Тёмный

P Funk aliniponda kuanzisha Bongo Fleva, Dully Sykes ni Msafi kitambo. Master Jay Part 1 

Chimbo La Hip Hop
Подписаться 4,6 тыс.
Просмотров 21 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

16 май 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 36   
@OnesmoEphrata
@OnesmoEphrata День назад
MAJANIII TEMBA HAPA Nakumbuka sana enzi zetu miaka ya akina mh TEMBA tangu enzi za mpenzi nime kumaindi uwe wangu ma anani
@OmaryNgitu-io6sz
@OmaryNgitu-io6sz Год назад
Mika mwamba kali na beat ya tamala hardmard,na nyimbo za saida karoli,respect...
@OnesmoEphrata
@OnesmoEphrata День назад
MAJANIII TEMBA HAPA
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Год назад
Nampendaga Sana master j interview zake,,uyu jamaa anamadini Sana,, nakupenda master j
@whitemusic1419
@whitemusic1419 2 месяца назад
Mikka alianza 97,,hy j kaanza 93,, Sema inaonyesha hy j ni miongoni mwa watu waliomfitini mikka asepeshwe,,mikka ndo alibadili muziki wa bongo
@khalidibero
@khalidibero Год назад
Ila yote kwa yote miika mwamba alifanya yake katika huu mziki.Alifanya Classic song ambazo ni kumbukumbu tosha. Kwenye chati ya Balozi Kamanda ya Daz nundaz Salome y dully Elimu mitaani ya D knob Eno mic ya mganda ziggy dee Hizo ni baadhi ya ngoma kali na zilikuwa na touch tofauti kabisa.
@husseinhussein9971
@husseinhussein9971 Год назад
Mika ni bonge la producer.
@sabanajunior3243
@sabanajunior3243 Год назад
S2KIZZ zombi bby ndo baba lao😅😅
@mtatapharaoh5174
@mtatapharaoh5174 Год назад
@@sabanajunior3243 mtoto wa gheti Kali ...mica mwamba - noma Acha Master J...
@nyotamy3678
@nyotamy3678 Год назад
Oiii umetishaa
@kagirasta1476
@kagirasta1476 Год назад
Diplomacy walkua noma sana kina saigon Balozi enz izo wako secondary 1997
@bavonmwaluko8916
@bavonmwaluko8916 2 месяца назад
prof jay
@FranklinMtei
@FranklinMtei 4 месяца назад
Are You Down bonge la track aisee. Noma sana!
@NelsonNorman-hm9vi
@NelsonNorman-hm9vi 4 месяца назад
Big up master j and Pmajani
@mtatapharaoh5174
@mtatapharaoh5174 Год назад
mtoto wa gheti Kali - Babu Inspekta haroun...mica mwamba - noma Acha fitina Master J...
@alkaullahmediaTz
@alkaullahmediaTz 3 месяца назад
msingi wa muziki ni Hip hop, watu wakumbuke hapo nimekupata master
@ezysky
@ezysky Год назад
Nmependa alivosema " mshenzi uyu p funk😂😂😂
@zuberyaunda5263
@zuberyaunda5263 Год назад
P Funk na Master J wahenga
@sonnyr1899
@sonnyr1899 8 месяцев назад
Haina ubishi mwanangu. Hawa ndio map ya Bongo flever
@DUL69
@DUL69 Год назад
MASTER J You are the BEST. BIG HUG BRO 🙏🙏👍👍
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Год назад
Kiukwer tumpeni maua yake master j na p fank jamani,, they're deserve that,,and they're wakongwe
@penueldjuma2845
@penueldjuma2845 Год назад
Chukua mauwa yako 🌹🌹🌹
@elimuvisioncenter
@elimuvisioncenter Год назад
😂😂😂 ELF 5000 ILIKUWA KUBWA ... HUYO DADA ANAPAYUKA TU 🤣🤣🤣 RAHA YA MJ SOMETIMES N MSEMA UKWELI ... SAFI SANA😂
@ezysky
@ezysky Год назад
😂😂 Master j mnyama sana😂😂😂
@user-ht4ek5lo5t
@user-ht4ek5lo5t Год назад
Safi sana
@komboruga4271
@komboruga4271 Год назад
Legend
@kilimohub580
@kilimohub580 Год назад
Classic ya maisha 😂
@nyotamy3678
@nyotamy3678 Год назад
Nimecheka sana 😂😂
@franklawrence5452
@franklawrence5452 11 месяцев назад
old is gold
@erastomwakalukwa3946
@erastomwakalukwa3946 Год назад
Mj umeua 🤣🤣🤣
@kiatu
@kiatu Год назад
Tunaelewana hapo? Arabic scale 😂. Interview na msomi poa sana
@martinmunyuko
@martinmunyuko Год назад
KR Mullah 😂😂😂😂
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Год назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️👍.
@mdachiog5211
@mdachiog5211 Год назад
Dully
@mdachiog5211
@mdachiog5211 Год назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-LYlDptjFxNg.html
Далее
Победитель евровидения
00:18
Просмотров 20 тыс.