Тёмный

Masoud Kipanya Ambana Kamanda Muliro I Mashahidi Wataja Majina ya Polisi I Uchunguzi Sio Siasa 

CLOUDSMEDIA
Подписаться 1,3 млн
Просмотров 42 тыс.
50% 1

#CloudsDigital tumekuwekea mahojiano ya Kamanda Maalum Mkoa wa DSM Muliro kupitia kipindi cha #PowerBreakfast

Опубликовано:

 

12 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 166   
@nurumussa9107
@nurumussa9107 2 месяца назад
Kaka masoud umeuliza swali zuri Sana lakini Cha kusikitisha halijatolewa majibu sahihi, tunamuamini kamanda wetu mulilo na tunaipenda kazi yake hivo ni vizuri alichukue Ilo swali na kulifanyia kazi. Asante
@michaelmwambije3603
@michaelmwambije3603 7 месяцев назад
Inaonyesha huyu mlilo nimiongoni mwa watekaji mana kauli zake zinaleta ukakas pia ninacho kielewa Tanzania hatuna jeshi tunakikundi kimejivisha elementi ya kijeshi lakin kazizao ni kazin zao ni majambaz kiujumla tuna majambaz hatuna jeshi mungu ndo anajua
@EmmanuelSimion-d3e
@EmmanuelSimion-d3e 5 месяцев назад
Mh!
@fdizzo
@fdizzo 7 месяцев назад
Jeshi letu La polisi ni janga Aisee sijui limepatwa na nini!!!? Weledi sifuri. taaluma ukichanganya na siasa ni umekwisha masood kipanya uko vzr Sana kaka pamoja na team yako msichoke endeleeni ivoivo na endeleeni kuwaalika tuone panapo Vuja.
@JohnsonBagambi
@JohnsonBagambi 7 месяцев назад
Kama ujawai kupelekwa police uwez kujua omba yasikukute et uchunguz yani! mungu atusamehe
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 7 месяцев назад
❤❤❤❤❤❤
@FrankMushi-cs5js
@FrankMushi-cs5js 7 месяцев назад
Yani katika watu siwapendi duniania ni polic wa tanzania maana awana hutuu kabsa alfu awa viongozi wao wanawatetea sana ila ingekuwa rahia kampiga polic yani watakamata mtaa mzima awa awana maana kabisaaaa
@mikidadichisala6136
@mikidadichisala6136 7 месяцев назад
Kama huyu anaetoa majibu hapa ni jeshi la polisi basi tunayo kazi kubwa
@mayungarichard7443
@mayungarichard7443 7 месяцев назад
Masud uko vizuri sana
@jackmabirangacharles9398
@jackmabirangacharles9398 7 месяцев назад
Huyu.Bwana ni Mropokaji na Hana Jipya ana Linda Jeshi lake
@allyomary2271
@allyomary2271 7 месяцев назад
Hongera sana kamanda murilo ila kwenye jeshi la police kuna tatizo kubwa sana hujma za ubambikiaji kesi kwa raia umekuwa kwa kasi sana chunguza hilo na chukua hatua
@avitusmwemeziandrea7317
@avitusmwemeziandrea7317 7 месяцев назад
Hakuna anachojibu afande, anazunguka tu. Swali liko wazi, kwenye hali ambayo askari anatajwa jina nini kinafanyika? Hatoi jibu, anazunguka.
@knight6757
@knight6757 7 месяцев назад
👀
@JohnsonBagambi
@JohnsonBagambi 7 месяцев назад
Kaz ya hawa watu ni changamoto
@bimumaulid1171
@bimumaulid1171 7 месяцев назад
Afande mbona anazunguruka tuu zuieni hicho kiti kwanza tuelewane
@sadiqadam7971
@sadiqadam7971 7 месяцев назад
😂😂😂😂😂
@lifeofbeed_2216
@lifeofbeed_2216 7 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂😂 daaah
@joycemkeka3769
@joycemkeka3769 6 месяцев назад
😂😂😂
@EmmanuelSimion-d3e
@EmmanuelSimion-d3e 5 месяцев назад
Haya mambo bhana MUNGU atusaidie tu!
@isackignas1752
@isackignas1752 7 месяцев назад
Tuendelee kushika tama
@abubakarsuleman1983
@abubakarsuleman1983 7 месяцев назад
Uyu afande kisisiasa zaidi
@qonquererqanquerer1781
@qonquererqanquerer1781 6 месяцев назад
Naam Kabisa
@claudiajames2003
@claudiajames2003 7 месяцев назад
Kusema kweli Mimi binafsi huyu kamanda huwa simuelewi maana naona kama ana udhaifu katika kusimamia watendaji wake,ye naona amebase katika siasa tu sio kuangalia majanga yanayosababishwa na jeshi la police Kwa wananchi!
@EmmanuelSimion-d3e
@EmmanuelSimion-d3e 5 месяцев назад
Kuna kitu kinaitwa Leadership (kiukweli kwa Tz viongozi wa Umma wanatakiwa kulitendea Haki hili NENO hasa Jeshi LA POLICE TANZANIA)
@MashakaShobo-cs5wj
@MashakaShobo-cs5wj 7 месяцев назад
Kipanya unaokomavu sana kwenye utangazaji hongera ila huyo afande ni siasa tu
@petermgaya9693
@petermgaya9693 7 месяцев назад
Mm kwangu Power break fast ikiisha nafungaga radio
@user-zr9cb8mi6k
@user-zr9cb8mi6k 7 месяцев назад
Uchunguzi wa nn na unamchunguza nani acheni usaninii hata kamanda ana familia kazi yako isiwe laana kwako
@Snuky54
@Snuky54 6 месяцев назад
Masha Allah masoud umeuliza swali zuri sana
@vicentlyimo5974
@vicentlyimo5974 7 месяцев назад
Mmmmmh tunachamoto kubwa kwenye jeshi letu la police
@jimmyhabarugira4232
@jimmyhabarugira4232 7 месяцев назад
Haja jibu swali la Masud Kipanya Naona anakwepa swali 🤣
@kaslali2039
@kaslali2039 7 месяцев назад
Afisa ni dhaifu mno ktk kazi yake, anaonyesha uwezo mdogo sana ktk kuelezea kiupolisi hana uwezo wa kuwa mkuu wa police anaeleza kisiasa kabisa
@venancemushi7461
@venancemushi7461 2 месяца назад
Msiba mzito.
@bakarimahenge
@bakarimahenge 7 месяцев назад
sasaivi tuwetunawapiga picha wakikamata mtu ili wakikataa tunawaonesha picha
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 2 месяца назад
Ndio dawa
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 6 месяцев назад
Jeshi la polisi linahusika na utekaji wa raia, hapo kamanda hataki kumjibu, xx wanainchi yuyamalizana noa mtaani waendelee mamba yao watajuta
@silverman6930
@silverman6930 7 месяцев назад
Answer the question wewe .. completely useless police
@bakarimashi848
@bakarimashi848 7 месяцев назад
Mmmh tuendelee kujifukiza tu
@remidusmwanandenje-yy5gs
@remidusmwanandenje-yy5gs 2 месяца назад
Ebu niulize kwani polic xhelia wanazijua wenyewe sikukamata mwalifu akae ndani mahakama ndoo wenye kutafusili xhelia sio uyo wala aeleweki anaulizwa iki anajibu tofauti mtoeni umo tafuteni wanao jua xhelia 😪😪😪😪😪
@lizp6826
@lizp6826 7 месяцев назад
Hamna kitu hapa Hana analojibu, mbambamba nyingi
@mikemutabuzi3665
@mikemutabuzi3665 7 месяцев назад
Je afande anatushauri kwamba watakaokuja kuchukua watu wananchi waungane wawadhibiti kama hawatatoa vitambulisho?
@charlesmoshi1983
@charlesmoshi1983 7 месяцев назад
Kuna mtu amesema askari fulani tunamjua na kulikua na cctv camera
@HamdanAmli
@HamdanAmli Месяц назад
Hamna cha revenge hapa achakujitafuna kamanda hayamambo yapo mpaka mitaani kwetu mapolis ndo wanachukuwa watu wanaenda wanawapiga wanavunja vunja
@ibrahimomari2458
@ibrahimomari2458 7 месяцев назад
Hakuna kazi ngumu kama kutetea uongo...
@qonquererqanquerer1781
@qonquererqanquerer1781 6 месяцев назад
Huyu Mwana Ccm Anazungumza Siasa Yaan Hapo Amesahau Kubeba Ilani Ya Ccm Peke Yake 😁😄
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 7 месяцев назад
Jeshi linafanya kazi kisayansi😅
@denisntinabo4018
@denisntinabo4018 7 месяцев назад
Afande anatamani nipindi kisirushwe😂😂😂
@tonysadick5338
@tonysadick5338 2 месяца назад
Mungu saidia wache kuteuliwa wachaguliwe
@gefreymtalo5613
@gefreymtalo5613 6 месяцев назад
Chamsingi ni kuwa piga picha unapo mtaja police wakibisha unaonyesha picha za ushahidi pia itasadia kuondoa ubishi [ serikali iruhusu raiya wachukue au wapige picha kuondoa itata ]
@thomaswilbert6431
@thomaswilbert6431 7 месяцев назад
Polisi mutende haki baada tu mh.raisi pendwa hayati dr.john pombe magufuri wananchi tumeludishwa tena Enzi ya uhasama wa raia na polisi hawatendi haki 😢
@Princewaweru
@Princewaweru 7 месяцев назад
Jeshi la police ni bado kizungumkuti
@user-jv1ht5nh4g
@user-jv1ht5nh4g 7 месяцев назад
UYO mlilo muongo kashindwa kukujib Na awezi kujibu ata akijatena apo studio
@hubman6780
@hubman6780 6 месяцев назад
Reporting line and triangular plan is compromised. mamlaka kisheria ziko Kwa ajili ya wananchi ila kinadharia ni sio
@bertinkimati2674
@bertinkimati2674 7 месяцев назад
Jeshi la polisi linaongozwa na viongozi ambao ni criminals. Muliro hawezi kukubali Askari wake ni wahusika kwenye kumteka na kuooteza watu . Cha msingi ni wananchi kupewa elimu kuhusu jinsi polisi anapaswa kukujamata. Ikitokea police wanekuja bila uniform basi wake na mjumbe au afisa mtendaji wa eneo husika vinginevyo hata yeye asiondoke eneo Hilo salama labda aje kuokolewa na Askari wenye sare zinazotambulika.
@SaviorAfrica
@SaviorAfrica 6 месяцев назад
KAMANDA USIWEKE KONA KUWALINDA WAOVU WALIOKO JESHINI KWAKO KUBALI ASIKARI SIO WOTE WABAYA NA WEMA
@emanuelkilangilo5585
@emanuelkilangilo5585 7 месяцев назад
Masudi lile GARI LA UMEME umetupiga limeishia wapi?.Yan wabongo 😂😂😂😂
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k 6 месяцев назад
Jeshi la polisi mara nyingi halina ueledi kabisa
@TwahaMpakani-pn4ov
@TwahaMpakani-pn4ov 7 месяцев назад
Huyu kamanda amesema mambo ya kiuchunguz siyo siasa halafu yeye mwenyewe anaileta siasa apo
@user-ug9nl8lo1o
@user-ug9nl8lo1o 2 месяца назад
MRR Kakengeuka
@BarakaWilliammwaka-ei3cb
@BarakaWilliammwaka-ei3cb 7 месяцев назад
❤ penzi nitamu endapo unaependa munaelewana
@franknzowa22
@franknzowa22 7 месяцев назад
Afande hapo naona kama Masoud Kipanya hajapata alichokuwa anahitaji hapo
@ernestmaina4268
@ernestmaina4268 6 месяцев назад
Wakenya tuige kamanda Moliro
@Its_Goodluck
@Its_Goodluck 7 месяцев назад
Safari ni ndefu sana na hata robo atujafika
@hubman6780
@hubman6780 6 месяцев назад
Mara nyingi serikali na majeshi Huwa na lugha zao kikazi
@user-zr9cb8mi6k
@user-zr9cb8mi6k 7 месяцев назад
Una jua kabisa musa aliko kwa haya mahojiano rpc dar
@jacksonsilaa415
@jacksonsilaa415 7 месяцев назад
Tutachukua picha kila tukio la police arrest report.
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 7 месяцев назад
Huyu hata haelewiki tangu kua kanda dar ni shida, mji upo ovyo ovyo
@onesmomwakasege5215
@onesmomwakasege5215 6 месяцев назад
Kiukweli cjaelew anachoongea huyo afande nikama anatetea atoi jibu sahihi
@gwamakagwamaka
@gwamakagwamaka 7 месяцев назад
Anajibu kisiasa napolojo
@qonquererqanquerer1781
@qonquererqanquerer1781 6 месяцев назад
Uelewa Ni Kidogo Sana Ndiyo Maana Anafanya Hivyo 😁😄
@HamdanAmli
@HamdanAmli Месяц назад
Acheni kuficha sasa nikuulize swali walio mchukuwa sativa kumtowa dar mpaka manyara na walimuingiza vituo vya polisi vitatu je! Nahao ni raia ?? Nyie wakuu ndo mnawaagiza hao
@user-iw5hu3mc7l
@user-iw5hu3mc7l 7 месяцев назад
Nyinyi waonevu tu
@user-zr9cb8mi6k
@user-zr9cb8mi6k 7 месяцев назад
Mnazinguà kama ni raia wako kwa nn usimtafutilie na anaonekana kama mmemsikia kamandà anajuakabisa anajua kabisa musa aliko
@youthmediatv1
@youthmediatv1 7 месяцев назад
Duh
@aloycelucas1823
@aloycelucas1823 6 месяцев назад
Huyu afande yeye ndiye analeta siasa kwenye mahojiano.
@MagrethMallya-we8ui
@MagrethMallya-we8ui 7 месяцев назад
Masoud muulize mpaka akujibu.😮😮😮
@furahachuma9039
@furahachuma9039 7 месяцев назад
Aisee, mbona majibu yake yana ubabaishaji mwingi? Kamanda yupo tayari kuwalinda askari polisi ilimradi waonekane ni malaika sana.
@Zakaria2025wiliamuwiliamu
@Zakaria2025wiliamuwiliamu 7 месяцев назад
polis kwenye nchii ni janga kaka masud uwez mtaja mtu ambaye humjui kana kwamba s yeye aliye mteka wakat sura yake jina lake muniro anawaficha kwanza hajui PGO
@TrustElbashil
@TrustElbashil 7 месяцев назад
Murilo nisehemu ya watekaji anazungumza nini kwanini anawatetea police, police sio wakumwamini ni waharifu namba one nandio wako na mabunduki lakini wanafikili hatujui
@AhmedHassan-vl5zf
@AhmedHassan-vl5zf 7 месяцев назад
Tuhuma ya polisi kutajwa ilitakiwa asimamishhwe an apishe uchuguzi
@hizamawa6046
@hizamawa6046 7 месяцев назад
Anajibu kisiasa tu
@SaviorAfrica
@SaviorAfrica 6 месяцев назад
TUkubaliane kuwa si kila asikari ni mwadilifu
@kapingageorge7635
@kapingageorge7635 7 месяцев назад
mbona hana anachojibu kinachoeleweka wa2 wanaumia yy anajibu siasa
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 2 месяца назад
Huyu ni kamanda anajibu kisiasa ivi
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 7 месяцев назад
VYAMA VYA UPINZANI WANAFANYA SABOTAGE KUMUALIBIA SELEKALI YA SAMIA
@AishaHaji-jn7sg
@AishaHaji-jn7sg 2 месяца назад
Alafu mtu kama huyu unamtukana 😂🤣🤣😂😂😂mwijaku ndugu yangu jela uko nayo na utatamba nayo soon
@SaviorAfrica
@SaviorAfrica 6 месяцев назад
Siwezi kumtaja Mlilo wakati sijamuona
@fredyfile623
@fredyfile623 7 месяцев назад
Anaulizwa a anajibu z aibuu mkuu kama huyo hajui kujibu maswali anazunguka zunguka tu hovyo kabisaa.
@sophiapatrick4824
@sophiapatrick4824 6 месяцев назад
Hajajibu maswali anayouliza anakwepa
@user-gb9gk8bm6e
@user-gb9gk8bm6e 2 месяца назад
Amnaa majibu sahii apoo
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k 6 месяцев назад
Kwa kweli kamanda hajajibu maswali
@msomaliwilliam
@msomaliwilliam 7 месяцев назад
Polisi sasa hivi magari . Yenu number za magari yenu zinachanganya wananchi
@ManyambaHh
@ManyambaHh 6 месяцев назад
Mulilo mwenyewe ni mtekaji mkuu
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 7 месяцев назад
mimi mtu mhalifu akipotea Wala sina tatizo ila kama atakua ameonewa hapo ndio tatizo
@user-vy9pz7sk4z
@user-vy9pz7sk4z 7 месяцев назад
Nchi hii police tatzo sana wanafanya matukio kisha wanateteana sasa ww uwende wap
@SaviorAfrica
@SaviorAfrica 6 месяцев назад
Kama vp mnapowakama watu.kama wana siasa mbona wapo ndani hata kama hakuna ushahidi
@jumamarley7964
@jumamarley7964 7 месяцев назад
Maelezo ya Afande Mulilo ayatoshelezi hata kidogo kwenye Hilo swali
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 7 месяцев назад
ni kweli police ni watekaji hata kaka yangu pia walimteka wakaenda kuficha kituo cha police tazara na tulienda kuulizia wakakataa katu katu kuwa hayupo bahati nzuri piki piki yake hao police walikua bado hawajaificha hiyo ndio iliwaumbua
@remidusmwanandenje-yy5gs
@remidusmwanandenje-yy5gs 2 месяца назад
Kikundi cha wahuni 2 amna ki2 apo😪
@kilianakitanda9470
@kilianakitanda9470 6 месяцев назад
Nikimkuta askali anashambuliwa na Simba nitamsaidia Simba.
@deodathsilayo3639
@deodathsilayo3639 7 месяцев назад
Mbna hajajibu swali
@gwamakagwamaka
@gwamakagwamaka 7 месяцев назад
Mlilo muogo ameshindwa maswali
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k 6 месяцев назад
Yaani kamanda haueleweki kabisa
@mohamoudhussein4570
@mohamoudhussein4570 7 месяцев назад
Huyu anaongea upuuzi kama avo mpuuzi yeye mwenyeww
@barakamanga5502
@barakamanga5502 6 месяцев назад
Askari haaminiki kilahisi, sikiliza majibu ya afande huyu, inaonesha anatetea askari, anaulizwa anajibu mambo yaliyo pita
@yokoi3970
@yokoi3970 6 месяцев назад
Hakuna kitu hapa aibu tu
@TrustElbashil
@TrustElbashil 7 месяцев назад
mlilo unatuambia nini jeshi la police niwatekaji ni mahalamia
@abedichande2497
@abedichande2497 7 месяцев назад
Oya amna kitu hapo zimeni tv...naona ni mtu wa mifano zaidi 😂😂
@musamwakitwange8332
@musamwakitwange8332 7 месяцев назад
Mlilo hajajibu swali. Kazi ya polisi ni kulinda raia ni pamoja ya walioteswa.
@abedichande2497
@abedichande2497 7 месяцев назад
Hata kuelezea kwenyewe tu shidah ss nan hataelewa...police nyie sio bhanaaaa
@directorimmah_vfx3043
@directorimmah_vfx3043 7 месяцев назад
katoa maelezo mengii lakin hakuna alichojbu apo
@user-zr9cb8mi6k
@user-zr9cb8mi6k 7 месяцев назад
Ishu taarifa afande mbona hamuhelewi waandish
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 2 месяца назад
Ivi muriro anamiaka mingapi
Далее
TAZAMA BASHE, MPINA WALIVYOKUTANA USO KWA USO
10:18
Просмотров 3,5 тыс.
SIRI YA KULIPA RENT NI MOJA! | MTUMISHI
8:19
Просмотров 8 тыс.