Ni vizuri Tanzania tukawa na publishers wa nyimbo za songwriters/composers ambazo zinaweza kuwa accessed na wasanii wetu, hasa za kiingereza. Kuna watunzi wazuri ambao sio performers.
Iyo kweli kabisa hata waandishi wa vitabu wana editors, sasa mistari ya kichovu watu wanaojielewa hatuwezi sikiliza inakuwa kama ni mazoezi ya kujifunza ujinga, bora huo wimbo wa zanzibar unasikilizika kwa mwaka huu kati ya nyimbo zenye english kwa mbali