Тёмный

NYUMBANI Kwa TUNDA: MAISHA ya KIFAHARI ANAYOISHI, KODI MIL. 2+ Kwa MWEZI "MCHUMBA Wangu ANALIPA" 

Wasafi Media
Подписаться 4,8 млн
Просмотров 71 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

4 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 64   
@EshaOmar-i2h
@EshaOmar-i2h 3 месяца назад
Tunda anakaa dem flani amazing so cute and seems anaupendo fiti sbb she seems innocent even though am sure not
@zuu114
@zuu114 2 месяца назад
K.kk.😅😅
@marthahozza2964
@marthahozza2964 3 месяца назад
Huyu mdad mtangazaji kwakweli mh utazan anashare bwana na tunda yan haongei kama mtangazaj anaongea kama bif bif
@maureenlilykiwia1515
@maureenlilykiwia1515 3 месяца назад
Tanzania ni nchi ya kwanza duniani ina watu wachache wanaoshabikia mtu kupanga nyumba na kulipa bei kubwa ili hali hana hata uwanja wa kujenga kibands ifike mahali vijana mnaokuwa mtoke katika ujinga huu na kuwa na kiu ya kumiliki nyumba zenu wenyewe. Hakuna ujanja kupanga majumba ya kifahari huku huna chanzo cha pesa ambacho kiko stable
@remmykubanda3393
@remmykubanda3393 3 месяца назад
Umesema kabisa
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 3 месяца назад
Ila kwa upande mwingine watu wana Siri kubwa.. Sema wasanii wetu wana show off Sana.. Tuna sahau kuna uzee..
@remmykubanda3393
@remmykubanda3393 2 месяца назад
@@mtzhalisi2232 kabisaa final uzeeni heri mtu Kama anampemda akamnunulie nyumba sio kukodi
@remmykubanda3393
@remmykubanda3393 2 месяца назад
@@mtzhalisi2232 kabisaa
@aurorahmo3702
@aurorahmo3702 3 месяца назад
Tunda mpole hadi raha
@Juke995
@Juke995 3 месяца назад
Mtangazaji sura kama kameza hamira ila Wabongo bhana yani chuki tu 😂utazan tunda toka wamjue alishawah hata waomba chumvi hebu muachen binti wa watu hajawah hata mkwaza mtu ni binti mzuri sana
@BongoPlatformTv
@BongoPlatformTv 3 месяца назад
Na vikiumwa vinaomba msaada afuu nyumba m 2.
@KuruthMosi
@KuruthMosi 3 месяца назад
Kwani awa watangazaji mbona hawajihoji na wenyew tukajua na wao wanaishije
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 2 месяца назад
Maisha kikubwa kuyapatia. Umeyapata vipi iyo ni siri ya mtu mwenyewe,
@AminaHaidari-rz2vh
@AminaHaidari-rz2vh Месяц назад
ivi tunda ni artist au anapiga mishe gn town
@BonfaceCharles-n8h
@BonfaceCharles-n8h 3 месяца назад
Huyu dada mtangazaji mbona anakosoa kazi ni kutangaza au kukosoa watu mchaga mbadilisheni atawagombanisha na watu
@rehemalusindengawa5186
@rehemalusindengawa5186 3 месяца назад
Utazani anadiskasiwa mke mwenzie😂
@Hbk206
@Hbk206 3 месяца назад
sio kweli milion mbili
@D4BADBOY
@D4BADBOY 3 месяца назад
Ko uyo mchumba ndo ndaro auu😂😂
@estherkimario7940
@estherkimario7940 3 месяца назад
Mmmmmmmh mil 2 sasa c akujengee jaman
@ShaibuHamis-q4i
@ShaibuHamis-q4i Месяц назад
Aah apo tutafute hela wazee😂😂
@mrokay1time958
@mrokay1time958 3 месяца назад
Poooleeee saaaana tunda ni mdada mzurii saaana ila tunajuaa maumivu ulio nayoo poleee Mungu atakulipiaa tuuuu
@edithamboya5016
@edithamboya5016 3 месяца назад
Sio Rora bhana …Chill
@ReginaManyangu-u4j
@ReginaManyangu-u4j 2 месяца назад
Hiyo nyumba Ina wapangaji wa4 mkisema kapanga jengo Zima tuwaeleweje😅😅😅
@صالحالصوافي-غ5و
@صالحالصوافي-غ5و 3 месяца назад
Na tundaro vp sio mupenzi wake??
@mariamuhusein4431
@mariamuhusein4431 2 месяца назад
dada mtangazaji nimnafiki promax😂
@ELIASBLUETICK711
@ELIASBLUETICK711 3 месяца назад
I have something to say but I don't trust my English
@judithtitomalyeta4000
@judithtitomalyeta4000 3 месяца назад
Milioni 2 kubwa sana jenga jamani maisha yanabadilika
@aprilrosaliapanda4895
@aprilrosaliapanda4895 3 месяца назад
Kakwambia hajajenga!?
@lilianestephanie7881
@lilianestephanie7881 3 месяца назад
@@aprilrosaliapanda4895ndiyo
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 3 месяца назад
Mbona mpole
@lilianestephanie7881
@lilianestephanie7881 3 месяца назад
Kwani tunda siyo binadamu, kwamba akitukanwa anyamaze?
@JninjaH2R
@JninjaH2R 3 месяца назад
Alafu akija kuumwa tumchangie
@azizawaziri1507
@azizawaziri1507 3 месяца назад
Milioni mbili nikizidisha kwa mwaka daahhhh ngoja ninyaze
@EmmyLaulent
@EmmyLaulent 3 месяца назад
Mbona mnakimbilia ushaur wa kumwambia ajenge...kila mtu anamaamuzi yake na kipaumbele chake
@gloryjimson9831
@gloryjimson9831 3 месяца назад
Ukiacha hivo tunda kwao mawe yapo yaani babaake ana hela so sio kapuku wapunguze ushauri
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq 2 месяца назад
Kila mtu ajenge halafu nyumba za kupanga wakae kina nani
@PrincessRaya-kd7is
@PrincessRaya-kd7is 3 месяца назад
Mnaocomment ajenge nyie vipi si mnapanga au
@lunangabenjamin3121
@lunangabenjamin3121 3 месяца назад
Nyinyi acheni uongo kwa mshaara gani anao lipwa ndaro wakuwa nauwezo wakumlipiya jengo la milioni2 labda wasaidiyane.
@dynessjames8563
@dynessjames8563 3 месяца назад
Huyu dada mtangazaji ana shida na tunda huyo hate kabsa
@bellrajkachafuo7813
@bellrajkachafuo7813 3 месяца назад
Jenga yko sio issue zakupnga
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 3 месяца назад
Anajenga kwa ela ipi sasa? Hawa uwaone tu lkwenye mitandao maisha ya kawaida ni MUNGU atatenda kwa wakati wake
@ASHAKHAMISMUSSA
@ASHAKHAMISMUSSA 3 месяца назад
Kwani huyu dada anafanya kazi gani ?😮😮😮😮
@funnymohammed1494
@funnymohammed1494 3 месяца назад
Kwanini hio Hela asijenge nyumba ya kwake
@godlema6104
@godlema6104 3 месяца назад
Ukiwa msanii lazima uvae sweta au makoti makubwa
@Aishaawadhimsloki
@Aishaawadhimsloki 2 месяца назад
😂😂😂😂
@GlobalStrifeUncovered-3571
@GlobalStrifeUncovered-3571 3 месяца назад
Tunda co Demi n mama kweli n mzuri lkn thamani yake imepungua maana n mzazi tyr mkumbuke hilo vijana
@sophiaremmy6326
@sophiaremmy6326 2 месяца назад
Kwa hiyo mama ako mpaka sahiz kwa idadi ya watoto alionao thamani yake ni sawa na sh.ngapi tumnunue maana atakua cheap saana…(yani mtu akiwa mama anashuka thamani mmelelewaje vijana wa miaka hii jamani)
@lilianestephanie7881
@lilianestephanie7881 3 месяца назад
Umekalia tu masocialite yaani mmh. Msichana huna neno lingine la kuongea?
@KhalidNa-bn4gp
@KhalidNa-bn4gp 2 месяца назад
Sas ndaro😢😂😂😂😂
@Chettymlambalipsi-lb9km
@Chettymlambalipsi-lb9km 3 месяца назад
Wabongo wapuuzi sana badala ya kujiwekeza kwa bima ya afya mnaendekeza starehe kwani angekaa chumba cha 30000
@UkiniaminiNakuponya
@UkiniaminiNakuponya 3 месяца назад
Ukikaa wewe inatosha😂😂😂kazi kufatilia watu kuoga aahaaag
@Chettymlambalipsi-lb9km
@Chettymlambalipsi-lb9km 3 месяца назад
@@UkiniaminiNakuponya we nae bwabwa to
@aprilrosaliapanda4895
@aprilrosaliapanda4895 3 месяца назад
Kakwambia hana bima!?
@lilianestephanie7881
@lilianestephanie7881 3 месяца назад
@@aprilrosaliapanda4895enhee hana
@PrinceBonnyTz8
@PrinceBonnyTz8 3 месяца назад
😂😂 milion 2 kwa mwezi na yupo mtu hata laki hapati kwa mwezi awa watu Wana fake LYFE makenge
@rosemilingi7860
@rosemilingi7860 3 месяца назад
Uhogo kbs
@jantsjefta8381
@jantsjefta8381 3 месяца назад
Nikajua nyumba yake kumbe kapanga
@PanyaBuku-qo7tu
@PanyaBuku-qo7tu 3 месяца назад
Uchafu mtupu ushamba mtupu pumbaaaf wakubwa
@vicentmapunda3146
@vicentmapunda3146 3 месяца назад
Capuchinoo😅
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 3 месяца назад
Kabinti kapole..
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 2 месяца назад
Ujingatu kodi.milion2 kwanini asijenge
@FrankDavid-en6on
@FrankDavid-en6on 3 месяца назад
Kumbe amepanga huyu nae ataisha kama wematu
@mdachiog5211
@mdachiog5211 3 месяца назад
Ila kweli ujue
@wennceslausmushi2356
@wennceslausmushi2356 3 месяца назад
Kwahiyo unafikiri wema ni lofa?
Далее
ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?😁​⁠​⁠@osssadchiy
00:20
zuch new challenge
1:31
Просмотров 44 тыс.
ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?😁​⁠​⁠@osssadchiy
00:20