 2 года назад
Askofu fekiiiiii
@gracemwafongo4002
@gracemwafongo4002 2 года назад
Asante mtumishiiiiii
@walterkweka787
@walterkweka787 2 года назад
Hizi ni nyakati za Hatari...sio kila kitu cha Kusikiliza wapendwa
@jolemerci2155
@jolemerci2155 Год назад
Umeongea kweli sio kila neno la ku sikiliza maneno yake ni inasikika kama vile nyoka alimujiaga eva kamujia kama ni kwa kweli kumbe kumuangamiza eva
@user-hw2du2ze7l
@user-hw2du2ze7l 2 месяца назад
Ni kweli kabisa ndugu
@user-hw2du2ze7l
@user-hw2du2ze7l 2 месяца назад
ni kweli kabisa ndugu
@MS.independent8934
@MS.independent8934 2 года назад
Fact's ✊🏽🙏🏽
@sifamtasha4291
@sifamtasha4291 3 года назад
Mmh sidhani
@robinahumphrey9725
@robinahumphrey9725 2 года назад
Nimekupa
@user-zc1xq8xk1i
@user-zc1xq8xk1i 8 месяцев назад
Mtu kama umemuoa ni kweli kakupenda,waliobaki wanajikombakomba
@jaberjohn7556
@jaberjohn7556 3 года назад
I support you masanja.
@tausimwangwale1575
@tausimwangwale1575 2 года назад
Ukovizuri mtumishi
@castobenjamin4074
@castobenjamin4074 3 года назад
Daaah Masanjaa😂😂😂😂😂
@peterivandaud496
@peterivandaud496 2 года назад
Ubarikiwe sana Pastor
@asteriamhagama3998
@asteriamhagama3998 2 года назад
Kweli kabic ujumbe mzuri can
@mariamswedi1140
@mariamswedi1140 3 года назад
Kwa hyo ndio mkeo asishike cm wkt mmeokoka mh siamini juu ya hilo ukiwa serious na Mungu hta hayo unayoyaongea ma sms hayata kupata unakuwa na upako wa roho mtakatifu ujinga ujinga hauta kufata
@apostleadamgige4662
@apostleadamgige4662 2 года назад
Hilo ndio neno sahihi,
@sabihaibrahim3393
@sabihaibrahim3393 2 года назад
Askofu.sema ukweli hakuna kidume kinashiba kikatosheka na mke mmojaa
@RoseKimishabhalemi-oz9bn
@RoseKimishabhalemi-oz9bn Месяц назад
Wee malaya tu anapaswe hivyo
@charlessheks7166
@charlessheks7166 Год назад
Ukome kufundishaivitena...
@emedizofiretv4406
@emedizofiretv4406 3 года назад
😂 😂 😂 😂 😂 MASANJA YOU IS A BEST PASTOR IN TANZANIA Mwanawane..... FROM RUJEWA MBARALI MBEYA
@fredrickjohnson2692
@fredrickjohnson2692 3 года назад
Best pastor for which? Masanja is wrong for this coz this is a church not a club.you can't teach the clue of church to hide a sins and advising them to stay in fear at all. Good man of God, knows the actual meaning of Jesus and his freedom when confessed to hive.we should teach people to put them free from sins instead of growing them in a serious problems. Hiyo ni dhambi msishabikie.mimi nikioa siwezi kuwa naficha simu au naogopa kushika cm ya mke wangu kwanini? Hujui kuwa ipo siku yatakuwa mazito zaidi akichungulia simu yako akaona msg? Acheni kutunza hofu ktk vifua vyenu.tafuteni Uhuru ambao utawafanya mtambulike kuwa mfano wa kuigwa. Ukikuta umeoa Halafu Kuna msg za hovyo ujue kuwa bado wewe ni kihuni na huenda unatongoza huko mitaani husemi umeoa.ko tuache mafundisho ya kishetani mnaudhi sana ninyi. Kila KANISA now wanataka pesa tu,wanapotosha ukweli wa wokovu hawasemi kwwli kozi wao wanatenda dhambi na wanasimama madhabahuni. Washindwe kwa jina la yesu.wanamchafua yesu kristo.
@emedizofiretv4406
@emedizofiretv4406 3 года назад
Sikupingi mawazo yako. ila hicho unacho kiona kwako ni sahihi na kina manufaa ndoa yako itakua iko mbali....... ila pastor MASANJA alikua anatoa tahadhari kwa kile anacho kiona kinapelekea ndoa nyingi kuvunjika na si kitu kingine. Sasa basi kama maono yake yapo katika simu, ulitaka awafundishe maono yako wakati yeye anaona kitu kingine kwenye ndoa nyingi....?
@fredrickjohnson2692
@fredrickjohnson2692 3 года назад
@@emedizofiretv4406 Mtumishi wa mungu hutakiwi kufundisha njia za kutia mashaka Bali unatakiwa kufundisha umoja ktk ndoa na sio watu wazitii njia za udanganyifu.nini maana ya ndoa? Wakristo tumeanza kutoeleweka kozi mafundisho ya siku hizi ni kwa ajiri ya kuuza RU-vid tu bila kuzingatia biblia inasemaje. Mnaoshabikia mwili shabikieni lakini je'katika Roho wa mungu kweli hayo ndio mafundisho sahihi? Tuache kuwaamini watu Bali tuwekeze ktk usomaji wa biblia na kutafuta kweli ili tukae katika imani tunayo itambua na sio kushabikia Kama mpira huku wachezaji na wapataji malipo wakiwa wengine. Kinacho uponza ulimwengu ni kukosa maarifa ya kiroho na Uwepo wa Mungu ktk Mioyo ya watu ili waweze kuyatambua mapenzi ya yesu kristo na wawe wasema kweli iliyondani ya wokovu wa kweli kutoka kwa yesu. Ukijituma kuishika biblia na kumiliki maneno yaliyo ndani ndipo utakapo funguliwa njia ya kweli.lakini Sasa usishangae kuona mamia ya watu wapo ktk kanisa woote hawana Nguvu ya mungu wa kweli Hilo tambua na usiwape usahihi kwa maana Wateuliwa ni wachache sana ktk ufalme wa mungu.. Ukikuta ndani ya ndoa mumeanza kuwekeana mipaka ya Mambo yenu ujue ndoa imejaa uovu.maana mke atamtilia shaka mume,na mume atamtilia shaka mke. Basi ikiwa mtakuwa ktk mashaka basic kila mtu atakuwa mtumwa wa dhambi na hataiogopa dhambi maana shetani atayashtakia matendo yenu na kila mtu atatenda dhambi kwa kuihararisha. Ndoa ni umoja kati ya muke na mume,mipasuko hiyo humaanisha tamaa ktk umoja wenu na sio ndoa ya Maagano ya MUNGU. Ahsante sana na mungu aturehemu
@imantom8069
@imantom8069 2 года назад
Sema limasanja linaubiri fact
@cyrusmichael6906
@cyrusmichael6906 3 года назад
Kabisa mkandamizaji!
@humphreymollel2394
@humphreymollel2394 Год назад
Hata mimi sitaki urafiki na simu yangu kwa mwanamke na mimi c taki maziwa na ya kwake
@monicamwandemele2648
@monicamwandemele2648 Год назад
Kweli kabisa mtumishi
@evasanga518
@evasanga518 2 года назад
Kunakua hakuna haja yakuwa mwili mmoja
@user-up8uq3ih2i
@user-up8uq3ih2i 8 месяцев назад
Umevaa nini hiyo shingoni nawee unavaa bizaa za yezeberi, huelewek vaa Kwa ufunuo wa roho, halafu unanyoaje hivo, rudi katika njia
@julytito3891
@julytito3891 3 года назад
🤔🤔🤔🤔🙄🙄🙄hivi ushakuwa askofu kumbeee?? Kumbe simple kuwa askofu jmn hongera Sana God be with you servant of God
@teddylameck21
@teddylameck21 3 года назад
Kuwa na ww kama unaweza
@esterester5490
@esterester5490 3 года назад
Barikiwa m2mishi umenena
@jolemerci2155
@jolemerci2155 Год назад
Ikiwa kati ya mume n'a muke hakuna uaminigu wa kweli ndowa hiyo imeelekea motoni hâta mutabasalu kanisani ila mwisho ni motoni pôle sana mwanadamu kwa ku muasi mungu
@festonkandonga85
@festonkandonga85 2 года назад
Ni kweli kabisa mimi ni moja ya watu wasiopenda simu yangu kushikwa wala kuchunguzwa chunguzwa na bahati nzuri na mie sipendi kushika shika simu ya mtu wangu wa karibu
@amanijosiah693
@amanijosiah693 3 года назад
Mke na mume mwili mmoja haina shida kushika cm ya mwingine
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 3 года назад
Haina shida? Utanikumbuka siku moja, ukumbuke mwili ni tofauti na nafsi, kuwa mwili mmoja sio kuwa nafsi moja. Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa, kuna siku moja mwili mmoja utazikwa kabla ya mwingine ndo utajua kuwa haikuwa mwili mmoja. Wanaposema mwili mmoja lazima uelewe walimaanisha nn?
@williamhalinga3584
@williamhalinga3584 2 года назад
maana ya kuwa mwili mmoja si kama unavofikiri urapata tabu sana
@alfredibrahim756
@alfredibrahim756 2 года назад
Mwili mmoja roho tofauti tatizo linaanzia hapo
@winnieamanya1550
@winnieamanya1550 3 года назад
Weeehh yaani mm napenda huyu mchungaji mpaka basi...I love you truthfulness...yaani ukweli mtupu..simu ya Mme wangu .kwangu SUMU..naiona kama vile mbwa huiutazama msikiti
@apostleadamgige4662
@apostleadamgige4662 2 года назад
Nyie wote ni wazinzi tu,sio waaminifu ndio maana hamshikiani cm
@user-up8uq3ih2i
@user-up8uq3ih2i 8 месяцев назад
Hiyo injili yaufalme au ninini,?
@dorcasdavid2247
@dorcasdavid2247 3 года назад
Ameen Mtumishi wa Mungu,Umenenaaaaa sn
@christianngao5608
@christianngao5608 2 года назад
Hapo kwenye simu siungi mkono hoja
@veronicamnico4773
@veronicamnico4773 5 месяцев назад
Hapo sasa mtumishi duh mimi nachezea cm ya mume wangu mpaka basi Sema tu watu sio waaminifu
@gwakisanoah2538
@gwakisanoah2538 2 года назад
Hoi po ughalile chale,,, lyo ibhangili ilyo? Ulikilosi munda ughwe aseeee! Jhwani akubhinike mwanike? Pinduka lelo mmanyani.
@esthergrace1455
@esthergrace1455 2 года назад
Duu mafundisho ya siku za mwisho shika sana ulicho nacho tuko ukingoni
@salumkassim7949
@salumkassim7949 3 года назад
Ilijamaa anaonekana avuta bangi skuiz eti mkewangu asiiguse cm yangu inamaana iyondoa hainashida uaminifu
@rickross98
@rickross98 2 года назад
Nikweri kabisa
@rosemarymwakitwange6257
@rosemarymwakitwange6257 3 года назад
Haya sio mahubiri ni majigambo, umbea wa mtaani ma Uswahili kwa jina la Mungu,
@officialisayatz5895
@officialisayatz5895 3 года назад
Barikiwa Askofo
@chrisdeoglatias8665
@chrisdeoglatias8665 Год назад
Kuna UKWELI kdg ktk maelekezo YKO lkn tuelewe jambo hili; MME NA MKE WAKUTANAPO ILI KUJUANA HKUNA ABAKIZAE NGUO YYTE" twaelewa maana yke? Maanake n kwamba HKUNA SIRI TNA MIONGONI Mwao,kila Moja n wazi mbele ya mwnzke,hvyo ht kweny mambo mengine n hvyohvyo,kwenye mshahara KUSIWE na Siri,kwenye uchumi,kwenye mahusiano,akaunti za benki mpk mawasiliano KUSIWE na ukuta! Ninamke Bwana amenibariki nae watoto 2 Sasa,kila1 wetu anajua yakwamba anaowajb wke kibinafs mbele za Bwana,ikiwa ameamua kumdanganya akaikabili HUKUMU basi na iwe hvyo,Hilo hutusaidia kila1 kuwa mwangalifu na mwaminifu sio Kwa MWENZAKE tu Bali Kwa Mungu wke kwnza na akiwa mwaminifu Kwa Mungu wke bc Mimi Niko salama. Vle tunavyoaminiana ht msg ya vjana ikiingia,haitupi shida maana tunaijua ikiw mmoja c mwaminifu kw Mungu wke bc ht iweje hawez kuwamwaminifu Kwa mwenza? Km mtu haogopi HUKUMU itishayo milele atawzje kuogopa kukalishwa kikao au kuachika!?
@belafontesteven5144
@belafontesteven5144 2 года назад
Kama thamani ya mwisho.....
@pillykinabo8722
@pillykinabo8722 2 дня назад
Sasa kama watumishi wa Mungu hamuaminiani waumini itakuaje?
@pstrafandelaizer2017
@pstrafandelaizer2017 2 года назад
Zeeee OG KomeEEEEdi
@sharinv8864
@sharinv8864 3 года назад
Ukweli bt hizo shanga za shingo postor zinatisha kwakweli .
@iweningogoofficial3733
@iweningogoofficial3733 3 года назад
Duuuu shanga tena
@iweningogoofficial3733
@iweningogoofficial3733 3 года назад
Pesa na dhahabu ni za nani?
@alicelymo905
@alicelymo905 Год назад
Sawa bishop itabdi na mimi nitumie ya hubby wangu ku hotspot only mengine not necessary
@josephmwakasungula2778
@josephmwakasungula2778 3 года назад
Mwanawene umeongea kitu ambacho ni kweli kabisa yani hata Mimi sitaki kabisa kushika cm ya mke wangu maana sitaki stress
@jackyluns8224
@jackyluns8224 2 года назад
Mmh makubwa
@williamhalinga3584
@williamhalinga3584 2 года назад
elewa kuwa mwili mmoja ina maanisha nini !!!
@williamhalinga3584
@williamhalinga3584 2 года назад
masanja yuko level ya juu sana anaposema anamaanisha !
@yagwishaheke2524
@yagwishaheke2524 3 года назад
Hapo nimekataa ndoa hiyo haitakuwa ndoa ya kweli
@sweetluc2660
@sweetluc2660 3 года назад
Kweli cm zina vunja Sana ndoa uchumba Mahusiano ila mkiwa mwili mmoja lazima kila kitu mjiweke wazi
@yagwishaheke2524
@yagwishaheke2524 3 года назад
Yeah my sweetheart
@fredrickjohnson2692
@fredrickjohnson2692 3 года назад
Huwezi mficha mkeo cm,ujue hapo masanja anajikinga na uhuni.aache kuchezea madhabahu.anafundisha watu uhuni je,huo ni wokovu wa aina gani? Mbona watu wameoa lakini Kama mwanaume sio mhuni hizo msg hazipo. Masanja aseme ukweli kuwa bado anatongoza vibinti ko anatumia madhabahu kujikinga.akome hiyo tabia ya upotoshaji.tena akamwambie yule mama aliyemfundisha hayo akome kabisa wavunje huo mzizi wa dhambi ktk ndoa.
@coolbino935
@coolbino935 2 года назад
Ukitaka mmeo akusaidie kupika chukua simu yake nenda nayo jikoni kuwa kama unatumia kumulikia
@neemamasimba2981
@neemamasimba2981 2 года назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 uuuuwi dah 🤔 umejuwa kunichekesha
@mariamramadhani3860
@mariamramadhani3860 2 года назад
Aaah thubutu 🤣🤣🏋️‍♂️mimi siolewi kwani lazima wewe simu yangu yako tuwe uhuruu
@oliverkyando9897
@oliverkyando9897 3 года назад
Mwanawane hillo shanga mmh usivae bwanaaa
@kongs.9595
@kongs.9595 Год назад
KUMBE SIMU SIO SEHEMU YA SIRI MWISHO WA SIKU KILICHO NDANI YA SIMU KINAJULIKANA HATA KAMA HUKUTAKA KUKIJUA
@vumiliambugh1039
@vumiliambugh1039 Год назад
Katibu amekufa sasa
@danyohanatv1926
@danyohanatv1926 Год назад
Mtumishi unajitetea ili uwe huru zaidiiii
@sophiabryson2735
@sophiabryson2735 3 года назад
hapo sasa yule aloshtuka mumewe anafunga ndoa na mwanamke mwingine hapo 50 kwa 50 kila upande
@pillykinabo8722
@pillykinabo8722 2 дня назад
Nina miaka 10 kwenye ndoa simu ya mume wangu ni yangu muda wowote ninayo na simu yangu anayo. Tena inaleta heshima sana. Mke ninajiheshimu na mume anajiheshimu, mtu akikuvinjia heshima unamchana live na sms hufuti hata mweza wako akiona anapata kujua kinachoendelea sio ufute msg, why ufute? Mlichati nini kinachokufanya umfiche mkeo? Hii inamaanisha unapendezwa na huyo anae kusumbua. Mjibu kwa kujiamini na usifute msg coz hakuna asie tongozwa ila ni unajibu vip ukitongozwa?
@oliverkyando9897
@oliverkyando9897 3 года назад
Mmh masanja unafundisha nn sasa
@mwangosmgs6471
@mwangosmgs6471 3 года назад
Umenigusaaaa ila naacha
Далее
MASANJA  HADHARANI FATILIA MPAKA MWISHO
24:02
Просмотров 731 тыс.
ДОКАЗАЛ ЧТО НЕ КАБЛУК #shorts
00:30
Bike vs Super Bike Fast Challenge
00:30
Просмотров 21 млн
To mahh too🫰🍅 #abirzkitchen #tomato
01:00
Просмотров 1,2 млн
UKWELI ULIOFICHIKA NA IRENE UWOYA EPSD1
25:14
Просмотров 94 тыс.
SIKILIZA KWA MAKINI  MANENO MAZITO ALIOONGEA MASANJA
6:47
CHANZO CHA TATIZO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
13:24
Просмотров 14 тыс.
MASANJA AKIFUNGISHA NDOA KANISANI KWAKE UTACHEKA
10:05
Просмотров 297 тыс.
ДОКАЗАЛ ЧТО НЕ КАБЛУК #shorts
00:30