Тёмный

Mashabiki Wamtaja Harmonize Show ya Marioo Leaders 

CLOUDSMEDIA
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 21 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 49   
@edwardnelison7485
@edwardnelison7485 Год назад
Fiesta bila KONDE BOY ni utumbo tuu,,apo konde angeingia stejin ukasikia kho kho yaw yaw dadekiii watu eeeehhhhhhh
@alantonio855
@alantonio855 Год назад
Kondeboy atabaki on trending zaidi za myaka 10 ijayo....Mwenyezi Mungu alishampata nyota kubwa sana
@mansourmkanakuta6641
@mansourmkanakuta6641 Год назад
Amin kwamba
@yakoboesenga5754
@yakoboesenga5754 Год назад
Iyo ni ndogo 70 mbele namanisha ata alifa kazi zake bado zita ishi
@yakoboesenga5754
@yakoboesenga5754 Год назад
Katiaka wa sanii wa2 ambao ata wa kifa kazi zao zitabaki zana pumuha wakwanza ni amo jeshi mm nita baki na kikohozi adi na zikwa jeshi 💪💪🐘🐘🐘💨💨🙌🏾🙌🏾💪
@Clarenceozoku
@Clarenceozoku Год назад
Wasani ambao wanauwezo wakuimba live ni Harmonize ,Mario na Jux🙏🙏
@kelvinmashimba2087
@kelvinmashimba2087 Год назад
Na barnaba bro
@samwelipaul1462
@samwelipaul1462 Год назад
Umeona
@mazzikelvin1217
@mazzikelvin1217 Год назад
mbosso pia ako sawa kwa live performances
@hassanedwardchivatsi8970
@hassanedwardchivatsi8970 Год назад
Kwani munamsahau king 👑 acheni ubaya wallah
@Secondborn_
@Secondborn_ Год назад
Unajua maana ya live mzee?????
@cristianofabiao537
@cristianofabiao537 Год назад
Harmonize 🔥🔥🔥👍
@issazalala4907
@issazalala4907 Год назад
Nyie endekezeni bifu hamo ndio habari ya mjini
@MwanamasAli
@MwanamasAli Год назад
Kondeboy kama konde🔥🔥🔥
@kuyaakuyaa5810
@kuyaakuyaa5810 Год назад
Haija nooga konde jeshi yuko wapi aseeeeeee mmezingua sana bila tembo tembo wa Ruaha mwamba sana kondeeeeeeeeeeeeeeeeee high up
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 Год назад
Harmonise💪💪🤪
@yakinijuma3435
@yakinijuma3435 Год назад
Mmezingua jeshi ajakuwepo
@ezach3375
@ezach3375 Год назад
Bif la Mwkaju
@worldhappiness1181
@worldhappiness1181 Год назад
Kwa Collable alizofanya Harmonize mwaka huu, zote ni hit. Utasema : 1: Mabantu, 2: Jane Omisso, 3: Marioo, 4: Killy 5:Otile brown, 6: Mecky 2, 7: Mr.Bow, 8:Kontawa, 9: Tundaman 10: Aslay, 11: Mwana fa,
@kelly_visiontz
@kelly_visiontz Год назад
Sio pw
@mshamuathmani5656
@mshamuathmani5656 Год назад
Kende boy jeshiiiiiii km maji mwenye mzki wake……. Mmezingua mmetuletea wasanini utopolo…..msanini morioo peke yake
@janethpanga5878
@janethpanga5878 Год назад
Marioo mwaaaaaaa napenda ngoma zako knm🥰🥰
@honestmsigwa920
@honestmsigwa920 Год назад
Marioo umekosea, bila konde,angekuwepo ingenoga sana Tena sana.
@bonfilsbarekeelkaka6501
@bonfilsbarekeelkaka6501 Год назад
Konde gang 🔥
@armandoleonardo6966
@armandoleonardo6966 Год назад
Konde boy sempre no top 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@blezemunbereharmonize2860
@blezemunbereharmonize2860 Год назад
Marioo umetisha do sasa jeshi angekuwepo pale ingekuwa bala
@josephepimark1143
@josephepimark1143 Год назад
Dadekiiiiiiii
@MwanamasAli
@MwanamasAli Год назад
Kabisa🔥🔥
@nelsonmaganya5391
@nelsonmaganya5391 Год назад
Chui ndio nn sasa 🤣🤣
@lundaboytz4912
@lundaboytz4912 Год назад
Konde boy for every body
@boscokalu685
@boscokalu685 Год назад
Jeshi apo umeniporomosha sana unaanzaje sasa kukukosaa
@msuyajunior9874
@msuyajunior9874 Год назад
Best live band....Kalii....
@abdallahmpahi2684
@abdallahmpahi2684 Год назад
Kondeeee 🔥🔥🔥🙌🙌🏼
@huguettelutumika7125
@huguettelutumika7125 Год назад
Nalaiti angekuwepo ninge mshauri aingiy ki snap kama vile yuko vitani akuna ambay ange Mu fikia jeshiiiii
@aaysays325
@aaysays325 Год назад
Amewez ban achen maneno yenu umnafkili n kaz rais kusmam mbele y watu zaid y mia tatu ote wanakuangalia wew tu wee sio kaz rais kawez san
@beatman401
@beatman401 Год назад
Marioo ❤️❤️❤️❤️
@yohanamwilafi7991
@yohanamwilafi7991 Год назад
I love you songs
@shakhanangombe8148
@shakhanangombe8148 Год назад
Ni noumar bonge la show
@nahimanajo8993
@nahimanajo8993 Год назад
🐘🐘🐘💪💪💪🇫🇷🇫🇷
@makamebakery1964
@makamebakery1964 Год назад
Hawana
@Luffa.online
@Luffa.online Год назад
CHUII ndo katisha apo amna lolote
@alfoncemanda744
@alfoncemanda744 Год назад
Chui au paka
@lundaboytz4912
@lundaboytz4912 Год назад
Chui anaimba sawa lakini show zake hajajua bado kuzi arrangement
@philemonambilikile839
@philemonambilikile839 Год назад
Chui anayeishi na Simba ajawahi shinda kwa tembo
@officialpaulmabula8346
@officialpaulmabula8346 Год назад
Marioo ndokajitahida rayvan kafeli alifanya izur tbr
@getrudamchopa7217
@getrudamchopa7217 Год назад
@@alfoncemanda744 umenifurahisha kwa jibu konki😂😂😂😂
Далее
Obama raps Eminem song at Detroit rally
3:41
Просмотров 44 тыс.
Whozu Ft Zuchu - Attention (Lyrics Video)
2:35
Просмотров 1,3 млн