Тёмный

Salama Na Master Jay SE6 EP21 | NDUGU MHANDISI PART 1| SendTip MPESA LIPA NO 5578460 

YahStoneTown
Подписаться 395 тыс.
Просмотров 53 тыс.
50% 1

#SalamaNa #SendTip Through MPESA #5578460
NDUGU MHANDISI
Joachim Msafiri Kimaryo ni Kaka yangu na rafiki yangu wa kweli kabisa, mimi na yeye tukiwa pamoja vicheko huwa haviakauki maana tumekutana sote tunapenda sana kucheka na tunapenda utani. Humtania sana kuhusu karibia kila kitu, kampani yake ni moja ya kampani ambazo nazipenda sana. Tunaongelea kuhusu kila kitu mimi na yeye, iwe kuhusu binti yake Nuru kukua na kuwa na boyfriend, au kipaji na muonekano wa baadhi ya wana muziki wa hapa nyumbani, iwe kuhusu Zanzibar na jinsi anavyopata mafua akiwa kule au jokes za ndani kati yetu ambazo mara nyingi zinakua na lugha za kikubwa, yote hayo huongea nae na hucheka sana.
Si mtu ambaye tunakutana kila siku au tunaongea kila siku Ila pale tunapoongea huongea na tunapokutana basi ndo tumekutana. Nna heshima nyingi sana kwake, kwa jinsi ambavyo ameweza ku maintain status yake ila kubwa zaidi ni jinsi ambavyo aliweza kumzidi Marehemu Mzee wake maarifa ki aina na akaweza kufuata roho yake ilichokua inataka na akafanya mziki. Mziki ambao hapa wewe unavyosoma unajua umesaidia kutoa ajira na kubadilisha maisha ya watu wangapi. Na unajua kama Joachim Marunda Msafiri Kimaryo ni mmoja wa waasisi hao. Baba yake alilipia ada ya mwanaye kwenda kusoma nchini Uingereza ili aje apate kazi Tanesco ambapo yeye alikua akifanya kazi, ndo maana alimchagulia mpaka cha kusoma, ila Jay alipifika Uingereza gea ilibadilikia hewani INGAWA alimaliza kwa uzuri tu ile elimu ambayo Mzee wake alikua anataka aipate.
Baada ya kurudi nyumbani sasa, instead ya kwenda kuanza kazi Tanesco ambako nafasi yake ilikua tayari, Jay alitaka kuwa producer na aliweza kufanya hivyo ingawa Marehemu Mzee wake hakupenda, hili ni moja ya maswali nilimuuliza Kaka yangu, kama Mzee wake alishawahi kuyaona hata kidogo mafanikio yake au alishawahi kuskiliza kazi ambazo ni nzuri kijana wake alishawahi kufanya na ambazo zinaishi mpaka leo hii.
Master ametoka kwenye familia za kishua tu, Mama yake Scholastica Sylvan Kimaryo ni mmoja kati ya Ma Coach wazuri tu wa masuala ya kibinadamu na jamii, ashawahi kufanya kazi kwenye mashirika makubwa tu ya Kimataifa na mpaka leo mchango wake bado unatumika kwenye taasisi mbalimbali ili kuweza kuwaendeleza vijana katika nyanja mbalimbali za uongozi na maadili bora. Na Dadake yake Catherine naye pia yuko vizuri tu kwenye masuala ya u coach kama ambavyo Mama yake naye anafanya. So familia iko vyema na mambo yanaenda vizuri tu.
Master ni shule inayotembea, anajua vitu vingi kuhusu karibia kila kitu, ni rafiki mzuri na mtu ambaye mziki huu wa kwetu ameupigania tu sana na pengine wakati wa kujilipa au kulipwa ndo huu umefika. Kwenye maongezi yetu haya tuliongelea kuhusu maisha yake binafsi kama ilivyo ada, kuhusu familia yake na watoto wake lakini pia kuhusu Marehemu Mzee wake na Mama yake na studio yake, miaka ya nyuma wakati wanaanza na mahusiano yake na maproducer wa zamani haswa P-Funk ambaye pia alikua BEST MAN kwenye harusi yake.
Master pia nimeongea naye kuhusu mustakabali wa Bongo Flava, hapa tulipo na huko tuendako, na majibu yake ni kitu ambacho ungependa kuskiliza sana.
Tafadhali enjoy.
Love,
Salama.
Support us through anchor.fm/yahstonetown/support
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahStoneTownSubs
Listen our Podcast on
Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
‪ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru‬
GooglePodcast Link bit.ly/GooglePodcastSalamaNa
Audiomack Link bit.ly/YahStoneTownAudioMack
‪RU-vid Link bit.ly/RU-vidSalamaNa
Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
Follow:
Twitter: / yahstonetown
Instagram: / yahstonetown
Facebook: / yahstonetown
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz

Развлечения

Опубликовано:

 

5 июн 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 90   
@CoachHafidh
@CoachHafidh 2 года назад
Nimeisubiri sana hii...MastaJay ana story nyingi sana za zamani. Likes zangu kama commentator wa kwanza😎😎🍹
@franklinassey6600
@franklinassey6600 2 года назад
Tanzania raha sana mzanzibar mchaga wanacheka na kufurahi kama wamezaliwa pamoja
@soumayarubuka6900
@soumayarubuka6900 2 года назад
Watu wa wili napenda kuskiliza tanzania wanao towaga maoni ya akili bila kumficha mtu kwa lengo yakumbadilisha awe bora. Big up Salam and Master j
@millymack1370
@millymack1370 2 года назад
Dread locks ni fashion Rasta ndio dini...not the other way round sir.
@mbarakasaidi8243
@mbarakasaidi8243 2 года назад
hapo patamu na ukimleta na chid benz itakuwa mpango mzima
@maishaforreal7798
@maishaforreal7798 2 года назад
Yaaniii Bora kwasasa kusikiliza wakenya na bongo Flava ya zamani
@suleimansaid2633
@suleimansaid2633 2 года назад
Mungu ndio mtoaji kuhusu watoto nakubali mtoto wakike
@jasmineedamu6089
@jasmineedamu6089 2 года назад
Hii kazi ya kupanda Gari la njano ilinishinda😭
@chrisbonfils4024
@chrisbonfils4024 2 года назад
Hakuna kitu kigumu kama iyo issue ya watoto baada ya kutengana 😔🤦🏽‍♂️
@isaacmweni164
@isaacmweni164 2 года назад
Am ur big fun salama frm Nairobi.......salama na Otile Brown ikam thru itakua 🔥🔥
@BerthaModest
@BerthaModest 5 месяцев назад
Salama yuko mrembo san🎉❤
@Djso26
@Djso26 2 года назад
BEST OF THE BEST !! MASTER MASTER TU.✊
@danielnderagakura8174
@danielnderagakura8174 2 года назад
Kipindi kizuri sana.turetey na harmonize
@georgechande8140
@georgechande8140 2 года назад
Ningependa kiswahili kingetumika kwa ability kubwa
@kareemmohammed1521
@kareemmohammed1521 6 месяцев назад
We mwenyw umetumia ngeli 😂😂
@maishaforreal7798
@maishaforreal7798 2 года назад
Bongo Flava ivi wasani wanaimba matusi na Kiki uchawa ukahaba yaanii industry ya bongo entertainment iko vibaya. Amna wa producer wasomi wala wa director wasomi. Akuna wa sound engineer.
@mariamkitwana6148
@mariamkitwana6148 2 года назад
yani salama nakupenda sana mdogo wangu natamani sikumoja nikuone
@chikotosammy3891
@chikotosammy3891 2 года назад
Salama Boss Lady💪
@danieljoseph4725
@danieljoseph4725 2 года назад
jamani salama,,,,,uwe unawazuia kiingereza
@Boaz22
@Boaz22 Год назад
Swala la muda tuu
@bish_daddiyao
@bish_daddiyao 2 года назад
Mzee Kijana...Maneno kintu Sana🔥🙏🏾🤞🏾❤️🇰🇪❤️.
@julianakimaro5474
@julianakimaro5474 2 года назад
Nimewapendaaa dah eti the eyeeess
@mosesmuithi5693
@mosesmuithi5693 2 года назад
straight from the 254 with mob love mnakaa biee
@Epicmarkmedia
@Epicmarkmedia 2 года назад
Salama naomba utuletee KALA JEREMIAH
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 года назад
Nakukubali sana Master J
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 2 года назад
Duuuh master J 🙌🙌🙌 napenda SN interview zako nikiona tuuu interview yko nafungua kaka
@kisamokachema3064
@kisamokachema3064 2 года назад
True master jay….joliee dada mkali yulee sema showw show za wasanii weng zimemuweka pemben
@siasia5469
@siasia5469 2 года назад
Kweli kbs watoto wakike wanapenda sana baba zao
@mrfashion1687
@mrfashion1687 2 года назад
Nasaubiri SALAMA NA MCHOMVU, SALAMA NA MILLARD AYO na SALAMA NA MWIJAKU
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 года назад
Master 💃Jay🤸‍♂️🤸‍♀️🤸‍♂️ 💛
@joshuamacha8751
@joshuamacha8751 5 месяцев назад
Master J u said it all....big mind
@drtobias_
@drtobias_ 2 года назад
Haya majama mi nayapendaga sana!
@mkuuhapingwi
@mkuuhapingwi 5 месяцев назад
Tuletee Fatma Abdulhabib Fereji
@franklinassey6600
@franklinassey6600 2 года назад
Hio ni kweli wanaume tunakufa kwa kuficha mengi moyoni
@kapona927
@kapona927 2 года назад
Nilikua Na Isubiri sana salama na jay
@user-xf1xq3ky2w
@user-xf1xq3ky2w 5 месяцев назад
24:00 🔥
@GodfreyWilliam-pb3wh
@GodfreyWilliam-pb3wh Год назад
Kiingereza kingi sana
@AmCool_
@AmCool_ 2 года назад
Sasa si muongee kiswahili jamani
@Hassanchora
@Hassanchora Год назад
Great interview salama from zanzibar
@fernandokezumukama1537
@fernandokezumukama1537 2 года назад
Shabiki wa salama nampenda look yak
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Год назад
🔥🔥
@thatkidluffy6390
@thatkidluffy6390 2 года назад
Lete master J hio list ninaisubiri kwa hamu
@lufundishajigoro4323
@lufundishajigoro4323 2 года назад
🔥🔥🔥💯💟❤️
@hassanhajj6804
@hassanhajj6804 Год назад
Kingerez kingi
@athmanjuma3768
@athmanjuma3768 2 года назад
Ukweli mchungu sana huu kauongea
@salimdibundile4872
@salimdibundile4872 Год назад
Very honest
@honestgroup2116
@honestgroup2116 2 года назад
Good
@kazkaz1943
@kazkaz1943 2 года назад
Salamaaaaa
@sumayasumaya6455
@sumayasumaya6455 2 года назад
Machale wawili wamekutana pia ila akili mingi hao 😂
@evelinemsaki2057
@evelinemsaki2057 2 года назад
Sanaa salama amembadikisha master si amekubali kuwa yeye siyo mangi tena
@wedream7506
@wedream7506 2 года назад
M nikimuonaga tu master nafungua link madini mengi sana huyujamaa
@israelmkaka2807
@israelmkaka2807 2 года назад
Master Jay
@evelinemsaki2057
@evelinemsaki2057 2 года назад
Asante Sana master j wanajifanya muziki unawapa maisha kumbe malaya
@naomiprincess4169
@naomiprincess4169 2 года назад
❤️❤️❤️❤️
@zuleikhakhamis3303
@zuleikhakhamis3303 2 года назад
ndo maana munauwana sana kwa tabia hii wachaga mn munaficha mingi at the end munauwa wazee au familia na watu wa karibu kwa vile munabeba mizigo moyoni
@rockyvlogs2214
@rockyvlogs2214 2 года назад
👍
@meky9404
@meky9404 2 года назад
tuleteee na watu wa futbal
@mathewdyzymaleyafrica9128
@mathewdyzymaleyafrica9128 2 года назад
Master kama ulikua kwenye mawazo ya fikra zangu, wahuni wengi wana tupotosha sana hata show moja mwaka mzima hana alafu anabang nakujitamba mziki umempa
@lufundishajigoro4323
@lufundishajigoro4323 2 года назад
Master umependeza saaana bonge la dress code
@mikhitaryankombo9604
@mikhitaryankombo9604 2 года назад
Salama tuleteeni na madebe lidai
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 года назад
BADO WEMA 😥NA NASB
@mtukwaomedia
@mtukwaomedia Год назад
Kama kizungu kinazidi tuwekeeni subtites
@jasmineedamu6089
@jasmineedamu6089 2 года назад
Salama Leo umeamua kutuonesha hayo mapaja ya kuku😊
@evelinemsaki2057
@evelinemsaki2057 2 года назад
Salama was kishua wewee
@Masaki_001
@Masaki_001 2 года назад
Nahisi itakua kwa wanaume umemzungumzie ommy dimpoz kua mwenzetu sio riziki 😂😂😂
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Год назад
🤣🤣km kwl
@juvenalxavier6477
@juvenalxavier6477 2 года назад
Br ni mkweli kabisa
@farajilalah8379
@farajilalah8379 2 года назад
look like he was high
@noelbernard6390
@noelbernard6390 2 года назад
Salama mlete Mume wako hapo.
@wariobavedastus3157
@wariobavedastus3157 2 года назад
Salama Y black every day
@officialmimi269
@officialmimi269 2 года назад
I think it looks good on her😊
@erastomwakalukwa3946
@erastomwakalukwa3946 Год назад
Unifungua master j, these guys are kidding me
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 года назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌
@danieljoseph4725
@danieljoseph4725 2 года назад
tunapenda kujua na kujifunza lakni kiingereza kingi ananikera aisee
@rommelmauma5872
@rommelmauma5872 2 года назад
Kiswahili, Kiswahili; itapendeza!
@ebenezerkaaya7345
@ebenezerkaaya7345 2 года назад
Acha kukerwa na maisha ya watu aloo, jifunze na ww
@bitegemurisho54
@bitegemurisho54 2 года назад
Naomba mjomba aletwe kwenye kipindi,kwasababu mrisho mpoto anamambo mengi sana yakuongeya alafu muhimu kwelikweli,toka nimeanza kufuatiliya interview za mjomba hajawahi kupewa nafasi ya kutowa aliyo nayo moyoni nahiyo ni hasara !,kwamimi kama kio chajamii basi mjomba ni zaidi ya kio . Nadhani ombi langu litafanyiwa kazi.
@sabraridhwan2858
@sabraridhwan2858 2 года назад
Jamaniii Kiswahili hii kitu hatuelewo
@kilimonachangamotozake6652
@kilimonachangamotozake6652 2 года назад
Wachaga tunalilia hela tu mekuuu
@evelinemsaki2057
@evelinemsaki2057 2 года назад
Sasa huo ni ujinga mnakufa na majanga moyoni
@sabraridhwan2858
@sabraridhwan2858 2 года назад
Sasa salama kila kipindi unavaa nguo nyeusi hauna nguo nyengine
@evelinemsaki2057
@evelinemsaki2057 2 года назад
Wewe salama analipua mavazi hatar huyo ni tajiri na msomi ety usimchukulie was kawaida tajiri huyo
@ismaildavid6970
@ismaildavid6970 2 года назад
BROO YOU LIKE ME SORRY BROO.
@emmamatemu8225
@emmamatemu8225 2 года назад
Dred na rasta Tofauti ni lugha au ni aina?
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Год назад
Dredi ni zauzi na rasta hz km nywele
@emmamatemu8225
@emmamatemu8225 Год назад
@@khadijahali4837 na zile wanazosuka akina dada zinaitwaje
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Год назад
@@emmamatemu8225 zote ndo hz hz
@nwntz
@nwntz Год назад
WachGue moja nigg
Далее
Shilole alivyokuwa Muhudumu wa Hoteli na kumtongoza Ray
19:43
Mkasi - S02E06 with Rita Paulsen
28:00
Просмотров 158 тыс.
Заячий Стон - Рот пятничный
0:55